Рет қаралды 675
Timu ya wananwake ya JKT ndiyo mabingwa wa Kombe la Mkuu wa Majeshi #CDFCup2024 kwa kuichapa Mashujaa Queens, mchezo wa fainali ukipigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam.
Haya hapa magoli yote mawili, moja likifungwa na Zena Rashid na lingine likiwa ni la kujifunga.