MAELEZO KATIKA KUFUNGA ARAFA

  Рет қаралды 22,863

Izudin Alwy Ahmed

Izudin Alwy Ahmed

Күн бұрын

Пікірлер: 65
@afric01
@afric01 2 жыл бұрын
Aslm alkm ww...... shukran sana Sheikh wetu kipenzi. Jazakallah kheir 🙏
@fatmaali3838
@fatmaali3838 2 жыл бұрын
Ameen ...Swaaadaktaaa sheikh lngu nakupendea hapo habib..jazzk Allah kheir.
@soudbaraka243
@soudbaraka243 2 жыл бұрын
Arafa ni moja ukhty
@IbnuHusseiny
@IbnuHusseiny 2 жыл бұрын
Shekhe ittaqi llah. Umesoma na itumie ilm yako vizuri. Kesho utaulizwa mbele ya Allah.
@halimaramadhan2000
@halimaramadhan2000 2 жыл бұрын
Amiin Thumma Amiin... Baraka llahu fiyk ustadh
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
Aameen
@binyamin8009
@binyamin8009 2 жыл бұрын
Mashaalah mungu akupe umri wenye khery na ww uendeleee na kutupa darsa from zanzibar
@ummuhassan742
@ummuhassan742 2 жыл бұрын
Mashallah tabaraka allah shukran jazaka allah kher
@khassansalim5518
@khassansalim5518 2 жыл бұрын
Shukran sana sheikh
@ummusalim1991
@ummusalim1991 2 жыл бұрын
Shukran sheikh kwa kututanabahisha
@kalate3155
@kalate3155 2 жыл бұрын
Marshall
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 2 жыл бұрын
Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: “Hapana siku Anayoacha Allaah kwa wingi huru waja kutokana na moto kama SIKU ya ARAFAH." Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: "SIKU ya ARAFAH, huteremka Allaah Tabaaraka wa Ta’ala katika mbingu ya dunia kisha Anawafakhiri watu wa ardhini kwa watu wa mbinguni." Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: "Swaumu ya SIKU ya ARAFAH Inafuta madhambi ya mwaka uliopita na unaofuata." [Muslim] Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: “Dua bora kabisa ni dua katika SIKU ya ARAFAH.” [At-Tirmidhiy] Hadithi zote zinasema tufunge SIKU ya ARAFAH, sio mwezi tisa. Arafah inapatikana Saudia tu.
@somanadan8150
@somanadan8150 2 жыл бұрын
Shukran kwa maelezo jameni
@arafatimsongo5328
@arafatimsongo5328 2 жыл бұрын
Upofu hauna macho mtume anasema siku kipofu anasema mwezi tisa
@arafatimsongo5328
@arafatimsongo5328 2 жыл бұрын
Hakuna neno mwezi kuna neno siku inamaana nisiku maalumu hiyo ya Arafa
@khamisali5978
@khamisali5978 2 жыл бұрын
Dini sio akili, angalia maneno ya wanazuoni ktk hili. Allah akuongoze
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin 2 жыл бұрын
Asante kwa nasaha yako . ningeomba unipe hayo maneno yawazuoni kama unayo na mm nifaidike nayo .
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin 2 жыл бұрын
*The Permanent Committee for Scholarly Research and Ifta(Saudia)* *اللجنة الدائمة للبحوث العلمية والإفتاء,* *FATWA* :- _Muslims must fast Ramadhan and pray salatul IDD for the two IDD's (Iddul Fitr and Iddul Adh-ha) according to the crescent sighting of their countries._ 1️⃣(1)Sh.Ibn Utheimeen(RA). (2)Sh.Ibn Baz(RA). (3)The Permanent Committee for Scholarly Research and Ifta: They all issued 'fatwas' that the celebration for Arafah and the two IDDs must be according to Moonsighting, but we see students of knowledge ignoring these scholars' "fatawaa" while claiming to follow them! 2️⃣ My question to these students of knowledge is: Did these Saudi scholars know that the worship of Hajj takes place in Saudia? And, despite knowing that the 'grounds of Arafah' are in Saudia, they issued clear fatwa"s stating that it is a must (yes, they said it is a must) to follow the sighting of your country rather than the day of Arafah in Saudia? 3️⃣And what if, for example, Muslims in Argentina sighted the crescent before Saudia? Should they fast on the day of Arafah, according to the date in Saudia, or on the 10th of Dhul Hijjah in their country? Yet we know that fasting on the day of IDD is haram! *EAST AFRICA MOONSIGHTING*
@mwanaishanassor377
@mwanaishanassor377 2 жыл бұрын
Amin YaaRabb Amin thumma Amin
@halimakassimngare4873
@halimakassimngare4873 2 жыл бұрын
Wachaa kupotezaa ummaa arafa ni mojaa tu ... watu hawa c wakuongoza umma wanapotezaa umma kupeleka dini kwa akili zao.....c watu wakuwafataa hawaa.
@allyhemendez3324
@allyhemendez3324 2 жыл бұрын
Kusoma muhimu dada. Kasome wacha kushindana kwa akili z kitoto. Fanya utafiti wako sio wa maustadh
@rosemery542
@rosemery542 2 жыл бұрын
Mwezi ni mmoja tu dunuani. Tatizo lenu maulamaa hamjui jiografia. Nawaomba maulamaa waiteni wataalamu wajiografia wa Kislamu na wasio Waislamu mtatue hilo tatizo. Mnawafungisha watu siku ya idi
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 2 жыл бұрын
Rose Mary hao watu wako wa jiografia wao hufata Quran ndio wakaenda kujua oooh hiki kiko na hiki
@rosemery542
@rosemery542 2 жыл бұрын
Ndio hao wajiografia ni waislamu wanaofuta Sunnah. Wewe watafute hao wataalamu watakueleza kuhusu mwezi. Dunia ni mvirungo sisi tukiona mwezi America n as wengine wanaona baada ya massa 7 Australia wamona mbele yetu massa 7. Siku ni hiyo hiyo Moja. Hakuna nchi inayopishana masaa 25 hapo tungepiashana siku nzima. Hivyo sheikh Mimi nashauri fanya jitihada watu wanafunga siku ya Iddi ni haramu na nyinyi ndio mtakao beba hizo dhambi. Nakuombea Allah akusaidie kujua ukweli.
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 2 жыл бұрын
@@rosemery542 hivyo unavyosema ndivyo hivyo MUNGU atuongoze
@rosemery542
@rosemery542 2 жыл бұрын
@@abdurahimabdulkadir3926 Amin ya Raabi
@mgeninaima9866
@mgeninaima9866 2 жыл бұрын
Ameeen thuma ameeen yarabb
@ramamavumba6187
@ramamavumba6187 6 ай бұрын
Maelezo hayajajitoshelezashekh iyo dhambi yakufunga mwezikumi bas mnaifanyanyinyi maana iddi huingia baada yakisimamokuisha vp mnafunga uku watuwanaswali iddi?
@othmanalsherem7313
@othmanalsherem7313 2 жыл бұрын
mie nafungaga kila ikifikaga siku yangu ya kuzaliwa, je siku yangu ya kuzaliwa ikiangukia ijumaa nafaa kufunga?
