No video

MAFUTA YA UPAKO YALICHOMFANYA HUYU BWANA.

  Рет қаралды 81,674

Robert Tv Tanzania

Robert Tv Tanzania

Күн бұрын

MAFUTA YA UPAKO YALICHOMFANYA HUYU BWANA.

Пікірлер: 215
@loicemaina2356
@loicemaina2356 4 жыл бұрын
Naitwa loice kutoka kenya nabii wa mafuta wamejaa huku na shukuru mungu kumponya bwana huyu kupitia kwa damu ya Yesu kristo
@violetmnyawami8719
@violetmnyawami8719 3 жыл бұрын
Baba askofu njoo na Iringa utufungue tupo kifungoni barikiwa Sana baba na Mungu akutunze.
@saulimwalyabwile1437
@saulimwalyabwile1437 3 жыл бұрын
Sauli Abraham, duniani kuna mambo, ubarikiwe mchungaji, Mungu aendelee kutenda katika Tanzania
@hadelinechelimo9024
@hadelinechelimo9024 3 жыл бұрын
Naomba number mjungaji
@nyambochristelle7640
@nyambochristelle7640 Жыл бұрын
Pia huku Rwanda 🇷🇼🙏🙏njooo plz
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu 7 ай бұрын
Mungu akulinde mtu wa Mungu na mjilipiza kisasi asikuone kwa jina la Yesu🇰🇪
@jenymbogela781
@jenymbogela781 4 жыл бұрын
Ooh yesu! Karibu kwenye roho yangu nakaribu kwenye family yangu uibadirishe kwadamu yako takatifu, jihova tuepushe Nanabii hawa waongo kabisa, kazi zao zikatupwe kuzimu, baba Wambinguni usituache pekeetu kwani hatuwezi nahatutaweza et. Mchungaji Robatr mungu andelee kuwa nawe siku zote
@Syiriviaalfred
@Syiriviaalfred 4 ай бұрын
Jina la bwana libalikiwe baba damu ya yesu ipenye kila pembe mm Nipo kaisho kanisa la kaanani kitembe nimeokoka nampenda yesu❤❤
@araead4785
@araead4785 2 жыл бұрын
Namkumbuka huyu kijana,Mungu azidi kumfungua kwa jina kuu la Yesu Kristo Mnazareti alie hai
@rahelifredrick8460
@rahelifredrick8460 3 жыл бұрын
Jaman sasa huyo mchungaji au shetani ,Mungu wangu utuhurumie
@folekagohjl2690
@folekagohjl2690 4 жыл бұрын
Bishop Amen amen be blessed..... Veronica nyabonyi am Kenyan currently in Saudi Arabia,, Mungu wakweli ako apo hapo ,, God only help me, and all know the truth
@jeannettendayisenga9968
@jeannettendayisenga9968 3 жыл бұрын
Ninakijana wangu anasumbuwa naungonjwa wa hasma mungu amuponye nasante kusikiya maitaji
@254FAVOURTV
@254FAVOURTV 2 жыл бұрын
Watching from saudi Arabia.
@neemamathew7465
@neemamathew7465 2 жыл бұрын
Acheni kunywa maji na mafuta mnaona madhara yake,,, ila najua kuna watu hawataacha ,,,,tumieni jina la yesu ndyo ngao yetu,, barkiwa paster
@milicahbahler5664
@milicahbahler5664 3 жыл бұрын
Yesü asifiwe. Na haimidiwe.mishidi wa yote.Mungu awe nawe Mnjungaji Robert
@annetvuseletse4509
@annetvuseletse4509 Жыл бұрын
Nashukuru mungu kuniponya na hali kama hii ila sijui nlivyojipata ndani nlijikuna sana hadi nikakosa amani na ladha ya maisha .Ashukuruwe Bwana wa mabwana nmepona
@kakakakabeka624
@kakakakabeka624 3 жыл бұрын
Mchungaji Robert aki mungu azidi kukupa kibali na nguvu uzidi kueneza injili ya bwana mimi na farijika Sana najicikia nko kwa kanisa na bado nko Saudi.
