TAFSIRI YA NDOTO UNACHEZA MPIRA

  Рет қаралды 13,083

ELIAS JERUSALEM

ELIAS JERUSALEM

Күн бұрын

Пікірлер: 38
@marymutindi-iy4uh
@marymutindi-iy4uh 9 ай бұрын
Asante mtumishi
@dicksonkimaro1769
@dicksonkimaro1769 2 жыл бұрын
Kaka nakumbuka kuna cku bhana uliwai kuniambia uliota juu yangu kwamba umenikutavkatika hali flani hivi ya kimaisha ambayo ni nzuri sana iimaana yake nini mtumishi. Ndugu yako apa Dickson kimaro
@eliasjerusalem3978
@eliasjerusalem3978 2 жыл бұрын
Ile ukifanya kaz kwa bidii Mungu anakupeleka mbali Mungu anaenda kukubarki bro Damu ya Yesu krsto ikufunike kaka
@eliasjerusalem3978
@eliasjerusalem3978 9 ай бұрын
Maana yake wewe ni kiongozi Mtu wa Mungu na Unaitaji uwongozi wa Mungu akuongoze Maana wewe ni Nguzo maana Mungu anambariki mtu nakupitisha baraka zake kwajili ya wengine❤❤❤
@sophias3334
@sophias3334 7 ай бұрын
Asante ubarikiwe
@vallentinemideva3557
@vallentinemideva3557 2 жыл бұрын
Naomba unijibu kaka nliota nacheza na watoto mpira bahada ya mda kidogo nkaona tena vijana wakubwa wamechukua uwo mpira wanacheza🙏maana yake tafadhali
@eliasjerusalem3978
@eliasjerusalem3978 9 ай бұрын
Maana yake kuna ktu cha thamani Mungu kakupa lakini wewe ujakuwa nacho siriaz na kuna watu wanawinda icho ktu cha thamani ùlicho nacho waibe MUOMBE MUNGU AKUKUTANISHE NA WATU SAHII ngoja nikupe mfano alie gundua Tigo pesa M.pesa ni mtu mwengine wanao faidi ni watu wengine Nakukuombea kwa jina la Yesu wewe haki yako aita ibiwa UBARKIWE SANA
@trucillahnyaboke9635
@trucillahnyaboke9635 Жыл бұрын
Amen 🙏
@MoiseNgoy-tv1mc
@MoiseNgoy-tv1mc 9 ай бұрын
bonsoir à tous
@FaithNgazi
@FaithNgazi 11 күн бұрын
Niliota mimi Na wachezaji wengine tulikuwa tunafanya zoezi kwa akili YA kucheza shindano la mpira
@Ligerthecashmuller
@Ligerthecashmuller 2 жыл бұрын
Nliota nimefunga bao classic
@eliasjerusalem3978
@eliasjerusalem3978 9 ай бұрын
Saf sana hii ina maana nzuri
@Gulio-o5e
@Gulio-o5e 2 ай бұрын
Nimeota nataka kupiga mpira mazingira ya nyumbani ila mabeki wametanda
@sophiajacksonjacksonmeshac1468
@sophiajacksonjacksonmeshac1468 Жыл бұрын
Asante
@williamnyenyembe8968
@williamnyenyembe8968 4 ай бұрын
Mimi nimeota nacheza mpira alafu naanguka nakufa
@Kisakhye
@Kisakhye 5 ай бұрын
Nmeota nacheza mpira nikashinda
@eliasjerusalem3978
@eliasjerusalem3978 4 ай бұрын
sawa
@evalinekimaro324
@evalinekimaro324 2 жыл бұрын
Unazngua wew
@eliasjerusalem3978
@eliasjerusalem3978 9 ай бұрын
⚰♠️
@farrystudios7824
@farrystudios7824 8 ай бұрын
Vipi kuhusu za shule
@eliasjerusalem3978
@eliasjerusalem3978 8 ай бұрын
@@farrystudios7824 ikoje
@VayyCute
@VayyCute 6 ай бұрын
Mi nimeota natizama mpira team ya naijeria wanacheza na Uganda mi naishabikia naijeria tena wamekuja kuchezea tanzania na mi niko uwanjani kabisa maana yake nn
@Desire-wn9iv
@Desire-wn9iv 5 ай бұрын
Nimeota mtu ananiomba mpira achecheza nikampa akacheza baadaye akanirudisiya mpira
@pameladonald5160
@pameladonald5160 2 жыл бұрын
Naje ukiota umefunga magori
@eliasjerusalem3978
@eliasjerusalem3978 9 ай бұрын
saf hiyo ina maana nzuri
@roseombay2086
@roseombay2086 Жыл бұрын
Ukiota unacheza mpira uwanjan na unafunga sana magoli maana yake nini?
@eliasjerusalem3978
@eliasjerusalem3978 9 ай бұрын
hii ina maana nzuri saf
@EvodiusKijuka
@EvodiusKijuka 4 ай бұрын
Ukiota x wako anacheza mpila kila akicheza anaulenga unakujia ila nawewe unauludisha kwake inamaana gani mtumishi
@eliasjerusalem3978
@eliasjerusalem3978 4 ай бұрын
@@EvodiusKijuka Migogoro kati yako na yeye isiyoisha
@samwelikissima9463
@samwelikissima9463 2 жыл бұрын
ukiota umefunga goli alafu wenzako wanakushangilia je?
@eliasjerusalem3978
@eliasjerusalem3978 2 жыл бұрын
Kuna jambo zury litatoķea mbele yako wewe utakuwa ni barka ata kwa watu wanao kuzunguka. Sasa ombea uwo mujiza ambao Mungu atakutendea omba ekima pia kwene ilo jambo kama nikazini au biashara au shule utakuwa na kubali na umaharufu sasa ili shetani asiaribu maombi ni Muhimu na kuzidi kuzishika Amri za Mungu
@fridayuda9577
@fridayuda9577 2 жыл бұрын
Mie niota nipo ktk kiwanja kipo karibu na mlima nikapiga shuti mpira ukaenda juu saana, sijui inamana gani
@neymakubi173
@neymakubi173 Жыл бұрын
Mimi huwa naota watu wengine ndoa wanacheza mpira mpila unatoka nje mimi naukimbilia nawarushia hii ndoto ina nitesa sana nijibu mama yake
@Brightsimwanza-v5r
@Brightsimwanza-v5r Жыл бұрын
Niliiota naukimbiza mpira ulikuwa unakimbia Sana kulikuwa na mteremko mkali lakn nilikua nakimbia nao sawa
@Brightsimwanza-v5r
@Brightsimwanza-v5r Жыл бұрын
Nini maana ake? Mtumishi
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
DUNIA (Ep 34)
27:36
ASMA FILMS
Рет қаралды 286 М.
UKIONA HIVI JUA NYOTA YAKO NI KALI KULIKO WATU WENGINE
8:16
FAFANUO MEDIA
Рет қаралды 36 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН