Maganga: Hawa Mawaziri 24 Wanamsaidia Mama..! I Sina Bifu na Mawaziri I Kila Mmoja Ajitathimini

  Рет қаралды 1,985

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Жыл бұрын

“Rais ni mtu mkubwa sana kufikia kusema ‘pumbavu’ na mtupishe wakati kuna watu wake wanaomsaidia hawaoni matatizo hayo, hata kama matatizo yanafanywa na wataalamu kwanini mawaziri wasichukue hatua mapema.
Nataka niwaombe Mawaziri sina bifu na nyie na wala sijaja kutafuta ugomvi hapa, hebu kila mmoja ajitathimini kwenye nafasi yake wanamsaidiaje Mama hasa anapoenda Ikulu kukaa nae.” Mhe. Nicodemas Maganga Mbunge wa Mbogwe alipochangia jioni ya leo Bungeni bajeti ya Waziri Mkuu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024.
Stori zaidi za Bungeni tumekuweka kwenye akaunti yetu ya KZbin “Clouds Media”.
#7bisha
#MoyoWaMawingu
#KutokaBungeni

Пікірлер
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 478 М.
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 32 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 13 МЛН
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 3,5 М.
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 478 М.