MBILINI Sehemu ya nne (4)

  Рет қаралды 179,056

Madebe Lidai

Madebe Lidai

Күн бұрын

Ni filamu inayozungumzia maisha ya ndoa na imetengenezwa na MALIMEDIA huku ukiongozwa na MADEBE LIDAI
Kwa maoni au Biashara
call us whats app
+255765111116

Пікірлер: 294
@aishaimam1442
@aishaimam1442 2 жыл бұрын
Sio nzur sana kama ile inaitwa matusi
@imanipirfa225
@imanipirfa225 Жыл бұрын
Safi Sana madebe ww ni mwalimu bora
@mapitotv6837
@mapitotv6837 2 жыл бұрын
Angemalizia kwakumpigia mumewe goti mngetisha san,so far it's nice message congratulations guys 🇧🇮🤝🤝🤝🇧🇮
@mussacharles5311
@mussacharles5311 2 жыл бұрын
Madebe nakuelewa sana kaka.
@yusraabdallah6298
@yusraabdallah6298 Жыл бұрын
Hongera Sana mpo vizuri ndoa nimitihan tunataman tukupate tukupe historia yandoa zetu ngumu naushauri wako
@ChibuDangonte
@ChibuDangonte Жыл бұрын
Ukooo juu madebee munguuu akuzidishiee kakaa yanguuu
@rachelmacha9522
@rachelmacha9522 2 жыл бұрын
Huyo mama yupo vizuri kwenye uigizaji big up 👍
@joycefanuel841
@joycefanuel841 2 жыл бұрын
Asantee kwa niaba yake🙏
@mariamungendakumana6887
@mariamungendakumana6887 2 жыл бұрын
MASHA ALLAHU. MAFUNZO TOSHA KBS SHUKURANI. ALLAHU AKUHIFADHI WEWE NA FAMILIA YAKO INSHA ALLAHU TUMEELIMIKA
@mzungumayela7717
@mzungumayela7717 2 жыл бұрын
Jamani movie nzuri ,sema imeishia patamu
@hassanimussa5776
@hassanimussa5776 2 жыл бұрын
Madebe hii song tuwekee tafadhli ina ujumbe sana
@samuelokeyo8839
@samuelokeyo8839 2 жыл бұрын
mashaAllah madebe Lidai kazi saf sana
@AbdubRamata576
@AbdubRamata576 2 жыл бұрын
hongera sana ndugu nmejifunza zaidi
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 2 жыл бұрын
Nzuri Sana Nakubali bro keep it up
@Africanculture255
@Africanculture255 2 жыл бұрын
na kaa chini nawaza ivi madebe amejuaje maisha nnayo pitia mm naona kama hii move ametumia story ya maisha yangu wallah
@officialflexis
@officialflexis 2 жыл бұрын
Mtunzi wa hiki kipindi ni star
@ibrahimmagela2322
@ibrahimmagela2322 2 жыл бұрын
Hi ndo kazi sahihi ya sanaaa kzi nzuri madebe big up apa umeelimisha jamii
@godblessyexaudnkyale20
@godblessyexaudnkyale20 Жыл бұрын
Watanzania Tunajivunia uwepo wako madebe lidai Tuko pamojaa❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏
@margaretmay5840
@margaretmay5840 2 жыл бұрын
Hako ka wimbo mashallah kuna kitu nimejifunza hongera madebe lidai
@saidaabudula565
@saidaabudula565 2 жыл бұрын
Big up snaa madebe hujawah niangusha kwenye move zako 👍👍👍👍👍
@officialjacobs5556
@officialjacobs5556 2 жыл бұрын
Classic! One of it's kind. Mob love from lodwar Kenya. Endelea kuelimisha jamii madebe.
@zainabuhamisi6740
@zainabuhamisi6740 2 жыл бұрын
Hongere sana umetufundisha kitu
@aishatanzania1194
@aishatanzania1194 2 жыл бұрын
Mm napendrah nyimb jmn hlf ni funzo zuri sana
@aliceirakoze9542
@aliceirakoze9542 2 жыл бұрын
Asanten sana jamani mwendelezo
@halima7255
@halima7255 2 жыл бұрын
Daaaah yani ume ikatili ikitu madebe mana zuri sana mubarikiwe wote ❤️❤️ ongereni sana kwakazi yenu zuri sana ❤️ ❤️💯
@u-thantmaijo5134
@u-thantmaijo5134 2 жыл бұрын
daaah,inagusa sana congolaturation madebe lidai,hujawahi feli,japo.kidole.kapewa maneno makali sana had huruma mweeee
@neemazee1864
@neemazee1864 2 жыл бұрын
Daaaah inachelewa xna yn
@mteamtea1962
@mteamtea1962 2 жыл бұрын
Madebe brother unatoa kazi mzuri hila dakika chache
@eliasmaziku1841
@eliasmaziku1841 2 жыл бұрын
Kazi imekaa mahala pake mr. Madebe mwana wa Lidai. Congratulations nyingi sana 🤴
@erickbriton4905
@erickbriton4905 2 жыл бұрын
Uwa nakufatilia sana mzee wangu madebe
@kaileytyler9502
@kaileytyler9502 2 жыл бұрын
This blogger is a liar, he took our money, but he can't do anything, don't believe him, we keep all the chat records and evidence, the blogger has not responded to my messages, don't believe a liar's lies, I It will expose you on KZbin, and you don't have to want to receive any ads in the future
@alimwadima254
@alimwadima254 8 ай бұрын
Saa nyengine inakubidi ufanye maamuzi magumu ili maisha yaendelee...One luv Lidai
@josaphatmwishakibancha611
@josaphatmwishakibancha611 10 ай бұрын
Kiukweli filamu hii imenifunza na imenijenga kweli kweli,madebe Mungu akujaze
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 жыл бұрын
Ostaz muuza kahawa unajua sanaaaa duh hatali #AVATASTAR255 🎼🎵👈
@manchesterunited6076
@manchesterunited6076 2 жыл бұрын
Mashallah msg nzuri sana hizi ndio filamu zinazo Jenga tamaduni na asili zetu waswaili
@mohammedabdalla4141
@mohammedabdalla4141 2 жыл бұрын
Dah hakika Allah kakubarick kipaji usiache kumshukuru. na tunakuombea kwa MUNGU Azidishe juhudi kwko na uzidi kutuelimisha. hakika hili ni funzo tosha yani.
@mujarifuwiliam6511
@mujarifuwiliam6511 2 жыл бұрын
kawimbo superb sanaa
@nahyamateru3645
@nahyamateru3645 2 жыл бұрын
Ongeraa sana kaka madebe unatowa vitu vya uwakika🥰
@ibrahimchombo8076
@ibrahimchombo8076 2 жыл бұрын
Naitwa Ibrahim kutoka Mombasa Kenya. Mimi Ni shabiki yako naomba yamba zenu ya whatsapp
@maswi_magige
@maswi_magige 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@BIGbone.9422
@BIGbone.9422 2 жыл бұрын
Kuachana shilingi mia nne 😂 Galasa kama Galasa, Madebe family mpo juu sana
@halimaabasi3890
@halimaabasi3890 2 жыл бұрын
😆😁
@ashurahassan1293
@ashurahassan1293 2 жыл бұрын
Daaah Mr.Madebe jazaaka llah khayr
@neemamwampashi2404
@neemamwampashi2404 2 жыл бұрын
heeee ndo mwishoooooo
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 2 жыл бұрын
Majanga kamwe tunasubir inayofuata kumbe mwisho
@ishakaira7968
@ishakaira7968 2 жыл бұрын
Daah asantee wasanii maana hii c burudani tu ni somo pia
@ishakaira7968
@ishakaira7968 2 жыл бұрын
Hii movie imenitoa machozi kwa maneno ya baba hakika asanten sana wasanii wetu kwa SoMo hili c burudani tu
@petermazikumaziku57
@petermazikumaziku57 2 жыл бұрын
Tunapenda Sana'a movie zako brother
@janethkomba4485
@janethkomba4485 2 жыл бұрын
Dooo kidore kapewa maneno makali mpak Mimi uku niliko natamani niludi mbilini naako kanyimbo tukabisaa kamenipagawisha 🙏
@erickbriton4905
@erickbriton4905 2 жыл бұрын
Nakufatilia sana mzee wangu madebe lidai kazi nzuri sana
@jamesally8908
@jamesally8908 2 жыл бұрын
🤝 mungu akufanyie wesikwakila jambo manatunaelimika nakuburudika asante kakakwakazimzuli 👍
@jacklinechuga2569
@jacklinechuga2569 Жыл бұрын
Mungu azidi kukubarki
@christianmwita5925
@christianmwita5925 2 жыл бұрын
Madebe ufany vzr san hongera... na nyimbo zenu ni nzur san.