@lovennesclement1291
@lovennesclement1291 4 жыл бұрын
Mungu wangu,kumbe ndo mateso ya wachungaji hewa,Mungu msaidie mchungaji Robart
@wemamanikana9791
@wemamanikana9791 4 жыл бұрын
Ndio nakumbuka huyu kaka, MUNGU mkubwa. Niliumia sana kumuona video zake alivyokuwa akiteseka. Asante sana Bwana Yesu Kristo kwa kumponya
@agnesjohn7504
@agnesjohn7504 2 жыл бұрын
Amen praise the Lord Jesus Christ 🙏
@jeannettendayisenga9968
@jeannettendayisenga9968 3 жыл бұрын
Naomba msaada wa maombi kwa ajili ya kizazi changu mungu afjnguwe watoto wangu vifungu vyakutokuokoolewa labda niwataje majina wasichana wangu
@mumujey9779
@mumujey9779 2 жыл бұрын
Amen
@suzanamwan8193
@suzanamwan8193 3 жыл бұрын
Kweli Yesu anaweza tunajifunza vingi xna kutokana na huyu kijana ni Mungu tuu ndio mwenye huruma
@samiasamu1068
@samiasamu1068 2 жыл бұрын
Injiri ya kweli ahsante mtumishi MUNGU hawe pamoja nawe katika kazi yake
@judithbett420
@judithbett420 Жыл бұрын
Amen 🙏
@priscillasoila1508
@priscillasoila1508 4 жыл бұрын
Mungu azidi kua Mungu, watu hupitia mengi aki... May God protect us..
@medinazainab3588
@medinazainab3588 3 жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@omanmobile547
@omanmobile547 2 жыл бұрын
Inasikitisha sana, yesu amponye
@ireneivy2178
@ireneivy2178 4 жыл бұрын
Amen Bsp Robert may almighty God bless you from kenya
@germainenahimana3465
@germainenahimana3465 Жыл бұрын
Amen thank you so much Bishop. I’m watching from Canada
@matildamartin7394
@matildamartin7394 4 жыл бұрын
Amen. Hakuna maji wala mafuta kwa jina la Yesu
@chabamzee3550
@chabamzee3550 4 жыл бұрын
Samahani nataka kujuwa wewe matlida Martine ndo yule wa sengerema mwanza Dada yake na john maltine
@robertmusee1680
@robertmusee1680 4 жыл бұрын
Napokea uponyaji na miungiza wangu kupitia Mungu wa Mchungaji Robert. Connecting from Switzerland shalom
@augustinkasongo8900
@augustinkasongo8900 2 жыл бұрын
Que la gloire revienne à l'Éternel DIEU, que le Bishop Robert soit béni abondamment, c'est extraordinaire ce témoignage de ce frère Muta Karuna habitant Bukoba ville. Merci pour ce passage Jean 5:2-9, 14
@janew6400
@janew6400 2 жыл бұрын
Ingia kwa yesu
@claudetteniyobuhungiro7306
@claudetteniyobuhungiro7306 4 жыл бұрын
Yesu cristo aliyehayi akubariki zingine nguvu za kumutumikiya mungu burundi tu nakufatilia sana baba
@enockndomba5956
@enockndomba5956 4 жыл бұрын
Mchungaji uendelee kuwa na moyo uo pia mwenyezi mungu hazidi kukutia nguvu zaidi
@faudhiathjacob6996
@faudhiathjacob6996 4 жыл бұрын
Mchungaji Robert Mwenyezi Mungu akubariki.Juna eiyanga lyaitu.Bukoba yafa.Nakufuatilia tangu jana.Wewe fimbo ya nyoka ya shaba.
