UKITAKA KUPATA MAFANIKIO MAKUBWA ISHI NA NA NYOTA ZIFUATAZO - Utabiri wa Nyota na Mnajimu

  Рет қаралды 29,193

Utabiri Wa Nyota

Utabiri Wa Nyota

Күн бұрын

UKITAKA KUPATA MAFANIKIO MAKUBWA ISHI NA NA NYOTA ZIFUATAZO - Utabiri wa Nyota na Mnajimu
Dokta Kuluthumu Salim Ndee maarufu kwa jina la Dk Love ni mnajimu wa nyota nchini.
Tembelea Facebook account / utabiriwanyota

Пікірлер: 35
@jumabugy5447
@jumabugy5447 4 жыл бұрын
Nazingatia sana vipind vyako hakika napata mafunzo ambayo yana ukwel ndani yake
@UtabiriWaNyota
@UtabiriWaNyota 4 жыл бұрын
Asante sana ndugu...
@fatumamselem810
@fatumamselem810 Жыл бұрын
Asalam alaykumu naomba kujua kuhusu ndoto hii nimepata niona watu wengi sana wamevaa nguo na hiyo ndoto imejirudia mara tatu
@paulomabula672
@paulomabula672 2 жыл бұрын
Mimi ni Nhalo ananifaa here up?
@somoonlinetv.6461
@somoonlinetv.6461 2 ай бұрын
Mbn nyota zenyewe hujazitaja mama, kichwa cha habari ni tofauti na ukweli uliomo, nmepoteza Tu bando langu
@rashidmzee3106
@rashidmzee3106 Жыл бұрын
Ungeenda direct kwa point
@princesskhadejah
@princesskhadejah 4 жыл бұрын
Assalam aleamkum mimi ni k naweza fanya kazi ipi bora nanikaendana na nyota ipi kindoa
@terrydaniel9406
@terrydaniel9406 4 жыл бұрын
Niliachana na mjuba wangu akaoa mke mwingine akaaza kufirisika.. Na wakati tulikuwa pamoja maisha yake yalikuwa mazuri kifedha
@hahahadijambaraka6821
@hahahadijambaraka6821 3 жыл бұрын
Dada salam Alkeikum Mimi Niko UG naweza kuja kwako Otakunikubali
@lugutushinji8324
@lugutushinji8324 3 жыл бұрын
Napenda sana vipindi vyako mama najifunza mambo meng
@marcelinaghuliku6408
@marcelinaghuliku6408 4 жыл бұрын
Mbona huzisemi hizo nyota?
@hassaniyassin1686
@hassaniyassin1686 2 жыл бұрын
We acha tu kwa kweli
@angeljames8924
@angeljames8924 2 жыл бұрын
Jamani mama mm mume wangu ni herufi y jaman migogoro hata haiishi nn nifanye
@pidiusDominick-qi7nl
@pidiusDominick-qi7nl 8 ай бұрын
Nahitaji pete yenye kito cha ruby ntaweza kupata
@ednajoseph2704
@ednajoseph2704 3 жыл бұрын
Mm nataka number yenye naweza kkuchrt whtsapp juu siko Kenya naweza ipata aje ndio tuongee aki
@mwahahadiabakari5584
@mwahahadiabakari5584 3 жыл бұрын
Mm sijui nyota yangu
@jacobonyango1918
@jacobonyango1918 3 жыл бұрын
Madam habari ya leo mimi nime ota naetesha Gari nyeusi
@mwahahadiabakari5584
@mwahahadiabakari5584 3 жыл бұрын
Mm ni Ali mwanahadia
@OmaliKilima
@OmaliKilima 10 ай бұрын
Jinsi yakutatua matatizo kamahayo nitumie njia gani
@paschaziamichael500
@paschaziamichael500 3 жыл бұрын
Habr dada herufi p na R zinaendana? Na ni biashara gan ...naeza Fanya
@geradyelias6100
@geradyelias6100 3 жыл бұрын
Je helufi e na a zinaendana
@spiritualman_7
@spiritualman_7 Жыл бұрын
Punguza maneno,uwe unaenda kwnye point moja kwa moja.
@amalalshehri7308
@amalalshehri7308 2 жыл бұрын
Mimi niko na mahusiano nyingine but naona nyota yetu inangaa
@yumnahamis407
@yumnahamis407 4 жыл бұрын
Naomba kujuwa mbajimu herufi y na A zinaendana au haziyendani kufunga ndowa naomba msada wako
@hadijafoleni9319
@hadijafoleni9319 Жыл бұрын
Jina la hadija nilamaana gani kwenye nyota
@ednajoseph2704
@ednajoseph2704 3 жыл бұрын
Naweza pata wap number yako
@barakahayte-ne5mk
@barakahayte-ne5mk Жыл бұрын
Mama mimi bad sijajua nyota yangu
@abdulmajidiibrahimu3338
@abdulmajidiibrahimu3338 2 жыл бұрын
Asant kwaelim yako je elufi m na f zinaendan
@jumachanewstrends6899
@jumachanewstrends6899 3 жыл бұрын
Mimi hiii Da kuruthum ni kwelii mimi nina mpenzi wangu kwa sasa nina hatua kubwa
@monicahnjoroge3038
@monicahnjoroge3038 2 жыл бұрын
Nutajua aje nyota yangu
@mulangilakabwarebenson5128
@mulangilakabwarebenson5128 3 жыл бұрын
Tatizo ya vipindi vyako hauandiki
@deodathamkongwa5443
@deodathamkongwa5443 4 жыл бұрын
Nakupata wap uniangalie nyota yang
@UtabiriWaNyota
@UtabiriWaNyota 4 жыл бұрын
asante Deodatha..
@deborashisia9185
@deborashisia9185 3 жыл бұрын
Mimi sijuwi nyota yangu
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Жыл бұрын
Nyota yako ni kaa sayari ya maji maji masafi yaani maji ya kunywa🥰
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 700 М.
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 12 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 54 МЛН
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE
11:26
G Online
Рет қаралды 67 М.
THE MOST POWERFUL RUQYAH REMOVES Djinn IN THE HUMAN BODY AND BLOODSTREAM
1:40:25
IJUE NYOTA YAKO (NYOTA YA NG'OMBE)
1:10:25
ABALQAASIM ONLINE TV
Рет қаралды 13 М.
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 700 М.