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 2 жыл бұрын
Mbilini kazi mzm kk madebe mungu azidi kukubariki sana🙏🙏🙏🙏
@neemazee1864
@neemazee1864 2 жыл бұрын
Madebe mnachelewa jmn daaaah
@shebychazy3589
@shebychazy3589 2 жыл бұрын
Kazi nzuri san madebe 🔥🔥🐘
@khalidally1241
@khalidally1241 2 жыл бұрын
Madebe kazi nzur sana hii ina ujumbe adhim sanaa
@gipsonstivin864
@gipsonstivin864 2 жыл бұрын
Weee boya madebe lidai unajua adii unakeraa My favorite actor from Tanzania
@johnnabie5445
@johnnabie5445 2 жыл бұрын
Mbilini 🔥🔥🔥🔥🙏
@asinasachu3947
@asinasachu3947 2 жыл бұрын
Ombi langu ucfunge made be wengine hu download halafu hutizama SAA nimetulia hongora mafunzo mazuri ongeza mda kidogo.
@alinotiwampe7420
@alinotiwampe7420 2 жыл бұрын
Uwendelezwaji wa Filam hi nimuhimusana inafundisha Sana pia nahipenda ihendelehe I am here Australia
@alinotiwampe7420
@alinotiwampe7420 2 жыл бұрын
Thanks
@meedyshow8807
@meedyshow8807 2 жыл бұрын
Madebe iyo sehem ya tano vp kaka adi mwezi uishe au ni vip
@sabrinasabrina3974
@sabrinasabrina3974 Жыл бұрын
limewashukaaa shuuuu mama
@shamimibrahim1089
@shamimibrahim1089 2 жыл бұрын
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@victajo9947
@victajo9947 2 жыл бұрын
Achana na umama tunaongea wanaume from madebe🔊🔊🔊
@emmanuelkalama65
@emmanuelkalama65 2 жыл бұрын
Kazi Bahali yake #madebe_lidai Jalali akuajalie maisha marefu
@dr.bonye1
@dr.bonye1 2 жыл бұрын
Mwalimu Madebe lidai sidhani kama kuna mtu anafeli masomo yako🔥🔥🔥🔥💯
@janethkomba4485
@janethkomba4485 2 жыл бұрын
Akuna kuferi yani%100
@Mateo_afya_bora_channel
@Mateo_afya_bora_channel Жыл бұрын
Inaishia sehemu gan
@rukiajuma7960
@rukiajuma7960 Жыл бұрын
Hiii nyimbo ya mbili ni nzuri ingekuwa vyema mukashare kama audio
@mwanarusi9818
@mwanarusi9818 Жыл бұрын
Mungu awabariki
@justustagiti5901
@justustagiti5901 2 жыл бұрын
Great job bro
@saidijiramandova3401
@saidijiramandova3401 2 жыл бұрын
Jaman na me nataka muniungee group la Swahili
@pascalwanjala7478
@pascalwanjala7478 2 жыл бұрын
I'm grateful of your entertainment brother, is full of lessons.
@nurafedrick378
@nurafedrick378 2 жыл бұрын
🤸‍♂️🤸‍♀️🤸‍♀️🚶🏽‍♀️🚶🏽‍♀️umama utaachaaaa
@paulkarol7018
@paulkarol7018 2 жыл бұрын
Nakukubari madebe mungu akutanguli katka kazi zako
@elpinamundi7372
@elpinamundi7372 2 жыл бұрын
Waiting
@janethjoseph150
@janethjoseph150 2 жыл бұрын
Nzuri sana aiseeee ila fupi sana
@neemamwampashi2404
@neemamwampashi2404 2 жыл бұрын
asante
@sixbetussebastian7990
@sixbetussebastian7990 2 жыл бұрын
Duuuu bonge la funzo ila mnachelewesha sana muvi aisee ila nimewakubali
@mwalolove1553
@mwalolove1553 2 жыл бұрын
Fantastic madebe lidai
@mamakejmamakej3285
@mamakejmamakej3285 2 жыл бұрын
Ni nzuri sana jamani
@hamisishabalala_sneper6991
@hamisishabalala_sneper6991 2 жыл бұрын
SAFI SANA LETE NYENGINE "MAHALI"
@fadhilimbileki2780
@fadhilimbileki2780 2 жыл бұрын
Acha nikuite tanzania one bloo unajua tunaomba mwendelezo
@thadeymgaya6149
@thadeymgaya6149 2 жыл бұрын
Kazi nzurii 😀
@othmanhajji4700
@othmanhajji4700 2 жыл бұрын
Hongereni sana kwa kutuburudisha na kutufunza mambo mazuri ila umesema kweli madebe
@sarijunior5850
@sarijunior5850 2 жыл бұрын
Bonge La Funzo..Hakika Tunapaswa Kujivunia Kipaji Chako👏👏
