Mbilini ni filamu ambayo kwanza imezingatia Utamaduni halisi katika masuala ya Kijamii,kutana na binti kidole ambae aliolewa kwa sababu tu amebarehe ila anajikuta katika wakati mgumu baada ya kutaka kutoka kwenye Ndoa hiyo..!
Пікірлер: 213
@allyrashidi33832 жыл бұрын
Vitu vizuri halafu mnaweka dakika chache shusheni vitu tunahamu sana na flamu zako sisi mashabiki wako uko vizuri sana kamanda
@emmyyussuf92342 жыл бұрын
Iko powa xan ahsanten kwa mafunzo tunasubir muendelezo 💋💋
@abdullahiguyo75472 жыл бұрын
Kazi nzuri wow!kwa hakika hayo ni ushauri nzuri sana kwa wana ndoa madebe ubarikiwe,kuna kujengana katika ndoa ..mume kwa mke si kuachana ,maisha ni kusaidiana.....kuvumiliana kila hali...funzo kwa wasichana wasiolewa..msisikize mama pekee chukueni upande wa baba pia ushauri huenda utakufaa Maishani....
@masjidhamzainstitute88902 жыл бұрын
Kazi mazuri ime pangika na pia muda imezingatiwa hakuna kuboeka tayari usha jifunza kitu mungu abarikiye kazi ya mikono yako kaka madebe lidai na washirika wako
@adamumbise97552 жыл бұрын
Nakukubali sana brother like zao jmn
@violethchuwa20202 жыл бұрын
🔥movie nzur jmn muendelez mapm sasa...ila uy mam anampotosha mwanae nd man na yy aliachan na mumew kwa tabia zak mbov
@rahimaaaaa56822 жыл бұрын
Uyu mama waina gn sijui 🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️ongeren sn kz mzr👏👏👏
@jesussavesus22102 жыл бұрын
Yohana 3:16-17 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu; bali ulimwengu uokolewe katika yeye. Kwa yeyote asiyemjua Mungu na anataka, na kuwa na uzima wa milele, bado hujachelewa kumtafuta Mungu kwa moyo wako wote kwa maombi na toba, kwa sababu Yesu anakupenda zaidi ya uwezavyo kujua na anataka uokoke. . Usikatae zawadi ya bure ya uzima wa milele. Ikiwa utamwomba Yesu Kristo kwa moyo wa kweli akusamehe dhambi zako zote, na kuingia moyoni mwako na tafadhali kukuokoa, atakuokoa na hivi karibuni utajua jinsi alivyo halisi. Mungu akubariki.
@abdullahiguyo75472 жыл бұрын
Mwenyezi mungu awaokoa walio na mafikra haya,fungua kitabu Cha Matayo 15-24,MIKA 5:2, YOHANA 12:19....(nakuomba ufungulie Bibilia YUDA 1:4 ukimkana mola mwishowe motoni haya ni malazi ya wakafiri)
@hamzafishten95602 жыл бұрын
Kazi nzuri sana tunashukuru kwakweli
@mohdsaad27362 жыл бұрын
KUTOKA Qatar kwa kweli Tunafurahia Na kujifunza sana katika kazi zenu
@hassnakhamis34892 жыл бұрын
Hellow from Oman
@salimnjowoka43572 жыл бұрын
From abudhabi
@saidaswaleh84372 жыл бұрын
Kazi nzuri xana madebe..tunajifunza mengi kupitia ww . Allah abariki kazi ya mikono yko💞💞
@yasmeenaal41912 жыл бұрын
Tunaoangalia na kuzipenda move za madebe gonga like hapa
@nurafedrick3782 жыл бұрын
🙆🏻♀️🙆🏻♀️🙆🏻♀️🙆🏻♀️🙆🏻♀️🙆🏻♀️🙆🏻♀️🙆🏻♀️🙆🏻♀️tabia yamama kumbee🙆🏻♀️ chafuuuu ndomtoto ameshika mwendo.wamama mama hajatulia
@khadijakassim43612 жыл бұрын
Upo vizuri madebe shuklan Sana 🙏
@ashurahassan12932 жыл бұрын
Maashaallah😍 movie nzurr sana Mr.Madebe Allah akujaa'lie zaidi na zaidi
@mwakaribukhamisi7036 Жыл бұрын
Wale maharusi watarajiwa kama mm tukaribie darasa huru❤❤❤❤.. kazi safi kaka madebe
@f-wyoutubechannel2 жыл бұрын
Bwana Medebe Uko visuri sana hendeleya kaka unazidi kutufunza kwa kazi zako
@maulidsaleh80592 жыл бұрын
Ambao tupo pamoj gonga like hap
@stellankoswe71742 жыл бұрын
Nmejifunzaaa jamniiii asanteeen wotee🥰🥰🥰🥰
@mwanatumuali22382 жыл бұрын
Unaladha yako kabisa kwenye hii tasnia,safi sana LP
