MFANYAKAZI KIWANDA MBIGIRI ADAIWA KUUAWA NA MLINZI, MASHUHUDA WAFUNGUKA

  Рет қаралды 1,942,742

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 917
@mejalepeta7130
@mejalepeta7130 10 ай бұрын
Poleni sana walio ufiwa hii ni unyenyesaji mbaya naomba sirikali yetu angalieni hii swala kwa makini kweli Kuna moja amesema walinzi wa nakunyua pombe na hii itakua ni kweli kwa sababu nini sababu ya kufitua risasi kwa raiya
@JoahNesi-m9q
@JoahNesi-m9q 7 күн бұрын
Hakikasijapendeshwa nahili
@cleopatrahenry7541
@cleopatrahenry7541 10 ай бұрын
Mungu ni mwaminifu haya mateso na machozi ya watanzania wanao pambana kutafuta riziki zao na huku wanadulumia haki mpaka uhai wao Mungu atalipa sikumoja ile mjitu magu alisema itaishi kama mshetani sasa mtaelewa maana ya yale maneno yaani mafisadi, wanynyasaji na matapeli wote dhidi yawanyonge wa Taifa letu ndiyo hii, hapo kiongozi hata kwa uongo angesema tu haki yao ataishughulikiwa kisheri na marehemu atapata haki yake na familia itaangaliwa anao mamilioni ni bora kuliko uhai wa Mtanzania. Mfano angeqmbiwa mtoto wake ameuliwa chuoni au kazini halafu kiongozi wa hayo mzingira atamke hayo maneno angejiskiaje huyu baba jamani mpaka nimeogopa sana tunaishiwa wapi
@bensonpeter4692
@bensonpeter4692 10 ай бұрын
"Mama/ Viongozi wakija hapa, wanaingia tu na kuondoka, hawatusikilizi wafanyakazi kero na utendaji kazi wetu" We will never get such a President again dada.,Labda Mungu aweke huruma dhidi yetu tena..Inauma sana Raisi anaenda ziara za kufungua mashule huko Singida, Znz Nk. Mtu una tume, Ngazi baraza, Ngazi wizara, Ngazi Mikoa, Ngazi Wilaya, Ngazi Halmashauri.,unaenda kufanya ziara za ajabu uaacha kusimamia mambo ya msingi yanayowakabiri wananchi wakoImagine wenye madaraka hapa Tanzania sahivi hawaogopi kitu chchote kwenye maamuzi!! #InaumaSana
@margarethhovokela2412
@margarethhovokela2412 10 ай бұрын
Kwani ziara ya Rais na hayo yanayofanyika ni Rais aje asimame mlangoni kuwalinda?Hiyo hoja haina mashiko.Hoja ni viongozi wenu wa Wafanyakazi hawajafikisha hoja zenu mahali panapohitajika.Tumia busara kuwasilisha hoja yako ya Msingi.
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 10 ай бұрын
​@@margarethhovokela2412acha kuongea pumba kama huelewi kitu kilichoandikwa na kuongelea funga domo lako buok
@josephlorri431
@josephlorri431 10 ай бұрын
Ngorongoro, Ngorongoro..mdogo mdogo yanasogea town...tutawaelewa wamasai
@bensonmasanja9862
@bensonmasanja9862 10 ай бұрын
​@@margarethhovokela2412Funga domo lako wewe Mnafiki mkubwa,huoni hata maumivu ya watanzania..Wale wanaomba msaada hawachekeshi.
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 10 ай бұрын
Sssa Mamayetu Anahusika Nini Yeye Ndio Aliyemtuma Amuuwe Muwe Mnafikilia Kabla Yakusema.
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 10 ай бұрын
Mbona?? Askari mlinzi anatoa wapi mamlaka ya kutumia silaha kwa wafanyakazi??tena kumbe ni jeuri tu kuonyesha wana uwezo wa kuua😢😢😢😢watanzania tukiwa kwenye nafasi ya mamlaka tunajiona miungu watu,hili ndo tatizo. Hii ni ajabu sana au mimi ndo sielewi taratibu za ulinzi
@adriannebatakanwa6904
@adriannebatakanwa6904 10 ай бұрын
Huyu kiongozi kaongea kana kwamba si roho ya binadamu imeondoka! God is watching.
