Maelekezo Ya Kina Kuhusu Whatsapp Banned Na Suluhisho [About Temporary & permanently banned]

  Рет қаралды 1,570

AJAKAI ICT COMPANY

AJAKAI ICT COMPANY

Күн бұрын

[Bonyeza alama ya Zoom ili kutazama vizuri] Tafadhari tazama video hii mwanzo hadi mwisho bila kuruka maelekezo maana kuna vitu vya msingi vimeelekezwa ili kukusaidia kutatua tatizo lako la banned whatsapp.
Achakujiunga na magroup ambayo yanakiuka sheria za Whatsapp na ufuvunje taratibu zingine walizokuwekea Whatsapp na Pia badili utumie programu rasmi au uache kujihusisha na kupakua App kutoka tovuti zingine baada ya kupigwa marufuku kwa muda.
Usipofanya hivyo, akaunti yako inaweza kupigwa marufuku kabisa kutumia WhatsApp. Programu za WhatsApp ambazo hazijaidhinishwa huweka usalama hao watakuwa hatarini, na hatuziungi mkono.
ENGLISH………………..
Please watch this video from the beginning to the end without skipping the instructions because there are basic things that have been explained to help you solve your banned whatsapp.
Stop joining groups that violate the WhatsApp rules and break whatsapp terms, Switch to the official app or stop engaging in scraping after being temporarily banned. If you do not, your account might be permanently banned from using WhatsApp.
Unauthorized WhatsApp applications put your security and safety at risk, and we don't support them.
#ajakaiictcompany #whatsappbanned #whatsapp #banned #unbannedwhatsapp
.
.
Kwa msaada zaidi unaweza uka comment au tembelea [For more help you can comment or visit]:
.
.
Website: www.ajakaiict.net
.
.
Portal: www.ajakaiictportal.com
.
.
Register/Kujisajiri: www.ajakaiict.net/PRO/register
.
Kujiunga WhatsApp/Join WhatsApp: www.ajakaiict.net/whatsapp
.
.
KZbin Channel [Mafunzo kwa kiswahili]: / @ictyetu
.
.
KZbin Channel[English & Swahili Tutorials]: / @ajakaiictcompany
.
.
Kwa mafunzo ya Kompyuta Mtandaoni: / @ajakaiicteducation
.
.
Facebook Page: / ajakaiict.news
.
.
DOWNLOAD OUR APP: apk.e-droid.ne...

