MAFWELE ATAJWA MAHAKAMANI "POLISI WANATESA NA KUUA WATU" MAKOSA YA MEYA JACOB

  Рет қаралды 48,196

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 108
@mweyoms5548
@mweyoms5548 Ай бұрын
Ipo shida Tz.Tena kubwa mno.
@overplantv21
@overplantv21 Ай бұрын
SAFI SAANA MIRAD AYO LEO UMEJITAHID SAANA KUTAJA JINA LA MAFWELE HUYU MBWA AKAMATWE NA YEYE WASITUFANYE TUISHI KWA WASIWASI KATI NCHI NI YETU WOTE
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Inasikitisha sana binadamu anakua kama mnyama
@trendingfootshorts
@trendingfootshorts Ай бұрын
Mungu ailaze maala pema peponi akiri yako finyu na maneno yako yasio na maana
@overplantv21
@overplantv21 Ай бұрын
hayajakukuta Mbwa wewe
@gwajimagwajima
@gwajimagwajima Ай бұрын
​@@trendingfootshorts Nguruwe pori ww ,mtu anaua watu na kutesa na waliosalimika wamemjua ni yy mbona hawakukutaja ww,au bwana wako ,
@BaadayazkFalaja
@BaadayazkFalaja Ай бұрын
Bc mi nacheka na majibizano yenu n
@MbokaRechadi
@MbokaRechadi Ай бұрын
Cc yetu macho ingawa tunajua kinacho endelea
@Hellen-i2y
@Hellen-i2y Ай бұрын
Kinachonisikitisha ni kuwa nguvu nyingi inatumika kumnyamazisha mtu anayejitolea kuisaidia polisi kuliko ya kuwatafuta watekaji na waliotekwa huku hofu kubwa ikijengeka kwenye jamii. Sidhani kama ni sawa hii itafanya mtu akiwa na habari zozote kuhusu hawa watekaji atanyamaza kimya na watu wataweza kulipizana visasi kimya kimya itazua balaa.oneni jinsi kuna mauaji ya kikatili kwenye jamii zetu kwa sasa.
@gabrielmchau8764
@gabrielmchau8764 Ай бұрын
CCM INA FURSA NYINGI SANA ZA KUWASHINDA WAPINZANI ILA EPUKENI KUTUMIA HILA ZA WAZI MAANA MNAHARIBU ZAIDI BADALA YA KUJENG
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Ай бұрын
Tena wanaharibu sana
@sophiaommy8343
@sophiaommy8343 Ай бұрын
Hasa Hilo la kumwaga damu mbaya sana sana
@mabalanyerere1541
@mabalanyerere1541 Ай бұрын
Mm naona alifanya vzur kukataa kuchukuliwa kirahis inawezekana agekumbar kwenda naona tugekuwa tunaongea mengi ndo mana walicho kitaka mungu amemsaindia Sana kwasabambu anae hisiwa ndo yeye anapelekwa mahakaman bada yakuchunguzwa yeye nch hii hatujuw tunaelekea wap
@nasrachaya
@nasrachaya Ай бұрын
Kwasabambu ndo nn na ww😅😅😅
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Ай бұрын
Mtekaji akitekwa cyo issue! Huyo bonifasi ndyo mtekaji maarufu anaongoza kikundi cha utekaji
@RabiaIddi-ci2uz
@RabiaIddi-ci2uz Ай бұрын
​@@ndogoroedson199kamteka mama yako?
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md Ай бұрын
Natamani siku moja hiyo mahakama iwapandishe wasiojulikana kizimbani
@Elineswai155
@Elineswai155 Ай бұрын
​@@ndogoroedson199yaan unataka kuniambia serikal ni ndogo kias hicho kuliko bonifas 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@AholeLifilima
@AholeLifilima Ай бұрын
SATIVA nae alitekwa na nani si alimtaja uyuuyu Mafwel🤐🤐🤐
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Ай бұрын
Hilo jina mafwele mbona linaleta shida? Mbowe alilitaja, sativa naye nimeona ametaja na leo Jacob ametaja nadhani ni hilo lilitaka kumtia matatizoni Mnao husika na uhai wetu mtuangalie upya na sisi ni wa Mungu!
@songombingo108
@songombingo108 Ай бұрын
Ninapomuona Kibatala nakuwa sina wasiwasi.
