- S01EP42 - Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum Dokta Kuluthumu Salim Ndee maarufu kwa jina la Dk Love ni mnajimu wa nyota nchini. Tembelea Facebook account / utabiriwanyota
Пікірлер: 11
@Daphne3623 жыл бұрын
Daaah😭😭😭😭😭😭hiii imenilenga mimi haswa😭😭😭😭😭😭😭yani pesa yangu haikai hata sina kitu cha maana
@momonyange6513 Жыл бұрын
Mmh!! Jaman mbn ni mimi huyu napanga mipango siifanyi tunapataje msaada?!!
@jumahmusonda1363 жыл бұрын
Asalam alaikum madam am in zambia
@alexkalonga36323 жыл бұрын
Apa nasemwa Mimi jamn
@agapejosceline76833 жыл бұрын
Nami pia sikai na pesa hata nipokeee kiasi gani Tuletee suluhisho kwa hili jambo
@trippleepluse3303 жыл бұрын
Nikweli
@joycejohn77543 жыл бұрын
Na nikizitunza sipat
@joycejohn77543 жыл бұрын
Mim huyu jaman sikai na hela ndan nikipata tu nawashwa kufanya jambo
@evalinadickson90673 жыл бұрын
Asalam alykum, Samahan Mimi leo nimeota mtoto mdogo yupo karibu yng nikawa namfukuza, Mara naota watoto wanapita huko nje wanaongea lkn Ni ucku nastuka ucku huu hakuna mtoto pembeni yng, Wala wale wanaongea cwackii Tena hapo nikakaa macho nikafikiria ckupata majbu yule mtoto kwenye njoz hajachukia wakat namfukuza Tena huyu mdogo alikuwa amekaa pemben yng wakat naota njoz, please naomba msaada wa hii njoz