Hi Margareth thank you for your video I was in Dar from1999 till 2006 and back on 2012. I luv Dar so much as well as the people😍😍😍😍😍 I'll be back next year to visit my son
@historicallyfeatured45563 жыл бұрын
Too much love from 🇺🇬🇺🇬🇺🇬 ur neighbour
@sashoright82132 жыл бұрын
We love Kenya too😍😍
@SiyanAbdallah Жыл бұрын
😂😂
@abrahamsnoopdog59293 жыл бұрын
Mtangazaji upo vizuri Sana 👍🇹🇿🇿🇦
@HassanAli-kq4sp3 жыл бұрын
Asante sana Mag, nimefurahi kuliona jiji langu la Dar ilivyobadilika.
@t1910j4 жыл бұрын
Nice video. Absolutely well presented and prepared. Thank you
@JumanneSudi4 ай бұрын
Sgr vp?
@MudyAyubu3 ай бұрын
😅😅😅🎉
@KhalidKhan-ud9cz Жыл бұрын
Wow umependeza Sana kweli 💖💕💖
@ameedamilja79923 жыл бұрын
Nice! Sasa kazi ni ku focus na landscaping kwani ni muhimu kupendezesha jiji/city. Gardens za kijani na uoto wa asili uliohifadiwa vizuri utapendezesha jiji zaid.
@josephstephen20473 жыл бұрын
Nice content, i subscribed ur channel
@KhalidKhan-ud9cz Жыл бұрын
Tanzania mzuri Sana 💝💖
@sumatanjunior2313 жыл бұрын
This city needs a class on how to do landscaping.
@vivensmanirarora5813 Жыл бұрын
Dar pazuli sana
@JosephMatayo-u1m5 сағат бұрын
❤❤ Tanzania
@modestwenceslaus93 жыл бұрын
Tunapoongerea maendeleo ya nchi yetu ya Tanzania haimaanishi tunashindana na majirani zetu bili tushirikiane nao katika kuleta maendeleo.
@ELLYJ24 Жыл бұрын
Umeongea kitu cha maana kwl
@stellanyamuhogota18322 жыл бұрын
♥️my beautiful land💪🔥
@Sangaadam3 жыл бұрын
Mgeweka subtitle ya kiingereza kwa faida ya watu wote ambao wangependa kuifahamu kiundani DAR (especially Watalii, Diaspora, foreigners)
@muddymkamba3524 жыл бұрын
Nice sana
@sumakitogo25934 жыл бұрын
Mmesahau hata soko la kariakoo
@sashoright82132 жыл бұрын
Daraja la sarender bridge, kariakoo na vingi vingne
@Project1986p3 жыл бұрын
My city🇹🇿😍
@goodluckmachangu59414 жыл бұрын
Tzd bado tuko nyuma sana hususan barabara za kisasa kwenye majiji yetu. Wenzetu wa Nairobi Kenya fly overs na footbridge kwao zimejaa za kutosha na bado wanajenga nyingine nyingi.
@TheMandela214 жыл бұрын
Wewe mkenya acha propaganda za Kjinga mimi ninaishi Nairobi na hakuna maajabu yeyote na ninakaa upper hill karibu na Town Lodge Hotel au ubalozi wa Israel... wana barabara mbovu na changamoto za foleni kama nchi nyingine inayoendelea
@Mpakauseme3 жыл бұрын
Nafikiri wataendela kujenga taratibu taratibu
@allymngwaya13693 жыл бұрын
Kama unafahami historia ya jiji la Dar usingelaumu. Dar imeanza kujengwa 2000's wakati Nairobi imejengwa tangu 70's. Kwa spidi ya jiji la Dar kwa miaka 10 iliyopita ni jambo kubwa sana.
@rayisadesigns26463 жыл бұрын
GOODLUCK MACHUNGU Kwa taarifa yako hivyo ni vijipande vichache sana alivyovioonesha, kwa Dar es Salaam hapo ni sawa na hakuonesha chochote. Kuna sehemu nyingi sana hakuonesha, kuna barabara za mwendo kasi za mabasi ya kisasa kabisa yanayokufanya ufike kwa haraka katikati ya jiji, vilevile kuna jengo lenye mvuto wa kipekee la ikulu ya Magogoni ambalo ndilo lilozaa jina la Dar es Salaam, fukwe za bahari na visiwa vidogo vidogo vya kitalii vinavyopatikana kando kando ya pwani ya Dar es Salaam pamoja na hoteli zake za kisasa kabisa, pia kuna majengo makali yanayozidi kujengwa Dar es Salaam pita ukanda wa daraja jipya la Salenda linalojengwa ndani ya bahari ya Hindi, angaza kwa kutokea sehemu za Ubalozi usawa wa maeneo ya Kinondoni Moroko na Viktoria, Kijtonyama Makumbusho, mpaka Mwenge sikwambii hizo barabara zinazojengwa mitaani na katika ukanda huo achilia mbali zile za njia nane kutokea Ubungo kuelekea usawa wa Mbezi hapo bado hajaonesha barabara za juu za treni za umeme. Hizo flyovers na footbridge zako Dar es Salaam sio ngeni kuna Mfugale pale Tazara na nyengine za kumwaga zinajengwa, kuna ma malls ya kufa mtu kaangalie pale Mlimani city, City Mall, Aura Mall, Kacheki zile terminals za kisasa za uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Terminal 3 na ile stendi kuu ya mabasi ya mikoani pale Mbezi (Magufuli Bus Terminal) stendi ambayo haipo sehemu yoyote ktk ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati, hiyo nimekupa kwa uchache tu kuna sehemu nyengine nyingi ambazo sio rahisi kuziorodhesha na kuzielezea zote!! Dar es Salaam sasa hivi ni Fire!!
