MAFURIKO YA RUFIJI- TANESCO WAFUNGUKA "SIO BWAWA LA NYERERE NI MVUA"

  Рет қаралды 69,704

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 133
@ZulayfaSalum-ws2rj
@ZulayfaSalum-ws2rj 5 ай бұрын
Jaman tuliombee taifaa Ali ni Tete 🙏 mungu ibariki Tanzania tuepushe na maafa na majangaa ya kila aina🇹🇿🤲
@MubbaOfficial-kk2fq
@MubbaOfficial-kk2fq 4 ай бұрын
Let's praise to god for our nation
@user-lp4fi7bx9q
@user-lp4fi7bx9q 4 ай бұрын
Kwa historia mto Rufiji umekuwa ukijaaa na wakati huo hapakuwa na bwawa. Mlima Hanang ulipasuka kutokana na mvua nyingi iliyosababisha udongo kujaa maji na hatimaye kuwa dhaifu kubeba au kuzuia miamba na kwa sababu ya mteremiko mikali, udongo wenye maji ukaanza kumwagika. Udongo unapojaa maji huwa tepepe na hivyo kuwa rahisi kutembea au kusukumwa na miamba. Katika mkoa wa Arusha juzi yametokea mafuriko yaliyosababisha matope kufunika barabara hivyo tunachohitaji ni kuchukua tahadhari tu na si kulaumu Bwawa. Warufiji wanajua miaka ya zamani maji yalikuwa yanajaaa na kusambaaa na kuna mifano mingi tu. Tuombe mungu tu mambo yaendelee kuwa mazuri. Mungu ibariki Tanzania Mungu ilinde Bwawa la Mwalimu Nyerere
@wenderine
@wenderine 4 ай бұрын
Safi sana eng. Umeeleweka!!
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 5 ай бұрын
Uko vizuri sana Engineer
@alphoncembasa592
@alphoncembasa592 5 ай бұрын
Uzuri wake uko wapi ebu msikilize vizur
@leonardseth7050
@leonardseth7050 5 ай бұрын
Ahsante na hongera kwa maelezo yako yaliyojitosheleza. Nimekuelewa saana maana tangu nianze kupata akili wewe ndiye wa kwanza kunishawishi.
@ahmadifataha6677
@ahmadifataha6677 5 ай бұрын
Hayo mafuriko yalishawahi kutokea 1999 tulivuka kwa mitumbwi hapo na mpaka nyawage
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 5 ай бұрын
Nakukubaliana na maneno yako mwaka 1978 yaliwahi kutokea mafuriko kama hayo jee wakati huo kulikuwepo bwa mimi nilishuhudia maji wakati huo
@user-lp4fi7bx9q
@user-lp4fi7bx9q 4 ай бұрын
Upo sahihi kabisaaa
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 5 ай бұрын
Huko Morogoro Mashamba ya miwa na mpunga haya fai sababu yame furika maji ni jangatu wala siyo Bwana la nyerere A.K.A Stiglitz
@stukiaally4690
@stukiaally4690 5 ай бұрын
Mungu ndio anajua zaidi
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 3 ай бұрын
Ni kweli mzeee
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 ай бұрын
Hili bwawa najuwa lina maadui wengi toka mwanzo limehengwa tu kwa uthubutu wa Rais Magufuli. Najiuliza:- 1. ikiwa kazi ya bwawa ni kunywa maji, kama lisingekuwepo hali ingekuwaje? 2. Ilisemekana ujenzi wa bwawa utauwa ikolojia hivyo kutakuwa na upungufu mkubwa wa maji kiasi kwamba tuliambiwa bwawa tu litahitaji miaka 5 kujaa, sasa imekuwaje bwawa liwe ndio limeleta maji? Naomba ufanyike utafiti wa kina kuona chanzo cha tatizo, kwa akili ya kawaida bwawa kazi yake ni kunywa maji iwe je ongezeko la maji au mafuriko yawe yamesababiswa na bwawa.
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 5 ай бұрын
Lingetumia Miaka 5 kujaa kama mvua ingekuwa ya kawaida. Ila safari hii kumekuwa na mvua za Elnino zikafuatiwa na mvua za masika ambazo ni nyingi kuliko wastani.
