Ulimpenda sana naye alikupenda.Mwache Yesu atawale sasa.Kumbuka Ayubu.
@annkarimi49832 ай бұрын
Pole sana,mungu akufariji na awe mume wako mpaka utakapomwona Marko tena .Amina 🙏
@RoseWilliam-t3o2 ай бұрын
Futa Hayo maneno ya kufuru
@TELEZANESTORY2 ай бұрын
Q
@kwizeraelly9261Ай бұрын
Tutaonana asubuhi njema.Simama na Mungu dada usimwache Yesu daima.
@JoylineNgundoАй бұрын
Too sad,,gone very soon,,,but all things works for good,the Almighty be with you
@josephmunyao25322 ай бұрын
Mungu na amrehemu Joseph,na akurejeshee furaha yako tena kwa utele.....may God lord comfort you with your entire family
@marthamsacky6973Ай бұрын
Moyo ,Moyo uwii 😢😢😢 Pole mno kipenzi Ni Mungu tuu akuone
@BothainaBothaina-k6c2 ай бұрын
Pole sana dadangu umeachwa mdogo lakini Mungu ninani jamani miombeni siku zote anakusaidia kwenye Maisha yako yote 🎉🎉❤
@SeledinaKatoАй бұрын
Nivigumu kumpata mtu kama wa kwanza. Mungu akutetee polesana. Dada mzuri mdogo umepoteza mmeo inaumaaaaa
@malidadijosehp2 ай бұрын
My Dear Don't cry mungu anamakusudi hutajua tushukuru kila jambo
@stanciadzongodza7174Ай бұрын
Very sad ,may the Lord God comfort you and your children. God will be with you all the way until your kids grow up.I have been in the same situation, and i feel for you, my daughter. I had 5 children who were very little, and i was only 28 years old. When i became a widow ,take a heart .😢😢❤❤❤
@JonamShakeАй бұрын
Pole mungu akupe nguvu ya kulea watoto amen
@HildayChazyАй бұрын
Polesana dada mungu atakuongoza
@AJ-cq4zp2 ай бұрын
Pole Sana dada tegemea Mungu tu usifuate maneno ya watu
@roseondenge7396Ай бұрын
Poleni sana Mungu awaponye
@DinahKemunto-c7l2 ай бұрын
Rip Marco ss ni wapita njia dunia sio kwetu tunakupenda lakini Mungu zaidi
@Marryjohn-t2sАй бұрын
Da kama ndoto vile jamani lla Mungu azidi kuwakumbuka mke na watoto
@JalonyNyekuku2 ай бұрын
Mungu akusimamie dada angu
@DanielBalolebwami-d4c2 ай бұрын
Pole sana mama Mungu akifariki dunia tuna pita kilakitu kitabakia Bina damu ni mucanga
@AgnessFred2 ай бұрын
Wadau nin chanzo cha kifo cha uyu ndugu
@JaneMangera-i6q2 ай бұрын
Mungu awape faraja ya kipekee
@chrotildamathias9610Ай бұрын
Kweli familia ilikuwa yafurãha
@LydiaLaban-t7y2 ай бұрын
Polee sana mamaa ni lizito lakini tutafanyaje??