@josephjanuary8821
@josephjanuary8821 2 жыл бұрын
Nmekuelewa Sana kakaangu
@nurafedrick378
@nurafedrick378 2 жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄😄😄ameogopaaa hixoo laana za baba mmmmm akilikichwani wazaxi wakike tunajua kuharibia watoto ndoa kweli yani kama alifundwaaa na msungoo
@michaelcassian1635
@michaelcassian1635 2 жыл бұрын
Najivunia sana wewe brooh
@nurumohamed8271
@nurumohamed8271 2 жыл бұрын
nimecheka kula mbakishie baba ukaguse mstim daaa umenikumbusha mbali
@husseinshariff3652
@husseinshariff3652 2 жыл бұрын
mashallah mashallah madebe ww ni mkali mungu azidi kukubariki kwa akili yako
@tboykenya2146
@tboykenya2146 2 жыл бұрын
Hongera Sana madebe lidai nafatilia Sana KAZI yako zuri Sana..🔥🔥🔥nakutafta tuonane
@muddytv1513
@muddytv1513 2 жыл бұрын
Mwanamke gani yule wa kumng'ang'ania 🤣🤣🤣🤣 usoni kama mgongoni......Daaaah galasa umeua
@suleimanyussuph8463
@suleimanyussuph8463 2 жыл бұрын
MaashaAllah nafarijika sana nitazamapo filamu zako maana najifunza mengi sana Allah azibariki kazi zako
@samiaarimkonekonko5096
@samiaarimkonekonko5096 2 жыл бұрын
. Mashaallah asante sana🙏🙏🙏😘😘
@amaahtheo6402
@amaahtheo6402 2 жыл бұрын
Vry nice Brooh
@saraasatenisanasimlizimixc9232
@saraasatenisanasimlizimixc9232 2 жыл бұрын
Asate sana madebe
@ummishakii8322
@ummishakii8322 Жыл бұрын
Move zako zina adabu sana
@johnkay2316
@johnkay2316 2 жыл бұрын
waiting for it 🔥
@abdallahlupembe8423
@abdallahlupembe8423 2 жыл бұрын
Vizur sana kaka
@mapinduzimpunga8434
@mapinduzimpunga8434 2 жыл бұрын
Madebe movie zako mwishoni azielewek zinaishaje
@emmyyussuf9234
@emmyyussuf9234 2 жыл бұрын
Mashallah Mashallah nzury xanaaaaaaa✔✔💯
@spaikerspan7972
@spaikerspan7972 2 жыл бұрын
Nangoja ingine
@thomasnyarugembe1533
@thomasnyarugembe1533 2 жыл бұрын
😭😭😭 sio kwa majonzi Ila nashindwa kujizuia
@imaelisha9781
@imaelisha9781 2 жыл бұрын
Vzur haviwagi na malefu daah !!!, madebe n mwalmu wao
@abdullahiguyo7547
@abdullahiguyo7547 2 жыл бұрын
Haya ni Mafunzo kwa wana ndoa wote,Madebe nimependa sana busara wako,endelea kutufunza ...jinsi ya kuishi pamoja katika ndoa...wakati mwingine wasichana wasisikize mama peke yake mawazo ya baba muhimu..angalia vile babake kidole amemngangania mwanawe arejee mbilini,kazi nzuri sana...madebe
@mwinyihajjsalim4405
@mwinyihajjsalim4405 2 жыл бұрын
Mashaallah kazi nzuri ila mbna mnazidi kupunguza dakika kwenye hizi sehemu zinakua fupi sana kwanini inakua ivi.
@matokeokayanda7303
@matokeokayanda7303 2 жыл бұрын
mzigo umetulia sana...
MAHARI Sehemu ya Kwanza ( 1 )
16:23
Madebe Lidai
Рет қаралды 122 М.
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 64 МЛН
TETE (Official Swahili/Bongo Movie)
1:02:07
36 Pictures
Рет қаралды 219 М.
BAD FAMILY episode 1. ni movie nzuri ya kisasa Haijawahitokea Tanzania.
27:46
TUNAENDA KUOA
9:38
Joti TV
Рет қаралды 576 М.
DANGULO FINALSTARING; MADEBE LIDAI,MBWELA
25:58
MPAYU FILM
Рет қаралды 78 М.
MKWAJU Sehemu ya kwanza
23:39
Madebe Lidai
Рет қаралды 319 М.
NGONDO Sehemu ya Kwanza
19:51
Madebe Lidai
Рет қаралды 278 М.
VILLAZA ''Sehemu ya Kwanza''
26:47
Madebe Lidai
Рет қаралды 163 М.
MBILINI Sehemu ya Pili (2)
16:45
Madebe Lidai
Рет қаралды 200 М.
MBILINI Sehemu ya Kwanza (1)
13:20
Madebe Lidai
Рет қаралды 289 М.