@UnitedAfrica-uw9ct
@UnitedAfrica-uw9ct 5 ай бұрын
kwa msemaji (Eng Boymanda) (1) kama maji yaangeachwa yaende bila kutunzwa kwenye bwawa bado kungekuwa na mafuriko yaani "tuache natural course of events" ? (2) Hicho kiwango cha maji yanayopita kwa sekunde miaka ya nyuma kilikuwaje ? . (3) Kuna Hesabu zinatakiwa kufanyika hapo , kuhusiana na kiwango cha maji kinachopita hapo. ni wakati gani sahihi wa kuachia maji yapite kama yamejaa , bila kuathiri wananchi na uzalishaji umeme . (4) Jitahidini kufanya kazi wahandisi kumbukeni hilo Bwawa limejengwa kwa mizengwe (kuna mataifa mengi walitaka hilo lisijengwe hapo) , msiwape watu pa kusemea "tuliwaambia" ,
@elimuinfo7069
@elimuinfo7069 5 ай бұрын
Kwa ufupi kabisa, endapo kusingekuwa na Bwana la Mwl. Nyerere huenda madhara ya wingi wa maji Rufiji yangeanza mapema sana kabla ya sasa kwakuwa maji ya mvua za Elnihno na Masika, yangetiririka moja kwa moja bila kikwazo. Kumbuka, hoja ya wanaharakati wa mazingira wakati serikali inaanza kutekeleza mradi huo ilikuwa ni kwamba, uwepo wa bwawa hilo ungeathiri ekolojia ikiwemo kuondolewa kwa mimea na wanyama ambao ilidhaniwa kwamba wangekosa maji kwakuwa maji mengi yangeelekezwa bwawani. Kwahiyo, kama hoja ilikuwa ni hiyo, iweje sasa bwawa hilo hilo ambalo lilisemekana lingekausha maji kwenye downstream, leo lilete mafuriko?
@obedyjonas3048
@obedyjonas3048 5 ай бұрын
​@@elimuinfo7069 wewe jamaa una akili sana
@smallscaleminingsupplies9670
@smallscaleminingsupplies9670 5 ай бұрын
Mkuu hauna haja ya kujieleza nchi haiwezi kosa umeme kisa wilaya moja, hata kama tatizo ni bwawa hao raia wahamishwe tu,
@user-sq4vp9bm4r
@user-sq4vp9bm4r 4 ай бұрын
Omba sana mwenyezi mungu akupe hekma ya maongezi👏
@levokataanatorpolebabayetu9223
@levokataanatorpolebabayetu9223 4 ай бұрын
Asnte kwa elmu nzuri
@DavidMutiba-hr3vo
@DavidMutiba-hr3vo 5 ай бұрын
Bwawa limekusanya maji na kuzuia mtiririko wa kawaida wa maji ya mto rufiji kwa muda. Sasa limejaa na kwa taarifa tuliyopewa imebidi kuyafungulia yapungue ili yasilete madhara kwa kuta za bwawa na zoezi hili tumeambiwa litaendelea hadi tarehe 25/5/2024. Kwa hiyo pamoja na mvua zinazonyesha kuna ujazo mkubwa wa maji toka bwawani unaingizwa kwenye bonde la mto rufiji .Kwa sababu bwawa limekusanya maji ya mito mingi, tofauti na mvua inayonyesha na kusimama ,mtiririko huu wa maji toka bwawani ni wa mfululizo. Ndiyo maana mafuriko yamekuwa makubwa. Msitudanganye wajibikeni kwa raia waliopata maafa.
