No video

HUZUNI YATANDA MSIKITINI KILICHOMKUTA SHEIKH MWAIPOPO KATIKA KUTANGAZA DINI UTATOKA MACHOZI..

  Рет қаралды 686,149

SHEIKH MWAIPOPO TV

SHEIKH MWAIPOPO TV

Күн бұрын

Tafadhali Usiache KuSubscribe katika Channel hii ya KZbin ya SHEIKH MWAIPOPO TV
..
Like pamoja na kushare
kwa wengine hili wapatwe na Kheri kutoka kwa Sheikh wetu Mhadhiri Said Mwaipopo.
...............
من فضلك لا تتوقف عن الاشتراك في قناة الشيخ موايبوبو التلفزيونية على يوتيوب
..
مثل مع المشاركة
للآخرين ليتم استدعاؤهم من قبل خيري من الشيخ المحاضر سعيد موايبوبو.

Пікірлер: 485
@luswetichetekeilusweti2879
@luswetichetekeilusweti2879 2 жыл бұрын
Audhubilahi minasheitani rajim...Shari zote na zikuepuke sheikh Wetu...mawaidha yako yalifanya nisilimu...Jazakaala khaira.. Inshallah Mola akufanyia njiwa yako iwe nyepesi Katika kazi ya Allah (S.W).. Alhamdulillah ni mwangazani sasa
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 3 жыл бұрын
Sheikh yaani wewe ndo mwenyezi Mungu amekuchagua katika ushuhuda kuanzia uliposilimu mara tu alipokupa ulaini wa moyo kwa kuijua kweli! Nakuombea heri sheikh wetu!
@noblechild5652
@noblechild5652 3 жыл бұрын
😭😭😭Pole sana shayk. Allah akuhepushe na kila mabalaa. Utalipwa kila la kheri hapa dunian na Akhera inshaAllah 🙏
@fatumahamisi7064
@fatumahamisi7064 3 жыл бұрын
Pole sana Allah awe nasi daiman ktk kheri sh. Fanya kazi yallah na allah atakulinda abadani
@omarijawadu4047
@omarijawadu4047 3 жыл бұрын
Allah akulipe kher shukran saan
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 жыл бұрын
Ishalla Mungu atakulipa frdaus shehe wetu pole kwayote Mungu yupo na nyny mkono Kwa mkono had pepon ishalla
@maryamal-busayd416
@maryamal-busayd416 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah. Allah akuzidishie shekhe
@enuelabunimkali9529
@enuelabunimkali9529 3 жыл бұрын
Neema ya mungu iwe juu yako Mtumishi!!!
@rukiauledi8179
@rukiauledi8179 3 жыл бұрын
Mashaallah Mwenyezi mungu akuhifadhi duniani na akhera
@mwanakombaabbas93
@mwanakombaabbas93 3 жыл бұрын
Ma shaa ALLAH Ma shaa ALLAH Ma shaa ALLAH Wallahi shekh mwaipopo ALLAH akupe umri mrefu na tuzidi kuongoka
@shamsaal-kindy4762
@shamsaal-kindy4762 3 жыл бұрын
Barakallahufik shekhe wetu Allah akupe umri mrefu wenye kheri na wewe pamoja na waislam Amin yaa Rabil'Alamina
@josephatmgeka8678
@josephatmgeka8678 3 жыл бұрын
Amini ww kuwa yesu sio Mungu na dini kiristo sio dini ya Mungu Ila ni kwa Imani yk.. Tumsifu yesu kiristo milele amina
@raiyaaaraiyaa6054
@raiyaaaraiyaa6054 3 жыл бұрын
Pole Sana sheikh kwa yalio kupata. Allah atakulipa IshaaAllah
@abdulshakur8425
@abdulshakur8425 3 жыл бұрын
Amiin
@wardakanyinyi1325
@wardakanyinyi1325 3 жыл бұрын
Pole shekhe Allah ndiye muweza kwakweli
@ayushiashanty9818
@ayushiashanty9818 3 жыл бұрын
Pole sana shekhe Allah atakulipa kheri
@qhatramohamed7006
@qhatramohamed7006 3 жыл бұрын
Mashaa-Allah ALLAH azidi kukuhifadhi sheikh mwaipopo (Nairobi kenya)
@kizamaulidi6004
@kizamaulidi6004 3 жыл бұрын
Mashaallah allah akuzidishie kheri katika maisha yako amiin
@NASMEDIATV
@NASMEDIATV 3 жыл бұрын
Masha Allah shehe mwaipopo, mungu akueke
@yusufumaganga6128
@yusufumaganga6128 Жыл бұрын
Nimepata faraja na furaha sheikh Allah aendele kukuhifadzi napepo iwe makiziyalo pamoja na mimi. Allah amin.
