If tears could bring this guy back 😢we've really cried..tis well .till the resurrection morning.hugs from kenya 🫂🫂🫂
@AndersonImbali-v4r2 ай бұрын
May his soul rest in peace
@ingerannemariepulk26882 ай бұрын
My condolences to Family.Watching this from Norway and my heart cries with the loss.
@bethmainagakunga40172 ай бұрын
Amen
@EltonKivuyo-cv2gq2 ай бұрын
Ndivyo Imani yetu inavyo jaribiwa ,ninacho waombea sana .Msije mkamkatia Mungu tamaa kwaajili ya hili,tazameni kusudi la Msalaba
@Judithnyantikanyaboke2 ай бұрын
Poleni sana nimejikuta nimelia
@maryannBoke2 ай бұрын
Poleni sana Kwa family yao Marco zabron singers 😭💔💔😭😭 inauma sana
@susanmetumi2223Ай бұрын
Hadi wa leo sijawai amimi Marco is no more 😢 kwani kunaedanga aje.Mungu tusaidie kuzidi kuhesabu siku zetu.we shall meet him in paradise if we remain to be faithful.poleni sana Wana Zabron .kweli inauma sana.
@ruthgeorges10012 ай бұрын
Not only Zabron singers are mourning in Kenya we knew him through your touching songs 😢we are mourning too may God comfort you guys
@esthermagova66732 ай бұрын
Japo ni uchungu farijikeni katika yesu mungu awatie nguvu wakati huu mgumu 😢😢😢
@dianaimali-kt4cj2 ай бұрын
Kama machozi yangeweza kuamusha mtu aleye kufa basi Marco angeamka leo maana nimelia sana😭😭😭😭😭😭 ila hatuna hiyo uwezo rip shujaa,,,pole zangu from Kenya mungu hawatie nguvu😭💔
@AdmiringBonsaiTree-nc1lv2 ай бұрын
Ni kweli kabisa😭😭😭😭
@ElishaIsaka2 ай бұрын
Poleni sana ndugu zangu chakufanya tumuombe dua ndugu yetu aliye tangulia mbele za haki mung ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu
@jamesmakau94762 ай бұрын
I am in U S A. 19000 miles away from Tanzania but I love the songs of this team. I am writing this with a lot of tears. I wish I can be next to this brothers and sisters and sing this with combo with them. Someone needs to talk to be please.
@LouiseLove-up8fg2 ай бұрын
It's so sad 😭💔 and painful 😢
@REHEMAMALIMA-s2q2 ай бұрын
Mungu tujalie mwisho mwema, tutaonana tena Marco Mungu awe mfariji wenu familia na zabron singers kwa ujumla.. ! Pumzika kwa amani bwana alitwaa na bwana ametoa jina lake lihimidiwe!😢
@AminaBlessed2 ай бұрын
mungu asie waacha wana wake ,, -kwa hiki kipindi kingumu sana mungu awe upande wenu kuwafariji . hapa kenya twaomboleza na nyinyi na tunawaombea neema ya bwana iwe juu wenu ndungu na dada zetu❤❤❤❤ tunawapendaz. neema itoshe😢
@petronilaEmanuely-fv1rg2 ай бұрын
Mungu awatie nguvu poleni sana na ni msiba mzito san
@brendanaliaka54092 ай бұрын
😢😢😢
@lucymwai76452 ай бұрын
Mungu aiweke roho yake pahali pema peponi. 😢😢from Kenya
@Reuben-r6oАй бұрын
So sad, poleni, may the Lord God continue to strengthen the family and the Zabrons singers
@ElizabethKavisaАй бұрын
Mungu aonaye machoji ya wapendwa awafariji jitieni nguvu katika jinala Yesu kristo
@EstherWausi-qj3oz2 ай бұрын
Amen
@EmmanuelMatela-kt7lh2 ай бұрын
Polen sana watumishi wa Mungu mwenyez Mungu awatie nguvu sana
@modestamarakammbishi11272 ай бұрын
Poleni sana,kwa familia na wana zablon,,mungu amechukuwa kilicho cheke,,mungu wa mbinguni awafariji na kuwa tia nguvu
@MarthaMaghuta2 ай бұрын
Polen sana mungu awatie nguvu familia, ndgu marafiki, na kanisa kwa ujumla mbele Yake nyuma yetu mungu pekee aijua sababu.