@cristophaadam5797
@cristophaadam5797 4 жыл бұрын
Mungu Tuokoe Na Ss Tumetumia Mafuta Na Maji
@seraphineniyonzima962
@seraphineniyonzima962 Жыл бұрын
Amené amen
@vgfgghgff1397
@vgfgghgff1397 4 жыл бұрын
Mungu Akulinde mucungaji Robert,Mimi niko saudia arabie ninahitaji kuwasiliana na Mucungaji je itawezekaneje asante
@racherkemunto3612
@racherkemunto3612 Жыл бұрын
AMEN AMEN 🙏 Pastor Robert tv Tanzania mungu asidii kubariki time to time ⏲️ 🙏
@racherkemunto3612
@racherkemunto3612 Жыл бұрын
From Germany mama jeridah,be blessed Pastor Robert tv Tanzania
@racherkemunto3612
@racherkemunto3612 7 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙌 in the name of Jesus Christ be blessed everywhere you are time to time 🙏
@naomynzau5109
@naomynzau5109 2 жыл бұрын
Mchungaji Robert pongezi Sana kwa kuwa mkweli wa neno la mungu ,mungu akubariki Sana ,ukuwe baraka kwa wengi.Naomy from kenya
@254FAVOURTV
@254FAVOURTV 2 жыл бұрын
Watching
@kinyasirwaoridonyo7226
@kinyasirwaoridonyo7226 4 жыл бұрын
Tenda mema nenda zako mungu akuzidishie ngufu na maono ubarikiwe zana
@benithafredrick2465
@benithafredrick2465 4 ай бұрын
Amina barikiwa sanaa
@victoriadiwi5183
@victoriadiwi5183 4 жыл бұрын
Pole sana kaka ,kazana kuomba mungu utafunguliwa kwa jina La yesu
@etuokhgf927
@etuokhgf927 2 жыл бұрын
Watching from saudi arabia shetani ashindwe
@jeannettendayisenga9968
@jeannettendayisenga9968 3 жыл бұрын
Kwajina la YESU kristo aliye hai bwana anafunguwa ata kilicho chini ya maji YESU kristo anaweza
@chabyhassan2798
@chabyhassan2798 3 жыл бұрын
YESU Ni muweza
@user-il1bv6vs9q
@user-il1bv6vs9q 4 жыл бұрын
Jesus Jesus Jesus Jesus u have heard my cry distance is not barrier i pray God to locate u I saw this link on u tube Am in Saudi Arabia have being praying for u sure
@vitalisjoseph5456
@vitalisjoseph5456 3 жыл бұрын
Good may God bless you
@bahatimusubaomuthawa2
@bahatimusubaomuthawa2 2 жыл бұрын
[10/02 à 21:33] Bahati Musubao Muthawa: Jambo [10/02 à 21:37] Bahati Musubao Muthawa: Mimi naitwa kwa jina ya Bahati Musubao Muthawa, na kaa DR.Congo, Beni, Nord Kivu. Na itaji musaada wa maombi, kwani Nina ishi maisha yalie mbovu sana
@agnesjohn7504
@agnesjohn7504 2 жыл бұрын
Damu ya yesu inatosha
@neemamathew7465
@neemamathew7465 2 жыл бұрын
Amen
@georginakadazo5303
@georginakadazo5303 3 жыл бұрын
Mungu azidi kuitwa mungu barikiwa sana mtumishi Robert mungu azidi kikupa kipaji from georgina from kenya
@doricasmutuli6756
@doricasmutuli6756 4 жыл бұрын
Bishop nafuatilia sana mahubiri yako inaniinua kufika kiwango kingine .b blessed.Am a Kenyan currently in Saudi Arabia.
@davididamasi8485
@davididamasi8485 4 жыл бұрын
Yuko wapi kwa sasa mchu robati
@mohamedkagoma7066
@mohamedkagoma7066 4 жыл бұрын
Yani historia yake imeniliza sana dah
@magrethpeter8600
@magrethpeter8600 3 жыл бұрын
Inuka uangaze tanzania
@ngwanafabian7532
@ngwanafabian7532 4 жыл бұрын
Atukuzwe Mungu wetu wa mbinguni kupitia jina takatifu la Bwana wetu Yesu kristo. Kwa kumwokoa huyo kijana.