@sharifshaban8817
@sharifshaban8817 5 ай бұрын
Ni sahihi,
@triplea3463
@triplea3463 5 ай бұрын
Huujui mto rufiji unajibu tu unavyowaza ww Inshort bwawa la rufiji limejengwa kwenye njia ya mto rufiji na hio mito yote unayoitaja imejiunga kwenye mto rufiji kabla hata bwawa halijajengwa na ndio mito hio inayotengeneza mto rufiji Mafuriko siku zote yalikuwepo na madhara yalikuwa makubwa kwa kuwa yalikuja bila taarifa watu wanakufa leo Bwawa hili kujengwa linaokoa mali na watu taarifa ilitolewa mapema ili watu wahame ndo mana hadi sasa mafuriko namna hii hujasikia kifo
@khadijayusuph2634
@khadijayusuph2634 5 ай бұрын
Duh"
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 ай бұрын
Maji yakijaa HAYAHITAJI kufunguliwa yatatafuta yenyewe kwa kwenda. Bwawa ni maji yaliyokusanywa pahali fulani na bwawa halizalishi maji ila hupokea, je lisingekuwepo hali ingekuwaje? Wale waliotwambia bwawa likijengwa ikolojia itapotea na tutakosa maji hata ya kujaza bwawa wako wapi sasa? Na je 'physicality study' inaonesha kweli kwamba mafuriko hayo hayajawahi kutokea au ni maji tu yamerudi maeneo yake kama RC Chalamila alivyoamini kwa mafuriko ya Dar. Kwa akili ya kawaida kama wananchi wangekosa maji ingeingia akilini mwangu kuwa tatizo ni bwawa limekunywa maji lakini siwezi kuamini kirahisi kwamba mafuriko tatizo liwe ni bwawa.
@nuruhhussein167
@nuruhhussein167 5 ай бұрын
Kwakweli wawajibike na siyo kila mtu analopoka lake wakati watu washaasilika vibaya 😢
@christopherjoseph8330
@christopherjoseph8330 5 ай бұрын
Ndg Engineer umeelezea kana kwamba hamna bwawa kwenye mkondo wa maji, kiufupi bwawa limeharib natural flow y rufiji kitendo cha kuzuia maj alaf unakuja kufungulia gafla lazm mafuriko yatokee. Sawa na kulazimisha wanafunz 30 watoke mlagoni kw mara moj. Pia bwawa limesababisha udongo kushiba maji kwahiyo maj yanapita bila zama chini( no more water absorption)
@masoudabdoul8447
@masoudabdoul8447 5 ай бұрын
Punguza ujuaji ndugu.
@christopherjoseph8330
@christopherjoseph8330 5 ай бұрын
@@masoudabdoul8447 Taarifa ilitolewa kwamba wanapunguza maji baada ya bwawa kujaa maan yake walizuia Maj sas wanaachia gafla tofaut flow kawaida wangekuw wanaruhusu maji kupita tangu mwanzo njia isingezidiwa kw kias hiki.
@masoudabdoul8447
@masoudabdoul8447 5 ай бұрын
Rufiji kupata mafuriko hii sio mara ya mwanzo. Miaka kadhaa nyuma ilishatokea maafa ya mafuriko kama hayo ndugu. Bwawa la Nyerere ni la lini?????
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 4 ай бұрын
Akili ndogo, nani alikwambia bwana limezuia maji wakati maji ni mengi, acheni maji yapite. Watu waache kuishi kwenye mikondo ya maji
@stayawakekimakosa5795
@stayawakekimakosa5795 5 ай бұрын
Ngoja nimalize kucheka kwanza
@HabibuSalumu-iv5wl
@HabibuSalumu-iv5wl 4 ай бұрын
Uho niukweli kabisa data sahihi Kila sehemu nchini kunamafuliko nayo yanatokana na bwawa ziwa Tanganyika kwa mwezi mmoja kina Cha maji kimeongezeka karibu mita Moja nzima mwezi machi /April
@MubbaOfficial-kk2fq
@MubbaOfficial-kk2fq 4 ай бұрын
Which is the perfect source for tanzanian? Tanesco or government reader.
@noahmadali7150
@noahmadali7150 5 ай бұрын
Faida za bwawa ni nyingi kuliko hasara zake, hio inaitwa necesary evil
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 5 ай бұрын
Hapo nimekuelewa Inamaana maji yanayo toka niyaleyale Ambapo hata bwawa lisingekuwepo bado yangekuwa nihayohayo
@sirianadishon
@sirianadishon 5 ай бұрын
Bwawa limejaa maji, lakini umeme ni tatizo kubwa. Hapo unatuelezaje mtaalamu.
