Hivi ndio anavyoswaliwa mtume wetu Muhammad SAW dufu tulivuu maashaallah
@talalbsh10 ай бұрын
Mashallah maulid yana ADAB ZAKE na maulid kama haya basi ADAB zimechungwa
@eng.saalim864610 ай бұрын
Hakuna kumswalia mtume na midundo iwe ya utulivu wala ya vurugu. Wacheni kuchafua dini. Uislam sio dini ya ngoma
@talalbsh10 ай бұрын
@@eng.saalim8646 kwa akili yako sawa .
@abdulnaseermrisho434210 ай бұрын
@@eng.saalim8646 hivi kwanini makafiri na wahab huwa wana wivu mtume akiswaliwa?
@eng.saalim864610 ай бұрын
@@abdulnaseermrisho4342 maskini Allah akuongoze. Yan ww waona mtume anaswaliwa kwa midundo!!!!??? Ndo mafunzo ya mtume wako hayo????
@maryamadam56222 ай бұрын
Mashallah. Imependeza mno na utulivu mkubwa. Tuko huku ugenini lakini tunahudhuria dhikri kwa taqwaa na kumsalia Mtume pamoja nanyi. Allah Kareem. Mashallah
@hamisishabani40724 ай бұрын
MAA SHAA ALLAH!!! INAPENDEZA NA INAVUTIA SANA.ALLAH ATUZIDISHIE MAPENZI YA KUENDELEA KUMPENDA MTUME WETU MTUKUFU,MBORA WA VIUMBE,MTUKUFU WA DARAJA,RAHMA KWA WALIMWENGU WOTE.MTEME WETU MUHAMMAD SWALLA LLAHU ALAIHI WA SSALLAM.