MABANGO AVAMIA INTERVIEW YA ISHA MASHAUZI, APIGA MAGOTI KUOMBA MSAMAHA / ISHA ASUSIA INTERVIEW

  Рет қаралды 169,013

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 455
@dorcasshadrack7757
@dorcasshadrack7757 2 ай бұрын
Wanawake tukubaliane chapekeako kipo tena kitamu Atari....wamekua na viburi sana et chapekeako kaburii...😂😂😂 Aweeeeh Isha umecheza vizuri nimependa❤❤❤❤
@ABDALLAHMUSA-w9o
@ABDALLAHMUSA-w9o 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@bahathmuro7145
@bahathmuro7145 2 ай бұрын
Hata mimi nataka wa kwangu jamani
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 2 ай бұрын
​@@bahathmuro7145hata mimiiiiiii
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 2 ай бұрын
Cha kwako peke yako kitamu mnoooooo
@FaudhiaMohamed-m1t
@FaudhiaMohamed-m1t 2 ай бұрын
Da dida Nakupenda sana ❤ allah akutangulie ktk maisha yako yote my dear
@georgemajani6600
@georgemajani6600 2 ай бұрын
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@btylove1870
@btylove1870 2 ай бұрын
Isha msamehe ila akirudia tena muache forever ❤
@wennybarny168
@wennybarny168 2 ай бұрын
Napenda kingereza cha Isha Mashauzi Kwakweli ana kingereza kizuri sana....!!
@KuluthumuMsuwakollo
@KuluthumuMsuwakollo 2 ай бұрын
😂😂yan mwenzenu nawapenda hawa watu mungu cmama kati yao Mr and Mrs Mabango❤❤❤
@defrinepaul7046
@defrinepaul7046 2 ай бұрын
Wapo kwakweli msijiendekeze mkisema hawapo mnawapa mibichwa kuvimba🤕🤕🤕
@rehemamsambila6820
@rehemamsambila6820 2 ай бұрын
Jidanganye
@spreadlove5300
@spreadlove5300 2 ай бұрын
Halafu sasa wanawake ndio wanadai hakuna wa peke yako 😮😮 at the same wakingundua wanachitiwa wanageuka mbogo 😮😮
@rosehaule6765
@rosehaule6765 2 ай бұрын
​@@spreadlove5300wpo sana wanaume anaowaongelea isha ni heshima tu wapo
@heartnsanya1182
@heartnsanya1182 2 ай бұрын
Hayupo kudadek zako
@spreadlove5300
@spreadlove5300 2 ай бұрын
@@heartnsanya1182 Jisemee wewe
@athumanimanzabay1894
@athumanimanzabay1894 2 ай бұрын
Joy and pain all in the game of love ,please Isha msamehe mshkaji mm naimani ameshajifunza kutokana na makosa
@OklyKornelio
@OklyKornelio 2 ай бұрын
Isha Mashauzi naomba msamehe shemeji anakupenda sana yaani nakwambia hutakaa upate mwanamme anayekuoenda kama Mabango please please Isha naomba msamehe shemejj.