@mauwarashid48232 жыл бұрын
Ongera kaka madehe kazi safi sana
@hadharaalli52012 жыл бұрын
Hahahaha 🤣🤣🤣 madebe big up Sana unanifurahisha na misemo Yako unampinzank Tanzania Eli umempa moyo wako wakat yeye alihitaji mwili ,,na eeti umeacha kufunzwa na kungwi umefunzwa na shangingi hahaha Asante madebe
@manchesterunited60762 жыл бұрын
Lidai fundi always movie zako Zina mafunzo mashallah
@dr.bonye12 жыл бұрын
Mwalimu madebe lidai katika masomo yako yote haujawai kuferisha wanafunzi wako tupo pamoja nawe inshaallah 🙏
@halima72552 жыл бұрын
Nakuamini kaka mungu akubari na kazi zako namubarikiwe nyote pia❤️❤️❤️
@zaitunlipule44102 жыл бұрын
Kazi nzuri madabe
@anithahaule60902 жыл бұрын
Nyimbo tu mi hoi ❤️❤️❤️ Movie tamu Sana
@ingenieurkarim33552 жыл бұрын
Elim hii zaidi ya chuo kikuu, MADEBE kwako wajifunze
@annamamaalpha82952 жыл бұрын
From Burundi kazi nzuri sana
@margaretmay58402 жыл бұрын
From kenya movie nzuri sanaa
@kimuratv2552 жыл бұрын
Madebe huna mbaya vov zako zina funza sanaaa
@sabihahamadi22872 жыл бұрын
Mashallah mwenyezi mungu awabariki
@merrygrandes63002 жыл бұрын
Mbona mbali sana unanipa makasiriko
@nurafedrick3782 жыл бұрын
Ameonekana mmmmmm kazi ipo
@petermakas14572 жыл бұрын
Uko vizuli Sana madebe nakubali sana
@isheali5462 жыл бұрын
Kaz nzuri
@alimwadima254 Жыл бұрын
Maneno yenye mizani bwana madebe...🤝👊
@mubeshasana19232 жыл бұрын
Hongera kwa kazi hii uifanyayo 🙏🙏
@Nyangondeog2 жыл бұрын
Kazi nzuri 💪 broo 👏👏
@hamzafishten95602 жыл бұрын
Kazi nzuri mwalimu
@ahmedabdousalim5361 Жыл бұрын
Mr madebe your the best
@sungwevalentin7432 жыл бұрын
Aisee mmenifanya nifatilie movies zenu from usa 🇺🇸 thanks so much
@erinestmafie35302 жыл бұрын
Namkubali sana uyu mtaalam sana
@directorkakoso2 жыл бұрын
Continue
@saudamapenzi38802 жыл бұрын
Allah bless your work
@samiaarimkonekonko50962 жыл бұрын
Asante sana madebe🙏🙏❤️❤️❤️
@goldenboytiger7992 жыл бұрын
Mkuu Kazi nzuri
@manonipulasayida4792 жыл бұрын
Facts, filam hii nimeikubali pongezi kwako Madebe
@neemazee18642 жыл бұрын
Mnatuwwka xna jmn 😔😔😔😔🔥🔥🔥🔥🔥
@rachelmartin5162 жыл бұрын
Tamu sana jaman 😘😘😘
@preciousmohmed73722 жыл бұрын
Oyoooh mkole wa bure kabisa ✊🏽🤗
@saumumaganga35902 жыл бұрын
Kbsa yani
@ezekielmeshack83872 жыл бұрын
Finally 🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️ we love you brother
@suleimankatana39092 жыл бұрын
Kazi nzur madeb muendelezo
@waenylily85372 жыл бұрын
Napenda sana kazi yenu💯
@nurafedrick3782 жыл бұрын
Kupiga.sio suluhishoo
@southpole13782 жыл бұрын
Madebe lidai, mbona mdaa mchache sanaa duh kitu kizuri sanaa
@ndousoally15322 жыл бұрын
Kazi mzuri sana
@wilsonmadawa3702 жыл бұрын
Kazi safi sana
@priscadaudi10012 жыл бұрын
Mafunzo mazuri big up madebe
@francisamos-fo3bc Жыл бұрын
Namkubar Sana jmaa
@hamidayanga82242 жыл бұрын
Mambo hayooooo🔥🔥💃💃
@rammario88652 жыл бұрын
kazi nzuri kaka
@abasimfaume30912 жыл бұрын
Madebe unajua hatari sna ww mwamba 💥💥💥💥
@shebylove37982 жыл бұрын
Naqbr Sana brother
@EdwinJohn-vo8uf Жыл бұрын
Tunao kubali talent ya madebe piga like
@mwangamediasimoncephas2 жыл бұрын
Kazi safi
@halimashaib91022 жыл бұрын
Kawaida kitu kikiwa kitamu huwaga unaona ni kidogo au mda mchache. Hebu basi tuongezeni japo robo saa
@SYLMASVISIONFORSCIENCE Жыл бұрын
Ama hakika inafundisha saaaanaaaaaaaaa
@winboy84862 жыл бұрын
From congo, nakukubali sana madebe movie kali iyo.
