WAZEE WA DAMBA MTWARA WATIKISA MAULIDI YA SH WA MKOA WA DAR ..DEC 27..

  Рет қаралды 76,321

Saimu gwao Online tv

Saimu gwao Online tv

Күн бұрын

Пікірлер: 57
@8infinityinfinity898
@8infinityinfinity898 4 жыл бұрын
Best way to treat stress is to come together with one spirit, one love, one peace. I love this kinda rhythm. From England
@jamil1547
@jamil1547 4 жыл бұрын
Jeylani from England you are right
@azizalfaysal4266
@azizalfaysal4266 3 жыл бұрын
Marhaba iya marhaba iya sahanshahe madina.
@maalimndago4663
@maalimndago4663 3 жыл бұрын
Shukran sana iko tamu yapendeza sana mashallaah
@yassamdossantos5936
@yassamdossantos5936 4 күн бұрын
Wanajitahidi lakini pale mtwara kuna mabingwa na wakongwe wa hizi shughuli @ Madrasatul buhry
@omaryramadhani6664
@omaryramadhani6664 Жыл бұрын
Riyaa Riyaaa Riyaaa ittaqullaaah yaa ahlalbid-a!! Jambo lenyewe la haram Kisha linabebwa na riyaa kuthibitisha ubatili wake,hadaana llaahu wa iyyaakum.
@mustafaibrahim5200
@mustafaibrahim5200 3 жыл бұрын
Hizi ni ibada za kitwaghuti zinazonasibishwa na uislam lakini ukweli ni kwamba uislam umetakasika na kupinga ngoma za aina yoyote huu ni upuuzi
@sammarley1413
@sammarley1413 3 жыл бұрын
Waliokufunza itikadi hizo nimakafiri wakiasaudia mayahudi waliojifica uarabuni matendo yao yapo wazi haihitaji kuzamilia ili kuliona hilo. Wanaharamisha kusifiwa mtume nakutangazwa uislam ila wanahalalisha kusujudiwa wao. Dhikri yao kubwa na amali zao nikuteketeza nci za kiislam kama yemen iraq syria nakadh...... Amkeni waislam mtabak kwenye giza hadi lini??????? Daeah wanahujumu kila kitu katika uislam logistic yote wanapata america majeraha wao vitani wanatibiwa hospital za israel ila percent 99 yawaislam mnawatambua daesh kama mujahidina !!!!!!!!! Mtetezi wawaislam nauislam iran mnamcukulia kama kafiri no1!!!!! Nduguyangu amkeni mambo yako wazi kila kitu kinaonekana tumia muda wako kutafakari haya ninayo kueleza siolazima ukubali bali kuyafanyia kazj niwajibu.
@ajuaeonlinetv9762
@ajuaeonlinetv9762 4 жыл бұрын
Hizi ndio qaswida tulizozizowea wallah sio mziki moto
@yahyamalolo3202
@yahyamalolo3202 4 жыл бұрын
Yote ni miziki tu
@shamsiaabdul8679
@shamsiaabdul8679 3 жыл бұрын
@@yahyamalolo3202 😂😂 lakini huu muziki ni halal muzik
@mdathirhassan2187
@mdathirhassan2187 3 жыл бұрын
Aliyewaletea mambo haya asuburiwa kesho
@neemafatu7885
@neemafatu7885 4 жыл бұрын
Mtume asifiwe kwa matendo yake kwa kuyaenzi kama,baada ya kufanya faradhi basi tuongeze sunna zake kwa wingi.ikiwepo JIHAD,SAUMU,SALA,KIYAMU LLAILi NA tuepuke kufanya tuyofundishwa.huwenda mkamchukiza Allah na mtume wake.
@jamil1547
@jamil1547 4 жыл бұрын
Jihadi si uende mwenyewe Iran ukajilipue wewe umeshiba nini wewe kajilipue mwenyewe
@neemafatu7885
@neemafatu7885 4 жыл бұрын
@@jamil1547 Soma nini maana ya JIHAD.
@alimaalima6016
@alimaalima6016 4 жыл бұрын
Tumsifu nakumtukuza mtume wetu rehema na amani ziwe juu yake
@Chemba67
@Chemba67 4 жыл бұрын
Madrasatul Damba wamewaonesha hizi madarasa za kizazi kipya jinsi gani qaswida na dufu zikichezwa sio kukata kiuno au kumdandia mwanamume mwenzio kwa mbele usawa wa kiuno huku ukicheza hiyo sio dufu hayo ni mambo mengine
@abbymtei3979
@abbymtei3979 2 жыл бұрын
Safi
@muhibmackai5310
@muhibmackai5310 4 жыл бұрын
Kuna mambo muhimu katika Uislam zaidi ya hayo jamani.........
@husseinmkanga8182
@husseinmkanga8182 3 жыл бұрын
we jambo lipi unalijua na umeliweka wazi kama daawa kwa waislam wenzako???
@musafergharibmusafer15