@binumeir2873
@binumeir2873 2 жыл бұрын
Hufai
@nassorsultan8765
@nassorsultan8765 2 жыл бұрын
@@binumeir2873 😳
@ramamavumba6187
@ramamavumba6187 6 ай бұрын
Wanawachuon wote au wengi wamekubaliana kua funga ya arafa haina hitilafu nisiku ya arafatyuu
@khairatharoub7045
@khairatharoub7045 2 жыл бұрын
Uyu nae ssa mambo ya arafa na mwezi yamekujaje tena kwamba hamna arafa mpka uone mwezi bc kma ni iv to watakuw n arafa yao, Kenya yao ,Oman yao, saudia yao manake miandamo ya mwezi itakuw tofauti kma unavosema wakati arafa n moja tu ,watu mkiambiwa jiongezeni mara mbili ,n kma mt hajui haina haja ya kujitetea kwa kukubali mambo yasiowezekanq, alfu mnasema masomo ya shule ni haraaaam 😆ulikuwa usome vizuri geography sheikh duh
@musasadati3577
@musasadati3577 2 жыл бұрын
shukurani
@shimbo0146
@shimbo0146 2 жыл бұрын
Viwanja.vya.arafa viko maka.ww.mtanzania au mkenya. unatumia kalenda .au.muandamo. yako.nawewe.unanda hija.arafa.nimoja .allah.atufahamishe.wote pamoja namzungumzaji.kamajambohulielewi usifundishe watu.kaka
@nassirmohd2851
@nassirmohd2851 2 жыл бұрын
Jamaza wewe ni jaahil sikiliza Sheria
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
Shida yako Ni ufahamu mdogo ulionao. Jee wajua kuwa mtume SAW alikua akiangalia mwezi na kufunga siku Tisa kabla ya Amri ya hajj kuletwa? Kasome kabla huja mtoa makosa huyu shekhe.
@abdulazizmohamed3715
@abdulazizmohamed3715 2 жыл бұрын
Yeye kama sheikh katoa fatwa yake na ww kama unaona unayo yako weka video hapa tutakuskiliza sio kumuita mwenzio mpotoshaji
@muhideennoor2458
@muhideennoor2458 2 жыл бұрын
Ametoa challenge sheikh izzudin kama kuna ulamaa wa kisaudi ambaye amesema watu wafuate mwezi wa saudia
@joauchitlango3547
@joauchitlango3547 2 жыл бұрын
Subhanaa Allaah ukisema kuhusuarafa Kenya Wana Arfa Yao ? Au tz Wana Arfa huyu anapotosha pakubwa Sana Arafa inamaandalizi hutaki kufanya ibada vipi funga alhamis funga ijumaa umefunga kisheria huyo sheykh anapotosha sijaona Wala kusikia Kuna hujaji anasimama arafa katika nchi yeyote isipokuwa mama tu he Kenya wanasima wapi ? Au Uganda au tz na Mtume swala na salamu ziwe juu yake haja taja saumu ya mwezi Tisa ametaja kasema fungeni saumu ya arafa na hija niarafa je Kenya tz ug na baadhi ya nchi nyingine Wana hija Yao? Ili wafunge kivyao au hija IPO makka tu
@khalidyasinkhalid5944
@khalidyasinkhalid5944 2 жыл бұрын
Nami nahitaji kujua kuna mwaka mwezi uliandama australia kabla ya makka je hawa arafa yao wataisubilia makka au? Nipe elimu shekhe
@massoudomar9651
@massoudomar9651 2 жыл бұрын
Teknolojia isiwe chanzo cha kutufarakanisha na kutugombanisha waislamu.. Asili ya mambo kila eneo hujitegemea kwa nyakati, hali ya hewa na fatwa... Kuja na kuzagaa kwa utandawazi kumepelekea mtafaruku baina ya waislamu ilhali asili yao wanaijua... Mathalan, hujawahi kujiuliza kwa nini kipimo cha DNA hakichukuliwi kua ushahidi wa zinaa kisheria..?? .. Ikitokezea miundombinu ya mawasiliano imetoweka utategemea wapi..??.. Jibu.. Utarudi kwenye asili ya maumbile yako.. Wallaahu Àalaa Waalamu.