Пікірлер: 25
@PatrickMwakasege
@PatrickMwakasege 7 ай бұрын
Naomba mnisaidie
@ajakaiictcompany
@ajakaiictcompany 7 ай бұрын
Tuma namba yako kwenda 0678920112 ili tuangalie hali ya akaunti yako
@ajakaiictcompany
@ajakaiictcompany Жыл бұрын
Tafadhari Kama unatumia simu kutazama hii video, Bonyeza alama ya Zoom ipo upande wa kulia kwa chini kama alama ya pembe nne ili kutazama vizuri (full screen).
@kelvinadamson6650
@kelvinadamson6650 4 ай бұрын
Tunashida sana tunafanya save for save
@NiyokwizigiraAnatole-xk2uu
@NiyokwizigiraAnatole-xk2uu 5 ай бұрын
Salama,, nimefuatilia vizur jins umetoa maelekezo lakini mimi nikijalibisha inajurudia vilevile kbs
@ajakaiictcompany
@ajakaiictcompany 5 ай бұрын
Pole, tuwasiliane kupitia App yetu ili tukusaidie. Pakua app kupitia google playstore ya AJAKAI ICT kisha utabonyeza OMBA HUDUMA na scroll huduma za mwisho utaikuta msaada wa whatsapp na bonyeza Request kisha Chati nasi
@leahrukwakwa9388
@leahrukwakwa9388 4 ай бұрын
Mmmmh tupo wengi mm nishafanya Kila kitu lkn cjafanikiwa ata,apa nawaza kurestore cm tu na cjui ka itakubali an
@roggersmalipula8957
@roggersmalipula8957 2 ай бұрын
Mm nimeomba kifunguliwa Mara kadhaa lkn hawajanifungulia na pia kila nikijiunga kupitia namba zingine lkn zote zimefungiwa
@ajakaiictcompany
@ajakaiictcompany 2 ай бұрын
Pole sana, kama kila namba mpya inafungiwa kwenye simu yako, Basi tatizo ni IMEI namba ya simu yako imefungiwa pia. Ili kupata msaada na ushauri teambelea App yetu ya AJAKAI ICT na uchat na expert wetu
@BabyAysher
@BabyAysher 3 ай бұрын
Mie pia nimefungiwa
@AnduKhani-nc5bu
@AnduKhani-nc5bu 9 ай бұрын
Mimi imekuwa mara ya tatu naweza nikatumiya namba nyingine ila nimara ya tatu imefungwa ivi niki flash simu itakuwaje?
@ajakaiictcompany
@ajakaiictcompany 9 ай бұрын
IMEI namba ya simu yako ikisha fungiwa kutumia whatsapp, hata kama uki flash simu imei haitobadilika. bado wataendelea kukufungia. Tumia simu nyingine ili kuendelea kutumia whatsapp
@leahrukwakwa9388
@leahrukwakwa9388 4 ай бұрын
​@@ajakaiictcompanycm ingne tena😢
@GRACECHRISTOPHER-qb4dx
@GRACECHRISTOPHER-qb4dx Жыл бұрын
Mi nimesajili laini mpya hata mwezi haujaisha wamefungia tena nikijalibu kufungua naambiwa you need official WhatsApp naombeni mnisaidie
@ajakaiictcompany
@ajakaiictcompany Жыл бұрын
Whatsapp wanatambua IMEI ya simu yako pia, kwahiyo kama ulikiuka kabisa masharti yao hata ukitumia namba nyingine wataifungia tena kwakuwa mtumiaji ni yuleyule. Mpaka simu ibadilishwe IMEI au ubadili simu nyingine. Na kuhusu kuambiwa Official App, jaribu ku update Google play store au pakua whatsapp kupita website ya whatsapp www.whatsapp.com, Kwa msaada zaidi wasiliana nasi.
@juliusbaynit1060
@juliusbaynit1060 10 ай бұрын
Yangu imefungiwa siwezi kudownload whatsapp yeyote
@ajakaiictcompany
@ajakaiictcompany 10 ай бұрын
Kama unabadili namba nyingine na bado zinafungiwa, Basi tunakushauri utumie simu nyingine kujisajiri whatsapp ili kuendelea na huduma. Kwa msaada zaidi tupigie 0678920112
@MethodNgailo
@MethodNgailo Жыл бұрын
Naomba namba zenu
@ajakaiictcompany
@ajakaiictcompany Жыл бұрын
Tembelea www.ajakaiict.net kisha bonyeza contact us au chat with us ili kuwasiliana na sisi.
@saum9697
@saum9697 Жыл бұрын
Sorry unafaapdet vip pley stoo
@ajakaiictcompany
@ajakaiictcompany Жыл бұрын
1. Fungua Google Play Store 2. Upande wa juu kulia, Bonyeza Icon ya profile yako 3. Kisha bonyeza Settings 4. Kisha Bonyeza About, Itafunguka menu zake 5. Kisha bonyeza Update Play Store
@BeatusMasele-r9r
@BeatusMasele-r9r 5 ай бұрын
Plz naomba Masada wa namba Angu him Iko banned 0784239757
@ajakaiictcompany
@ajakaiictcompany 5 ай бұрын
Tuma namba yako kupia App yetu ili usaidiwe na wataalam wetu. Pakua App kupitia Google Playstore ya AJAKAI ICT kisha bonyeza OMBA HUDUMA na chagua huduma unayotaka kisha bonyeza Chati Nasi
@AbdullySadiki-jf7nv
@AbdullySadiki-jf7nv 10 ай бұрын
Bado imekataa tena
@ajakaiictcompany
@ajakaiictcompany 10 ай бұрын
Inaleta ujumbe gani?
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
NestJs Course for Beginners - Create a REST API
3:42:09
freeCodeCamp.org
Рет қаралды 1,7 МЛН
CompTIA A+ Certification Video Course
3:50:46
PowerCert Animated Videos
Рет қаралды 7 МЛН
Jinsi ya kujua kama WhatsApp yako inafuatiliwa|  Tracked WhatsApp
9:29
NK- Computer Training
Рет қаралды 46 М.
Think Fast, Talk Smart: Communication Techniques
58:20
Stanford Graduate School of Business
Рет қаралды 44 МЛН