@JohnMachiya
@JohnMachiya Ай бұрын
Ukiwa mlinzi getin umakin unahitajika sanaaa Yaan umakin wanhali ya juu Mimi nalinda ila naish na raia vizuri sanaaaa na ukiish vizur na hao watu utafaid sanaaa
@kelvindagine9571
@kelvindagine9571 10 ай бұрын
Jamaa kaaga nyumbni,,naenda kupambana mke wangu narudi ,mke wake kamwambie kazi njema mme wangu,Familia yake inamkumbuka tangu atoke huko mkoani kwao hajarudi but to day inarudi maiti kwa maksudi tu 😢😢😢. . . Mungu tumuweke mbele sana hata ikitokea kama hivi Mungu atupokee kwa uziriv. .
@modestamodesta3940
@modestamodesta3940 10 ай бұрын
Jmn pole Kaka inaumwa jmn yaan ukiona mwanaume analia ujue kaumia Sana aise daah 😭😭😭 pole bro polen familia na jamaa marafiki mungu awatie nguvu mbele yke nyuma yetu amen🙏
@barakamsungu5260
@barakamsungu5260 10 ай бұрын
Kwahiyo mkuu ndio umemaliza kuongea au imekatishwa maana sijasikia hatua kwa huyo aliyemuua raia kwa silaha ya moto huku mwenzie hana silaha wala si jambazi
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc 10 ай бұрын
Hata mimi nashangaa😮😮😮
@Mafunyanz-o2z
@Mafunyanz-o2z Ай бұрын
Poleni sanaaaaaaa
@HappyHummingBird-je7ip
@HappyHummingBird-je7ip 8 ай бұрын
Siyo haki ambao hatujasoma hatuna haki pole sana mungu abaliki familia yako
@lusakaone7782
@lusakaone7782 10 ай бұрын
Bro Malima leo umeniangusha, babaako hakuwa hivyo alikuwa na huruma sana. Kwanza ungekemea mauwaji ya raia. Duh pole sana leo umezingua sikutarajia
@dignakanje4508
@dignakanje4508 10 ай бұрын
Tunakazi kubwa sana Tanzania Hii ndio amani inayohamasishwa kilasiku naviongozi wetu.Ila mabomu na risasi zitarindima kwenye mikutano isiyo nafujo. Watafungwa watu wasio namakosa .Mungu tuone tena watanzania
@AntonJuma-nc9vy
@AntonJuma-nc9vy 2 ай бұрын
M
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc 10 ай бұрын
Mh kumbe tz nako kuko ivyo acha niendelee Kupambana huku huku South Africa jurbug maana sioni Utofauti😢😢😢
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 10 ай бұрын
😂😂😂😂usiogope
@DidaSleyman
@DidaSleyman 6 ай бұрын
Yaani siku izi sehemu zote zinatisha
@MohamedHassan-db1yx
@MohamedHassan-db1yx 5 ай бұрын
Duu
@joshuamwambene2874
@joshuamwambene2874 Ай бұрын
Duh jamani ????
@JimmySaudi
@JimmySaudi Ай бұрын
H
@noelypavementblocks6033
@noelypavementblocks6033 10 ай бұрын
moyo wa kuu wa mkoa unaonekana hauna hata tone la huruma juu ya maisha ya mtu, na uhai wake, maana sijaona cha maana alichoongea, zaidi ya serikali na mabilioni ya mladi,
@mchumiajuani1993
@mchumiajuani1993 10 ай бұрын
Bora angekaa kimya, nikama amehalalisha alichofanya huyo mlinzi
@hakiinakujaTanzania
@hakiinakujaTanzania 10 ай бұрын
viongozi kama hawa hawafai kuongoza watu , wasiojali utu wa watu, MUNGU atusaidie sana, HAYATI MAGUFULI ALISEMA TUTAMKUMBUKA SANA Kweli aliona mbali sana, alikuwa anawaacha watu wa .............
@user-fw6fb6zp9v
@user-fw6fb6zp9v 10 ай бұрын
Nothing
@kaliskaguzkalis4424
@kaliskaguzkalis4424 10 ай бұрын
Maghufuli!