@user-fz3dg2fr6bl
@user-fz3dg2fr6bl 2 ай бұрын
Give him another chance❤😂
@masoudjuma8169
@masoudjuma8169 2 ай бұрын
Ila WASAFI TV BIG UP 🙌
@modestamodesta3940
@modestamodesta3940 2 ай бұрын
𝑊𝑎𝑛𝑎𝑛𝑖𝑓𝑟𝑎ℎ𝑖𝑠ℎ𝑎𝑔𝑎 𝑚𝑛𝑜𝑜𝑜𝑜
@mamuumamuu1871
@mamuumamuu1871 2 ай бұрын
Isha wetu wee nakpenda bure❤❤
@julianapeason6254
@julianapeason6254 2 ай бұрын
kuna siku nilisema tuwape muda mabango akasema mimi nina roho mbaya, Isha achana na huyo mtu utautesa moyo wako.Safi sana
@MwanahamisNyenzi
@MwanahamisNyenzi 2 ай бұрын
Watarudiana hao Isha kaona aibu live studio
@khadijathani9064
@khadijathani9064 2 ай бұрын
Inshaallaah allaah atakuletea omba dua atakuja mbora zaidi
@mwajumagomera7609
@mwajumagomera7609 2 ай бұрын
Isha anampenda sana mabango mbona anaona haya kumtazama apewe muda tu❤maana vita ya kuchokana wewe kwanza uso mbuzi😂😂😂
@EvaWaziri-so3gi
@EvaWaziri-so3gi 2 ай бұрын
Mashangazi wa mjini wanajua kuigiza sasahapo isha uyo si mwanae uyo😊
@MaryMichaelMaryMichael-i7o
@MaryMichaelMaryMichael-i7o 2 ай бұрын
Kabsaaa mashauz tu kma jina lake
@rosegodlove1956
@rosegodlove1956 2 ай бұрын
Me nakupenda sana Isha mashauzi ❤❤
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 2 ай бұрын
Mke wangu, babe 💕
@maggykavata9439
@maggykavata9439 20 күн бұрын
Rip dida nilipenda swali lako utamtoa wapi..ishaa❤
@mustafamandindi6434
@mustafamandindi6434 2 ай бұрын
Uyo alikua na yake bana kwani hadi mtu anafikia kuomba msamaa amekili kosa sasa aisha anashindwaje kuelewa icya za mwenzake ushauli wangu tu kwa dada amsamee mwenzie kwani amekubali kosa bc yaishe lingine dada angu utambue kua utokako unapajua ila uendako upajui unaweza usifike ludisha moyo dada muendelee kwenda pamoja na mwenzio
@jamilahsakina1561
@jamilahsakina1561 2 ай бұрын
Jamani
@MapeKhamis
@MapeKhamis 2 ай бұрын
Na mwanaume kuomba msamaha ivo ni ngum hajaigiza uyo kaka wanaume wachache kuomba msamaha ivo na co kwasbabu ya camera akikuomba ameamua,amekupenda
@Nurdinimwakisale
@Nurdinimwakisale 2 ай бұрын
Uyu ana mpenda ❤❤
@MariamHassan-n8g
@MariamHassan-n8g 25 күн бұрын
Wewe muislam msamehe saba mala sabini kesho kwamungu ❤
@furahayamoyo9193
@furahayamoyo9193 2 ай бұрын
Isha is smart, strong, and brave to walk away from him. Don't let a man play with your emotions,.PERIOD! He knew what he was doing, and had nothing to do with "eti yeye binadamu ako na mapungufu" cheating is a choice not mapungufu. Once you take a cheater back, chances are he will keep on doing the same shit, and expect you to forgive, and take him back each time. Stay strong sis Isha, and may Allah Subhanahu Wa Taa'ala guide, and protect you always, Allaahuma ameen.
@pendogeorge1813
@pendogeorge1813 2 ай бұрын
Naungana na wewe, umemaliza yoote❤
@furahayamoyo9193
@furahayamoyo9193 2 ай бұрын
@@pendogeorge1813 Ahsante sana my sis ❤
@wangagirl3508
@wangagirl3508 2 ай бұрын
Jamani si kwa ubaya bt huyu dada mzuri bt shida ni muonekano wake ndio siupendi kabisa vipuli vingi vya nini mpaka kwa mdomo nooo anakaa kama danga la mjini 😮😮
@isunga1964
@isunga1964 2 ай бұрын
Na tuliambiwa ni msagaji sijui kweli
@wangagirl3508
@wangagirl3508 2 ай бұрын
@isunga1964 🤣🤣unajua hii dunia my dear watu wanangalia muonekano wako ndio wanaongea hivyo vipuli hata huyo mume anachoka 🤣🤣anakaa msagaji kweli
@janetdunda6331
@janetdunda6331 2 ай бұрын
Hii imeenda
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 2 ай бұрын
Uhakikaa inakeraaa
@WakiliHaule
@WakiliHaule 2 ай бұрын
Isha mimi apa wa peke yako... uyo brother man kitambo tu nilikuwa namuona anasafiria nyota yako...Ni muigizaji wa mapenzi kashasahau usanii wewe ndo kipaji chako...aende uko aendako...japo unajuta amepoteza muda wako....Mimi apa ndo wakufa na kuzikana wako...subiria mama nitakufata apo ulipo❤...I love you Isha Mashauzi ...umuhimu wako kwangu kama mwanadamu na pumzi.
