No video

Maajabu ya Ziwa Kindai - “Kindai alitumbukia, akapatikana baada ya siku tatu akiwa hai” (MAKALA)

  Рет қаралды 15,622

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Hii ni Makala inayoangazia historia ya Ziwa Kindai linalopatikana mjini Singida ambalo awali ilikuwa ni mbuga ikitumiwa na wafugaji.
Mmoja kati ya wafugaji hao alifahamika kwa jina la Kindai. Mfugaji huyo alitumbukia kwenye bwawa hilo wakati wakioga, lakini alipatikana baada ya siku tatu akiwa hai, na hapo ndipo ziwa hilo lilipoanza kuitwa Kindai.
Ni bwawa ambalo linategemewa kwa kiasi kikubwa na wakazi wa Singida kwa chumvi, maziwa na samaki lakini limekuwa na maajabu ya hapa na pale, ikiwemo wakazi wa eneo hilo kupoteza mtu kila mwaka.
Cha kuvutia zaidi ni historia yake ambayo kwenye Makala hii imeelezwa kwa kina kuanzia chimbuko la ziwa lenyewe na hadi asili ya jina la Kindai.
Salim Mhando amezungumza na wenyeji ambao ndiyo watuamiaji na wanaijua vizuri historia ya ziwa hilo ambao wamesimulia maajabu mengi wanayoyashudia kwenye ziwa hilo.