@aminagama510
@aminagama510 7 ай бұрын
Mama aende huko wawekezaji wanawamaliza raia.kigoma mie simuelewagi hyu mkuu
@ChachaIgobelo
@ChachaIgobelo Ай бұрын
Existing...moving...zauchi
@user-lw9if8zr8u
@user-lw9if8zr8u 10 ай бұрын
Hii ndio Tanzania binafsi nakijua icho kiwanda hao walinzi kiukweli uwa nishida sana kwawafanyakazi ebu fikilia kiongozi anafika eneo la tukio anaanza kutengeneza maneno yakupoteza haki zawafanyakazi Ila mungu ipo siku atatujibu watanzania
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 10 ай бұрын
Wew mkuu wa mkowa mpumbavu sana
@abdallahkaskas6168
@abdallahkaskas6168 10 ай бұрын
KIONGOZ KAZUNGUMZA LAKINI BINAFSI SIJASIKIA KAMA WATACHUKULIWA HATUA ,MPAKA ANAMALIZA KUONGEA..😢😢SO SAD 😭
@user-mc7yi6yr9u
@user-mc7yi6yr9u 10 ай бұрын
Jaman haki itenteke kwa wafanyakaz maaskari watatumariza mabadriko gan mbona sheria hafati mkondo
@allymanyika3502
@allymanyika3502 10 ай бұрын
Hawawezi kuwachukulia hatua yoyote hao wauaji kwa sababu wote hao kabila moja nyani na ngedere,mwenyeenzi mungu amlaze mahali pema peponi kijana wetu
@maryandason1815
@maryandason1815 10 ай бұрын
Hivi jmn watanzania 😢wenzetu mbona mnakuwa makatili kias iki?? At Kenya Aiko hivii aisee ndo man wakenya uwa wako tayar kufaa kwa ajli,y haki.tena uwa askar uwa wanapigwa n wananch kwa mawe mm ningekuwa ndgu wa uyo marehemu nahakikisha uyo muuaj lazma nmtoe kafara at ya kunnua😢.uy mkuu wa mkoa anajielewa kwel ingekuwa n yye amefiwa je?
@FatumaAlidi
@FatumaAlidi 16 күн бұрын
B's Barak ajar
@uswegesuper
@uswegesuper 10 ай бұрын
Kiongozi anaongea simple mno km hajafa mtu Hv mhe; Malima huyo angekufa angekuwa mwanao si ungegeuka mbogo hapo 😢kazi nyie viongozi mnajijali tu ndo maana hata ss wananchi hatuwapendi nchi yote kuanzia Mkuu wa nchi, kwanza muwe muwe na utu mjiulize kwa mnayofanya hivi ingekuwa ni mimi ndo nafanyiwa; Eeh Mungu fundisha Viongoz wakujue ww ulivo wa upendo.Ameen😢😢😢
@annajohn3377
@annajohn3377 10 ай бұрын
Mim nimefanya San Kaz za viwandani zile Kaz nizautumwa kwa hiyo inabidi kwavile unashida ukubaliane na Sheria zao Mara nying wafanyakaz hawafuati Sheria hizo mfano Kama huyo anajua kbis hairuhusiw kupita getin bila vitendea kz lkn mtu anaenda anatak aingie kwa nguvu nawakat tangaz pia mmeshawekewa mvutano unaanz Sasa hapo wafanyakaz wengine wanaingilia pale kunakua kuanavurugu kubwa ndima zile kz inatakiwa ufany kwamalengo ukishapat kimtaji Bora ujiajili
@AshirafuMajid
@AshirafuMajid 3 ай бұрын
we nimlinz , unakili za usiku
@gracejohn5894
@gracejohn5894 10 ай бұрын
Mmeua baba wa familia anaotegemewa na watu nyuma yake, Ee Mungu tuhurumie😭😭😭😭😭🙌
@joachimjohn1651
@joachimjohn1651 10 ай бұрын
Angelikua ameuliwa Mlinzi wao, hakika huyo kijan asinge Acha hapo, ila sasa mlinzi ameua mfanyakazi, wameongea simple tu. R.I.P JPM
@samwelombeni6850
@samwelombeni6850 10 ай бұрын
Nimesikitishwa Sana kuona kiongozi anaongea Jambo lingine na mashuhuda wanazungumza kitu kingine; NAOMBA NIISHIE HAPA;😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@Mdendemi.....
@Mdendemi..... 10 ай бұрын
Kiongoz kaongea ut...mbo tu
@simulizizakwelinamikasa
@simulizizakwelinamikasa 9 ай бұрын
Jamaaa analia kwauchungu sana poleni Sana nduguzangu
@Jackylmariam-qy6qe
@Jackylmariam-qy6qe 10 ай бұрын
Jamani watoto wa kiume wanakula kwa tabu Mungu awasimamie
@monalisapeter4899
@monalisapeter4899 10 ай бұрын
Inauma sana watoto wanajua baba yupo kazini kumbe baba anapitia magumu dah Mungu awalinde wanaume wote
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 10 ай бұрын
​@@monalisapeter4899kweli😢😢
@maryndalu2236
@maryndalu2236 10 ай бұрын
Amina
@user-kf7fo8ce1m
@user-kf7fo8ce1m 8 ай бұрын
Daaaaahhh walinzi wamagetini nao shida, serikali jamani iwone raia wake wanavyoteseka
@dicksonbenard1741
@dicksonbenard1741 10 ай бұрын
Mladi wa Billion 600 unathaman sana kuliko uhai wa mtu kweli thaman ya mtu ni utu wake mwenyewe nilitarajia kiongozi angekemea na kulaani kitendo hiki cha kinyama Lakin kiulain naona ameongelea maokoto ya mradi R.P Bro Msalimie Magufuri mwambie ndio sasa tunaanza kumuelewa so sad😢😢
@markokulanga5503
@markokulanga5503 10 ай бұрын
Eee bwana yaani wewe mmoja tuu ndo nimeona umecoment mimi pia nimesikia thamani ya mradi tuu na sio thamani ya roho ya mtu inauma sana Mungu atuangalie wanyonge pia 🙏🙏🙏
@herielimtui3875
@herielimtui3875 10 ай бұрын
Huyu kiongozi hafai kuwa kiongozi hata kidogo badala akemee anafurahia mtu kuuwawa na hawa wapuuzi?wewe kiongozi hufaiii hufaiii.
@HalimojaEdward
@HalimojaEdward Ай бұрын
Pole sana
@valenakomba9218
@valenakomba9218 10 ай бұрын
Acheni kuchukulia kila kitu kirahisi. Kumbukeni hayo ni maisha ya mtu yamepotea.
@RichadiKaaya
@RichadiKaaya 26 күн бұрын
Poleni.sana
@fatumasukwaju226
@fatumasukwaju226 10 ай бұрын
Wayahudi cha mtoto.polen sana
@josephlorri431
@josephlorri431 10 ай бұрын
Wengine wanapanga maandamano kupinga vita vya Israel vs Palestine, wakati nchini kwetu na majirani kuna matukio ya kupinga..tuamke,tutoke kwenye utumwa
@moosafii-rz8je
@moosafii-rz8je 7 ай бұрын
Umetisha sana mi ladiayo naomba saport
@RatifaShabani-m2g
@RatifaShabani-m2g 29 күн бұрын
1:57
@ngusawales2039
@ngusawales2039 10 ай бұрын
Mungu akusamehe magufuli kule uliko kama kunasehemu ulikosea😭😭😭
@user-uo6bo3ph6g
@user-uo6bo3ph6g 10 ай бұрын
😢😢
@ReinaRanju
@ReinaRanju Ай бұрын
Duh Atari sana kwa Wana inchi wenzetu ila atushangai Ali ya ichi kujaribika sisi ni wakurea watot tokarini tukaweza kuendesha tanzania
@EdwardMbatilo-mk1ko
@EdwardMbatilo-mk1ko 8 ай бұрын
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina
@KIPUDA2021
@KIPUDA2021 10 ай бұрын
Na hatua hamuta chukua mana serikal ni yenu mtu anakufa kama ng'ombe ninyi mnakunywa bia kwa kuku
@JailosPhilbert-vd5is
@JailosPhilbert-vd5is 10 ай бұрын
Inatia huruma sana na wakae wakijua damu ya mtu uhai wa mtu hauendi bure na Mungu ameliona ilo .ata kama hawatamchukulia hatua uyo muuaji na wapambe wake ajue ya kwamba.damu ya uyo kijana italia malangoni mwa nyumba zao wakae wakijua ilo.Mungu hawezi kukaa kimya.😭😭😭
@tommytouchtz
@tommytouchtz 10 ай бұрын
Mungu mrehemu JOHN JOSEPH MAGUFULI KAMA ALIKOSEA MAHALI MSAMEHE ILA ALIFANYA HAKI KWA WATU WAKO JAPO MAPUNGUFU YAPO ILA YULE HAKUWA RAISI ALIKUWA BABA KWA TAIFA ONA ASKARI WANAUA RAIA NA HAKUNA HAKI WANACHUKULIWA 😭😭😭😭😭
@safinamndeme
@safinamndeme 10 ай бұрын
Inaumaa sanaaa😢
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 10 ай бұрын
R.I.P 💔😭😭Poleni sana, Tz bwana kiongozi sijamuelewa hata kidogo anatafuna maneno 😏😏uyo aliyemuua mwenzake Sheria ifuate mkondo wake
@user-np1bf6me4u
@user-np1bf6me4u 10 ай бұрын
Mimi ndo kabisaa
@user-rm9tc4ul7g
@user-rm9tc4ul7g 7 ай бұрын
Poleni wana familia. Na kwa Askari ambae amemuua raia sheria itafuata mkondo wake nasisi raia tunapaswa kufuata kanuni taratibu na sheria tunazowekewa makazini kwetu hili kuepusha malumbano yasiyo na faida Askari kashaambiwa aipaswi mfanyakazi yeyote wa kiwanda kuingia ndani bila kukamilika kimavazi baadhi wanatii wakitok wanatok na vifaa vyao baadh wanasema wanaacha ndani yann uache kifaa chako ikiwa unajua wazi bila icho kifaa utoweza kulusiwa kuingia? Ukikutana na m2 mweny busara atakuelewesha atakurusu uingie lakin kwasis wabongo yanakua ndo mazoea kila siku itakua muendelezo
@LizenMaker
@LizenMaker 10 ай бұрын
Bora kuishi polini na wanyama kuliko binadamu
@SamuelMolel-y8f
@SamuelMolel-y8f Ай бұрын
Poleni sana
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 10 ай бұрын
Watu wana roho mbaya sana Unaua binadam mwenzako kirahisi hivyo
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i 10 ай бұрын
Ukizingatia na yeye ni kijakazi tu jamani
@EliasiMkuwa
@EliasiMkuwa 3 ай бұрын
Inauma sana poleni kwa hillo
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 10 ай бұрын
Duh hatari sana😢.