@kanaelikanuya7919
@kanaelikanuya7919 5 ай бұрын
Hizo ni changàmoto za kawaida ambazo zikotokea ishu nikuzitatua lakini bawa ni muhimu kwa nchi yetu
@curtisloy2343
@curtisloy2343 5 ай бұрын
WATANZANIA TUJIJENGEE TABIA YA UMAKINI WA KUSIKILIZA TU😅
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 5 ай бұрын
Mvua Inanyesha Kila Mwaka Na Haijawah Kutokea Hali Kama Hii Sasa Inabid Tukubali Kwamba Kuna Mahar Tumekosea
@bamanyasalvius123
@bamanyasalvius123 5 ай бұрын
Watanzania wengi wavivu wa kufikiri wewe ulishaambiwa hizi ni mvua za El Nino
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 5 ай бұрын
@@bamanyasalvius123Watu wanatakiwa kuhama hapo sio sehemu sahihi ya kuishi
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 5 ай бұрын
The only solution is for people to move out. That place is a disaster prone area because of the big dam
@mukhsintwaha5909
@mukhsintwaha5909 5 ай бұрын
Sasa bwawa halina shida shida ni mvua miaka yote Rufiji mafuriko hutokea na mvua kwa sasa zinanyesha saana suluhu ni wananchi kutafutiwa makazi mengine maeneo kama ya Mkuranga na kwingine mbona imewezekana wananchi wa ngorongoro kuhamishwa inashindikanaje wa Rufiji?
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 5 ай бұрын
@@mukhsintwaha5909 Ni hatari sana,licha ya makazi ya watu kujaa maji,hakuna waliopoteza maisha kweli?
@kamanda007
@kamanda007 5 ай бұрын
Uwongo wa kipumbavu sana, wajibikeni kwa kusema ukweli
@KarimuYusuph
@KarimuYusuph 5 ай бұрын
Waongo hao ni rufiji hiyo bwana ss tumefanya kazi huko mbona zaman ilikua amna
@christopherjoseph8330
@christopherjoseph8330 5 ай бұрын
Ukisikiliza vizur utaelewa kwamba mvua z el nino ili sababisha bwawa kujaa haraka ndio maan kipindi cha el nino hakuwa na mafuriko rufiji maji yalikuw yanakusanyw sas bwawa limejaa maj lazm ya mwagike. Sema bwawa ilichelewesha mafuriko.
@christopherjoseph8330
@christopherjoseph8330 5 ай бұрын
El nino hutokea mara chache inaweza pita miaka 20 au 10 usisike mvua za el nino
@MihayoMjomba
@MihayoMjomba 5 ай бұрын
Hakukufanyika tathimini vzr that is over
@rockygappi1018
@rockygappi1018 5 ай бұрын
😂😂😂..ngosha kwa elimu ipi uliyonayo mpaka useme kuwa hayakufanyika utafiti wa kutosha..?? Mwaka 78 na 99 mafuriko kama hayo yalishawahi kutokea kama yalivyotokea sasa..wewe ndio hujafanya utafiti wa kutosha kabla ya kuzungumza
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 4 ай бұрын
😂😂😂
@oklahommy9838
@oklahommy9838 5 ай бұрын
Ukisoma hizi comment humu ndani utabaini kwamba kuna watu walienda shule lakini ujinga bado haujatoka vichwani mwao.....engeneer ameeleza tu vizuri bwawa limefika pomoni yaani uwezo wake wa kuzuia maji umefika kikomo.... so kutapisha maji ni lazima na hakuna siri kwamba mvua nyingi zinanyesha maeneo ya juu unapopita mto huo.....hata kama tumezoea kulaumu basi tutumieni akili angalau kidogo
@khadijayusuph2634
@khadijayusuph2634 5 ай бұрын
Maji kupwaa" kwa kweli wananchi kwa kulalamika 🙄 wamesahau hata mwaka Jana au juzi maziwa. Na bahari zilijaa mpaka Maji yakafuata watu kwenye makazi je nanii alilaumiwa?