@mafinamaizez2514
@mafinamaizez2514 4 жыл бұрын
Naomba namba za huyu mtumishi wa Mungu namba yangu+971558463745
@ngwanafabian7532
@ngwanafabian7532 4 жыл бұрын
@@mafinamaizez2514 namba zake angalia chini ya video utaziona zinapita.
@vionasindani1206
@vionasindani1206 4 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa mungu
@florencedalitsu8964
@florencedalitsu8964 2 жыл бұрын
Mungu akubariki bariki sana mutumishi.
@yohanampayo1798
@yohanampayo1798 2 жыл бұрын
Mungu tusaidie mmmm
@mercynjeri6581
@mercynjeri6581 4 жыл бұрын
Pastor barikiwa sana....
@mariasimon7545
@mariasimon7545 4 жыл бұрын
NA AHIMIDIWE MUNGU ANAYEJIBU MAOMBI YETU, TOKEA MAWIO YA JUA HATA MACHWEO YAKE JINA LA BWANA YESU KRISTO NI KUU KATI YA MATAIFA. AMEN. UBARIKIWE MTUMISHI KWA KUFUNDISHA KWELI.
@florangido202
@florangido202 2 жыл бұрын
Acha kusema wenzio kama Swala ni maji na Mafuta, kila Mtu ana karma yake hata YESU alitumia TOPE Kumponya kipofu, kinachotakiwa ni Imani na kuamini Stop
@neemathobias9462
@neemathobias9462 2 жыл бұрын
Kabisa
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
amen mtumishi wa mungu barikiwa sana
@henryosoro7696
@henryosoro7696 4 жыл бұрын
Niko Dubai lakini huyo kijana nilimuona na nikacomment aombewe na pastor Robert..kwa wale mlimpigia simu nasema asante bwana asifiwe.
@user-vj9ow7mh9k
@user-vj9ow7mh9k 4 жыл бұрын
Ninapongeza maombi mngu yuko
@user-vj9ow7mh9k
@user-vj9ow7mh9k 4 жыл бұрын
Robert. TV tanzania
@pendooswad6103
@pendooswad6103 3 жыл бұрын
Aleruyaaaaa
@bernadettekosani9465
@bernadettekosani9465 4 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni alie hai ni Mkubwa. Siku yake ya kufanya kazi ikiwadia anatenda maajabu. Haleluya
@kalivonashali4391
@kalivonashali4391 3 жыл бұрын
Anointing oil is still relevant and powerful James 5:13-15, all people should be careful and test spirits, 1john4:1-6.
@aminarumanyika628
@aminarumanyika628 4 жыл бұрын
Kwajina LA YESU utapona kaka angu MUNGU in mwema watu hawataki ukweli wanataka miujiza
@nowelaniyonkuru7166
@nowelaniyonkuru7166 4 жыл бұрын
Kweli ww niemeneza yani kijana huyu umfunike nabawa zako mtumishi mungu akubariki
@jacklineharuni4660
@jacklineharuni4660 3 жыл бұрын
Amina baba Mimi nimeokoka pia ila kanisa language wanatumia maji na mafuta pia niliamini mafuta maana tulifundishwa kwenye Isaya 10mstr wa27pia kuhusu chumvi tunadoma kwenye wafalme wapili lango LApili mstr wa 20-24inatuelezea pia kuhusu maji tumefunfishwa kupitia ufunuo 12-11kuwa maji yanabadilishwa kuwa damu ya yesu naomba ushauri nifanye nini Leo ninamiaka minne nasali hapa
@sophiezakaria
@sophiezakaria 2 жыл бұрын
Pascal cassian alisema, hayo mafuta ni yale wanachoma watu walio kufa huko freemason
@winniemushy4478
@winniemushy4478 3 жыл бұрын
Mungu.nisaidie.itaji.LA.moyo.wangu
@philomenamueni30
@philomenamueni30 4 жыл бұрын
Mimi ni mkamba kutoka machakos,naenza fikia uyu bishop roberd aji,jameni nichagieni niende uko
@irenejaphes1370
@irenejaphes1370 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@philomenamueni30
@philomenamueni30 4 жыл бұрын
Nineangaika akuna nabii anijui
@niyonkuruesperance5576
@niyonkuruesperance5576 3 жыл бұрын
asante sana mchungaji mungu akubariki sana
@samiasamu1068
@samiasamu1068 2 жыл бұрын
Na watumishi kama wewe ni wachache sana MUNGU hakutie nguvu
@emmymgumba4471
@emmymgumba4471 4 жыл бұрын
Amina kubwa baba.