@FatumaAlidi
@FatumaAlidi 16 күн бұрын
Baraka
@roseignas1881
@roseignas1881 10 ай бұрын
Kweli utu kwa watu wa wanyonge ulishazikwa. Huwezi kutoa kauli hiyo juu ya kifo cha binadamu. Tena hakuwa na silaha yeyote.
@esikirajuma
@esikirajuma 10 ай бұрын
Afunguriwe mashitaka
@AffectionateChess-ph3gp
@AffectionateChess-ph3gp 7 ай бұрын
Ongezeni juhudi za ku2juza new information ❤❤
@timopanga5286
@timopanga5286 10 ай бұрын
Tangu jpm atutoke serekali hii sielewi kabisa mauaji yamekuwa Kama kawaida hakuna hatua yeyote inachukuliwa tumeshakuwa Kama wanyama tuna uliwa hovyo serekali ipo kimya Ila mungu yupo atajibu rip jpm😭😭😭
@safinamdingi7912
@safinamdingi7912 10 ай бұрын
Kweli kabisa mungu akutangulie kwa kila jambo
@user-kq4by2vd4q
@user-kq4by2vd4q 10 ай бұрын
Tatizo sisi raia watanzania wajuaji hatupendi kifuwata sheria namatusi lkn kwenye maelezo mnayotoaga hamjisemi nyinyi mliwaambia nini hao askari hii kazi ya askari ngumu sana sanaaa serikali iyangalie upande wapili
@esthermande8976
@esthermande8976 10 ай бұрын
Rip my president Magufuli we will mic u😭
@hijazhija316
@hijazhija316 10 ай бұрын
We nawe..utafikiri nchi ilikua kama peponi.hata ndugu zako walokufa huna uchungu nao kama hivyo.poor brain.
@user-yx5rk2ll1s
@user-yx5rk2ll1s 10 ай бұрын
​@@hijazhija316 we ndo poor brain kila mtu anahaki ya kuongeaa😢
@user-gj5ml2jc5i
@user-gj5ml2jc5i 10 ай бұрын
​@@hijazhija316mjinga miubwa😢😢wee ndo kama wale hamas wa palestina
@CharlesKajela
@CharlesKajela 27 күн бұрын
Aisee
@estakapufi7582
@estakapufi7582 10 ай бұрын
Yani sio bahati mbaya amefanya makusudi, kwa sababu kama walinzi wana siraha na wamefunzwa namna yakutumia siraha iweje wauwe,tatizo hamkagui hao walinzi wenu kama ivo wanavyokuwa wanakuja kwenye malindo usiku wamelewa apao kunakazi viongozi wa sehemu husika muwe makini sana sio tu mnakalia viti basi nyie mnajua kupokea mishahara wananchi wanateseka sihaki iyo. Wafanyakazi haswa wasio ajiliwa vibarua huwa wananyanyasika sana, kama yule alieng'atwa na mbwa kwa wachina amezungushwa mpaka basi kijana wawatu kabaki kilema kisa muwekezaji mchina selikali yetu muwe mnalia hili kwa wananchi wa hali ya chini wanateseka sana hawana bakuongelea tz yetu wote inabidi tupendane jamani.