@euphrasiakavayi75862 ай бұрын
Poleni sana
@AnnaMwakalekamo2 ай бұрын
Du waliishi kwa upendo na amani jmn ndoa ilipendeza sana mungu ammpumzishe kwa amani du
@mmnn3579Ай бұрын
😢
@josephinemtei1862 ай бұрын
Mungu akutie nguvu dada 😭😭😭😭
@moreenoyugi24732 ай бұрын
Nimehurumia watoto wameachwa na baba yao na vile wanaenjoy wakiwa karibu na baba😢😭
@constancewakio6042 ай бұрын
My condolences to the entire family its so painful but only God knows...rest well bro and the wife be comforted..😢😢😢😢😢
@hotchamber2552 ай бұрын
💙💙🙏
@jonasmulungu87212 ай бұрын
Mungu ampe pumziko la milele
@Marthafaustine2 ай бұрын
Mungu amlaze Mahali pema peponi tunamuombea
@ZediEzekielMbogela2 ай бұрын
Mungu akupe moyo wa ujasiri una mtihani makubwa ktk kuwaleta wanao hawa lkn mtegemee munu
@VioletJosiah-t2wАй бұрын
Mfariji mkuu juu ya kifo ni yesu mwenyewe ivyo msingi awe upande, rafiki yako wa karibu utashinda tu naamini ni mume wa wajane mfungulie moyo wako aingie pole sana anapokutia nguvu.😂😂😂😂😂😂😂
@Gwa-Kayaga2 ай бұрын
Nashindwa hata niandike kitu gani, ila maisha hayana maana😢😢😢
@hotchamber2552 ай бұрын
😭😭💙
@MAGRETHERNEST-cu4mb2 ай бұрын
Daah acha tu
@estachengula39022 ай бұрын
Pole jamani maumivu Makali sana sana hayasimuliki
@VivanPrince2 ай бұрын
Mung bab mwenyez akubangulie kil jamb
@jacklinechogo79322 ай бұрын
Munguawafariji
@makwarahellen2542 ай бұрын
Inaumaa sana💔💔💔
@hotchamber2552 ай бұрын
Sana Inaleta Huzuni 😭
@Gwa-Kayaga2 ай бұрын
Tumtafuteni Mungu tuu😢
@SheilaYeri2 ай бұрын
Pole sana
@CecilliaTemba2 ай бұрын
Mungu akupe nguvu
@DorcusJoelАй бұрын
Yote yanapita
@HappyAyubu2 ай бұрын
😢 🙏
@WitnessMathias-r8d2 ай бұрын
Mbona watotoniwatatu
@NeemaMosa2 ай бұрын
waliishi kwaupendo sana jamni duuh apmzike kwaa mani
@hotchamber2552 ай бұрын
Inaumiza Sana
@123rehema-q9h2 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@margaretkaranja18642 ай бұрын
Hivi mtu hujua kufo kiko karibu kweli
@bintimohamed26462 ай бұрын
🙏🏽🙏🏽🙏🏽😭😭😭
@hotchamber2552 ай бұрын
😭😭💙🙏
@EuniceJoseph-e1i2 ай бұрын
poleni sana tunamuombea kwa mungu ailaze roho yake mahali pema peponi😂😂
@hotchamber2552 ай бұрын
Amina 🙏🙏Nahisi umekosea kwenye emojis hapo
@SuzzyNjee2 ай бұрын
Eeeh ni kama amekosea imoji@@hotchamber255
@Imaniamockgmail2 ай бұрын
Nikweli ilitakiwa aonene Julia 😭😭😭💔ni maimivu sana wengi tunalia sana juu ya huyu mtumishi wa Mungu kaka yetu mpendwa Marco poleni sana Kwa familia yote 😭😭@@hotchamber255
@hotchamber2552 ай бұрын
😥😥😥
@AgnesMathew-u7h2 ай бұрын
😢😢
@roseoside45062 ай бұрын
Lakini mbona amezikwa haraka hivo?
@glorymanga36502 ай бұрын
Alifanyiwa operation hivyo watu wanaofanyiwa oparation ina maana mwili kuna sehemu zinakuwa waz hvyo huwezi kumwacha mda mrefu
@christinamongi79512 ай бұрын
Hv mnaosema kazikwa mapema mlitka akae mpka lin mbona iman zenu haba hvo????
@AgnessFred2 ай бұрын
Sababu ya kifo chase ninin?
@epifaniamilinga28482 ай бұрын
Dunia tunapita
@Blandinakanini2 ай бұрын
And why did you bury him so quickly because you had grown up with him or something, we don't understand wakenya