"AMEKULA KONA NILIMPIGIA SIMU AWEPO" BITEKO AMUAGIZA MKURUGENZI KUCHUKUA HATUA WAKANDARASI WAZEMBE

  Рет қаралды 4,147

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Naibu Waziri Mkuu Doto Biteko akigusia usambazaji wa umeme vijijini mkoani Rukwa, amesema kuwa Serikali haifurahishwi na kasi ya Mkandarasi wa miradi kwani analalamikiwa kusuasua na hivyo ameagiza kuwa ifikapo Agosti mwaka huu awe amemaliza kazi na asipotekeleza agizo hilo achukuliwe hatua za kimkataba na hii inajumusha pia wakandarasi wengine wazembe ikiwemo katika Mkoa wa Kagera.
Hayo yamesemwa leo Julai 29, 2024 Sumbawanga mkoani Rukwa wakati akiweka jiwe la msingi la utekelezaji wa mradi huo mkubwa wa usafirishaji umeme wa TAZA kutoka Tunduma hadi Nakonde mpakani mwa Tanzania na Zambia.

Пікірлер: 4
@EmmanuelNyinyigwa-m1o
@EmmanuelNyinyigwa-m1o 2 ай бұрын
Acheni uwongo viongonzi mungu anawaona. Miradi ya umeme vijijini inaendeshwa kisiasa
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 2 ай бұрын
Unataka iendeshweje 😂😂😂
@BarakaGideon-fs7pn
@BarakaGideon-fs7pn 2 ай бұрын
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 61 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
TAZAMA OSCAR NYERERE ALIVYOMUACHA HOI RAIS SAMIA, AITWA KUTUNZWA
6:20
ALIYEMPIGA RISASI TUNDU LISSU ABAINIKA
37:08
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 14 М.