@user-eq4hs7xq8u
@user-eq4hs7xq8u 10 ай бұрын
Serikali kuweni makini fanyeni kazi nchi kama Brazil leo ingekuwa maandamano nchi yote kuuwawa kwa mtu mmoja kizembe hivo nimambo yahovyo sana wahuska mnazurula2 na vitambi vyenu .
@senikomanya7223
@senikomanya7223 10 ай бұрын
Mnamtetea mama bule lkn mkumbuke mama ndiy mkuu wa nchi hatakam anawasaidiz lkn lkn lzm ajue utendaj kaz wa watu wake unaendaje, mfano ww mke au mume ulikua kwenyendoa bahat mbaya mke au mume akafaliki na tayal mkua na familia, baad ya kufalik mwenzako ukaoa au kuolewa mjue huyo uliemlet mal ya pili hawez kytunz familia yako ww Kama mzaz wa kwanza lazm Hilo mlitambue, Sasa ww ukitoka kazini tu unakul na kulal unasema watot wangu wako vizur kumbe hawali na wanapigika hasa kwahiy lzm upat mud wa kuzungumz na familia yako sio kusema msaidiz anatosha
@user-zg1zf7er3c
@user-zg1zf7er3c 10 ай бұрын
Du hawo walix majambazi
@petrogisni8379
@petrogisni8379 10 ай бұрын
Video laifu
@JanvierMunyaga-pd9es
@JanvierMunyaga-pd9es 9 ай бұрын
Pole sana kbs tulikuwa na waza ni ukukwetu tu njo tuna faaka mungomo
@GracieTyno
@GracieTyno 10 ай бұрын
Mwanaume akilia jamani dah!!.😭💔
@YusufBaac
@YusufBaac 4 ай бұрын
Really good
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 10 ай бұрын
Hii nchi za ovyo sana na WaTanzania ni wapumbavu sana mngechoma moto hicho kiwanda hili watie akili hawawezi kuua mtu au muwavizie huyo muuwaji na huyo mwanamke na nyie mumuuwe mlipe kisasi maana hamna viongozi wa kuwatetea si rais hamna mtu Tanzania ya mavi kunuka
@kdloon2030
@kdloon2030 10 ай бұрын
Nyie warundi mbona mwauwana kila siku na vita haishi,mwaangamizana wenyewe kwa wenyewe.
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 10 ай бұрын
@@kdloon2030 ona ulivyo na akili Za mavi kunuka mtu akiwakosoa unyama wenu amekuwa mrundi Kwa hiyo huo unyama na unyanyasaji wa hao wananchi ni sawa kwao ??? Mpuuzi wewe Mbwa na umewakuta huko WaTz ni wajinga ungewafanyia watu wa Arusha au Geita na ungeona wangefanya nini kama hao askari magereza wasingeuwawa na kiwanda kuchomwa
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc 10 ай бұрын
Kweli kabisa😢😢😢
@shamzone388
@shamzone388 10 ай бұрын
Shika huyo polise tia ndani na auliwe kama alivyouwa
@richardnganya2311
@richardnganya2311 10 ай бұрын
Upole usio na tija..!! Hayo ni matokeo ya kutotii amri halali !! Kuna ujinga mahali fulani. Hawa wakihojiwa na tume watainga chaka.
@user-ch7le4nq3o
@user-ch7le4nq3o 10 ай бұрын
Kwa maelezo ya wana nchi inaonekana hao wana nchi ndio wana shida kwasababu hadi mtu afikie kusema wanasema hakuna risasi wapige wajue risasi ipo, kifupi kulikuwa na mazozano makubwa, pia askali waliona wanaweza kuzidiwa na wananchi, hakika kazi ya uaskari ni kubwa na inachukiwa, yaan mtu katoka huko anataka kujifanya mwamba apite bila kutimiza vigezo, mmh yaani angemuomba kiutalatibu au angeazima vya mwenzake aendw asain achukue na vitu vyake kisha amludishie rafiki yake, vitu alivyo azima, pale kusinge tokea yote hayo, wananchi ni wabaya sana wanajiitaga wananchi wenye hasira kari na askari ange zubaa huwenda yeye ndio angeuriwa.