@zulfaabdala7370
@zulfaabdala7370 3 жыл бұрын
Mungu akulinde zaidi inshallah
@kudramzee4638
@kudramzee4638 3 жыл бұрын
Subhanallah MWENYEZI MUNGU atunusuru
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 3 жыл бұрын
Allah akulipe kilaa la kheir,, Allah akujalie kwa dunia na akhera yako
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 3 жыл бұрын
Atujalie mema kwa dunia yako na Akhera yako
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko 3 жыл бұрын
Pole san ust mwaipopo kwa yailyo kukuta 😭😭😭😭
@samsungj7pro64gb5
@samsungj7pro64gb5 3 жыл бұрын
Pole sana Allah akulipe kheri
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 3 жыл бұрын
inshallah mwenyezi Mungu azidi kukupa subra! pole kwa mitihani iliyokukuta shekhe wangu.
@barkemohamed4198
@barkemohamed4198 3 жыл бұрын
Allah atakulipa kheri from mombasa
@tanjaniyoman3160
@tanjaniyoman3160 3 жыл бұрын
Subhnllh...Allaah atunusuru na hayo..polesn
@najmashaame1030
@najmashaame1030 3 жыл бұрын
Waullah nimelia kwa imani allah ni mwema takibiiiir
@mamymamy7938
@mamymamy7938 3 жыл бұрын
Allah akbar
@hamisimohamedhamisi3241
@hamisimohamedhamisi3241 3 жыл бұрын
🤲🤲😭😭
@hamisimohamedhamisi3241
@hamisimohamedhamisi3241 3 жыл бұрын
😭😭😭pole baba pole san jaman nalia san
@rashidissaabdulla6627
@rashidissaabdulla6627 3 жыл бұрын
Allah akuhfadhi na mabalaa
@nagmajoseph2675
@nagmajoseph2675 3 жыл бұрын
Nasma polesana shehe mwenywnzi mungu akurinde akuhepoahe nahayo mazwahama
@shamilamuhamedi7904
@shamilamuhamedi7904 2 жыл бұрын
Mwaipopo mwenyezi mungu akupe maisha marefu
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 3 жыл бұрын
Taqbeer mashaallah allah walipe inshallah
@ghaniyashaban9845
@ghaniyashaban9845 3 жыл бұрын
Allah atakuhifadhi in shallah sheikh kwa sababu una tangaza neno la Allah subhana llaha
@michaelmunene738
@michaelmunene738 3 жыл бұрын
Huo niuongo mtupu anasimulia mwaipopopo Somali wanawasumbua wakristo tu na siyo waislamu wacha uongo
@yasruhumile2438
@yasruhumile2438 2 жыл бұрын
Mwaipopo we ni jasili San inshallah mungu akujalie
@bonefasmallya1480
@bonefasmallya1480 3 жыл бұрын
Ma shaa Allah Masha Allah Allah akup umri mrefu shekh wetu
@ln3147
@ln3147 3 жыл бұрын
Umewadanganya hao waumini wako hakuna Mkristo anahangaika na mtu at kasema Yesu si Mungu anajitetea mwenyewe na km walikuumiza kwajili ya Hilo walukuinea au wewe ni Muongo ZAIDI ya YOTE YESU NI MUNGU UFAHAMU WAKO HAUELEWI
@rahakesho5550
@rahakesho5550 3 жыл бұрын
Subuhnallah m mungu atakupa ujira mwema na atakuandalia mahala pema peponi kwa kazi kubwa uliyoifanya na unayoendelea kuyafanya . Mnapata shida kubwa sana katika kuwaelimisha watu.