@EsterMsafiri-t8u2 ай бұрын
Mungu awatie nguvu poleni sana Zabron singers tunaumia pamoja na nyinyi
@helladeogratias76302 ай бұрын
Ni msiba wa Taifa huu
@MashakaMagesa2 ай бұрын
Msiba wa Taifa ni ule akifa kiongozi wa Kitaifa ndiyo maana hata bendera waga zinapepea nusu mlingoti.
@imranbasy40222 ай бұрын
@@MashakaMagesafikiria kwa upana alichomaanisha kwa kusema msiba wa taifa.
@bethmainagakunga40172 ай бұрын
Mungu awafariji mioyo yenu Marco ameiaga dunia sissi tumebaki tusonge mbele na kutumainia MUNGU asubuhi njrma inakuja wafu wafufuke waliolala ndani ya YESU..poleni sana
@EuniceBukhala19 күн бұрын
Wow, niece one, creativity,hata mimi nimeumia
@derickmedson5402 ай бұрын
Poleni sana alafu pia mnajua sanaaa❤❤❤❤❤ mungu awaweke Kwa huduma yake
@ombendaud59382 ай бұрын
Inauma sana Mungu tusaidie sana
@WashingtonWanjala2 ай бұрын
Kenya tuko pamoja nanyi pole sana
@emilysang27592 ай бұрын
I used to play their,mkono wa Bwana daily in my work place computer daily from 9 am to 8pm Monday to Saturday,but from Friday nimeshindwa am in deep pain,imeniumiza Sana.Pole Sana our neighbors Tanzania.
@puritymuiruri33532 ай бұрын
Pokeeni pole zetu kutoka kenya ,maumivu makali kweli mungu awape nguvu zabron singers na familia ya Marco
@jacklineemanuel47552 ай бұрын
Ikiwa machozi yanaweza kumuamsha kaka Marko hakika angeamka ni wapi pumzi ya uhai inauzwa niwapi pumzi ya uhai inauzwa hakika wangenunua kaka aamke ....ASANTE MUNGU TUFUNDISHE KUHESABU SIKU ZETU😢😢😢
@CynthiaKarungu2 ай бұрын
Poleni sana
@IsakaPaul2 ай бұрын
Pole sana mungu azidi kuwaongoza
@SuzanLyatuu2 ай бұрын
Mungu hufanya njia pasipo na njia hata hili mtalishinda poleni sanaa
@GloriaVaati-ls9ql2 ай бұрын
😢😭😭😭angekuwa hapa tungeskia sauti yake tamu aki mbona kaenda jamani Mungu mbona
@fideacynthia2690Ай бұрын
❤❤❤❤❤ nakuomba 4:22
@Bee-iq2wm2 ай бұрын
From Kenya, So painful. May God give fortitude to Zabron Singers and the entire family. @ Japheth and Victoria na wengine, mungu awafariji wakati huu mgumu. Mjane wa Marco pole sana. Siku moja tutakutana nae na tujumuike pamoja kwenye kiti cha enzi. Poleni
@GodfreyJohn-kf8qn2 ай бұрын
Mungu awatie nguvu watumishi wa Mungu katika kipindi hiki kigumu
@eunicemutiso5788Ай бұрын
av watched this hundred times in disbelief! poleni Wana zablon tumo safarini sisi wote
@EvaYohana-f8o2 ай бұрын
Mungu awatie nguvu family ya zbron kazi yake mungu haina makosa tumuombee ndugu yetu marco apumzike kwa aman tutaonana mbinguni kwa baba marco amna
@edinanyaonge2 ай бұрын
Mungu awatie nguvu. Japo yanazushwa mengi ila daima Mungu ni mwema
@FaithJoel-yz7ho2 ай бұрын
Poleni sana watumishi wa mungu.acha Mungu hamlaze mahali alipojichangulia Marco na Mungu hawafariji na hawatie nguvu
@fridaymganga43272 ай бұрын
Nimejikuta nalia sana! Huu wimbo unaumiza sana! Kuliko unavyodhan. Nimemkumbuka kaka simon! Kwann Mungu alituhudu aondoke
@KasanaKikuliАй бұрын
Hakika maisha yetu Mungu ndiye anayajua, wimbo huu umeniliza na kunikumbusha mbali sana 😭😭😭😭😭 Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
@Hellenah_Sufii2 ай бұрын
Hili linaumiza sana😭😭. Enda salama Michael ❤❤❤.
@AnacletEdward2 ай бұрын
Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu Wana wa Mungu, amen
@leonardwafula47912 ай бұрын
Mungu mwenyezi ufuna mahali bake
@NeemaKimario-ui3ir2 ай бұрын
Mungu mwenyezi awe faraja yenu
@VedianaNyamka2 ай бұрын
Poleni Sana MUNGU MWENYEZI awatie nguvu inauma Sana
@rachelcheyo-p5z2 ай бұрын
Poleni sana mungu awatie nguvu
@nyaswieelias1832 ай бұрын
Poleni sana Zabron Singers. Mungu awafariji nyote pamoja na familia ya Marco
@WairimuJane-p2t2 ай бұрын
Have cried so much,may God comfort you zabron singers
@irenemuriithi29432 ай бұрын
Mungu mwenyezi awafariji 🇰🇪.
@IRENEBITATIeАй бұрын
Mungu amlaze mahalo pema peponi, awatie nguvu familia yake waliobakia
@MamaMalcolm5232 ай бұрын
Farijikeni katika Bwana.Mungu awatie nguvu
@elickbahingaye-fp1re2 ай бұрын
Nimelia sana Yan nmeliaaa Mungu nitie nguvu maana huyu kijan kaniumiza Sana kwanini majambazi na wahalifu wengine wanaishi Ila huyu kaondoka mapema sana😢😢😢😢😢 daaaahh
@CarolineAuma-o9x2 ай бұрын
Poleni Sana. Mungu awatie nguvu. Wakati Huu wa. Uchungu,Caroline from kenya
@Sheba224682 ай бұрын
Subscribe for me too dearest 🥰
@QueenRachel-l1g2 ай бұрын
Mungu awe faraja sana kwetu,ata sisi roho zetu zinauma saaana
@AgnessAgness-w6s2 ай бұрын
Mungu awatie ngumvu katika Imani
@vacsmilechepkogei32552 ай бұрын
Msy lord receive marco in eternal live
@EliceMbwilo-k6y11 күн бұрын
Polen sana.Mungu awafariji
@abinelysemundi20732 ай бұрын
Pole sana kwa ndugu jamaa na marafiki wote.
@francismuli-c7s2 ай бұрын
Mungu wafariji na ailaze roho yake mahali peponi pole zangu kwa familia
@owenbilly16872 ай бұрын
Poleni sana tuko na nyinyi zablone sigers pole sana kutoja kenya
@shamsidaniel55822 ай бұрын
Pole kwa Familia Ndugu na Jamaa Mungu akawe Faraja
@gamgangweesechota35892 ай бұрын
Poleni sana sana wapendwa, Mwenyezi Mungu ameona mnaliweza hili jaribu atawafunga moyo mkuu litapita,pumzika kwa amani Marco
@JanetMulle2 ай бұрын
Inauma sana,lakini si wote tuko safarini.mungu angekuwa anaulizwa swali,angeulizwa sana kwanza na watoto wangu wanapenda zabron singers
@Lianah-t2z2 ай бұрын
Mungu amlaze pema peponi
@juliuswerema36552 ай бұрын
Poleni sana kwa kipindi hichi kingumu mungu awatieh nguvu
@naomkemuma22592 ай бұрын
Mungu awatie nguvu .kaa na imani kuwa there is a bright morning
@HappyMsofe-i6w2 ай бұрын
Mungu afanyike faraja kubwa kwenu🙏🏾,poleni sn ndugu
@daisyo.m39812 ай бұрын
Poleni sana wanzetu Watanzania...Toka hapa Kenya tumeguzika poleni poleni poleni
@JosphatKairuАй бұрын
Poleni sana aki mungu amueke pahari pema
@TimothyMsuko2 ай бұрын
Mungu ndiye anajua ,Naomba awafariji poleni Mungu amlaze mahali pema
@PastorIsraelIGMTZ2 ай бұрын
Poleni sana Mungu awe mfarijini wenu na awape amani yake.
@EdwardBundara2 ай бұрын
Hakika kizuri hakidumu kama ambavyo wasemavyo wahenga wetu, hatuna namna ya kusema au kufanya ,zaidi ya kumrudishia utukufu wake Mungu,pumzika Kwa Amani kipenzi Cha wengi,aAmina
@ledwinajamesmasulube78842 ай бұрын
😭😭😭😭poleni sana Yani nimeumia sana kaka Marco Mungu akupokee🙏
@PetroChibago2 ай бұрын
Poleni sana najua mpo kwenye kipindi kigumu sana ila mungu yupamoja nanyi
@JosephCharles-lk3neАй бұрын
Mungu awapiganieeerr😮😮
@MatayoMoleli2 ай бұрын
Mungu akupe pumziko lamilele mteule wa bwana
@ntirandekuraedmond87712 ай бұрын
Pole sana ndugu zeto.May God confort you
@alicemuiruri-qn1kl2 ай бұрын
Yauma kweli🇰🇪
@magangasau90602 ай бұрын
Poleni zabron. Singers kwa msiba uliowakumba. Ni huzuni sana kumpoteza.marco kwa huo umri mdogo. Mungu awafute machozi nyote. RIP Marco
@FelistarMagige2 ай бұрын
Poleni sana ndugu jamaa namarafiki pumzika kwa amani ndugu yetu
@HajiratDamian-je9ms2 ай бұрын
Apumzike kwa amani Amina
@Magdalene-er2ur2 ай бұрын
Kweli ni huzuni sanaa na upweke ndani ya mioyo,kijana mdogo kuacha family ikiwa bado wanamhitaji.mungu ingilia Kati hili
@princecharles6122 ай бұрын
Mungu awape nguvu na ujasiri yakuendeleza kazi yake
@Peres-q9n2 ай бұрын
Poleni sana zabron singers, nimejikuta machozi yakitiririka.
@Tamarrind972 ай бұрын
😢😢😢😢😢 poleni poleni sana. Mungu Mwenyewe awafariji na kuwapanguza machozi. Lala salama kaka Marco 🙏🏽
@irenejepkemboi28062 ай бұрын
Poleni sana majirani and God comfort you all.
@TheresSimewo-sw1tr2 ай бұрын
Pore. Mwihangane Mungu amwakire
@simionmomposhi17282 ай бұрын
haki inauma sana pole sana japhet na victoria machozi yenu imenikuza rip marco na nyinyi wote wa zabron singers
@LouiseLove-up8fg2 ай бұрын
Ties has fallen after listening to this song,rest in peace my dear brother...at first i thought that it was a joke 😢😢now I can see that it's true you have left us by b
@LeahCosmasNzoka-po3dr2 ай бұрын
Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu 🙏
@mercynasimiyu-ry8ctАй бұрын
Mungu anasababu ya kila jambo.jina lake liini
@wycliffmomanyi-p1iАй бұрын
Pole zabrons momanyi kenya
@JonesMwita-lb3wm2 ай бұрын
Pole yenu watumishi wa mungu Acha mungu awafute machozi rest in eternal peace Shujaa mark
@nsiamasawe45782 ай бұрын
Mungu azidi kuwapa nguvu na faraja ya kweli.
@ChristinaMagulu2 ай бұрын
Mungu wa mbinguni,hawakumbuke kwa kipindi hichii kigumu,poleni sana,😢😢
@CHRISTINADEUS-gs6lg2 ай бұрын
Mungu awe mwamba imara kwenu
@lydiahkadenyi21152 ай бұрын
Poleni Sana team zabron and the entire family
@YasintaThomas-k9kАй бұрын
Mungu atusaidie
@greenspan20112 ай бұрын
Poleni wan Zabloni singers familia jamaa na marafiki, sisi kama your fans twaendelea kuwashikilia na maombi. Amani ya bwana na iwe nanyi mkimpumzisha. Mpendwa Marco
@LydiaKarioki2 ай бұрын
Inauma sana
@eliazabron57592 ай бұрын
Daaah inauma sana lkn mungu yupo pamoja nanyi
@elizakamau16522 ай бұрын
Mungu awepe amani,pia sisi Kenya tunaumia pia especially us your fun.