@user-sb8cc7cy2f
@user-sb8cc7cy2f 10 ай бұрын
kuma la mama ako mzazi,kwhy kumbe naww mchaw kama hao wachaw wengn sasa alichokifny huy askari umeon nisaw hiv unajua mafunzo ya silaha najins yakuitumia ww? Utakufa kifo kibaya msenge maji ww
@user-sb8cc7cy2f
@user-sb8cc7cy2f 10 ай бұрын
Angekufa baba ako ungeongea huo utumbo unao uongea!!af nmeamin nyie watu mnaofilwa shahaw za mkundu zinawapand hadi vchwani mnachanganyikiw
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 10 ай бұрын
Innalillah wainna ilayh rajiun😢
@RiuzaJoseph100
@RiuzaJoseph100 27 күн бұрын
pole cna kaka
@christopherbota9393
@christopherbota9393 9 ай бұрын
Tunakoelekea ni kweusi ee mungu tupe mwanga zaidi tuone mbele.
@OmbenYotham
@OmbenYotham 26 күн бұрын
😢Ais inaumiz sana huo amesababish kif kw msamah Zaid akatw mkon w kulia had avuw na nguo y selikar kw maan him n kuchafua inch yetu
@user-ro3by5kn3y
@user-ro3by5kn3y 9 ай бұрын
Mungu ailaze roho ya marehemu peponi
@saamiaabdallah2160
@saamiaabdallah2160 8 ай бұрын
Innalillah wainna ilayhi rajiiun Allah akupe kauli thabit shemeji yangu
@user-ly6qc3nh7c
@user-ly6qc3nh7c 8 ай бұрын
Aya maviongoz ya ovyo yenyewe yanakula kwa uraisi alaf wanaona watu wanaopoteza maisha kwa uzembe wao waona ni kawaida mungu yupo
@thomastarimo
@thomastarimo 10 ай бұрын
mimi nina cho shukuru tangia mzee kaka yetu alipo tutoka sijawahi kuombea nchi tena kamwe bora niombe taifa lingine siyo ccm au niombee jiwe siyo ccm na mungu anisaidie nisije kusubutu kufanya thambi hii ya kuombea ccm mungu nisaidie sina maombi ya ccm mimi siwezi akuna kiumbe atakaye weza kuni lazimisha kuombea kitu ambacho nimekilani
@user-el4ig4om5j
@user-el4ig4om5j 8 ай бұрын
Huyo Mlinzi Achukuliwe Hatua za Kishelia. Poleni sana Ndugu Zangu.
@MasanjaSamola
@MasanjaSamola 2 ай бұрын
Mbona tanzania tuna ikosesha amani tuacheni jaman
@RauPeter
@RauPeter Ай бұрын
Amen
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 7 ай бұрын
Nchi ilipewa heshima barani Africa, ila leo ubovu wa serekali, pili heshima kuisha, leo nchi hii imegeuka: usa, Burundi na Rwanda...
@tzcomputerservices4944
@tzcomputerservices4944 10 ай бұрын
sisis waaafrika kama tuna laana an mtu mweusi mwenzio una m treat like mnyama isee upumbav sana
@SimonyPhabian
@SimonyPhabian 9 ай бұрын
Simoni macomputer
@DM_15
@DM_15 10 ай бұрын
Kaz zaselikali zinataka moyo kunawtu.wakiwa.selikalini hujiona waondiotop watukama hao usiombe upishanenae kimtazamo baba utajuta niwashuhulikiaji wazuri sana
@JeremiasikilianiJeremiasikilia
@JeremiasikilianiJeremiasikilia 5 ай бұрын
This is very sad, very sorry all relatives and friends in general rest in peace
@ShedrackBayalimo
@ShedrackBayalimo 19 күн бұрын
Moja ya mafanikio ya wakoloni ni kuwatumia wazawa ktk kutekeleza ukoloni wao. Unapoona haya kwa kipindi hiki, ndo ujue hali ilivokuwa mbaya enzi hizo.
@AshirafuMajid
@AshirafuMajid 3 ай бұрын
Kwani mkuu sheria inasemaje, na askari wamefundishw nin, na ukisema selikali imewekeza pesa nying, unakosea jali kwanza usalam wa binadam , je kama ungekuta uyo melehemu ndugu yako ungeongea hivo kilaisi, atujakuelewa mkuu.
