Nimealewa hio ndoto, Nami nimeata na munyonyesha mtoto na tulikua na wanawake we wenzangu. Inamaana gani?
@BetishebaMasaba-pm5te5 ай бұрын
Mimi nimeota nanyonyesha mtoto ila sijui jinsia gan ila alikua ananyonya 😢😢😢😢Duuh ila hii dunia
@syliviabaruti4660 Жыл бұрын
namimi nmelala nikaota nanyonyesha mtoto wangu mwenyewe and nilkua happy sana na ni kiume na alikua anaonekana yuko very healthy
@WinnyElias-eh1im7 ай бұрын
Vip
@mariamsamwel2750 Жыл бұрын
Mm niliota ila titi Moja maziwa na lingine nikimpa linatoa maziwa ya damu nilirudisha Hilo lingne linatoa maziwa na akaanza kukuwa haraka naomba uniambie
@dayanaamoit6951 Жыл бұрын
Mimi, naomba unisaidie, nimeota nanyonyesha mtoto wa kiume na alitakuwa kuuwawa, ila nikamnyonyesha kabla wamuue.
@aminamembeyu5857 Жыл бұрын
Mimi naota ndoto yakunyoyesha watoto pacha imekuja mara mbili na nyengine naota nimezaa mtoto Moja lkn sikuwa na maziwa nielezee inamaanisha nn
@severinaseverinanyoni707 Жыл бұрын
Mm nimeita nanyonyesha mtoto wa kiume ingawa ninae wa kiume ila kashakuwa mkubwa ila leo nimeota nanyonysha mtoto wa kiume tena maziwa yote
@gracemathias-ub1dj6 ай бұрын
Nimeota nimebeba mtoto was kiume mzuri ila was kiume eti Nini maana yake
@lucyouma1021 Жыл бұрын
Habari ya leo?mm kila mara naota nikiosha mtoto kama amejipupulia n mm cna mtoto naomba unijibu n c siku moja
@aminamembeyu5857 Жыл бұрын
Leo pia nimeota nanyonyesha mtoto na Niko na Moja saai
@mwaniaiddy4528 Жыл бұрын
Me ni jamzito lakin nimeota nimejifungua na namnyonyesha uku tunachekaa nn mahan yake
@JessiiShii-gs4jo9 ай бұрын
pastor niliota nikinyonyesha dadangu mdogo nasina mtoto
@nancyapua8204 ай бұрын
Niota nikimnyosha mtoto akashiba kabisa
@user-fr5oh2yl4u Жыл бұрын
Nimeota nanyonyesha mtt wakiume namaziwa yanatoka
@shaydamugusha-ki2oj10 ай бұрын
mi nimeota nanyonyesha mtoto wa kike nini maana yake plz nitafsilie pastor naomba
@buhitexmohamed4785 Жыл бұрын
Ukiota unanyonyesha mtoto wako aliye wacha knyonya
@ElizabethPaulJr-tk7zp8 ай бұрын
Mimini mjamzito nimeota nanyonyesha mtoto nni
@WinnyElias-eh1im7 ай бұрын
Vip
@angelinatryphone615210 ай бұрын
Pastor nimeota ninamwaga chumvi kwenye shimo la choo nikaona Niko kwenye Hilo shimo la choo linakina kifupi nikawa nakoroga lengo kititie chaajabu kinyesi kilipanda juu kufurumia nilikuwa nimevaa miguuni gambuti kinyesi kikavuka gambuti kikagusa miguu yangu nikatoka nje.nini tafasili yake pastor