@arafakiloli749
@arafakiloli749 3 жыл бұрын
Masha Allah Allah akuhifadhi
@musamusamm6418
@musamusamm6418 3 жыл бұрын
ما شا اللہ الحمد للہ علی نعمة الا سلا م
@abeidneggopipoo2405
@abeidneggopipoo2405 3 жыл бұрын
Anaetetea dini ya ALLAH YUKO PAMOJA NAE MASHALLAH MUNGU AKULIPE KHERI
@mamiewana7224
@mamiewana7224 3 жыл бұрын
Allah akujaalie mwisho mwema
@khalidkiwelu7583
@khalidkiwelu7583 3 жыл бұрын
NAMUOMBA ((ALLAH)) AKIZIDISHIE KHER SHEIKH WETU
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 3 жыл бұрын
Manshallah,manshallah 😥😥😥😥😥😥pole sana sheikh wetu.
@jumakhamis226
@jumakhamis226 3 жыл бұрын
Jazaka Allah khaira shekh
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 2 жыл бұрын
Yesu alisema :msifurahi kwa kuwa mapepo yanawatii bali furahini kwa kuwa majina yenu yameandikwa mbinguni". Sio mnapata.wafuasi ama mapepo kuwatii. "Yasemeni / hubirini maneno ya Mwenyezi Mungu yenye kuleta amani, upendo na kheri duniani na ahera". Mbarikiwe
@gracemwaipopo3209
@gracemwaipopo3209 2 жыл бұрын
Ndagha Mwaipopo Kaka gwangu
@makamechapa5166
@makamechapa5166 3 жыл бұрын
Mungu akulinde na msimamo wako
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 3 жыл бұрын
Mashallah ishallah seheh wetu mungu atakulinda kwayote yLiyokufik ia llahyuko pamoja na wewe
@user-jk5ir4ke3z
@user-jk5ir4ke3z 3 жыл бұрын
Alwahu akibaru😭😭😭
@hamismwita623
@hamismwita623 3 жыл бұрын
Wbc
@mwananzengo6682
@mwananzengo6682 3 жыл бұрын
Mbona mnateseka na makafiri na yesu wao kwani msifanye yenu na makafiri muwaache warende motoni?
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah Allah akuzidishie🤗🤗🇪🇭🇪🇭
@zainabzainab9724
@zainabzainab9724 3 жыл бұрын
Subuanallah. Pole sheikh mwaipopo.malipo kwao kwa allah.
@ayishaayisha8053
@ayishaayisha8053 3 жыл бұрын
Pole sana allah akusimamia paka mwisho wako.
@user-ue4os3os7d
@user-ue4os3os7d Жыл бұрын
allah akujalie maisha marefu shekhe,,,,,,,
@machinjashabani5331
@machinjashabani5331 3 жыл бұрын
ALLAH akuzidishie kila jema
@Salma-kf6xd
@Salma-kf6xd Ай бұрын
Allah akusaidie😢
@boraimanijumamahenge7554
@boraimanijumamahenge7554 2 жыл бұрын
Sheikh Mwaipopo.. Nakupenda sana kwa ajili ya Allah
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz 2 жыл бұрын
Makhawarij hao, pole Sana Kaka
@bellbell9294
@bellbell9294 3 жыл бұрын
Allah akulipe kher sheikh wetu
@petrochengula9480
@petrochengula9480 Жыл бұрын
Stori nzuri hii
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 3 жыл бұрын
Upuuzi mtupu kumbe hadi akimu naye anasupport . Mungu akuoneshe njia maana ulishapotea
@zubedatatu7852
@zubedatatu7852 3 жыл бұрын
Subhanallah... Shukran Jazaqallah kher Sheikh
@saidemuamedeali2678
@saidemuamedeali2678 Жыл бұрын
Mashallah
@mename6020
@mename6020 3 жыл бұрын
Mwaipowe Mwaipopo Alhabiby... Allah a kuhifadhi na akulipe malipo mema...