@franciseliya3632
@franciseliya3632 10 ай бұрын
Acha siasa mkuu wa mkoa. Mtampigaje risasi raia wa watuuu. Afu mpo tuu RIP magufuri
@user-et2ci1rl1y
@user-et2ci1rl1y 10 ай бұрын
Kweli askari anamuuwa raiya hadharani ni kitendo kibaya sana uchunguzi ifanyike ijulikane nan imwenyehaki
@IreneHassani
@IreneHassani 10 ай бұрын
Hii ndio TZ na serkali yake duuh polen sana ndugu na jamaa wa marehem mungu awapatie nguvu na tuzidi kumuombea lkn hii serkali yetu hii mmh
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 10 ай бұрын
Tatizo ninaloliona hapo ni kudharauliana kazini kutokana na wengine kujiona ni Bora zaidi katika kazi kuliko wengine kiasi wakitaka au wasiotaka huamua kutozingatia utaratibu wa kazini pao.Poleni sana kwa tukio hilo😢
@AshirafuMajid
@AshirafuMajid 3 ай бұрын
chukueni askali wote wa iyo kiwanda peleka Congo wakalinde aman , unapigana na mtu ana ata silaa kwel😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@user-ms8cn1px2d
@user-ms8cn1px2d 8 ай бұрын
Pole saan apumzike kwa amn
@jacklinejosam3713
@jacklinejosam3713 10 ай бұрын
Mienilosema kuwa mheshimiwa All happ atolewekopy
@jahonetz3260
@jahonetz3260 10 ай бұрын
Ingwkuwa kampuni ya ulinz tofaut na serikali ingefungiwa wao sasa mh
@ZumrathWande
@ZumrathWande 10 ай бұрын
Huyo askari sheria ichukue mkondo. Jamani,kwakweli viongozi wa juu watembelee viwandani na wakifika wazungumze na wafanyakazi tena wote mana kuna changamoto yingi sana viwandani haswa viwanda vinavyofanya kazi za mashambani,tena mkoa huu huu wa Morogoro.
@FrankDeo-xu7zw
@FrankDeo-xu7zw 10 ай бұрын
Mungu atusaidie sana jamani 😢 mwanaume unaaga kwa mkeo unaenda kazini watoto wanakuaga baba utuletee chocolate 🍫 nakumbe unaenda kupigwa risasi😢 daah..!!!
@estomiailomo7844
@estomiailomo7844 10 ай бұрын
Hii inchi ngumu sana mmewapa mamlaka sana maasikali mpk laia tunakosa amani tunashindwa kuishi kwa amani kwenye inchi yetu
@Mtaelewa2
@Mtaelewa2 5 ай бұрын
Poleni sana ndugu zangu
@HidayaBellah-o2m
@HidayaBellah-o2m 6 күн бұрын
Walinz kuwen makin sanaaaa mtafungwa muishe😢😢😢😢
@user-su2ie1sz9s
@user-su2ie1sz9s 9 ай бұрын
😭😭😭 msituleteee bahati mbaya kwenye maisha nyie wasenge manina mmeuwa alafu mnasema bahati mbaya 😭😭😭😭 huyo mlinzi huyo mlinzi acha nikae kimya
@ndennkya9554
@ndennkya9554 10 ай бұрын
Alieua kwa upanga na yeye auwawe kwa upanga jino kwa jino ushaur wangu ndo huo2 basii
@antonynzalalila3180
@antonynzalalila3180 10 ай бұрын
nmependa kusema ukweli Viongozi huwa hamuwapi nafasi wafanyakzi na kuwasikiliiza changamoto zao, zaidi viongozi wakija katika mazingira ya kazi hasa katika sekta binafsi ni kuonana na uongozi na kuondoka na hawajui changamoto za wafanyakazi. Naomba viongozi wa serikali wazingatie =haki za wafanyakazi pia na sio hao wawekezaji wa viwanda tu. INAUMA SANA KUONA WATU WAKITESEKA NA HAKUNA LINALO FANYIKA KWA WAWEKEZAJI, Mfano mzuri wilaya ya mufindi - Mgololo
@Erick-ph6xq
@Erick-ph6xq 5 ай бұрын
Poleni sana kwa vulugu hizo
@SMARTVICE
@SMARTVICE 3 ай бұрын
Mungu ailaze roho ya marehemu
@Linyasa03
@Linyasa03 10 ай бұрын
Naomba afe na yeye apigwa risasi mjinga sana UYO jamaa ningekua mm mwenye familia UYO jamaa lazima kingeeleweka
@mapiganochoice
@mapiganochoice 4 ай бұрын
Polen mungu awatie faraja
@MerryFanuely
@MerryFanuely Ай бұрын
Good😅
@neamusic2601
@neamusic2601 10 ай бұрын
Hakuna Imani hapo kila ajiswalie anavyojua ...
NAKUPENDA MWALIMU NIKUVALISHE PETE  STEVE MWEUSI
14:04
Mweusi Family
Рет қаралды 6 МЛН
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 2,8 МЛН
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 17 МЛН
ANGRY ANACONDA vs TRAIN | Stops The Train | BeamNG.Drive | Snake
4:26
BeamNG Eagle
Рет қаралды 59 МЛН