@rayisadesigns26463 жыл бұрын
@@Mpakauseme hamna kitu hawa jirani zetu kila kitu wao wanabeza, hawataki kuukubali ukweli Dar sasa ni ya moto na inajengwa kwa kasi kuliko majiji yote ya Afrika Mashariki, wakati sisi tuna mwendo kasi na treni za umeme zinakuja wao wameletewa za mfuta, hiyo inawauma sana.
Sijafurahi, essential land mark za dar hujaziweka, mfano uoumbi wa Nkuruma udsm, St. Joseph cathedral, Azania, Karimjee kwa uchache
@filamupictures93493 жыл бұрын
Hizo ni landmark za zamani sana, katika zote ulizotaja ni hilo kanisa la st Joseph tu ndio linajulikana jiji na tanzania kwa ujumla, ila zilizooneshwa katika hii video ndio maarufu zaidi siku hizi hata mtu ambaye hajafika dar ukimuonesha picha anazifahamu
@MorganMwaipyana-tz9vc29 күн бұрын
Daraja la Manzese ni zaidi ya Nkrumah,Azania Front? Kubali wamekosea mahali@@filamupictures9349
@abelmbaga54073 жыл бұрын
A piece of entertainment while learning.
@theodoltheophil78583 жыл бұрын
Tanzania
@aliciafields-worldtravelle82483 жыл бұрын
Wewe dada eti barabara yenye mvuto zaidi Afrika mashariki🤣🤣🤣 barabara za Kenya ziko ligi ya juu my friend..Thika super highway is a marvel, Nairobi expressway inakamilishwa mwaka huu.
@natureworld2953 жыл бұрын
There is a 2km bridge at outering road . then we have an interchange at changamwe mombasa
@yusrababuu3 жыл бұрын
Kila inapozungumziwa TZ lzm majirani mmpayukwe hebu kuweni km Waganda wako cool
@reubenchalle15773 жыл бұрын
Yani wakenya mmeshaharibiwa na wazungu, wamewajengea roho za chuki na ubinafsi dhidi ya ndugu zenu na kuwafanya mujione wajanja zaidi kuliko nchi nyingine za Africa Mashariki. Nawapenda sana waganda, wao ndio ndugu zetu wa kweli kwani katika kila hatua tunayopiga hutuunga mkono na kutupongeza, ila nyie kila siku kazi ni kuponda na kudharau vya kwetu sijui mkoje😠😠😠😠
@rygeemabdul70443 жыл бұрын
Barabara zenye mvuto Zaid Africa mashariki is an exaggeration thou ziko poa. Tembea Africa mashariki uone barabara
@gracejulius39663 жыл бұрын
Wazee wa Sukuma wiki kila kitu Cha Tz wao ni kupinga tu. Shida ni kwamba wanajiona bora kuliko Wengine Afrika Mashariki na Kati wakati sio.
@josephstephen20473 жыл бұрын
Margareth nimekupenda bure
@natureworld2953 жыл бұрын
Barabara ndio hamna . muache siasa mjenge nchi
@yusrababuu3 жыл бұрын
Tanzania tunaijenga wenyewe bila mkoloni wala mkopo wachina 😀😀🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@natureworld2953 жыл бұрын
@@yusrababuu standard chattered bank ni ya nchi gani ?
@yusrababuu3 жыл бұрын
@@natureworld295 Wakenya mnapenda kufatilia mambo ya TZ ,hebu nenda kale githeri huko achana na Bongo land yetu🙄
@juniorlimbanga5173 жыл бұрын
Taa zilikuwa zamani hapo darajani, now hakuna tena taa
@theodoltheophil78583 жыл бұрын
Duh kumbe hakuna tena taa, sasa hao wanaotoza hela kwanini hawafanyi ukarabati?