SIMBA TV 04/09/2024 | Mnyama anavyojiandaa kuianza michuano ya CAF 2024/25

  Рет қаралды 12,903

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Simba imejipima ubavu na Al Hilal ya Sudan ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya.
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally ameeleza mengi kuhusu maandalizi ya mchezo huo na mipango ya kuwa na mechi nyingine ya kirafiki, Septemba 7.
Hii ni #SimbaTV kila Jumatano saa 4:30 usiku #AzamSports1HD

Пікірлер: 17
@JustinMwakalukila
@JustinMwakalukila 10 күн бұрын
Nmependa sna mpangilio wa matukio,ni creativity nzuri sna na pia msimuliaji uko vzur una Sauti yenye kuvuta makin ya msikilizaji!!,kwa docomentary hii ndgo lkn inaweza kumfnya mtu akaelewa vitu Ving kuhusu timu yet Ata kwa Yale ambayo yalipita bila kuyajua lkn kupitia hii simuliz fupi unaweza kuelewa MAONO ya CLUB yapoje!!,kazi nzur sna❤❤
@edsonmunuo7112
@edsonmunuo7112 10 күн бұрын
Hivi mna muona mavambo lakiniii,dah huyu mwamba ni moto 🔥🔥🔥🔥🔥
@MelodyChriss
@MelodyChriss 9 күн бұрын
Mtu yupoh ndani ya simba derbora mavabo akiri mingi sana
@gabrielnybala2165
@gabrielnybala2165 9 күн бұрын
Hivi mmeona anacho kifanya Deborah Clarence mavambo sedorf Fernandez, mmeona pasi za yusuph kagoma nyie haya hii timu ikija kuunganika watu watalia sana 😂😂😂😂
@WendeMposola
@WendeMposola 9 күн бұрын
Simba nguvu moja naipenda milele ♥️♥️♥️♥️🎉🎉🎉
@BADILIJUSTUS-fs3oo
@BADILIJUSTUS-fs3oo 10 күн бұрын
Thanks ladack chasambi we missed your playing style so so beautiful more than Edwin balua ten times we don't understand why our coucher fadlu Davis playing balua full 90 minutes while you are bench
@Yuleyule-u6c
@Yuleyule-u6c 9 күн бұрын
Alikuwa hayupo sawa now yupo on.
@Mkubwa_jr
@Mkubwa_jr 10 күн бұрын
Simba Nguvu moja❤
@user-wn9bp5cl1j
@user-wn9bp5cl1j 10 күн бұрын
This is simbaaaa
@JohnMohamed-j5f
@JohnMohamed-j5f 10 күн бұрын
Simba nguvu moja
@JACKSONRichard-u9w
@JACKSONRichard-u9w 10 күн бұрын
Lion 🦁🦁🦁🦁
@YahayaMbezi
@YahayaMbezi 10 күн бұрын
Ubaya ubwela simba nguvu moja
@AnnaSande-dn7id
@AnnaSande-dn7id 9 күн бұрын
Kwa staili hii atakeye kaa mbele hana bahat
@kevmmax1318
@kevmmax1318 10 күн бұрын
Mnyama
@JohnMohamed-j5f
@JohnMohamed-j5f 10 күн бұрын
Nguvu moja
@revocatusmalimi4525
@revocatusmalimi4525 10 күн бұрын
Shangingi Mchome ameonekana anashangilia goli la Ateba lakini usishangae kumwona anamponda mchezaji wetu na simba yetu kwa ujumla.Ajitathimini
@zakayomgaya2758
@zakayomgaya2758 10 күн бұрын
Mchome haendagi mechi za Simba uyo sio yeye
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 50 МЛН
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 18 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 30 МЛН
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 50 МЛН