@mariamizzy2880
@mariamizzy2880 2 ай бұрын
Makubwa 🤣🤣
@HabibaHassan-t2u
@HabibaHassan-t2u 2 ай бұрын
Heeee😂😂😂😂​@@mariamizzy2880
@DeboraNgura
@DeboraNgura 2 ай бұрын
Penzi limepata mpendaji😂
@chainbre275
@chainbre275 2 ай бұрын
​@@DeboraNgura😂😂😂😂😂😂
@MaryWisdom-is7cf
@MaryWisdom-is7cf 2 ай бұрын
Unatuchekeshaaaa😂
@ABDALLAHMUSA-w9o
@ABDALLAHMUSA-w9o 2 ай бұрын
Nipo hapa isha
@Sakina-j2b
@Sakina-j2b 24 күн бұрын
Mbona umeolewa Bibi wa 2 Allah Akbar
@yusuphmsangi7191
@yusuphmsangi7191 20 күн бұрын
Rest Easy Dida
@hidayamanda-gk7nf
@hidayamanda-gk7nf 2 ай бұрын
Kauli mbiu ndoile ile mwendo wakusonga mbele ❤❤❤
@pendogeorge1813
@pendogeorge1813 2 ай бұрын
Kama tulivyokubaliana kwenye kikao chetu cha mwisho❤
@hidayamanda-gk7nf
@hidayamanda-gk7nf 2 ай бұрын
@@pendogeorge1813 hahaha 🤣🤣🤣
@PotiRasi
@PotiRasi Ай бұрын
Msamehe sanaaa
@jovinageorge-s2o
@jovinageorge-s2o 10 күн бұрын
😂😂vingereza vya don't call me vyanini asee apo nimecheka😂😂 jmn dida Mwenyezi Mungu akulaze pema😭😭😭😭
@mussarashid6752
@mussarashid6752 2 ай бұрын
ipo siku damu itamwagika hapo wasafi maana mnawakutanisha mahasimu
@dianerditto
@dianerditto 2 ай бұрын
Ni udwanzi sana
@WelimaAdonias
@WelimaAdonias 2 ай бұрын
Kamtolea mahari
@AnzeraniSalee
@AnzeraniSalee Ай бұрын
Jmn mabango umeniliza we Kaka Isha msamehe jmn binaadam woote niwakosefu dah😢😢
@RamadhanAthuman-d4c
@RamadhanAthuman-d4c 2 ай бұрын
Wasafi wachonganishi sana Isha karap we mwisho wa siku kakutanishwa na asiye wapenda kaja
@imanibakili8028
@imanibakili8028 2 ай бұрын
Wanaume sikuhizi wanashindwa kujiheshimu wanatembea na kina dada ambao hawana heshima inasababisha wanaanza kudharau mke wa ndani
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 ай бұрын
Wapiga pesa
@ZachariaMwita-bu7rw
@ZachariaMwita-bu7rw 2 ай бұрын
Sahihi
@mnyampaa_kisasa
@mnyampaa_kisasa 2 ай бұрын
Hamna isha mbna anaonekana mdada mzur tu mstaarab na anapenda mtu mmja ni shda kijana tu
@edinamhando108
@edinamhando108 2 ай бұрын
Huyu itakuwa kapata mwanaume cyo bure😂😂😂😂
@Soudbako
@Soudbako 2 ай бұрын
Sisi baadhi ya wanaume ndio hatujielewi tunapenda mteremko na kupenda umaarufu tuache kupenda kitonga huyo mwanamke hana shida mwnamme mwenzetu ndio anajidhalilisha bladbasket
@Zabl0nx17
@Zabl0nx17 2 ай бұрын
Nipo mm hapa
@ahmedsaidi2239
@ahmedsaidi2239 2 ай бұрын
Kwa kweli 2po Kama Mim Am My Wife's Husband
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 2 ай бұрын
Jaza form basi bro pengine utapita kwenye kuchaguliwa😂😂😂
@ahmedsaidi2239
@ahmedsaidi2239 2 ай бұрын
@@FatimaAli-of4gh nimeshasema Mim ni wa Mke Wangu tuu. Yani Ahmed Wa SumaiyahAhmed khalas
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 2 ай бұрын
