Amen mtumishi Mwako mmja nyuma niliota nimeota nakula nyama ya kichwa cha mtu jaani siku iyo sku yangu ilialibika kabsa kuanzia usku baad ya kuota na sikupat usingiz niliamka na kuanza kuomba na mate mdomoni hayakuisha (kichefuchefu) nilizid kuomba siku adi sku lakn niliona kama napoteza mwelekeo nikazima lakn skuacha kumshukru Mungu nakuomba Mtumish unayosema nikwel
@petermunuo1657 Жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@neemataris32739 ай бұрын
Mafundisho mazuri Mungu akubariki
@leahjoseph4381 Жыл бұрын
Mungu wangu jamani , Mungu akubariki Sana baba
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Hallelujah
@christermlewa8471 Жыл бұрын
Nisaidie mtumishi uvimbe hauishi kwenye tumbo langu,namtafuta mtoto inashindikana
@samoskiyalo6095 Жыл бұрын
Hongera sana tena sana si kaktika uweza wako isipokuwa uko pamoja na Bwana ,Bwana akufiche na kila maaduwi ,ufundishe we ngi na kuwaombea wafunguliwe .by pastor Kiyalo TDM
@LazaroMkungilwa-jy1mv Жыл бұрын
Amina mtumi yaani Mimi hata hapa navyoandika nimetoka kuota ndoto nakula ,,kanisa lako lipo wapi
@leahjoseph4381 Жыл бұрын
🙏
@salomepetermasanyiwa2253 Жыл бұрын
Pasta mi Kila Mara naota nakula chakula
@christermlewa8471 Жыл бұрын
Nina hiyo shida pastor mpaka ikifika usiku naogopa kulala
@zeddyzeddy3350 Жыл бұрын
Kila mara nalishwa ndotoni
@lillianleon3898 Жыл бұрын
Mtumishi huota waliokufa,ama mtu Yuko hai lakini kwa ndoto eti amekufa
@naimakaguo3773 Жыл бұрын
Eeeh Mungu tusaidie watoto wako,, haya mafundisho yamenifumbua macho. Mtumish tufafanulie na hii ndoto ya kuota kijijin na ww haupo hko miaka mingi, na kuota watu waliokufa (unaowafaham)wanakusaidia linapotokea tatzo