@sakinat2527
@sakinat2527 3 жыл бұрын
Amiin
@tausshasani2064
@tausshasani2064 3 жыл бұрын
Amiin
@aliabeid3802
@aliabeid3802 3 жыл бұрын
Mashallah Allah wabaarik
@zainabomar9139
@zainabomar9139 3 жыл бұрын
Allah azidi kukuhifadh na akuepushie namabalaa
@kaburashindika5617
@kaburashindika5617 3 жыл бұрын
Mashalaah allah akulipe mema khakiyamungu nimelia hadithi yakuhuzunisha nayenye mafundisho
@rehemamwakinyaka3167
@rehemamwakinyaka3167 3 жыл бұрын
Ashukulliwe Mungu Alie juu aliekuokoa ameni
@hamzafishten4276
@hamzafishten4276 3 жыл бұрын
Tabkir Allah akulipe kwakweli
@jamalabdul6113
@jamalabdul6113 3 жыл бұрын
Pole sheikh, ndio wanayopitia wenye imani hayo.
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 жыл бұрын
Amani iwe nawe daima🤲 Allah aliyekuwezesha majaribu hayo anakupenda kuliko unavyojijua
@sikudhanichikambo4244
@sikudhanichikambo4244 3 жыл бұрын
Mungu akujaalie umri mrefu
@katerelomkuyati6764
@katerelomkuyati6764 2 жыл бұрын
ALLAH AKBAR MUNGU AKUJAALIE MWISHO MWEMA
@hassanmsipi4094
@hassanmsipi4094 3 жыл бұрын
Subhaanallah pole sana Shekh wetu 08:37 -09:04 pamenihuzunisha Sana
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 3 жыл бұрын
ALLAH AKULINDE SHEIKH WANGU MWAIPOPO.
@saniaseleman2514
@saniaseleman2514 2 жыл бұрын
Allah akbar
@kihweleibra8568
@kihweleibra8568 3 жыл бұрын
mashallah....Allah akujalie afya njema
@rashidismail3006
@rashidismail3006 3 жыл бұрын
Allah akuzidizishie Zulu na baya
@asmamwatandara4109
@asmamwatandara4109 3 жыл бұрын
Allah azidi kukutilia wepesi kwa kila jambo
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
subhanallah subhanallah mtihan wallah
@zeanamohamed4072
@zeanamohamed4072 3 жыл бұрын
Subukhanallah mungu kupe kila lakheri
@munaahfarina2934
@munaahfarina2934 3 жыл бұрын
Takbir Allahuakbar ☝️ Allahuakbar lailahailallah Mohammad rasullullah
@princeeddiekingsley8719
@princeeddiekingsley8719 3 жыл бұрын
Pole jameni nimekuonea huruma mno hata japo mi si mwislamu .Mola akuneemeshe uishi miaka mingi uhubiri injili yake watu wamfahamu mwenyezi mungu wamwabudu yeye tu
@eliabuedward8755
@eliabuedward8755 3 жыл бұрын
Haswaaaa, tunahaja ya kuhubiri kweli ya Mungu Si vinginevyo. Note:DINI NI MAHALI PANAPOMWONGOZA MTU KUISHI KUTII, KUNYENYEKEA, KUPENDA NA KUAMINI. si mahali pa uchonganishi au uchochezi.