@khairatharoub7045
@khairatharoub7045 2 жыл бұрын
Yani apo n kwamba anatafuta jinsi ya kujitetea ,mna wanabanwa apo ssa ,ssa ci ww ucifunge tu adi unaanza kupotosha watu duh subhanallah
@msabahaali758
@msabahaali758 2 жыл бұрын
Sheikh unapotosha kabbisa umma arafa hufanywa sehem moja na ambae anapaswa afynge arafa ni yule ambae hayupo uwanja wa arafa maana hajji hawajibiki kufunga siku ile unatumia nguv kubwa kupotosha ama una uchache wa elimu
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 жыл бұрын
lete aya au hadithi inayowataka waislam kote duniani wasiokuwa arafa wafunge kwa kufata tarehe ya waliokuwa arafa.
@massoudomar9651
@massoudomar9651 2 жыл бұрын
Unapo oppose kile sheikh anachokiona sahihi, jaribu kurekebisha kwa dalili.. Then, jaribu kutoa maneno mazuri kwa masheikh hata kama analosema sio sahihi kwako
@hayatali4756
@hayatali4756 2 жыл бұрын
Nazidi kuchanganyikiwa kuna mwezi mbili duniani? Mungu tusaidiye maskini wa elimu kama mimi
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
Muandamo wa mwezi hauwezi Kua mmoja ulimwenguni. Na Hao masheikh wa Saudia wametoa fatwa zao Kua watu wafuate walipo wao. Lazima ya wewe ufuate Saudia Ni Nini? Arafa nikiwanja ambacho mahujaji wanapo simama Sasa wewe ulioko Tanzania arafa ya kuhusu Nini? Hizo siku Kumi ndio Bora kwangu Mimi na wewe ambao hatuko hajj.
@nassorsultan8765
@nassorsultan8765 2 жыл бұрын
Naam. Ukisema. Watu wa saudiaa wako arafaa. Yaani mchana. Angaliaa nchi za atalwntico time hiyoo ni usiku mkubwaa sasa. Watu watafungaa saa ngapi. Hawaa wa atalenyico
@hayatali4756
@hayatali4756 2 жыл бұрын
@@hassanalhussein3982 Asa kwanza yaumul Arafa ni moja kujeni na kiswahili yoyote haibadilishi the fact.pili mimi siko Tanzania sijui ukatoa wapi hiyo niko UK. Tatu time ya Africa na saudia moja wacha siasa fuata uhakika Arafa ya saudia ni ya Africa same time just kupinga saudia hatari msipinge sunah na sheria. Sijaskia bado yeyote kutoka Australia hapa ,yeye naye ana Akili zake Atafuata hakika ya mambo.narudia mchache wa elimu kama mimi hahitaji uzushi tafadali.tuachiyeni sheikh wetu atujibu.
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
@@hayatali4756 Hakuna siasa hapa .Pili mwezi hatuko Sawa Pande zote za Dunia. Tatu fatwa za masheikh wote walioko Saudia walitowa fatwa kuhusu mwezi kuwa kila sehemu wafuate Kwao. NNE , Bwana mtume SAW alisherehekea Idd baada ya kuangalia mwezi na kufunga siku Tisa na Kumi alikuwa akiswali Idd na kuchinja. Sasa Arafa hapo ikowapi kwako wewe ambao uko huko UK Kama refugee? Hebu nieleze alieko Australia na Japan ataipata vipi Arafa ? Maana magharibi sehemu hizo Ni mchana Saudia? Na alieoko America bado Ni usiku . Mwisho , wakati wa Zamani kabla ya vyombo vya mawasiliano watu wa Africa mashariki na kwengineko walikuwa wakijuwa vipi mwezi wa dhul hijjah umeingia ? Mnapenda mizozo kila mwaka. Uwepo UK au America au kwengineko maadamu hupo hajj arafa yako Ni ile mahali ulipo. Jawabu umejibiwa na huyo sheikh lakini nyinyi Ni wale mawahabi sugu mwaona kufuata Saudia ndio Sunna.
@hayatali4756
@hayatali4756 2 жыл бұрын
@@hassanalhussein3982 maneno ya bila hurma kuita watu majina bila u hakika eti unafuata suna and you expect to b heard kk usimchafulie sheikh page.soma akhlaq.true colours coming out.