@anithasemwano8276
@anithasemwano8276 5 ай бұрын
UELEWA WA HAYA MAMBO YA KITAALAM WA TZ WENGI HAWANA NI NGOJA WAENDELEE KULALAMIKA
@TunuAdam-gc9rc
@TunuAdam-gc9rc 5 ай бұрын
Ndoshida yetu watanzania
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 5 ай бұрын
Hii ni balaa
@zhaozlyoung
@zhaozlyoung 5 ай бұрын
Ayoo tv saiv unatumika kama chawaaa ww taarifa zako saiv za kipuuzii tuu
@omaryahya337
@omaryahya337 5 ай бұрын
Wew ndio mshamba hakuna ukomo wa taarifa wew sikiliza taarifa then changanua 😮
@saidimkongos324
@saidimkongos324 5 ай бұрын
Kwanini🤔🤔
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 5 ай бұрын
Sura yake tu inaonyesha hana uzoefu na anadhani anaweza kutudanganya tu
@gallusmbaga5522
@gallusmbaga5522 5 ай бұрын
Mafuriko yaliyokuwa yanatokea zamani yalisababishwa na bwawa lipi maana watu wanajiongelea tu. Wanafanya SIASA za maji taka.
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 5 ай бұрын
@@gallusmbaga5522 Vijana wa siku hizi biuuuuuuuureeeeeeee kabisaaaaaaaaA
@nuruhhussein167
@nuruhhussein167 5 ай бұрын
Duh!! jamani
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 5 ай бұрын
Mimi bado sijakuelewa 😢😢😢😢😢
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 ай бұрын
Simple ni kwamba bwawa lipo saturated yaani limeshajaa na halina tena uwezo wa kuchukuwa maji mengine lipo super saturated. Tatizo ni mvua kuongezeka sio bwawa.
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 5 ай бұрын
Sasa Mbona Maelezo Yakk Kama Yanakubali Hcho Kinachozungumzwa
@danielayubu1930
@danielayubu1930 5 ай бұрын
Ni hatari Sana kuona watu wanaleta siasa Kwenye Maisha ya watu Ila MUNGU yupo Mnapo wajibu watu walio waganga jaribuni kutafuta Hekima ya MUNGU hamumjibu AYO mnawajibu wananchi ushauri yenu
@alphoncembasa592
@alphoncembasa592 5 ай бұрын
Huyu anajichanganya sana .
@user-iy4sc9in3j
@user-iy4sc9in3j 5 ай бұрын
Injinia elewa maji kuwa maji hayapai juu hivyo uwezo wa maji yanayoingia kwenye bwawa yanaflow kidogo sana , hivyo bwawa linahusika
@ElishaSolomoni-kc4zk
@ElishaSolomoni-kc4zk 5 ай бұрын
Duh htr.
@user-fl3yl4or3e
@user-fl3yl4or3e 5 ай бұрын
Namlivyo sema eti litachukua miaka mitano kujaa dar tasmini zingine bwana kwanza mimi binafsi nilikataa hiyo tathimini kabsa
@neemaackting8758
@neemaackting8758 5 ай бұрын
Ni waongo na mvua imaeamua idhalilishe
@simonleole5521
@simonleole5521 4 ай бұрын
Je, ulifahamu kama mwaka huu kutakuwa na mvua za el-nino!? Kwa normal flow ya maji katika mto kwa mwaka hesabu zao zilikuwa sahih kabisa
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 5 ай бұрын
Mimi nilidhani bwawa lingesababisha maji kupungua. Sasa wanasema limeleta maji 😂😂😂😂
@UnitedAfrica-uw9ct
@UnitedAfrica-uw9ct 5 ай бұрын
hapo wamekosea namna ya kuachia maji , huo ndio ukweli , walitakiwa kujaza maji taratibu , na pia kujua kiwango cha maji kinachoingia kwa mwaka , kiasi gani yaachiwe kwenda mtoni, na wakati gani
@Badvoice707
@Badvoice707 5 ай бұрын
Yanaachiwa kila siku sema yamezidi
@kassimjongo4682
@kassimjongo4682 5 ай бұрын
Mafuliko yote yaliopita yalikaa kwa wiki tatu ayajakaa mwezi mmoja
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 5 ай бұрын
Hi nchi bwana lazima uongo kila day😂😂
@swalehemdungu4059
@swalehemdungu4059 5 ай бұрын
Acha kuwacheka Wananchi sio kua ni Mbumbumbu namna hio
@kassimjongo4682
@kassimjongo4682 5 ай бұрын
Ni bwawa we hayo mayomwaga yanaenda wapi
@kilimanjaroflavour
@kilimanjaroflavour 5 ай бұрын
Nyie mna lalamikia mafuriko ya mvua hamjaona russian bwawa lime vunjika na kusababisha mafuriko kwa watu 2000.