@mikidadifabian4677
@mikidadifabian4677 2 жыл бұрын
MC ubarkiwe
@christinamkalalile874
@christinamkalalile874 2 жыл бұрын
Pasta robati karibu sana iringa vijijini kunaitwa mboli boli
@angelezekiel1657
@angelezekiel1657 4 жыл бұрын
Mbona unajisfia Sana wewe na mda mwingi umeutumia kuponda wengine, nakushauri unapoongea na unapohubiri usiingize sera za watu wengine Bali tulia kwenye kusudi la huduma na neno la Mungu usitie neno lililo nje ya kusudi la huduma, kwa maana nyingine usilete story za watu wengine ukiwa madhabahuni
@deogratiasnzelani160
@deogratiasnzelani160 4 жыл бұрын
Unajua Angek Ezekia neno la Mungu siyo siasa wala siyo hiyari ya mtu afanye anavyotaka watu hawa kuna aliyewafia msalabani kwa gharama kubwa kwahiyo msiwachezee watu wa Mungu kwa kuwakanyagisha mafuta na maji acha maramoja na sisi tutaweka wazi Kama hamna kazi mtafute kazi za kufanya
@nururubona2822
@nururubona2822 4 жыл бұрын
Mmh jamani mchungajo Yuko vizur saana anasema kweli au ndo ukweli unauma
@janetsimiyu7392
@janetsimiyu7392 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji, Kenyan gal nikiwa Saudi Arabia Jeddah town
@happynesskimt6249
@happynesskimt6249 3 жыл бұрын
Amin
@mwaminikambale1358
@mwaminikambale1358 3 жыл бұрын
Aksante kwa Mungu kwaku kupata
@Syiriviaalfred
@Syiriviaalfred 4 ай бұрын
Baba naomba maombi yako syilivia alfred
@godlivermayombya4692
@godlivermayombya4692 4 жыл бұрын
Amina
@demetriajohn5444
@demetriajohn5444 4 жыл бұрын
Amina shetani umeaibika,Yesu ni Mungu
@chstinambilinyi2111
@chstinambilinyi2111 4 жыл бұрын
Mchngaji ungefundisha neno zaidi kuliko kusimama kuhubiri kuhusu maji na mafuta.
@ngwanafabian7532
@ngwanafabian7532 4 жыл бұрын
@@chstinambilinyi2111 harafu nani akemee huo uchafu unaoitwa vitu vya upako? Mfano watu walikufa Moshi kwa kukanyaga mafuta ya upako, swali tangu lini kitakatifu hukanyagwa na miguu? Wewe mtu akikukanyaga utafurahi? Unajua kuwa mafuta huwakilisha Roho mtakatifu?
@salumuswaibu1103
@salumuswaibu1103 4 жыл бұрын
Haki dini ya kweli mbele ya mungu ni uisilamu na mungu anaweza Kukuponya. Njisi imani yako inavyoelekea
@roseanamsemo7210
@roseanamsemo7210 4 жыл бұрын
Yani mnaacha kuhubiri neno mnahubiri mtu madhabahuni wote mnachanganya waumini biblia ya nn kama mahubiri ni ya mtu hatuwaelewi
@roseanamsemo7210
@roseanamsemo7210 4 жыл бұрын
Mtumishi ukianza kuhubiri ya mtumishi mwingine I me hobo pa
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 2 жыл бұрын
Mmmmmh
@chrismwesiga2334
@chrismwesiga2334 4 жыл бұрын
Amina sana pia hiyo kamba nyeusi aliyovaa shingoni.