​Huyo Sumaiya cku akipigwa nje utavurugwa sana na kujutia kaka
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 2 ай бұрын
Utapata Inshaalah
@NuruNgolle
@NuruNgolle 2 ай бұрын
Nikweli yuko hata mimi sitaki mme wetu nataka wangu kweli nimempata nanikitukanwa na kimada ananifunza kusimama zaidi ktk ndoa isha tulia na mmeo msamehe kweli nakuomba
@SalmaAlly-dg3xn
@SalmaAlly-dg3xn 2 ай бұрын
Huyu mimi kabisa😂🎉
@ashurasharif-ln4nl
@ashurasharif-ln4nl 2 ай бұрын
Isha kazaa dada❤❤❤❤
@AdamMbwana-p6n
@AdamMbwana-p6n 2 ай бұрын
Mbona saiv haya mambo yamekuwa kama maigizo
@Chelseaboy_1905
@Chelseaboy_1905 2 ай бұрын
Hakuna mapenzi ya mwanamke aliyemzidi umri mwanaume yaliowahi kudumu
@WelimaAdonias
@WelimaAdonias 2 ай бұрын
Yupo sana Rahma na mumewe tatu na mumewe
@MariamMrema
@MariamMrema 2 ай бұрын
yapo na yanadumu vizuri kikubwa heshima tyu,mapenzi hayana umri
@SuzanaHassan-d4z
@SuzanaHassan-d4z Ай бұрын
Yapo mi nimedumu na nmemzidi m3 tuna miaka 16 kwa ndoa
@MaryMichaelMaryMichael-i7o
@MaryMichaelMaryMichael-i7o 2 ай бұрын
Dada Isha watu ukosea at wew ungekuwa umekosea na ukaomba msamahaa?? Samehe 7x70 Neno la MUNGU linasema .usikue hvoo..hi dunian inapita na mambo yake..aina aja ya kuweka vtu moyon .life is short 😢
@josej9888
@josej9888 2 ай бұрын
Kwan walikutana studio, Hadi muwakutanishe huko studio? Nawewe mwanaume wadar ukome.
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 2 ай бұрын
Eti ukome😂😂😂😂😂 nimecheka
@MariamIbrahim-h7p
@MariamIbrahim-h7p 2 ай бұрын
Inshaallah mwanaume anaombae sory live na unakata
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 2 ай бұрын
Hawa mashangazi bhana!
@HassanHameed-g5e
@HassanHameed-g5e Ай бұрын
Mm hapa wa peke yko
@IsayaShokaulaya
@IsayaShokaulaya 19 күн бұрын
Nipo mimi njoo
@devotabashome1090
@devotabashome1090 2 ай бұрын
Mnahangaika na vijana wadogo ndo tatizo...
@saidmnenuka7822
@saidmnenuka7822 2 ай бұрын
Achana nae alafu unajizalilisha inawezekana alikuwekea mtego bila kujua anaona mambo yake hayaendi sababu yako umezibia watu wake asiinjoi nao awezi pata mwanaume waivo hayupo na hajazaliwa.
@zamdanamwenje9415
@zamdanamwenje9415 2 ай бұрын
Uyo mabango kajua kujidharirisha 😢
@anastaziambote4574
@anastaziambote4574 2 ай бұрын
😂😂😂 mbona kajizaririsha
@aminakipande5645
@aminakipande5645 2 ай бұрын
@@anastaziambote4574😂😂
@LovelyRacingHelmet-iv6ti
@LovelyRacingHelmet-iv6ti 2 ай бұрын
Inabidi aitwe kwenye kikao cha wanaume
@badrimickdad1801
@badrimickdad1801 Ай бұрын
Msenge huyo jamaa 😂
@edgercyprian964
@edgercyprian964 Ай бұрын
Aisha msamehe mwenzio 😢
@mwalagomwanaisha
@mwalagomwanaisha 2 ай бұрын
Wamdhalilisha mtoto wa watu msamehe 😢