@KassimHanga-xr7rb
@KassimHanga-xr7rb Ай бұрын
Ahsante Jesh la polisi kwa kufuata sheria ya kumpeleka bonifes mahakamani mapema lakini haki hiyo muiendeleze kwa wote wanaotuhumiwa hata kama hawana wanasheria wasomi
@hamisimwinzagu6624
@hamisimwinzagu6624 Ай бұрын
Tukisema uyu mafwele amepewa maagizo na uongozi wa juu baadhi ya watu utasikia unahuwakika aya sasa sativa kamtaja kuwa yeye ndiye aliyekamteka sasa subili atekwe baba ako
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 Ай бұрын
Nahisi jina lenyewe ni hatari . Mafyeka ni issue . Aha kumbe ni mafyele . Hii aliandika vizuri
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 Ай бұрын
Mbowe aliongea hadharani mbona hawakumkamata?
@AwardHakimu
@AwardHakimu Ай бұрын
Lile ni lipapa likubwa wakimkamata wataleta kelele ndio maana wamemuacha
@Revelation1412.
@Revelation1412. Ай бұрын
Yaani hili jina "Mafwele" lifanyiwe uchunguzi
@MokiwaKaskaz
@MokiwaKaskaz Ай бұрын
Lifanyiwe uchunguzi na nani?
@msabatozeson9023
@msabatozeson9023 Ай бұрын
Mbona hata sativa kamtaja huyo mafwele na kasema anamwambia bado hawajamalizana! Kwanini mafwele asihojiwe ?
@reginas1832
@reginas1832 Ай бұрын
Ahojiwe na nani wakati ana kibali cha samia a killer
@sophiaommy8343
@sophiaommy8343 Ай бұрын
​@@reginas1832lakini iko siku tutamwona na pingu tu tatizo muda, namuombea kwa Mungu asimchukue mapema
@hajimakarabai4700
@hajimakarabai4700 Ай бұрын
Mm hiikesi sijajua kuwa mlalamikaji ndo mafwele au jeshi la police au vp ishotoshe kama ni jeshi lapolice basi wangejaribu kuwashulikia hawa na kuwapeleka hawa kina mafwele mahakamani
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Ай бұрын
Watekaji wafe kw Ajali ndenge vx wapinduke
@emanueljoseph7130
@emanueljoseph7130 17 күн бұрын
Huyo mafwele ana shida haiwezekan kila mtu amtaje yeye
@saumuabdallah198
@saumuabdallah198 Ай бұрын
sasa huyu mafwele kwan ni boniface peke ake anae mtuhumu kwa uo utekaji wake? watu kibao wanasema ivyo na sativa kila cku anapiga kelele kua ni moja kati ya wahanga waliowahi kutekwa na uyo mafwele.... serikali ya Tanzania acheni uonevu muachien baba wawatu!!!! mnakandamiza watu muogopeni mungu📌📌📌📌📌
@r14kgroup68
@r14kgroup68 Ай бұрын
Huyu mafyele anafanya kazi nanani, hivi matajiri wote tz mmeshindwa 2:06 kumfanya mafyele hamna
@selemankishema5780
@selemankishema5780 Ай бұрын
Meya atasaidia kupatikana watesaji saana manaake anaonekana anajua mengi
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Ай бұрын
Asa mbona huyo mwafyele alitajwa hata na sativa
@MusaMkembela-ex6ev
@MusaMkembela-ex6ev Ай бұрын
Mbona mbwowe anaongeaga hayo na hata lisu hammkamati nchi ya ovyo hii
@pcthemaster9096
@pcthemaster9096 Ай бұрын
Ivi ile kesi ya wale jamaa wabakaji na afande imeishia wapi?😂😂
@sharifu-story4644
@sharifu-story4644 Ай бұрын
😂😂😂😂 mambo ni moto mambo ni fire
@storytownTv
@storytownTv Ай бұрын
Maahakama ilimuita jaiva aseme Aweeee ..😂 kesi ikaisha
@FredyChristopher-m7z
@FredyChristopher-m7z Ай бұрын
​@@storytownTv😂😂😂 haujui
@FredyChristopher-m7z
@FredyChristopher-m7z Ай бұрын
Sasa wewe unataka kulundisha mambo ewani😅 se aliutaka mwenyewe uyoo
@sundayjames6898
@sundayjames6898 Ай бұрын
Mafwele tunaemjua sio uyo alojitoa muhanga kisa pesa
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n Ай бұрын
Hyu mafwele au mafilwa??na kwann yeye tu halafu serikal ipo kimya??kuna mtu mkubwa yupo nyuma yke,nchi ya ovyoo sana hii
@UR_CHRISTIANO-z7b
@UR_CHRISTIANO-z7b Ай бұрын
Hivi Ile kesi ya Binti wa yombo dovya iliishia wapi as see he kesi ya Jacobo ipo fasta kuliko Ile
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Ай бұрын
Hii serikali ya kisrnge sana aisee
@MaxCharles-wj5dg
@MaxCharles-wj5dg Ай бұрын
Kwan kwel au si kwel
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 Ай бұрын
LINDA NCHI YAKO KWA NGUVU ZAKO ZOTE , HUSITUMIKE NA WAKOLONI KUHARIBU TAIFA LAKO HUSIJIFIKILIE PEKE YAKO !!!