@samsonibrahimmwita5771
@samsonibrahimmwita5771 3 жыл бұрын
Ushuhuda Mzuri sana, Unafundisha na Kujenga sana, MUNGU wa Mbinguni Akubariki Askofu Roberti kwa huduma ya KWELI yenye Kumuinua MUNGU
@deogratiasnzelani160
@deogratiasnzelani160 4 жыл бұрын
Mnadanganya watu na mafuta na maji wakati wenu umeisha mchungaji Robart fanya kazi na wote wanaokuponda humu muda wao umekwisha huku Dar wanaumbuka
@rehemamlowe5104
@rehemamlowe5104 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji ,robati,
@mariamfrnk1170
@mariamfrnk1170 3 жыл бұрын
JOYCE Godfrey form Oman bwana asifiwe
@ppmm7793
@ppmm7793 4 жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu nina kupata kupitia KZbin mungu akulinde sana hata mimi nimeamini nita pata mtoto. Ni Pamela nikiwa Saudi Arabia uyo kijana ashike sana neno la mungu maana amemponya amen
@joycechacha7344
@joycechacha7344 3 жыл бұрын
Amina
@miltonjohn8816
@miltonjohn8816 4 жыл бұрын
Hao wanaojiita manabii na mitume ni mawakala wa kuzimu moja kwa moja sijui kwa nini watu wanawafuata!!
@getrudakayombo7976
@getrudakayombo7976 4 жыл бұрын
Pole sana kaka mungu atafungua milango amina
@vionasindani1206
@vionasindani1206 4 жыл бұрын
Amen and Amen
@kwanguzengo7988
@kwanguzengo7988 4 жыл бұрын
Mchungaji Naomba namba yako ninamtoto wangu yuko chuo anamatatizo ya masikio yani kiziwi kabisa naomba namba yako
@kwanguzengo7988
@kwanguzengo7988 4 жыл бұрын
Naomba yako mchungaji
@peridamtweve7152
@peridamtweve7152 Жыл бұрын
Mkeo hapo mbele anachezea simu hakusikilizi
@deusidertikarumna7624
@deusidertikarumna7624 2 жыл бұрын
Mjwau
@ngwanafabian7532
@ngwanafabian7532 4 жыл бұрын
Mbarikiwe wote mlioshiriki ku- comment ila nawaomba msome Yeremia 23:15-32
@254FAVOURTV
@254FAVOURTV 2 жыл бұрын
CONNECTED
@asifiwepastoli7843
@asifiwepastoli7843 4 жыл бұрын
Asanteee mungu
@felechinamtewele3740
@felechinamtewele3740 3 жыл бұрын
Bwana na hatusaidie na hawa manabii was uwongo
@anithaingabir4678
@anithaingabir4678 3 жыл бұрын
Amin amin amin
#live 🔴Bishop Robert  USA Dayton Ohio
1:19:49
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 559
Harley Quinn's desire to win!!!#Harley Quinn #joker
00:24
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 16 МЛН
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 47 МЛН
VITU VYA  UPAKO NA UHUSIANO WA KUZIMU
54:49
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 1,1 М.
UTACHEKA MASANJA ALIVYO JIFANYA KAMA MANABII WA SIKU HIZI!!
23:59
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 76 М.
HALI YA KUTISHA INAKUJA KWA KANISA
1:12:34
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 123 М.
KAZI ZA NABII WA UONGO AZIWEKA WAZI HUYU MZEE!
19:11
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 16 М.
KATOTO KADOGO KAFANYWA KUWA KINARA WA KUANGUSHA NDEGE x264
48:42
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 61 М.
FANYA HIVI TATIZO LAKO LINAPOJIRUDIA
44:54
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 79 М.
MKONO WA BWANA by Zabron Singers (SMS SKIZA 8561961 TO 811)
5:50
Zabron Singers
Рет қаралды 59 МЛН
MUARABU ANG'AA BAADA YA KUTUMIA MAFUTA YA UPAKO.
6:00
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 46 М.
Harley Quinn's desire to win!!!#Harley Quinn #joker
00:24
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 16 МЛН