@shoottv4543
@shoottv4543 3 жыл бұрын
Pole sana Allah akuliepe
@waheedaw1953
@waheedaw1953 Жыл бұрын
ALLAHU AKBAR
@dralhajijbmatatala4580
@dralhajijbmatatala4580 3 жыл бұрын
Allah'Akibar 🤲🏿😭
@kaismohamed7856
@kaismohamed7856 2 жыл бұрын
Allah akulipi kher
@kassimibrahim4776
@kassimibrahim4776 3 жыл бұрын
Sheigh Mwaipopo, kuanzia leo nimebahatika kuona clip yako ya kwanza, natafuta na zingine zote na nitakuwa msikilizaji mzuri wa clip zako zijazo
@missmrs829
@missmrs829 3 жыл бұрын
Hawanaga hata point yaan niuchochez tu ndio maisha yao yaan badara kubadilisha maisha ya watu waache dhambi wao ni uchochezi
@user-bf1ps5cb4b
@user-bf1ps5cb4b 9 ай бұрын
Wala hatumshangai tunamuona snaitikadi kali ww unaweza badala yakusemea mashallah
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 2 жыл бұрын
"Ukizungumza ukweli maneno ya Mungu usiwe na shaka Mungu atakusimamia tu"
@ramadhaniissa5370
@ramadhaniissa5370 3 жыл бұрын
Mashallah
@janenabwire6629
@janenabwire6629 3 жыл бұрын
You are the servant of God you will live long🙏🙏🙏😭
@stanleyrocky2278
@stanleyrocky2278 3 жыл бұрын
Ww unasapoti nn hapo? Wkt watu wana imani za ubaguzi na za kikatili?
@paradisefelix1218
@paradisefelix1218 3 жыл бұрын
Nimeipenda SoMo lako Allah wakibal
@tibakisunnahnaasili6250
@tibakisunnahnaasili6250 3 жыл бұрын
Daah ALLAAH Akuhifadh
@sauhatmoses5414
@sauhatmoses5414 3 жыл бұрын
Mashalaaa
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 3 жыл бұрын
Allah Akbar
@ismailradjabu3871
@ismailradjabu3871 3 жыл бұрын
Subhanallah
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 3 жыл бұрын
😭😭😭 Allah akulipe jannatul firdaus
@nawwarsultwaan6404
@nawwarsultwaan6404 3 жыл бұрын
Aammin
@nawwarsultwaan6404
@nawwarsultwaan6404 3 жыл бұрын
Aaammin
@osamashakeeb7194
@osamashakeeb7194 3 жыл бұрын
Amiin
@hassankasimu1517
@hassankasimu1517 3 жыл бұрын
Mh ongera ramadhani Kareem
@ratohabi6459
@ratohabi6459 3 жыл бұрын
Yesu sio mwanadini. Yesu ni Neno la Mungu. Wewe na waisilamu ni wanadini na ni sawa tu. Akini Dini tu haitoshi, ndio mana unaona kuna unafiqi mwingi katika Dini zote ikiwemo Dini ya Islam. Yesu wachana nae yeye sio mwenzenu. Yesu ni Neno, Njia na Uzima. Punguzeni utapeli.
@smaihsmaih2815
@smaihsmaih2815 3 жыл бұрын
SUBAHANA LLAH
@waheedaw1953
@waheedaw1953 Жыл бұрын
LAAHAULA WALA QUWWATI ILA BILAH SUBHANALLAH KWELI KABISA MANENO YAKO SHEKH اللهم صل وسلم على نبينا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين صلى الله عليه وسلم
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 3 жыл бұрын
Mashallah Allah
MWARABU AIBEBA KANDA YA ZIWA
48:31
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 364
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 3,4 МЛН
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 28 МЛН
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН
DR SULLE SASA BASI AKAMATWA KWA UTAPELI
19:46
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 168 М.
WAISLAMU WALIZWA  MSIKITINI
28:59
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 105 М.
ALAMA ZA KUPENDWA NA ALLAH || SHEIKH KOMBO ALLY FUNDI ||
3:58
ABUUKHUBAYY
Рет қаралды 7 М.
SHEIKH MWAIPOPO AWATIKISA WAISLAM MSASANI
41:28
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 8 М.
Mchungaji ahelezea kisa kilicho mfanya aslimu
20:01
AlbayaanTv
Рет қаралды 8 М.
KWA NINI NIMESILIMU 22 August 2024
29:36
Abu Shuraim
Рет қаралды 35 М.
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 3,4 МЛН