@عليالبرواني-ي9ح
@عليالبرواني-ي9ح 2 жыл бұрын
Me nataka kujua kulingana na kauli ya shekh hapo amesema kwamba ikiwa hairuhusiwi kufunga ijumaa kama Ijumaa pekee pasina kuambatana na siku kabla yake, Je ikitokea arafa imeambatana na ijumaa na hukuwa mwenye kufunga kabla yake ukifunga una makosa na tumesisitizwa na mtume kufunga siku ya arafa jeee tukubali fadhila hizi zitupite pasina kuzidiriki?????
@salumsule7698
@salumsule7698 2 жыл бұрын
Sikiliza tena vizuri sheikh utaelewa kaelezea vizuri apo.
@rasterwangu9708
@rasterwangu9708 2 жыл бұрын
Dakika ya 7
@jamalomaryhuyushekhhakunak9020
@jamalomaryhuyushekhhakunak9020 2 жыл бұрын
naomba kuuliza arafa ziko gapi
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
Maelezo umeelezwa . Kama huja fahamu sikiliza Tena mara Kwa mara iliupate kuelewa. Shida yako Ni chiku
@hayatali4756
@hayatali4756 2 жыл бұрын
Wacha ajibiwe makosa kuuliza swali? Chuki inatoka upande gani? hapa?
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
@@hayatali4756 Mumejibiwa kwenye maelezo alioeleza. Arafa Ni ya wale walioko arafa si yako wewe ulioko nyumbani. Kama arafa Ni ya asie kuwa hajj nieleze mtu alioko mashariki ya Mbali arafa anaipata vipi ? Mfano Japan au Malaysia au Korea Wakati wa kisimamo cha arafa Saudia, huko mashariki ya Mbali Ni magharibi imeshaingia . Pili, sunah nikuangalia mwezi Kama alivyo fanya bwana mtume SAW Kisha akifunga siku Tisa na ya Kumi akiswali Idd na kuchinja. Fahamu kuwa mtume SAW alikuwa akifanya hivi kabla ya hukumu ya hajj kuletwa. Sasa nieleze Arafa ya kuhusu Nini wewe ambae huko Hajj? Bora Ni hayo Masiku Kumi kwetu Sisi .
@kaobashaban4697
@kaobashaban4697 2 жыл бұрын
Zpo tatu kwa msikilze shekh mubaraka aweso kaelezea vzuri elimu nibahari
@munamuna7488
@munamuna7488 2 жыл бұрын
Shukrn
@yusuphmayota7498
@yusuphmayota7498 2 жыл бұрын
Assalaamu alaykum shukran kwa darsa mzuri
SUNNAH BAADA YA SWALA 3
1:11:32
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 1 М.
УНО Реверс в Амонг Ас : игра на выбывание
0:19
Фани Хани
Рет қаралды 1,3 МЛН
Ful Video ☝🏻☝🏻☝🏻
1:01
Arkeolog
Рет қаралды 14 МЛН
KUTANGULIZA MASLAHA YA UMMA
53:53
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 1,2 М.
SHK ABDULQADIR ALIPOULIZWA KUHUSU ARAFA NI MOJA AU KILA NCHI NA ARAFA YAKE
8:24
#LIVE: HII NDIO DUA YA SIKU YA ARAFA | WADHAKKIR
1:14:40
Kishki Online TV
Рет қаралды 11 М.
JUA KALI LEO USIKU JUMAMOSI TAREHE 28/12/2024 MOVIE FULL HD
18:32
FROLA MOVIE RECAP
Рет қаралды 4,9 М.
KUMJUA MTUME PART 3
56:35
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 968
Sayyid ALI AL NADHIRY.Darsa
17:53
Masjid Shibu
Рет қаралды 22
UTARATIBU WA SWALA YA USIKU. MAJIBU HARAKA NUSU SIKU
43:12
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 54 М.
УНО Реверс в Амонг Ас : игра на выбывание
0:19
Фани Хани
Рет қаралды 1,3 МЛН