@musafergharibmusafer15 3 жыл бұрын
قال خليلنا صلى الله عليه وسلم: (وَإِيَّاكُمْ وَمُحْدَثَاتِ الْأُمُورِ فَإِنَّ كُلَّ بِدْعَةٍ ضَلَالَةٌ). صدق رسول الله الكريم صلى الله عليه وسلم. قال ابن رجب رحمه الله: (قوله: (كل بدعةٍ ضلالةٌ)، من جوامع الكلم، لا يخرج عنه شيء، وهو أصلٌ عظيمٌ من أصول الدين)
@nurdinhemed6
@nurdinhemed6 4 жыл бұрын
Hamna lolote...kikwara miingi...chamaana hamna,,,mimi bado sijaona wakuwapiku shadhily ktk shuhuli zao zote
@athumanimsangi7092
@athumanimsangi7092 4 жыл бұрын
SHEKHE UKISEMA CHA MAANA HAMNA UNAKOSEA.KATKA DINI HAMNA KISICHO CHA MAANA.INGAWA UBORA UNAZIDIANA.
@nurdinhemed6
@nurdinhemed6 4 жыл бұрын
@@athumanimsangi7092 uko sahihi sheikh othman...sema mimi nilikusudia hpo kwenye ubora,,ila nilikosea tu namna yakuweka sawa
@user-nj1jd6zy8e
@user-nj1jd6zy8e 4 жыл бұрын
Swala alaaa nabiii
@abubakarmwasumilwe7070
@abubakarmwasumilwe7070 2 жыл бұрын
Yote ni uzushi tu
@abubakarmwasumilwe7070
@abubakarmwasumilwe7070 2 жыл бұрын
Uislam hauchanganywi na batwil
@user-zo9iz8sb2b
@user-zo9iz8sb2b 8 ай бұрын
أهل البدع عقولهم قصيرة
@mubarakabdillah3150
@mubarakabdillah3150 4 жыл бұрын
Mmeshindwa kuyafanya yalokuja na sheria mnaokoteza okoteza vijambo hata hatuelewi tuite ibada cjui hata tuoteje maskini,kwanin hamtosheki na yalokuja na sheria nyinyi?
@shamsiaabdul8679
@shamsiaabdul8679 3 жыл бұрын
Mnaudhi sana kwa ilmu zenu za Kiwahabi. Mnavamia mambo bila ilmu
@salaamsalum4947
@salaamsalum4947 3 жыл бұрын
Kumbe kuna wacheza show pia!!??? Sub,Hallah
@maalimndago4663
@maalimndago4663 3 жыл бұрын
Ungesafika moyo wako ulimi wako ungekuwa na mizani ya kupima usemacho
@aliabdirage3003
@aliabdirage3003 4 жыл бұрын
Hino ni nini jameni ni choir ama !inaalillaahi wainaa illaahiraaqiuun
@shamsiaabdul8679
@shamsiaabdul8679 3 жыл бұрын
Hiyo ni maulidi ya mtume wako ewe wahabi.
@sammarley1413
@sammarley1413 3 жыл бұрын
@@shamsiaabdul8679 hawa jama wako kwa ajili yakupinga kila kitu ca kuutangaza uislam almuhim kiwe tu kinauridhisha utawala wamakafiri wamakaah wanao teketeza roho zawaislam ulimwengu mzima. Ukitaka shari nawahabi yeyote popote alipo ww msifu tu mtume ndio utajua.
@NurdinKishik
@NurdinKishik 4 жыл бұрын
wew uliosema tuache bidaa naomba unitafute kwenye no 0682823399 ili nikupe elimu y bidaa nahisi hauna
@zuhurajabiri3900
@zuhurajabiri3900 4 жыл бұрын
Nielimishe na mimi hili neno bidaa whatsApp no.0787712025
@neemafatu7885
@neemafatu7885 4 жыл бұрын
Hata mimi nielimishe nielewe nini bidaa maana yske
@abubakarnyerere5263
@abubakarnyerere5263 4 жыл бұрын
Du
@sharifgojo878
@sharifgojo878 4 жыл бұрын
eleza maana ya bidaaa!
@zahorrashid5459
@zahorrashid5459 4 жыл бұрын
acheni bidaa nyy msichafue dini.kwamambo yakihuni.hapo
@nurdinhemed6
@nurdinhemed6 4 жыл бұрын
Zahoro rashid kanju
@mkalywagoka9913
@mkalywagoka9913 4 жыл бұрын
Eti bidaaa,,unaijua bidaaa wewe,,kaa utulie shekh,,
@sharifisangyo8038
@sharifisangyo8038 4 жыл бұрын
ماشاءالله ربنا يفتح لكم
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 4 жыл бұрын
Hapo Hakuna Mapenzi ya Mtume,Mtume Ameharamisha Ngoma na Miziki,na Kukatika Viuno. tena Unamsikia Maneno yake Ya Watu wa Motoni, Eti Watumbuizaji,Mastedi show,Kuburudisha,Kutumbuiza. Hiii yote Ni Adabu Mbovu juu ya Mtume na Allah. Hiv hata akili yako ya kawaida tu inakataa hayo,Moja Ni watu wapenda Miziki,Wapenda Kula Ubwabwa,Wapenda Shughuli shughuli, Wanaojinasibisha Na Uislam. Je,Maswahaba Ndio walitafsiri Hivo mlivyokusanyika na Kuimba,Kupiga Ngoma,Na Vinubi,Na kukatika katika Ndio kumpenda Mtume????Hakika Nyie Ni Watu wabaya mno kuliko hata Mzinifu ana Nafuu kwa kuwa anajua Yuwatenda Kosa.