@annamadavid4152
@annamadavid4152 5 ай бұрын
Hee!! Kumbe limeisha jaa??
@paulgaran5379
@paulgaran5379 5 ай бұрын
Ko mheshmiwa kwa kifupi lawama zote tuzielekeze wapi bila maelezo mengi je ni maji, mvua, bwawa, mafuliko,nyerere, stigraz ama?
@noraazan9124
@noraazan9124 5 ай бұрын
Sasa si walisema bwawa halijaaa ndio maana hakuna umeme
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 5 ай бұрын
Ni mbaya sana serikali kuzidi kuwaongopea wananchi wengi tumekula kitabu🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AB-ym2pu
@AB-ym2pu 5 ай бұрын
Stop nonsense!
@jacksongidione-yo8vg
@jacksongidione-yo8vg 5 ай бұрын
😢
@AliyNdaah
@AliyNdaah 5 ай бұрын
Wana Tuuwa njaa maji mengi uchumi akuna mazao yote ya meenda na maji mpka sasa wana nchi elf 10.000 wame kosa makaz ya kukaa wana kaa shule madalati ndio magodolo weken huluma jmni mulisema kua muki fungua bwawa la mwalimu nyerere mafuliko wana mohoro hakuna sasa wame tutia njaa sana
@franciscokalele3567
@franciscokalele3567 5 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza nimekutana na comment za wenye akili hapa.
@kassimjongo4682
@kassimjongo4682 5 ай бұрын
Wewe wacha siasa sisi tumezaliwa huku kwann mnamwaga mwaka 1974 wewe ulikuwepo mvua ipi miaka yote mvuai iyo ni mwaka huu tu
@DavidMutiba-hr3vo
@DavidMutiba-hr3vo 5 ай бұрын
Hatuna chombo(mamlaka) cha serekali kinachosimamia maafa ndiyo maana kila mtu anatoa taarifa.Sijui huyu injinia wa tanesco ana taaluma gani kuhusiana na mvua ,mafuriko na maafa yasababishwayo na maji.
@gunbizzo1970
@gunbizzo1970 5 ай бұрын
Anazungumzia kuhusu bwawa na sio maafa Mbega mwekundu wewe una damu ya wizi 2017 bwawa lilikuwepo?
@fanuelkatoto8913
@fanuelkatoto8913 5 ай бұрын
Huyo msemaji wao hanakumbukumbu vizuri kuwa tuliambiwa wamefungulia mageti ili maji yasiathiri kuta za bwawa... Shame on them
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 ай бұрын
Anachosema maji yenyewe ndio yameongezeka haitokani na utendaji kwenye bwawa.
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 5 ай бұрын
Waongo mpk wanasahau
@nuruhhussein167
@nuruhhussein167 5 ай бұрын
​@@aminatanzanya7475 washavurugwa vitu vinajifomart vyote
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 5 ай бұрын
Kabla ya hilo bwawa kujengwa hapajawahi kunyesha mvua kubwa? Mbn hatukuwahi kuona hiyo hali?
@edrickniwamanya5665
@edrickniwamanya5665 5 ай бұрын
Unajisikiaje kuwaongopea wananchi???😂😂😂😂😂😂😂
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 5 ай бұрын
Hawana aibu, na sii mara ya kwanza
@bigowillythomaskayanda7763
@bigowillythomaskayanda7763 5 ай бұрын
Sasa hapo anaongopea nini hapo,?
@TunuAdam-gc9rc
@TunuAdam-gc9rc 5 ай бұрын
Pengine apo yalipotoke mafuriko labda ni njia ya maji ya muda mrefu
@kassebo
@kassebo 5 ай бұрын
Count me in
@HamisiSaidi-qw9jb
@HamisiSaidi-qw9jb 5 ай бұрын
Ni hatar kwel
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 5 ай бұрын
Rufiji miaka yote ni eneo la mafuriko nani asiyejua?
