No video

MADHARA YA KUMUOTA MBWA./ EFFECTS OF DREAMING A DOG

  Рет қаралды 12,036

MNAJIMU KULUTHUM  NA SIRI ZA NYOTA

MNAJIMU KULUTHUM NA SIRI ZA NYOTA

Күн бұрын

Пікірлер: 14
@Bahati-b1
@Bahati-b1 8 күн бұрын
Mbona mm sikii lolote sauti hakuna
@user-jf6xh8pc3e
@user-jf6xh8pc3e Ай бұрын
As aly kum mama yangu Mimi nimeota namuarisha mbwa amkamate mtu nikuwa namuoshesha huyo mtu kwamba mbwa huyu ukimuarisha kitu Ana fanya atafata maelekezo akawa anafanya nichomuarisha baada hapo akawa ana bweka kisha akakimbia kwenye nyumba moja ya gorofa kutoa msada kulikuwa kumetegeshwa bomu watu waliyokuwa wanaishi humo bosi mchina pia na waswahili pia je mama ndoto hii ina maana gani
@JudithWanyonyi-cp6mq
@JudithWanyonyi-cp6mq Ай бұрын
Ukiota unaona mahiti kwa jenesa kisha mukatupa mahiti musutuni umbwa wengundu wanakula maiti
@Vailethmkisi
@Vailethmkisi Ай бұрын
Mama me nimetoa makund makubwa ya mbwa Yan kama marikia
@user-ne9sf7ed5q
@user-ne9sf7ed5q 4 ай бұрын
Mm juzi nimeota umbwa mkali sauti ilitokea ya mtoto akisema huyo umbwa anauma watu alipofika karibu kuniuma aliniangalia usoni na kuondoka hii ilinishitua
@angle3600
@angle3600 2 жыл бұрын
Mwengine amesema ukiumwa na m'mbwa ni dalili mbaya ya kutupiwa uchawi wa kijini,ok asante madam
@pilijuma2913
@pilijuma2913 Жыл бұрын
Wanatuchanganya
@saidsultan1927
@saidsultan1927 Жыл бұрын
Nimeota napita sehemu Kuna mbwa kafungwa mnyororo nje ana mbekea mtoto lakini niliposogea Mimi pale alipo huyo mbwa akawa habweki na kafurahi na Mimi yule mbwa kwenye Ndoto nini maana yake
@salmamohammedyahaya6098
@salmamohammedyahaya6098 Жыл бұрын
Me nimemuona mbwa njiani amlibeba mnzigo ghafra alivyonipita akaanguka mbele yangu ,na akiwa mnzigo umeanguka na anatapatapa kama anakufaa katoa macho. Nini sijui hiii ? Mam
@user-vt9uz2fb3w
@user-vt9uz2fb3w Жыл бұрын
Na ukiota unalisha umbwa ina maana gani
@djyondergigi1027
@djyondergigi1027 2 жыл бұрын
A aleikum mimi nimeolewa niko na bwana lakini hakuna masikizano kabisa katika ndowa yetu Na nikaota bwana yangu ananipa talaka Ndiyo nini maana yake ? Ya ndoto kuota bwana ana kupa talaka . Shukran
@djyondergigi1027
@djyondergigi1027 2 жыл бұрын
A aleikum mimi nimeolewa niko na mume Lakini kama sina mume kwa Sababu vita na kugombana kila wakati Na pia niliota mume wangu amenipa taka maana yake ndiyo Nini ?
@mariamharoon1840
@mariamharoon1840 6 ай бұрын
Mimi pia nimeota umbwa kazaa
@user-te7dh4qv2j
@user-te7dh4qv2j 8 ай бұрын
Mimi Natalie mara kwa mara kuna seems naphtali pana mbwa wengi wakubwa wananifukuza na his ndoto naota mara nyingi
SIRI KUBWA UKIOTA UNAKULA.SEH 2
8:53
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 1,2 М.
Ndoto za Mbwa na maana yake (@MTAVASSY TV TANZANIA )
6:35
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 29 М.
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 29 МЛН
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 40 МЛН
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 11 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 46 МЛН
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 12 МЛН
TAFSIRI YA NDOTO UNACHEZA MPIRA
5:37
ELIAS JERUSALEM
Рет қаралды 10 М.
UKIOTA UNA NYONYESHA INA MANISHA NINI?
12:30
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 13 М.
JE! UNA ANDAMWA NA NDOTO CHAFU
7:28
MNAJIMU KULUTHUM NA SIRI ZA NYOTA
Рет қаралды 315
KUOTA MTU ALIEFARIKI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
5:05
Fauz Production
Рет қаралды 226 М.
BEAUTIFUL MORNING DUA | For Protection| Blessings| Rizq | Tasbih | full | Omar Hisham|
27:31
EthioQuran اثيو القرآن
Рет қаралды 3,1 МЛН
Namna Ya Kuoga Janaba /How to perform Janaba - PART 4
11:52
TEAM ALI DOCTOR
Рет қаралды 445 М.
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 29 МЛН