Пікірлер: 48
@azzasalti6124
@azzasalti6124 3 жыл бұрын
Nafurahi kuona singinda sabubu ndo mkoa waliishi Wazazi wetu miaka......love singida
@zamzamhassan8643
@zamzamhassan8643 2 жыл бұрын
Oyooo manyenye nimesoma nae darasa moja Safi sanaaa
@jumachabalaa8506
@jumachabalaa8506 11 ай бұрын
namkumbuka sana rafiki yangu ndugu yangu pia alikuwa mwanafunzi mwenzangu nimesoma nae darasa moja shule ya msingi kindai mungu aipumzishe roho yake mahala pema peponi😢
@jay-nyeye1900
@jay-nyeye1900 Жыл бұрын
Wanyaturu tumuogope Mungu Mambo ya tambiko kwasasa tuyaache tumwombe Mungu yeye ndiye muweza wa yote
@hashimuomary4569
@hashimuomary4569 17 күн бұрын
Singida home sweat home ❤❤
@robertagustino6319
@robertagustino6319 4 жыл бұрын
Naifurahia sngd jaman
@RosemaryKigoma
@RosemaryKigoma 7 ай бұрын
Mtu kwao singifa yetu oyeeeeee!!
@theresiadaniel7293
@theresiadaniel7293 5 жыл бұрын
Home sweet home Singapo
@mlongojiiprimary5371
@mlongojiiprimary5371 3 жыл бұрын
Historia nzuri
@zulekhamnyaturu6341
@zulekhamnyaturu6341 5 жыл бұрын
Duuh kweli naipenda sana singida
@latifamohammed61
@latifamohammed61 4 жыл бұрын
Love you singida ndo home 🏡❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@tabuselemani6869
@tabuselemani6869 5 жыл бұрын
Singida guntuuuuuu💃💃💃
@king-size8114
@king-size8114 4 жыл бұрын
Hakika kunapendeza sana kwetu
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 4 жыл бұрын
Yebaaaa home sweet home 🙏
@azizihamisi6068
@azizihamisi6068 4 жыл бұрын
Vzuri
@shedyeliudy9667
@shedyeliudy9667 5 жыл бұрын
Wanangu wa singda piga keleleeeeeeeee
@zulekhamnyaturu6341
@zulekhamnyaturu6341 5 жыл бұрын
Shedy Eliudy oyoooo
@gkplexus2855
@gkplexus2855 4 жыл бұрын
Oyoooooooooooo
@latifamohammed61
@latifamohammed61 3 жыл бұрын
Oyoooooooh
@zamdaomanizamdaomani3172
@zamdaomanizamdaomani3172 2 жыл бұрын
Yani home kabisa
@aminaamina3972
@aminaamina3972 2 жыл бұрын
Mashallah home ❤️❤️❤️❤️😍
@mamachris6811
@mamachris6811 11 ай бұрын
Mwandishi,ulikosa music wa kinyaturu kuweka background 😮
@jumaharuna9899
@jumaharuna9899 3 жыл бұрын
Alzeti ,asali,na vitunguu vinapatikana kw wingi sana, ni mazao ya biashara yanayotegemewa SGD,
@allyomary2271
@allyomary2271 8 ай бұрын
Singida mkoa wangu manyoni wilaya yangu najivunia kuzaliwa singida wanasingida tushikamane tuijenge singida yetu
@nashoniisakwisa5959
@nashoniisakwisa5959 3 жыл бұрын
Kwetuuuuuu kumenogaaa
@selemankidamas73
@selemankidamas73 5 жыл бұрын
sana singida yangu
@hashimuomary4569
@hashimuomary4569 17 күн бұрын
Nimeoga san hapo utotoni nimevua samaki san utotoni apo ukubwan nilirud hapo 2019 siku nikirud singida lazima niende
@swedyramadhan3773
@swedyramadhan3773 4 жыл бұрын
Mzee dedu nafurah ukitoa history
@EmmanuelHaulenjombe
@EmmanuelHaulenjombe 5 жыл бұрын
mmhhh watu wachawi dunianiii
@damianmakala2913
@damianmakala2913 5 жыл бұрын
Nyumbani ni nyumbani ! Ni mimi mnyiramba wa singida iramba ndago ! Singida oyeèee
@georgewilly8458
@georgewilly8458 2 жыл бұрын
huyo Kindai hakuzama wala nini. Alindukia tu kwenye bwawa na kisha akatoka muda huo huo. Akaenda kukaa porini huko akila mapera kisha siku ya tatu akaja kukaa ufukweni ndo wakamkuta hapo.
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 4 жыл бұрын
💚💚💚💚❣❣❣🙏🙏🙏🙏
@timothykifendi4928
@timothykifendi4928 3 жыл бұрын
Singida njija ni aghonjo
@issaisack5037
@issaisack5037 4 жыл бұрын
🤗🇹🇿
@esterjackson4387
@esterjackson4387 4 жыл бұрын
Yaan kindai nimeogelea sana hahaha
@barikitvshow
@barikitvshow 5 жыл бұрын
Singapore
@julianamwendwa5770
@julianamwendwa5770 5 жыл бұрын
viwanja vinapatikana kindai anayehitaji anitafute tuongee
@emanuelmsaky8074
@emanuelmsaky8074 5 жыл бұрын
nitapatembelea one day
@williammanyama7358
@williammanyama7358 5 жыл бұрын
Utaenda kupotea ndugu acha kabisa kwenda
@emmanuelduwey1790
@emmanuelduwey1790 5 жыл бұрын
hv bwawa linajifunga vp
@williammanyama7358
@williammanyama7358 5 жыл бұрын
Unapotea kimtindo yan unamezwa
@emanuelmsaky8074
@emanuelmsaky8074 5 жыл бұрын
william manyama nimepita mitaa mingi singida padogooo sanaa siwezi hata kuulizia kwa mtu mm mwenyewe ramani tosha
@emanuelmsaky8074
@emanuelmsaky8074 5 жыл бұрын
william manyama zanzibar , bwawa la mungu nimetembelea sanaa sijamezwa popote
@ericernest2099
@ericernest2099 4 жыл бұрын
Kuna jamaa angu hili ziwa lilimuuwa enzi za Mwenge high school
@ndulujilala9643
@ndulujilala9643 2 жыл бұрын
Hakika alikuwa anaitwa Boko bora wa Musina 2001, nikiwa na mpez wangu costancia john
@ndulujilala9643
@ndulujilala9643 2 жыл бұрын
Mwenge yangu2001
@zamdaomanizamdaomani3172
@zamdaomanizamdaomani3172 2 жыл бұрын
Wengi tu
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 14 МЛН
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 40 МЛН
This Dumbbell Is Impossible To Lift!
01:00
Stokes Twins
Рет қаралды 42 МЛН
MPOKI NA WAZAZI WAKE
10:59
CHEKESHA TV
Рет қаралды 11 М.
Amazing Singida Town Tour With Motor Cycle (Tanzania Tour)
20:46
Godlove M.
Рет қаралды 3,3 М.
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 14 МЛН