@tumainimayala8187
@tumainimayala8187 Ай бұрын
Mafwele aletwe mbele y sheria..kwanini anatajwa yeye tu??Na inaelekea Polisi wanamkingia kifua.
@MokiwaKaskaz
@MokiwaKaskaz Ай бұрын
Mbona watanzania hatujielewi, eti achunguzwe au aletwe mahakamani, na nani sasa?
@JofreyNagabona
@JofreyNagabona Ай бұрын
Daah hii nchi hatari sana ,
@AlbertMlangalila
@AlbertMlangalila Ай бұрын
Nadhani common sense inatakiwa kutamalaki Ili basi pesa za tozo zitumike katika maendeleo ya watu.
@frankjohn8706
@frankjohn8706 21 күн бұрын
Je mtu akishtakiwa kwa kusema uongo.na upelelezi na ushahidi ukabaini aliemshitaki ndie alitoa mashtaka ya uongo kutaka kuupoteza ukweli je KESI ya uongo YAWEZA kugeukia kwa mtu aliefungua KESI ? Je nayule aliezushiwa aweza kulipwa fidia yoyote?
@gwajimagwajima
@gwajimagwajima Ай бұрын
SS HILO KOSA LA KWANZA SI MAFWELE AENDE MWENYEWE KISHTAKI KWA NINI POLISI WANAKUWA NDIO WANAMUWAKILISHA😅😅
@prophetislael5265
@prophetislael5265 Ай бұрын
Sasa hapa ndo mjifunze wafuata upepe ukishikwa hakuna kiongozi wa chama utapanda nae zaidi yako ww na shelia sisi zetu mb tu
@farijalakhalid5558
@farijalakhalid5558 Ай бұрын
Mgelifunga tuu hilo limadevu
@makelemohuya2723
@makelemohuya2723 Ай бұрын
Pole sana unayesema angefungwa tu Jacobo mtetezi wa nyonge hujitambuwi,siku akitekwa mama yako mtoto wako najuwa utatamani dunia ipasuke
@ZenaUsangi
@ZenaUsangi Ай бұрын
KAMA KWELI MAFWERE UNAFANYA HIVYO JE?WW SIO BINADAM?HUJUI NAWE CKU YAKO ITAFIKA?MAANA HAKUNA KITAKACHOBAKI KTK HII DUNIA,WOTE NA WA M,MUNGU NA KWAKE TUTAREJEA
@ChugaYechu
@ChugaYechu Ай бұрын
Hawa polisi wanapataWap kibur chakuumiza watu?
@songombingo108
@songombingo108 Ай бұрын
Sasa Password ya nini wakati akaunti yake ya X ipo. Si muingie humo muanze kusoma alichoandika
@allythabiti8150
@allythabiti8150 Ай бұрын
Mtu afanye kosa kisa yeye ni mpinzan akadhan ataonewa mhari asichukuliwe hatua, mm naona tu Rais kawaachia uhuru hawa ilifaa wangekuwa wanaishi ughaibun kama zaman pumbavu saana
@AwardHakimu
@AwardHakimu Ай бұрын
Mimi nazani unatakiwa kuchunguza maneno wanayosema watu ambao hawapo upande wako alafu sio Kila sehemu ni pa kuleta ubabe nchi yetu sote kupishana mawazo ni kawaida tu na kukosolewa ni sawa TU
@caashamacalini3887
@caashamacalini3887 Ай бұрын
Nchi ya kuoneana hii
@barakachibwana3708
@barakachibwana3708 Ай бұрын
CCM ni chama ambacho kina msingi mkubwa sizani kama kuna uhasama WA kivyama apo ila ni kuwekana Sawa tyu ,nchi ni kubwa hiii tulindane sote
@majidimussa8678
@majidimussa8678 Ай бұрын
Kibatala moto mwingine mzee
@ChristyGale-l8c
@ChristyGale-l8c Ай бұрын
Fahey Stravenue
@GoodluckUisso
@GoodluckUisso Ай бұрын
Ishamshinda yetu masooo😅
@hebronmwambola1525
@hebronmwambola1525 Ай бұрын
Mh Jscob huna kesi ya kujibu
@KoleYasini
@KoleYasini Ай бұрын
Inaonekana Jokobo plesha imepanda anatoa macho sana..