@henrysanga1087
@henrysanga1087 5 ай бұрын
Hilo Bwawa ndio Lina peleke pressure kali ya maji tofauti na pressure iliyokuwepo kabla ya bwawa kuwepo hapo chanzo ni bwawa Kwa akili ya kawaida
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 5 ай бұрын
na morogoro kuna bwawa? na dar kunabwawa? na arusha mafuliko kuna bwawa? acheni ujinga kujihujumu wenyewe wajinga nyie
@user-cy8el2pg6t
@user-cy8el2pg6t 5 ай бұрын
Maji hayakosei njia yake
@godlovepenuel5645
@godlovepenuel5645 5 ай бұрын
Kwanini maelezo ni Mengi hivyo? Kna chajifunza hapa...
@maternmkomange5389
@maternmkomange5389 5 ай бұрын
Miaka yote mbona haijatokea hayo? Yanatoka Kwa Kasi Sasa kwenye bani zenu msituganganye tunayo akiri
@fredysiwale5413
@fredysiwale5413 5 ай бұрын
Mwaka huu mafuriko Hayaepukiki maana mvua zimeonyesha kupita kiasi tulicho zoea Rukwa ziwa limefrika na kumeza mipunga ya wakulima makambi ya wavuvi yote yamezama. Kama mpo kisiasa endeleeni ila uharisia ndio huo alio eleza injinia wa shirika
@ceomom2213
@ceomom2213 5 ай бұрын
Hawana spillway katika hiyo dam? Hawakujua kuwa kuna siku mto Rufiji utaleta maji mengi sana na kufikia dam kujaa? Mipango yao ilikuwa ni ipi bwawa likijaa zaidi ya kuwaambia watu wajiandae?
@AgnessAgustino-lr7up
@AgnessAgustino-lr7up 5 ай бұрын
Hizo litany zinayo overflow umezipima saa ngapi mpaka useme uwongo kaaa !!!!!! Eeeh uwongo ulio enda class
@user-kj5jp2ii5n
@user-kj5jp2ii5n 5 ай бұрын
Hivi huyu anakijua anachokisema kama mtaalam? Kwanza siyo ku overflow, ni maji wanafunguliwa! Pumbavu kabisa msomi huyo! Hivi hawa wanamitigation yoyote ikitokea Bwawa nimevunja kingo? Si watamaliza mkoa mzima wa Pwani? Ni aibu yake huyo mjinga!
@abras3479
@abras3479 5 ай бұрын
Mmetoa taarifa mwezi wa tatu wakati Kilimo kilianza toka mwezi wa 12???!!!!! hasara tupu Shambani . Je mfuko wa maafa wa serikali utafidia wakulima?
@samorasilayo1268
@samorasilayo1268 5 ай бұрын
kama hamuusiku nani anahusika wacha kuona watanzania ni wajinga
@user-ov5je6dr1o
@user-ov5je6dr1o 5 ай бұрын
Ayo umekuwA mpuuzi sana siku hizi
@frankvianey2438
@frankvianey2438 5 ай бұрын
Isikilize serikali inasemaje kijana
@fredysiwale5413
@fredysiwale5413 5 ай бұрын
Acha wajinga waendelee kudanganywa mafuriko mwaka huu Hayaepukiki kwa watu wanao ishi mabondeni na maeneo tambarare
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 ай бұрын
Hili bwawa najuwa lina maadui wengi toka mwanzo limehengwa tu kwa uthubutu wa Rais Magufuli. Najiuliza:- 1. ikiwa kazi ya bwawa ni kunywa maji, kama lisingekuwepo hali ingekuwaje? 2. Ilisemekana ujenzi wa bwawa utauwa ikolojia hivyo kutakuwa na upungufu mkubwa wa maji kiasi kwamba tuliambiwa bwawa tu litahitaji miaka 5 kujaa, sasa imekuwaje bwawa liwe ndio limeleta maji? Naomba ufanyike utafiti wa kina kuona chanzo cha tatizo, kwa akili ya kawaida bwawa kazi yake ni kunywa maji iwe je ongezeko la maji au mafuriko yawe yamesababiswa na bwawa.
What does Satoru Gojo have? #cosplay#joker#Harley Quinn
00:10
佐助与鸣人
Рет қаралды 7 МЛН
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 6 МЛН
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 66 М.
SASA NI CHRISTOS ASSEMBLIES OF GOD
59:48
MARANATHA ONLINE TV.
Рет қаралды 2,5 М.