@hassnakhamis34892 жыл бұрын
Dah mama wame mueka sehemu husika uwiiiii
@mauwarashid48232 жыл бұрын
Kazi mnzuri jamani ongereni
@janethkomba44852 жыл бұрын
nyimbo zako uwa nazipendaaa ila fupi,,,,,🙏
@fredymbawala62912 жыл бұрын
Nakubali Sana madebe kwa kauli zako tata,,,, inawezekana ww umempatia moyo mzima kumbe yeye kachukua mwili tu🤣🤣🤣🤣🤣
@PH107352 жыл бұрын
Asant snaaaa 🙏🙏
@edwinjohn63342 жыл бұрын
Haya tulio kuwepo kwanye matusi na sasa tuko mbilini tujuane kwa like
@donofficialtz2 жыл бұрын
Hakika sitakuja kukupinga katka kazi zako labda penye mapungufu nitakosoa
@jumakandy20752 жыл бұрын
Madebe huna mafunzo mazuri sana 👌👌👌
@alexkipkemboi93072 жыл бұрын
Kwangu ni hongera sufufu kwako kakangu madebe.
@safarikatana88622 жыл бұрын
Safi sana👏👏
@NiderTV2 жыл бұрын
Lidai kama Lidai Madebe Aminia Mwamba Always greatest is greatly
@khdigahk42462 жыл бұрын
Madebe madebe madebe tenaaaaa
@ubasalim11482 жыл бұрын
Upo juu madebe
@fulahaluwole97042 жыл бұрын
Kazi nzuli
@patrickkapishametod86312 жыл бұрын
nawachek 2 from mpanda katavi
@elvisk76802 жыл бұрын
Huu wimbo matatizo running in the background I wish kama ingekua the theme song mbilini...ingukua classical sana
@tundunguotv96922 жыл бұрын
Na mm sijachelewa wadau nataka kumuona mama mkwe mtambo
@omarykamendu46742 жыл бұрын
Naipata vizuri sana!
@janethjoseph1502 жыл бұрын
Namkubali sana Madebe
@Ummukul-thumGulam Жыл бұрын
Misamiat unayoitumia naipnd sn il tfsr y misamiat n temthl unzztmia znnfny nzd kzpnd flm zako mn unaongea ukwel n uhlsia ktk maisha yt❤
@aishaabdallah45602 жыл бұрын
MashaaAllah madebe ana maneno yenye maana kwa mwenye kuyatilia maanani
@hamisishabalala_sneper69912 жыл бұрын
Daah mwendelezooooo
@consolateurmgeni67722 ай бұрын
Bembe to Thé World 🌏💪🇨🇩 lidai 💔
@pascopetter3032 жыл бұрын
Very nice
@Ummukul-thumGulam Жыл бұрын
Hngr u are the good actor❤ mnn y busr ulyytmia implkea kutfny mng tuelw n tjfnz kutk kwk ❤mol akulnd sn kiongz il uwz kfk mbl zaid ❤
@latifaomary17692 жыл бұрын
Madebe hii move ni maisha yangu kabisa..Yan nimepitia haya maisha hiv hiv mwanaume ananipenda lakin mm sielew Yan sitak hata kua nae nataka nirud kwetu .ikafika hatua nadai talaka mwanaume atak kunipa had nirudishe Mahal yake na nilimpa ilimlad tu nikakae kwetu kwnye ndoa naona tabu ..had sasa nipo kwetu chamoto nakiona
@bennyprosper90502 жыл бұрын
Poleee sana
@salimkadenge32312 жыл бұрын
Safi sanasana
@maquizonlinetv31502 жыл бұрын
Kazi Mzur
@adamsiwakwi86912 жыл бұрын
Kazi nzuri ndoa ndoano mimi sioi tena
@shishisia18782 жыл бұрын
Ko cc tusiolewee mana nd unatukataa ap
@baysuraoman79102 жыл бұрын
usiseme ivyo kaka kalibu kwangu❤
@adamsiwakwi86912 жыл бұрын
@@baysuraoman7910 nipe number zako za whatsapp
@baysuraoman79102 жыл бұрын
Nipe zako kama utojali
@baysuraoman79102 жыл бұрын
Mana zangu sizijui vizuri au una fb km unayo watumia jina gani