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi Ай бұрын
Nyaani watu wanauelewa mdogo sana mtu anacomment kwa mihemko wakati vitu viko wazi kabisa jamani watanzia tuamke wanao sema ukweli ndo wanakandamizwa😢
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh Ай бұрын
Du! Mafwele kawa maarufu du!
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 Ай бұрын
Ndiyo anatakiwa Athibitishe kwani alipokuwa anaandika alikuwa hajui kifuatacho
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Ай бұрын
Inaonekana na wewe ni miongoni nini?
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Pumbavu wewe
@ibrahimame9805
@ibrahimame9805 Ай бұрын
Mafwele huyo
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Ай бұрын
Si angeitwa ama kushitakiwa? hii ya kutekwa si ndo inaleta picha halisi?
@AgreyKombe
@AgreyKombe Ай бұрын
Tanzania tunafungana tu akili
@johnjulius3092
@johnjulius3092 Ай бұрын
Angetolewa roho
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n Ай бұрын
Mmmh
@saleemadhiyabalkhatri7800
@saleemadhiyabalkhatri7800 Ай бұрын
Kwanini asipewe dhamana wajinga kweli nyie wabakaji mbiomnawapa dhama sijui akilizenu ziko wapi duhh kweli maendeleo hakuna nchini ufisadi tuuuu ndiomnaona dili lakini mjue kunamungu uonevu tu ndiomnao ujua
@Jackson-k8s
@Jackson-k8s Ай бұрын
UJINGA TU KAMA MTU KAPOSTI KITU ITAFUTWE KWENYE AKAUNTI YAKE KWANINI WANAITAJI PSD YAKO TENA
@SirajiAbdalah
@SirajiAbdalah Ай бұрын
OK mafwele wanamsingizia ndio mana kada amekataa shitaka lake ?mafwele oyee
@kalebiestomihi
@kalebiestomihi Ай бұрын
abuu.huna akili.wewe
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 Ай бұрын
Ukitaka kujuwa Serekali sio kitu cha kuchezea angalia aliekuwa meya anavyohangaika na kuzungusha macho utadhani kafumaniwa kumbe ni Serekali inafanya kazi yake sasa tunawasubiria na trh 23/09/24 wajitokeze wengine kisha Serekali ifanye kazi yake
@Bonifaskagoma
@Bonifaskagoma Ай бұрын
Ulaaniwe na ukoo wako wote kwa kukejeli damu za watu wasio na hatia.
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 Ай бұрын
@@Bonifaskagoma bwege wewe njaa sinakutesa
@Joppa555
@Joppa555 Ай бұрын
Dah aunt abuu una akili kibaba!!! 😂😂😂
@MusaMkembela-ex6ev
@MusaMkembela-ex6ev Ай бұрын
Cheki shoga hili tena
@suleimansamweli7316
@suleimansamweli7316 Ай бұрын
Tulizen munkar mnazan kikiwaka kunaatakae kua na aman
Ice Cream or Surprise Trip Around the World?
00:31
Hungry FAM
Рет қаралды 4,8 МЛН
Random Emoji Beatbox Challenge #beatbox #tiktok
00:47
BeatboxJCOP
Рет қаралды 58 МЛН
SATIVA AMSHIKA UCHUKU KAMANDA MULIRO
31:58
SK Media Online TV
Рет қаралды 27 М.
MDUDE AKIELEZA YALIYO MSIBU AKIWA MIKONONI MWA POLISI
52:26
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 42 М.
Luckiest People Ever Caught on Camera - Best of 2024 !
42:13
Interesting Facts
Рет қаралды 3 МЛН