Magoli | Singida Black Stars 1-2 Dodoma Jiji FC | Mechi ya Kirafiki 27/07/2024

  Рет қаралды 7,625

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Singida Black Stars imekula mweleka kwa kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Dodoma Jiji FC katika mchezo wa kirafiki uliopigwa leo kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha.
Singida wametangulia kupata goli likiwa ni la kujifunga kupitia kwa Augustino Nsata kabla ya Ibrahim Ajibu na Reliants Lusajo kuipa ushindi Dodoma jiji......
Hay ni magoli yote matatu....

Пікірлер: 6
@StevenKapugi
@StevenKapugi Ай бұрын
Balaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy Ай бұрын
Foul nimeipenda iyo
@augustinomapalasha2867
@augustinomapalasha2867 Ай бұрын
Hii Dodoma Jiji inabalaaa sana😊
@Rodgers_01
@Rodgers_01 Ай бұрын
Ajibu 🔥
@OmariNgurangwa
@OmariNgurangwa Ай бұрын
Kennedy mzigo wa bule uwooo
@danielelikana2615
@danielelikana2615 Ай бұрын
Huyo Kennedy hapo ni hamna kitu!!
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 20 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 21 МЛН
The Day Ronaldo Showed Messi, Neymar & Mbappé Who Is The Boss
19:19
IKIGANIRO CYA YAGO NA JADO NKA MURUMUNA NA MUKURU
1:24:34
B&B Kigali 89.7FM
Рет қаралды 27 М.
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН