No video

MAAJABU YA SHEKH MWAIPOPO ASIMULIA YALIO MKUTA SOMALIA

  Рет қаралды 141,573

SHEIKH MWAIPOPO TV

SHEIKH MWAIPOPO TV

Күн бұрын

Tafadhali Usiache KuSubscribe katika Channel hii ya KZbin ya SHEIKH MWAIPOPO TV
..
Like pamoja na kushare
kwa wengine hili wapatwe na Kheri kutoka kwa Sheikh wetu Mhadhiri Said Mwaipopo.

Пікірлер: 166
@flavianmarandu5710
@flavianmarandu5710 3 жыл бұрын
Hawaa waadhirii wetu hatuonii umuhimu wao adi waondoke dunian,Shekh mwaipopo Allah akulipe pepo yake.
@rehemameja8815
@rehemameja8815 3 жыл бұрын
Amiina
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 3 жыл бұрын
🙏Nakuomba bonyeza hapa kwanza ..👇 kzbin.info/www/bejne/r4C0qnV_g7ydiNU
@MuhidiniLebba
@MuhidiniLebba 5 ай бұрын
Allahuma amini
@JeromeAbu
@JeromeAbu Жыл бұрын
Kaji zuri cheikh wangu
@kassimibrahim4776
@kassimibrahim4776 3 жыл бұрын
Mash Allah sheigh nimekuelewa sana...Allah akujaalie umri mrefu Insha allah
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qIrKe2p_gZ6mhrM
@ashamkoleke6035
@ashamkoleke6035 2 жыл бұрын
Mashallah
@twalaataib9297
@twalaataib9297 3 жыл бұрын
Mashallah Jazakallahu khery Allah Akuzidishi Sheikh
@rashidijuma3530
@rashidijuma3530 3 жыл бұрын
MashaAllah Allah akuhifadhi
@hajinkulunge8493
@hajinkulunge8493 Жыл бұрын
Masha Allah
@mickdadybakari6052
@mickdadybakari6052 Жыл бұрын
Tabarakallah
@guhgghhg8592
@guhgghhg8592 3 жыл бұрын
Allah awalipe kheri na awakinge na kila Shari inshaallah
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
Masha Allah Allah akulipe duniani na akheira sheikh mwaipopo
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 3 жыл бұрын
Saudaa unao WhatsApp?
@user-kr1rh2ij7i
@user-kr1rh2ij7i 11 ай бұрын
Mola akuhifadhi
@alijunior0486
@alijunior0486 3 жыл бұрын
Masha Allah sheikh jazakumallah kheri
@jamalathman6219
@jamalathman6219 3 жыл бұрын
Mashallah Allah barik sheikh mwaipopo hadithi mzuri sana
@jumakhamis226
@jumakhamis226 3 жыл бұрын
Jazaka Allah khaira shekh mwaipopo
@allyabdallah4357
@allyabdallah4357 3 жыл бұрын
Mashaa allah jazakum kheri akhy
@hamilhashir4452
@hamilhashir4452 3 жыл бұрын
Jazaka Allahu Akbar
@aminayunis7545
@aminayunis7545 6 ай бұрын
MashaAllah sheikh mwaipopo nikweli yako
@abduherimusasa3056
@abduherimusasa3056 3 жыл бұрын
Ama kwa hakika shekh mwenyezi akupe maisha marefu ya juhudi katika dini
@nuswemwaipopo9558
@nuswemwaipopo9558 2 жыл бұрын
Amin
@zayanaduduna1405
@zayanaduduna1405 3 жыл бұрын
SWALALAHU ALEYHI WA SALAMA ♥️♥️♥️Maa shaa ALLAH tabaraka ALLAH. ALLAH AKUPE MWISHO MWEMA
@shabanimungazija7272
@shabanimungazija7272 Жыл бұрын
Mashalla sheh tunakupata viziri sana
@mwanaishamohamed9632
@mwanaishamohamed9632 3 жыл бұрын
Allah Atufanyie kher
@enuelabunimkali9529
@enuelabunimkali9529 3 жыл бұрын
Kazi xafi umenenena vyema be blessed
@swalehsaidabdalla3037
@swalehsaidabdalla3037 3 жыл бұрын
MashaAllah 🌹
@salehkhamis3063
@salehkhamis3063 3 жыл бұрын
Allah aendelee kukuongoza katka mambo ya kheri
@festokiraryo.6107
@festokiraryo.6107 3 жыл бұрын
Huyu ni mnafiki nina meseji zake za matusi anawtukana watu kwenye whatsup
@selemanikisewa5861
@selemanikisewa5861 3 жыл бұрын
Allah akulipe kher
@husseinkhalfan9467
@husseinkhalfan9467 3 жыл бұрын
لا إلٰه إلا الله محمد رسول الله
@neemahamza1116
@neemahamza1116 Жыл бұрын
@masoudabasi8732
@masoudabasi8732 3 жыл бұрын
Sheikhe mungu atakulipa inshaallah
@zuwenaalr1081
@zuwenaalr1081 3 жыл бұрын
masha Allah barak Allah
@allyjuma6132
@allyjuma6132 3 жыл бұрын
Allaah akulipe ujira mwema shehk mwaipopo
@zulekhasaid8495
@zulekhasaid8495 3 жыл бұрын
MashaAllah
@manasemwakilasa5931
@manasemwakilasa5931 3 жыл бұрын
Mungu atakilipa shekh mwaisa
@adibbachtiar2980
@adibbachtiar2980 2 жыл бұрын
Alhamdulillah
@amoschacha2885
@amoschacha2885 3 жыл бұрын
Manshallah
@sakiambaruku3440
@sakiambaruku3440 3 жыл бұрын
Lailahailalaha Muhammad rasulilaha
@dicksnlema2685
@dicksnlema2685 3 жыл бұрын
Pole snaaaa
@jamardinmkwaya1262
@jamardinmkwaya1262 3 жыл бұрын
Shekh mwaipopo yupo sawa
@rahimwaziri1087
@rahimwaziri1087 3 жыл бұрын
Maashaallah, Nawazoom tu comments zenu wakristo mnavomchukia Sheikhe wetu amesoma Biblia pia Qur'an tukufu na amejua ukweli ulipo sijui ninyi mnaembeza hyo mwamba ambaye amesoma hadi marekani biblia zenu mnamzidi kipi?
@nuswemwaipopo9558
@nuswemwaipopo9558 2 жыл бұрын
Kabisa
@gastokonzo9798
@gastokonzo9798 3 жыл бұрын
Pole Sana shehe umepotea
@aliabdiabdi4067
@aliabdiabdi4067 3 жыл бұрын
Wengi walisema hvo hta usema nni baado tuneandelea kukuelezea Uislamu ndugu yangu karibu Uislamu
@suhel5209
@suhel5209 3 жыл бұрын
Nasaha mashehe zetu na waislamu kwa jumla, tafadhalini musiweke smartphones kwa kifua, zina madhara sana.
@tibakisunnahnaasili6250
@tibakisunnahnaasili6250 3 жыл бұрын
Shukraan saana Akhy
@malongoisack5811
@malongoisack5811 3 жыл бұрын
Mbona umekatisha stori nzuri
@bonifaceirungu5594
@bonifaceirungu5594 3 жыл бұрын
Amekatiza story kwa kuwa amegundua Kuna watu wanaoju uongo na ukweli na yeye ni muongo
@saidahmed9688
@saidahmed9688 Жыл бұрын
mawaidha mazuri
@angelomalimi8341
@angelomalimi8341 Жыл бұрын
Manafiki ya njaa hayo
@barnabasmajige8473
@barnabasmajige8473 3 жыл бұрын
Hauna jipya tupe andiko la kuwa Mtume muhamandi amechanguliwa na Mungu kuwa Mtume ili na mm niwe mwisilamu lakini ujue maana ya kuchanguliwa sio kuwapumbaza hao wasio soma maandiko zaid ya kupenda habari za Mungu na huku hawajuwi kitu zaid ya ubishi wa Yesu et sio Mungu
@abdulhaleemsalim1059
@abdulhaleemsalim1059 3 жыл бұрын
Maskini tafuta bibilia ya ukweli yesu utamsikia Alistair bada yake yy yesu anae kuja ni mtume mohammad ngojea siku ya kiyama ndio utajua
@tibakisunnahnaasili6250
@tibakisunnahnaasili6250 3 жыл бұрын
Uko Serious au wabwabwaja
@abdulhaleemsalim1059
@abdulhaleemsalim1059 3 жыл бұрын
Yesu sio mungu ww yesu ni nabi tu ulisikia lini yesu awe mungu wakati yesu yuwaingia choni kama ww kama huna ilimu jaribu kua na akili ya kuzaliwa yesu ni nabii tu kama Ibrahim ni kama musa A S
@barnabasmajige8473
@barnabasmajige8473 3 жыл бұрын
ilikujua kuwa Yesu ni Mungu Soma Ufunuo wa Yohana 22.13-16.ili ujue kuwa ni nani mwenye uwezo wa kuwatuma malaika tofauti na Mungu pia ni nani mwenye uwezo wa kuwa alfa na omega km sio Mungu yaani Yesu kristo pekee yake.
@barnabasmajige8473
@barnabasmajige8473 3 жыл бұрын
Asilimia 90 ya makundi ya kigaidi duniani ni wisilamu ndio maana dini yenu haina kichawa wala miguu et Muhammad ni Mtume amakweli Hosea 4.6.linawahusu ndg zng wapendwa ktk Yesu kristo .
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 3 жыл бұрын
Wasema kweli Shekh. Isipokua hapo kutaja kabila la warabu umekosea. Hamna andiko dini ni ya warabu Wala kusema ni jukumu la warabu. Naona hapo utaleta FITNA
@yasalaam590
@yasalaam590 3 жыл бұрын
Su hanallah
@josephkivuyo5712
@josephkivuyo5712 3 жыл бұрын
Yesu yeye ndiyo Kristo.
@hamzafishten4276
@hamzafishten4276 3 жыл бұрын
Mana ya kristo nini hujuwi hatamana ya kristo unafata kumbo tu
@festokiraryo.6107
@festokiraryo.6107 3 жыл бұрын
We mnafiki tuna meseji zako za matusi kuwatukana watu kule whatup
@hassanwanje7373
@hassanwanje7373 3 жыл бұрын
Allah aliwapeleka darul Islam mkakimbia , Allah ndo ajua hekma yake
@abubakarabdilah9044
@abubakarabdilah9044 3 жыл бұрын
Umesema kweli kabisaa
@saidpoto821
@saidpoto821 3 жыл бұрын
Natamani nami Allah anipeleke niwe miongoni mwao
@hassanwanje7373
@hassanwanje7373 3 жыл бұрын
@@saidpoto821 wallah bro umeomba jambo zuri sna Allah akujalie kila LA kher njia kma hizo cc twaztaman nchi pekeake dunian ambayo haina msalaba, kisha mwaipopo anaongea ujinga??
@tibakisunnahnaasili6250
@tibakisunnahnaasili6250 3 жыл бұрын
@@hassanwanje7373 lkn hajaponda kasema Hali Halisi ndio maana kasema Kiongozi/Amiyr yule alikuwaa muadilifu
@mariamumohamedi1486
@mariamumohamedi1486 3 жыл бұрын
Hatamkachukia ukweri ndouwo badilikeni makafiri nyinyi
@anwarabdi4955
@anwarabdi4955 3 жыл бұрын
Video ya pili tunaonmba tafadhali
@bonifaceirungu5594
@bonifaceirungu5594 3 жыл бұрын
Usijali video ya pili utapata tu kwani jamaa bado anatunga maneno atakayotumia kuwaeleza ili msielewe urongo na ukweli alionao
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 3 жыл бұрын
@@bonifaceirungu5594 leta ushahidi ya kwamba anaongea uwongo.kafiri mkubwa weye!
@bonifaceirungu5594
@bonifaceirungu5594 3 жыл бұрын
@@jamilaomari2444 kafiri ni wewe usiyetafakari maneno ya uongo, kwanini haujiulizi mbona hakumaliza story
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 3 жыл бұрын
@@bonifaceirungu5594 kati yangu na wewe anayemuita yesu mwana wa mungu au yesu Mungu nani? Kafiri weye,,nenda ukasome toka hapa!
@issackashery6422
@issackashery6422 2 жыл бұрын
Kitabu cha watu ulichoiba uwaambie hao wenye kutekwa na ujinga wako wa uwongo Mwiziiiiiiiiiii jmn
@charlesmyamba8531
@charlesmyamba8531 3 жыл бұрын
mungu akusamehe hujuh ulisemalo
@kudrawanguvu5923
@kudrawanguvu5923 3 жыл бұрын
Husiojitambua ni ww hujielewi wala huna elim ya hiyo dini yako kumzidi huyu mzungumzaji
@salehkhamis3063
@salehkhamis3063 3 жыл бұрын
Jaman hivi huyu sheikh yupo sijamuona kipindi
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 3 жыл бұрын
Dini ni jukumu la kila aliechukua shahada. Usitaje kua ni jukumu la warabu. Himiza watu wamtambue Mungu kwanza Shekh. Tawheed. Ndio hapo watatoa sadaka kwa urahisi. Imani kwanza. Na iman ipatikane lazma watoke Tableegh. Je Shekh mwaipopo umewahi kutoka siku ARUBAINI ajili ya kusahihisha nafsi yako?? Tafadhali toka 40 days Tabligh
@alfredmbati8508
@alfredmbati8508 3 жыл бұрын
anazingua ye ahubir watu wamjue mungu xio kukosoa alivyoweka mungu
@AliAli-kh7km
@AliAli-kh7km 3 жыл бұрын
Unazingua wewe .usife mkiristo wewe ukiristo si dini sahihi
@stevensteve7519
@stevensteve7519 3 жыл бұрын
@@AliAli-kh7km isiyokua imani yako usiihukumu mana huna mamlaka hayo ispokua Mungu pekee. Kumbuka tu kabla ya kuja uislam 570 AD KRISTO alishakua na waumini duniani kote. Nakwataarifa yako neno mkristo linabeba maana ya mtu anayemwamini Kristo yaani huyo aliyepakwa mafuta yaani YESU. kwalugha nyepesi mfuasi wa YESU. BWANA YESU alipokuja duniani kama mwadamu kwanjia ya muujiza wala hakuja kuanzisha dini, aliwakuta wanadamu na dini zao na miungu Yao chungu nzima, yeye aliwafundisha wanadamu wa wakati huo nasisi tuliopo sasa habari za wokovu na uzima wa milele. Anatufundisha hata sasa Yale yampasayo mwanadamu kuishi maisha gani ili aweze kuyashinda makwazo ya shetani ili mwishoni afike kwenye uzima wa milele. Akatuambia na silaha sahihi pekee tunazopaswa kuzitumia katika kupambana na mwovu shetani na kumshinda. Kwahiyo YESU nimasihi aliyekuja kwaajili ya wanadamu wote wa dini zoote nawe wajua ya kuwa alipaa kwenda mbinguni na atarudi Tena Kwa utukufu kuja kuwahukumu wanadamu wooote. Je Si Jambo jema kumheshimu yeye atakayeuhukumu ulimwengu wote? Je ikiwa Mungu ndiye atatoa hukumu na wakati huo huo wote tunakiri ya kwamba YESU au Isa bin Mariam atarudi Tena kuja kuhukumu bado tu hatuwezi kutambua maana ya fumbo hilo? Alikua yeye mwenyewe Mungu katika Sura ya mwanadamu kama ilivyokuwa imempendeza nahao wamwaminio na kumfuata ndiyo amewapa neema ya kufanyika Wana. Wewe usemaye Kristo siyo dini angalia kama tafsiri yako inalingana na ufafanuzi huu. Pale zamani hadithi zinasema mtume Muhamadi aliwaambia maswahaba wake kwamba Hao Manaswala au watu wa kitabu Si makafiri kwakuwa wanamwabudu MUNGU wa kweli, nahao manaswara ndiyo waliomfuata YESU KRISTO. Je wewe ndugu wawezaje leo kugeuza yaliyonenwa na mtume wenu? Jaribu kutafakari upyaa.
@macrinajoseph1422
@macrinajoseph1422 3 жыл бұрын
Yohana. 14:. 6. Nanukuu maneno ya yayesu. Mimi ndimi njia ya uzima na kweli mtu hawezi kwenda kwa bb Ila kwa njia ya Mimi maneno haya ameyasema yesu usikubali kudanganywa mwamini yeu use salama
@costantinestephen2594
@costantinestephen2594 3 жыл бұрын
MUNGU akusamehe bure.Maana hujui maandiko wala uweza Wa Mungu, ila Unayo nafasi ya kumpokea Yesu.
@kudrawanguvu5923
@kudrawanguvu5923 3 жыл бұрын
M/Mungu akuongoze akili za kuambiwa changanya na zakwako navyokuona ww humzidi muongeaji elim ya dini yako ya kumshirikisha M/Mungu. yusu ni nabii na c mtoto wa Mungu
@wm9669
@wm9669 3 жыл бұрын
Sio wasomali wote wanabeba bunduki. Sijui ni wapi ulipita.
@issackashery6422
@issackashery6422 2 жыл бұрын
Mwiziiiiiiiiii hahaaaaaaaaaaa
@hamilhashir4452
@hamilhashir4452 3 жыл бұрын
Hivi mapadri na maaskofu huwa wanaijua Qurani vzr sn ila tu
@aliibren9524
@aliibren9524 3 жыл бұрын
Kweli huyu amebahatika
@hadijanassor7003
@hadijanassor7003 3 жыл бұрын
WAISLAM AMKENI ACHENI KUPUMBAZWA NA MASHEKH WA SIMBA HAO NA YANGA.! WAAMBIENI WAISLAMU WATAKE QUR AN YAO.! HAO NDIO WAISLAM WAKWELI NA HAO NDIO WAUMINI AL SHABAB.!
@hassanwanje7373
@hassanwanje7373 3 жыл бұрын
Lakn twaelewa tz dini IPO lkn hamna harakat kabisa
@mariamumohamedi1486
@mariamumohamedi1486 3 жыл бұрын
Kesho kwamungu motoni
@alliyoigaly3646
@alliyoigaly3646 3 жыл бұрын
Part 2 yake twaomba
@inaarabnoor173
@inaarabnoor173 3 жыл бұрын
2iru4irik3eoeldik5utkrfkrk
@sarinkestephen5455
@sarinkestephen5455 6 ай бұрын
Mpumbavu HUYU
@doctorpheisaltv6266
@doctorpheisaltv6266 3 жыл бұрын
Jitibu ugonjwa wa ngiri busha kwa mti huu bofya apa 👉
@bidafumbuka855
@bidafumbuka855 3 жыл бұрын
Uongo hii sio Dini ya kweli Dini ya kweli ni Kristo tu
@Zainab_salat
@Zainab_salat 3 жыл бұрын
Muogo
@kassimhaidary5827
@kassimhaidary5827 3 жыл бұрын
Muongo nani sasa
@Zainab_salat
@Zainab_salat 3 жыл бұрын
@@kassimhaidary5827 about somalia
@sudaissoud3670
@sudaissoud3670 3 жыл бұрын
Stori mnazikatisha
@hassanwanje7373
@hassanwanje7373 3 жыл бұрын
Wee Shekh ungeangaliwa kuac utasemaje wamechanganyikiwa? Unakaakili kwel ww,ulikua unataka wabebe vijiko?
@abubakarabdilah9044
@abubakarabdilah9044 3 жыл бұрын
Hajui kua hata mtume na maswahaba walikua wakibeba silaha sema zme tofautiana zama hizi. zama zetu ni bunduk zao ilikua panga
@bonifaceirungu5594
@bonifaceirungu5594 3 жыл бұрын
Mbona husemi ulikuwa wazunguka Somalia ukifanya nini kwa sababu Somalia hakufanwi mihathara ,ulikuwa ukitumia lugha gani huko, Kwani lugha inayotumiwa Somalia ni kisomali,
@aishajuma7739
@aishajuma7739 3 жыл бұрын
Kiarabu hata mzungu kama ni muisilamu anajuwa kwa sababu kuruani imeandikwa kwa kiarabu
@khalidkhamis8626
@khalidkhamis8626 3 жыл бұрын
kiswahili lugha pana wew...wa wapi wewe
@J4UPro
@J4UPro 3 жыл бұрын
Ulishafika somalia ukaambiwa hawasikii kiswahili?
@mwakakhamis9823
@mwakakhamis9823 3 жыл бұрын
Kiswahili pia wanazungumza
@abdirashidabass2928
@abdirashidabass2928 3 жыл бұрын
Somalia ni kisomali tu hamna kiswahili, Na huyu sheeikh aache kupaka matope nchi nzima Somalia, Maana sio somalia yote iko vita na mabundiki
@hadijanassor7003
@hadijanassor7003 3 жыл бұрын
MWAIPOPO KWANZA SIKWITI SHEKH WEWE NI MSHIRIKINA NA MTUMWA WA MAKAFIRI.! HUNA LOLOTE BWANA. WAKUFURISHE KWANZA HAO VIONGOZI WAKO. NYINYI NDIO MUNOIHARIBU DAWA. NANYINYI NDIO MUNASABABISHA MAKAFIRI WAWE NAMAZINGIRA MAZURI YA KUWATAWALA WAISLAM..!
@abuuayoubayoub9260
@abuuayoubayoub9260 2 жыл бұрын
Taratibu mama
@oscarngowi4750
@oscarngowi4750 3 жыл бұрын
Umepotea wewe hujitambui
@daudigabriel73
@daudigabriel73 3 жыл бұрын
Wewe ni mjanja kweli anaekusikiliza kama Hana maarifa hawez kukuelewa.
@salamakhamis8092
@salamakhamis8092 3 жыл бұрын
Kulikoni? Naona uekatisha
@abbasshaaban2746
@abbasshaaban2746 3 жыл бұрын
Nasheed za Ibrahim Khan mwezi mwema Ramadhani
@makariospeter9447
@makariospeter9447 3 жыл бұрын
Yaani uache dhahabu uchague jiwe. Rudi kwa Yesu.
@hassanwanje7373
@hassanwanje7373 3 жыл бұрын
Afadhal akarudi kwa yesu kwa kitendo alivmchokifnya nmejua nimpuuz huyu Shekh , Allah akupeleke nchi takatifu kisha ww ukimbie unakimbia pepo ambapo sie wenzie tunaitaman nafac kma hizo
@mwakakhamis9823
@mwakakhamis9823 3 жыл бұрын
Macho yako yana ung'eng'ezi ataukiekewa denda na mate huwezi kutofautisha
@hamzafishten4276
@hamzafishten4276 3 жыл бұрын
Sasa yesu kaingiya muskitini wewe unaongiya wapi
@asaduzamanalmaxmud7671
@asaduzamanalmaxmud7671 3 жыл бұрын
Sasa urudi darasani
@hassanwanje7373
@hassanwanje7373 3 жыл бұрын
Huyu Shekh n kma analipwa na serikal sai ww uende sehem takayifu namna ile ambayo n nchi pekee dunia ambayo haina msalaba kisha yy anaongea ujinga ujinga tu
@aliibren9524
@aliibren9524 3 жыл бұрын
Waislamu hawalipi watu kwa kuingia uislamu,dini si biashara kama makanisa,uko na options ya kuingia ama kuikataa sababu hii dini si mtu yeyote,ni ya Mwenyzi mungu,
@khalfanifarisy7398
@khalfanifarisy7398 3 жыл бұрын
Tumia aya za Qur,an kwa kiarabu. Au husomi Dini.
@adamhashim3352
@adamhashim3352 3 жыл бұрын
Kwani hapa ni urabuni
@allyally7248
@allyally7248 3 жыл бұрын
Kuna makafir wengine wanawatumia ninyi kupotosha umma hivo hatukushangai alafu kuwa makin
@adamhashim3352
@adamhashim3352 3 жыл бұрын
Km aya kasoma kwa kiswahili we chukua quran usome kiarabu hamna tatizo
@mramsayo1025
@mramsayo1025 3 жыл бұрын
Mpuuzi ww khalfan, unaongea ushuzi tu
@allyally7248
@allyally7248 3 жыл бұрын
Em kuwa muelewa nikukumbushe tena kuwa makin ,hii din sio ya ukoo wenu ongea vit vyenye kuleta tija kwenye uwisilam ,.kuwa makin
@davidjanta2799
@davidjanta2799 3 жыл бұрын
Shetani ni baba wa uongo bila shaka wewe ni uzao wa nyoka kichwa chako kimejaa mashetani ya kila sampuli huwezi kumjuwa MUNGU wala mwana wa MUNGU, hujitambuwi kama wewe nimateka wa shetani
@PrinceCharlz-pu9ps
@PrinceCharlz-pu9ps 9 ай бұрын
Hajawah kuw mkristo kabisa huwez kuw mkristo alafu utoke kwa Yesu uende kwa Muhammad dini inayokubali majini ni ndugu zao
@balyyusuf7394
@balyyusuf7394 3 жыл бұрын
Mashallah
@ukweliwauislamu9590
@ukweliwauislamu9590 2 жыл бұрын
Masha Allah
@abdillahhussein3020
@abdillahhussein3020 3 жыл бұрын
MashaAllah
@hamilhashir4452
@hamilhashir4452 3 жыл бұрын
Hivi mapadri na maaskofu huwa wanaijua Qurani vzr sn ila tu
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 3 жыл бұрын
MashaAllah
@suhel5209
@suhel5209 3 жыл бұрын
MashaAllah
@ajumaakange1483
@ajumaakange1483 3 жыл бұрын
Masha Allah
@adellsefu2485
@adellsefu2485 3 жыл бұрын
Masha Allah
@ibrahwamiraj836
@ibrahwamiraj836 3 жыл бұрын
Masha Allah
@alijuma7391
@alijuma7391 3 жыл бұрын
Masha Allah
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 14 МЛН
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 15 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 28 МЛН
SHEIKH MWAIPOPO AFICHUA SIRI YA WACHUNGAJI NA MAFUTA YA UPAKO
19:09
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 5 М.
FATWA | MJAMZITO AMEFARIKI, JE ANAZIKWA NA MTOTO WAKE? | SHK. MOHAMMED AL-BUSAIDY
7:41
Masjid Al-Tawba Makorora Tanga
Рет қаралды 12 М.
WAISLAMU WALIZWA  MSIKITINI
28:59
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 105 М.
SHEIKH MWAIPOPO AWATIKISA WAISLAM MSASANI
41:28
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 8 М.
MCHUNGAJI ASHINDWA KUMJIBU SHEIKH MWAIPOPO TANGA
41:25
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 22 М.
2 SAID MWAIPOPO    KWANINI NILIACHA UKRISTO 2/4
1:00:34
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 677 М.