@hanifaa1487
@hanifaa1487 2 ай бұрын
Kabisa diyaa
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 2 ай бұрын
Inawezekana kuwa na mwanaume wako sema wanaume hamridhiki nyoko zenu na haswaa wanaume wa tz tamaha nyingi na zarau huongo mwingi sana,,mtu mzima hanapo hamua kuwa nawe kijana basi mueshimu ukiwa na michepuko mingi unamzaririsha mwenzio maisha ya sasaiv sio ya kuvurugwa na mwanaume tunavurugwa na kutafuta pesa tu mwanaume hakizingua usimpe nafasi iri akimpata mwingine hamueshimu
@FatimaAo-r9p
@FatimaAo-r9p 2 ай бұрын
Wala humpati maisha haya
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 2 ай бұрын
Ashapata mwengine uyo
@apoloniapeter1899
@apoloniapeter1899 2 ай бұрын
Msamehe jmn😢😢😢
@honoratusmodest285
@honoratusmodest285 2 ай бұрын
Hao Bado wanapendana
@thomasmallya2972
@thomasmallya2972 2 ай бұрын
Usenge kweli huu
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 2 ай бұрын
Akimkazia anakubali hyu, Isha hawezi kuwa serious
@MaryMichaelMaryMichael-i7o
@MaryMichaelMaryMichael-i7o 2 ай бұрын
Kabsaaa lazma awe na maringo
@dashuu5295
@dashuu5295 2 ай бұрын
Bahamad almuacha farhiya patima hataki ukewenza😂😂😂 ata kidyogyooo
@aminamzuri9933
@aminamzuri9933 2 ай бұрын
Kitu usichokipenda ukikiweka dhahir ndo vzuri
@SaidiYahya-t1c
@SaidiYahya-t1c 2 ай бұрын
Apo Isha kashaloowaaa
@mtoshauri9183
@mtoshauri9183 2 ай бұрын
Ww dd mbona huwa hausamehe 😅😮😮😮
@estherwilliam3758
@estherwilliam3758 2 ай бұрын
Anamkazia mwenzie asamehe😅😅😅
@raymondlaurent4167
@raymondlaurent4167 2 ай бұрын
Kweli mapenzi inauma lakin kunae maana kubwa kuitwa mwanaume yoote Tisa kumi usipige magoti kwa mwanamke 💪💪💪
@mohamedabdallah6480
@mohamedabdallah6480 2 ай бұрын
Dah! Ufara ndio huo,mwanaume unajidhalilisha
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 2 ай бұрын
Wanaume tukutane Mwamba katuaibisha HAKUNA KUMPIGIA MWANAMKE MAGOTI 😅😅
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 2 ай бұрын
Ndiyo wanaume wa dar hao😂😂😂😂😂😂
@SadahMohammed-c3e
@SadahMohammed-c3e 2 ай бұрын
Apana kk kupiga magoti nikawaida ya kila aliemkosea mwenzie awe mwanamme au mwanamke na wote ni binaadam hao
@gracemwailima1780
@gracemwailima1780 2 ай бұрын
Msamehe tu dada isha jamani kaka anaonekana mstaraabu
@EsterAgrey
@EsterAgrey 2 ай бұрын
Jmn
@roseamon7906
@roseamon7906 2 ай бұрын
Dada Isha samehe shemeji yetu Mimi napenda mahusiano yenu tafadhali muoneee huruma mwanaume jamani usiwe na hasira isiyoisha Mungu hapendi
@ThomasAlute
@ThomasAlute 2 ай бұрын
Huyu kijana mabango anajidhalilisha sana
@ZeProDJay
@ZeProDJay 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 wanaume wa Dar tatizo sana..
