Ndio maana ni muhimu sana kupewa kwanza elimu ya michezo kabla ya mchezo wenyewe. Kwa staili hii hawawezi kuwa professional boxers utaishia kuvimbiana tu ndani ya nchi bila kuwa na mafanikio
@witneyjerry12933 жыл бұрын
Huyo alyeanza kurusha ngumi,siku ya mechi ataondoka bila jicho
@allykazoa70653 жыл бұрын
Uyo Jamaa Aliyelusha ngumi Amezingua Sana Ajafanya Uungwana Ndomana Watu Kama Hao Wanapigwa Kama punch begi.Ngumi Azitabiriki ngumi Ndani Ya Ringi Siyo kuonesha Umwamba mbele Za Watu So Fairi Kabisa ulichomfanyia Mwenzako Onesha Mbwembwe Izo katika Ringi
@elbaricktv16323 жыл бұрын
Tatizo mabondia wenyew wabeba magunia hawajui ata kanuni ya ngum
@georgelameckbudeba33733 жыл бұрын
Jamaa. Aliyeanza rusha ngumi mshamba tu..
@idrissatuppa39973 жыл бұрын
Hapo zimerushwa kweli duh.
@isaackamando84843 жыл бұрын
Waachie tu zipigwe dadeq 😂😂😂
@renatuswilson15773 жыл бұрын
Kila mchezo unanidhamu yake. Hahaaaa
@chiddybanda45983 жыл бұрын
Huyo aliyeanza kurusha ngumi cku ya pambano atapasuliwa sana hahaha kwanza ana mdomo san kama Dulla Mbabe atapigwa
@mogul58253 жыл бұрын
Balidi eeh Balidi..☀️..😂😂😂
@mahengomwenyewe42043 жыл бұрын
Ushamba tu hee !
@adamdemarch55653 жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃
@eboumg70613 жыл бұрын
Izonikiki za kuwaimiza watu waangalie ilo pambano
@richardtungaraza75093 жыл бұрын
Wew uliyevaa pensi utapigwa sana,lazima nikushuhudie unavyonyolewa,ulaya hawafanyi hivyo
@monicamtewele99213 жыл бұрын
Hizo nikiki ukiangalia kwa makini walisha panga
@erickevarist87383 жыл бұрын
Ngumi za mitaan
@suleimanimzalia99893 жыл бұрын
Ha ha ha ha ha!! Eti muache dakika mbili.
@abdullaothman37723 жыл бұрын
Huyo aliejimbulisha mwanzo hakufanya sahihi
@deofidelis27713 жыл бұрын
Shosho
@riyparkentertainment60593 жыл бұрын
Huyo mtangazaji ananadi eti mchezo wa ngumi ni mchezo wa vurugu, nani kasema? Ndegeles😈
@abdallajuma21813 жыл бұрын
Mjomba sio ivoo mjomba huo ni ujinga
@manjaruu6793 жыл бұрын
Eti mwacheni dk 2😂😂😂
@sabrysultansalum58643 жыл бұрын
😂😂
@yahayab4u6143 жыл бұрын
Kwala wa biashara
@ibraimoissiaca60583 жыл бұрын
Wafundisheni sheria kwanza ndo waje apo juu
@mrgeorgeisdory52773 жыл бұрын
Ata mbele zipo hizooo Ila marafyale ndie atakae shinda,🙏🙏🙏
@emmanuelbuyamba58553 жыл бұрын
Huyu bondia muongo
@rightmaker25583 жыл бұрын
Izi game zingekuwa zinapigwa hivi duuuh
@shabaninenga34493 жыл бұрын
Iyo ni attention tu
@shufaashabani9983 жыл бұрын
Duuh
@richardtungaraza75093 жыл бұрын
Ushamba huo,
@thedoctor83013 жыл бұрын
Tena ni zaidi ya ushamba
@komboomar82753 жыл бұрын
*Natafrahi sanaa huyo alieanza rusha ngumi akija akipewa kichapo cha nyoka maana ni mshamba sana watu wanatambiana ila sio hivo huo ni upuuzi tu*
@fabianayubu67383 жыл бұрын
Hivi walicheza
@levocatusgaitan2073 жыл бұрын
Hii gm rn na niwap
@yusuphswai50893 жыл бұрын
Uo ushamba Babu mwambie mwalimu wako akufundishe Shelia na kanuni za boxer nyie ndio mnasababisha boxing inaonekana ya wakabaji
@nimrodsigulu20533 жыл бұрын
Wamepimwa bangi hawa?
@mandamaking4743 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@thomaschiee29263 жыл бұрын
hao wahuni
@swamweliteobady44963 жыл бұрын
Halio anza kuongea mshamba mm namuona
@alfamachila31853 жыл бұрын
.oya mwanafyale umeyakanyaga mie sina fagio nakufagia mwanangu
@yussufkansela81183 жыл бұрын
HAAAAAHAHAHAAAAA
@ephesongailo85643 жыл бұрын
Is totally unprofessional
@efraimjohn49563 жыл бұрын
Ushamba huo, professionals hawanaga huo upuuzi
@richardtungaraza75093 жыл бұрын
Kabisa ,wenye fani zao hawawezi kufanya upuuzi kama huo tena mbele ya waandishi,
@maulidmohamed57923 жыл бұрын
hahahaa
@godmanmullar41543 жыл бұрын
Hizo vurugu
@Samwel_tz3 жыл бұрын
Ujinga ujinga tuu😏
@mahengomwenyewe42043 жыл бұрын
Ujinga mtupu kumbe hata kanuni hakuna mchezo wenyewe mh huu ni mchezo wa wavuta bangi
@insteinjonga66513 жыл бұрын
Huijui boxing pole sana. Watu wanachambia pesa kwa sababu ya huu mchezo
@mahengomwenyewe42043 жыл бұрын
@@insteinjonga6651 Kwani ukipata pesa ndio sababu ya kukosa kua mchezo wa wavuta bangi?? Vunja hoja kwa hoja ya msingi je iko kitendo kinachoendelea hapo ni cha uungwana ?? Kupata pesa hata ujambazi watu wanapata pesa je ni utafutaji wa kiungwana ?? Au naongea na mtu asie na uwezo wa kufafanua ibara ?