@husseinzayumba3899
@husseinzayumba3899 4 жыл бұрын
Lete uharamu wa mauld
@husseinzayumba3899
@husseinzayumba3899 4 жыл бұрын
Lete uharamu wa kumsfu mtume acha maneno mengi
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 4 жыл бұрын
@@husseinzayumba3899 kwan mtume aswaliwa vipi na hawo wanafanya nin??Au hivyo ndio alivyofundisha mtume Aswaliwe.!?Mbona Allah na malaika wamswalia mtume ushahidi ni surat Ahzaab. je,Allah na malaika nao wanayafanya hayo wanayofanya masufi??
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 4 жыл бұрын
@@husseinzayumba3899 Acha kupotosha Juu ya kunswalia mtume na kupenda Ngoma na Kuimba imba Miziki na kuucheza pia huku mkingoja Ubwabwa. Kumswalia mtume ni Ibada na Imefunzwa na mtume aswaliwa vipi?? na hayo mnayoyakusanya nyie ni Upotofu na ni Uzushi ktk Dini.Acheni kifanya hivyo ni makosa Rudini ktk Quraana na Sunna kwa ufaham wa maswahaba
@sammarley1413
@sammarley1413 3 жыл бұрын
@@user-qe8xp6ii1u abuu faisal naomba anza juhudi zakuwalingania wafalme wamataifa hasa wa saudia mana wao wanasifiwa kwasifa unazo zijua mwenyewe sianzi kukutajia na masheikh zenu wakubwa nimarafik wa viongizi hao.!!!!! Yawezekan uko sahihi ila cakuskitisha nimisimamo yenu mikali kwa baadhi ya watu na msimamo huyo hnabadilika kwa mara moja pindi watu flani wanafanya kosa kama hilohilo. Moroco yupo mfalme anasalimiwa kwa( rukuu) kamili kama ya swala !!!! Nakatika nci hiyohiyo yamoroco yupo mufti anaepinga maulid!!!!!!!!😳😳😳😕😕 Mwanamfalme wasaudia mwaka uliopita alinunua mcoro wa pica ya (yesu) kwa thamani ya dollar milioni miya nne na khamsini hatujaskia cocote kutoka kwa sudeis imam mkuu wasaudia !!!!!! Saudia wamenzisha njama zakuboresha uhusiano kati ya israel na mataifa ya kiislam ilihal israel inaushikilia mskiti wetu kibla ca tatu cawaislam kinyume na sheria !!!! Qunuti zote myaka iliyopita imam wenu sudeis amezoweleka kuomba dua zakulaaani mayahudi ila ajabu mwakajana amehalalisha uhusiano huyu mpya nahutuwasikiyi masheikh zenu wakiongea cocote!!!!!!!!! Jaribu kutafakari vizuri uhusiano uliopo baina ya utawala wa saudia na siyaza makafiri utagundua kuwa makafiri wanautumia utawala huyo kubomowa uislam nahilo liko wazi kabisa namoja wapo yambinu hizo nikuwatenganisha waislam na vitu 2. kwanza kuwaweka mbali nakuondoa mapenzi yamtume wao katika nyoyo zao napia kuwaweka mbali na matumizi ya akili. Ebu jiulize kwakina waislam hawamuabudu mtume ao kukumuita mwana wa mungu bali wanafurahia kuwa namtume mtukufu kumuenzi nakumtaja hapo kosa nilipi???????????? Yan kama vile uislam nidini yamajonzi tu nahuzuni siku zote hadi kufa ???? Anasema mtume s.a.w innama hadhih dunia mataa. Hakika dumia hiyi ni starehe naubora wastareh zake nimke mwema. Kumbe stareh haijaharamishwa na mabwana hao wameamua kustareh kwa kumuenzi mtume wao. ubarikiwe sana napia karibu sana nawe umsifu nabii muhammad.
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 49 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 55 МЛН
Madrasat Usbatul Marhum Damba Mtwara
13:03
BABDEO MILADU
Рет қаралды 45 М.
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 5 М.
DHIKRI PUMZIKA KWA AMANI RAIS MSTAAFU WA TANZANIA ALI HASSAN MWINYI
18:57
Swiffat Nnabawiat (Dar)- Kasida, Nausia Nafsi!
17:07
Abhaaly TV
Рет қаралды 23 М.
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 49 МЛН