@ZainaMshamu-yu8qv
@ZainaMshamu-yu8qv 2 ай бұрын
Isha akumbuke hii Dunia asimnyanyasw mtu kiivo ajue shetani ananguvu au mungu anampa kalibu gani asamee akuna mkamilifu
@fotunatusiMsongole
@fotunatusiMsongole 2 ай бұрын
Weka namba Yako amepatikana hukuuui
@DevotaIjumba
@DevotaIjumba 2 ай бұрын
Msamehe sana .Ameomba msamaha .akuludia Tena anyongwe😂😂😂
@SHUKURUMahiki
@SHUKURUMahiki 2 ай бұрын
Kijana unajidhalolisha mbona
@Mwajumasaid-lv4xf
@Mwajumasaid-lv4xf 2 ай бұрын
Dida mpambe anavyo ongea 😊😊
@EvaGlow-r3e
@EvaGlow-r3e 2 ай бұрын
Sana
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 2 ай бұрын
Na yeye tutamuitia yule mme wake waliyeachana,Kumbilamoto😂😂😂😂
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 2 ай бұрын
Alaf yeye ya kwake hatakag ushaur
@LutfiaRashid
@LutfiaRashid 2 ай бұрын
Afu dida na kingereza km mbingu na ardhi
@agreymkaburu7464
@agreymkaburu7464 2 ай бұрын
Dida unanini mbona king'ang'anizi wanaume tupo 😊
@R10_Rajab
@R10_Rajab 2 ай бұрын
Ndio maana siku hizi hunitoi na Crown 👑 kwa ujingabkama huu
@ShamsaFahad-n8v
@ShamsaFahad-n8v 2 ай бұрын
Msamee jamani
@jazzjeff8431
@jazzjeff8431 2 ай бұрын
Mzae mwenyewe
@MwasitiShabani-b7x
@MwasitiShabani-b7x 2 ай бұрын
Msamehe jamani. Dada Aisha shemeji yetu
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 ай бұрын
Ila haya mapenzi jamani uh
@HalfanmundoMundo
@HalfanmundoMundo 2 ай бұрын
Mpen namba yangu huyo tunamrudisha kwa mwamba ndani ya kisaa tu
@JemimaMdota
@JemimaMdota 2 ай бұрын
Isha mi nimekupemda bureeeee namna hiyo😂😂😂
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 2 ай бұрын
Kwenye wanaume washamba huyu no 1, mwanaume uwezi kuwa pumbu
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 2 ай бұрын
Huyu jamaa kasahau Rule number 5💔
@HassanKibandulo
@HassanKibandulo 2 ай бұрын
Ving'ast wanateseka sana namapenz.kujikaza hawawezi nandio mana mashoga wakumwagaa.ss ivi sikudhalilishana daah
@teedullah5708
@teedullah5708 2 ай бұрын
😅😅😅 BaBu idi 🇰🇪🇰🇪
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 2 ай бұрын
Kaburi tu hamna la kwako itakuja kua mume isha jaman hujawahi ona inatolewa mifupa kwa mwengine anaekwa mwengine 😂😂😂😂😂
@newforcejv9721
@newforcejv9721 2 ай бұрын
Maryam muongo waislam wakike hawaendi mazikoni Isha na wewe mmeona wapi mifupa ikitolewa Kisha kuzikwa mwingine
@gilliansiara3324
@gilliansiara3324 2 ай бұрын
Subiri, Bora zimwi likujualo,utakutana nao,labda ufunge kitabu
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx 2 ай бұрын
😢hiyo. Ni kikiiiiii
@eggysulle7988
@eggysulle7988 2 ай бұрын
Nilisoma makala moja kwa idd makengo anatuhasa kuacha kumpost mume au mpenz kwa maana,wapo walokua kama ww mambo ykabadlka wapo wanaotaka wawe kama ww na uyo mume ama mpenz kwaiyo mambo kuharbka n vyepes sana tuwe makin japo napenda mpost mume wang apo nikapata funzo pia,mambo ya dada isha yamehrbka haswa baada y kujulikana hazaran,,ila dadaa nmempentaa anamsimamo kuntu 👌
@Salmaismai
@Salmaismai 2 ай бұрын
Ila Idris
@agreymkaburu7464
@agreymkaburu7464 2 ай бұрын
Isha anamsimamo
@abdallahomary2100
@abdallahomary2100 2 ай бұрын
Tutafute ela
@SalumNdoshi
@SalumNdoshi 2 ай бұрын
Nipo mm jmn nakusubiri ww
@gblessabell2046
@gblessabell2046 2 ай бұрын
Daaah na goti kapiga asee
@LatifaRajabu-l3n
@LatifaRajabu-l3n 2 ай бұрын
Uyu kaka si alisema amtaki tena ataakilud
@roseamon7906
@roseamon7906 2 ай бұрын
Hadi anakuomba msamaha Ivo Bado umekaza shingo hakuna aliekamilika
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 269 #shorts
00:26
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 30 МЛН
GIGY MONEY NA DIVA WARUSHIANA MANENO MAKALI STUDIO, UGOMVI MKUBWA...
7:29
PLAN B _ Episode 22
1:02:01
kp wa Aquino
Рет қаралды 15 М.
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 269 #shorts
00:26