Sana Tabora yangu naipendaga sana kikubwa tubaki ligi kuu
@Muhammedually2 ай бұрын
Mwamuzi yupo vizuri,huyu ndy mrithi wa arajiga
@Hamis-ks1sy2 ай бұрын
Nilikua naitafuta hii comment
@mohammedkidody56182 ай бұрын
Hongera tabora
@dirahussein92912 ай бұрын
Tabora Moja hiyo
@AlliMohamed-q2y2 ай бұрын
Mashallah ground zimeboreshwa❤
@SamsonLesscar2 ай бұрын
NBC premier league inavutia sana
@CharlesSomeke-b5m2 ай бұрын
Yanga raha product zinafanya kz nzuri
@BenPeter-vp2cy2 ай бұрын
Goli lapili zuri mno
@haidhabushiri95582 ай бұрын
Ligi tamu
@RugeMoremi2 ай бұрын
Good makamboooo
@McKicheche2 ай бұрын
Saf sana Tabora🐶
@ladislaus7992 ай бұрын
Yacuba akicheza tabora wanachukua ubingwa😂😂😂
@davidmwanga60182 ай бұрын
Yacouba yupi
@HASSANTL-m7c2 ай бұрын
Makambo vs jumashabani ndo wamenileta apa
@IbrahimMohamed-c3c2 ай бұрын
Makambovic👍🏾
@bantujunior95492 ай бұрын
Hawa waliocheza leo tabora utd hawakucheza mechi ya kwanza
@isaackaitira76542 ай бұрын
Chuku alicheza hapo ni makambo tu wengine walikuwepo
@kuholakalani24722 ай бұрын
Kwahiyo?
@NtamamiloGibson2 ай бұрын
Kwenye hicho kikosi Makambo tu hakuwemo wengine wote walikuwemo.
@nurdinmfamau34932 ай бұрын
Simba Walibebwa Tu Mechi Yakwanza. Lakini Wacha Masiku Yasonge Tuone Panapovuja.
@isaackaitira76542 ай бұрын
@@nurdinmfamau3493 msimu huu utasubiri sana watu wako serious sana
@ikulunimahalipatakatifu76422 ай бұрын
Karibu tena home Makambo na Juma Shabani Pigeni kazi
@pastorgodwinchengula78482 ай бұрын
Hivi huyu Shaban ndio ameishiwa huku baada ya kuzingua Yanga?
@ikulunimahalipatakatifu76422 ай бұрын
Yanga siyo timu ya baba yake yanga ni kama timu zingine, kazi ni kazi
@pastorgodwinchengula78482 ай бұрын
@@ikulunimahalipatakatifu7642 ni wewe ndio unafikiri Yanga ni kama timu zingine loo. Uwe na mwanao mmoja acheze Namungo mwingine acheze Yanga halafu waulize ikiwa hizo timu zinafanana.
@azizymachadeson35772 ай бұрын
@@ikulunimahalipatakatifu7642 we kweli hewa eti kazi kazi uache kazi unayolipwa elfu 50 unaenda kulipwa elfu 10 afu useme kazi kazi nyie so watu wa football ni shabiki oya oya ambao hamjui mpira hata kidogo😂😂😂😂😂 nakucheka wewe na Juma shabani apo amefeli sema hana namna
@TatuHusseni-hs7mu2 ай бұрын
Tabora yangu msimu huu mkaze kweli kweli
@ladislaus7992 ай бұрын
Tabora wanavyuma hapo yacuba hajacheza
@edibilychaula.3753Ай бұрын
Naona product za Yanga zipo kila mahali
@jenestertituskagisa76372 ай бұрын
Ila Azam bado Sana kamera zenu azilizishi matukio ayaonekani vizuri Kama jinsi mlivyo kuwa mnazisifia kamera zenu binafsi hakuna lolote zaidi ya kuongeza ela ya vifurushi
@FatumaIssa-w1s2 ай бұрын
Anzisha ya kwako
@Stevmwamba20902 ай бұрын
Kwani imelazimishwa kutazama mkuu! Katazame movies za rufufu azam tuachie wenyew
@alhajshabani55952 ай бұрын
Hivi hawa marefa hawaoni au hawajui sheria ya kipa mguu wake mmoja uwe kweny mstari
@ramadhaniiddy50592 ай бұрын
Once Bees always Bees
@KhamisiHilali2 ай бұрын
Timu za ligi kuu bara Wala msipate tabu ya usajili maana yanga kila msimu inasajili 7 inaacha watano wa maana bado Wana kiwango mim namsubiri Guede kufanya makubwa
@azizimbale97202 ай бұрын
Sasa ni mchezaji gani hapo amecheza yanga karibuni maana Kama makambo ni muda Sasa zaidi ya misimu mitatu
@KhamisiHilali2 ай бұрын
@@azizimbale9720 djuma shaban
@michaelenockefraim69672 ай бұрын
Wakwanza nipen like zangu
@victorgunda40482 ай бұрын
Br hiari naona upo kwenye majukumu yao
@naimasbuguza23952 ай бұрын
Mbona husemi soda ya bemba... Au kwasbb ameondoka yanga
@yussufritzy76842 ай бұрын
Tabora,,, haikuwa penalty
@radynnyagaly36922 ай бұрын
Offside kabisa hii
@RahimKulwa2 ай бұрын
Kinyo wa bunju@
@MwanyiluTz2 ай бұрын
Ina enda kuwa epl ndog hii
@SimonJeshi-nq1hs2 ай бұрын
Hakuna penart
@SuleimanMuhammed-g7q2 ай бұрын
Alicheza dada yako
@DaudFataki2 ай бұрын
Mboka impaya mkoa amboa wanaume hatunavioo
@kuholakalani24722 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@BillHunter-Musician2 ай бұрын
Duuh juma shabani anatia huruma Hadi so pouwa! Kutoka kuilingia yanga Hadi namungo duuh😂 ama kweli kupanga nikuchagua😅
@Joe-tr2vk2 ай бұрын
Maisha ni popote,sisi watu wazima tunaelewa.
@olarivolariv13132 ай бұрын
Cha muhimu ni hela tuu ndugu
@ikulunimahalipatakatifu76422 ай бұрын
Kwani yanga ndiyo timu peke yake?,
@pastorgodwinchengula78482 ай бұрын
@@ikulunimahalipatakatifu7642aamaana alikuwa anahitajika Yanga bado yeye akajiona ni mkubwaa sasa anaishia wapi mwenzie yuko Azam pale..
@RomboBoy-bl7ql2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 kwel hii nbc
@Deadskytz2 ай бұрын
😂😂
@proisolution71662 ай бұрын
shida ya hii timu ya hii Tabora na Fountain gate hipo kwenye maadili,eti timu zote zilifungiwa kama sikosei na timu zote zilipangiwa kuanza na simba,sasa ninyi mnaosema udhamini ya GSM mtusaidie,timu iliyocheza na simba leo asilimia 70% tofauti.ingekuwa yanga ungesikia wambea.