Magoli | Yanga SC 4-1 Azam FC | Fainali | Ngao ya Jamii 11/08/2024

  Рет қаралды 391,900

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Magoli matano yamefungwa, Yanga ikishinda 4-1 dhidi ya Azam Fc katika mchezo wa fainali #NgaoYaJamii2024 ikipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar s Salaam.
Magoli ya Yanga yametoka kwa Prince Dube 19', Yoro Diaby 28' goli la kujifunga, Stephane Aziz Ki 31' na Clement Mzize 90’+3 , huku Azam FC wakitangulia kwa goli la Feisal Salum Feitoto 13'.
Haya hapa magoli yote......

Пікірлер: 486
@amirinestory
@amirinestory Ай бұрын
wananchi tujuane kwa like hapa...😛
@JabulanyMadonsela45
@JabulanyMadonsela45 Ай бұрын
Good Evening All Soccer Lovers . I must admit all the soccer teams in Tanzania are playing beautiful brand of football and most of all, the supporters are super notch. They loved their football. You can't find this kind of support in South Africa except the big three. Pirates, Chiefs and Sundowns.. But still Tanzanian you're the best keep up the good job. 🔥🔥🔥🔥🔥
@amanmalima940
@amanmalima940 29 күн бұрын
YESU Ndiye njia ya kweli na Uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini YESU na UOKOKE na Ulithi Uzima WA MILELE na uende Mbinguni.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@evertheobald1811
@evertheobald1811 29 күн бұрын
Ahsante kwa neno la maana sana kwa maisha yangu! Barikiwa
@Kingswed-x6t
@Kingswed-x6t 22 күн бұрын
Asante kwa ujumbe wako
@veronicapius3476
@veronicapius3476 21 күн бұрын
Amen ubarikiwe na Mungu❤
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi Ай бұрын
Mimi n Simba Damu damu lakin kwa YANGA hii, hapana 🙌
@Maryc2G
@Maryc2G 29 күн бұрын
Clement mzize napenda unavyofunga mabao yako 💐💚💐🌻💛💛🇹🇿
@user-xe6jw8pt3d
@user-xe6jw8pt3d 29 күн бұрын
MUDATHIR YAHYA Hatajwi sana ila Mechi anazoanza Lazima LIFE JITU NYINGI hata angeanza Mechi ya SIMBA Naamini tungewapiga nyingi
@AyubuTozzo
@AyubuTozzo 29 күн бұрын
Sisi hatuna ugomvi na Azam mpaka tuwafunge hvyo 😢 ...fei ToTo ndo anayewaponzaa azam
@AyubuTozzo
@AyubuTozzo 29 күн бұрын
Fuatilia mechii alizojigamba feii..Nini kinawakutaga azam.fei acha majigambo kabla hujavuka mto
@denyourtv2798
@denyourtv2798 29 күн бұрын
Hii imeenda
@JamesLuwis-mk3hp
@JamesLuwis-mk3hp Ай бұрын
Kama wew ni mwananchiii weka like apa😅😅
@phina8058
@phina8058 Ай бұрын
Dube my bad boy always fun
@AllyMaganga-cd8qm
@AllyMaganga-cd8qm Ай бұрын
Wakwanza leo naombeni like zangu
@VanessaSancho-w4z
@VanessaSancho-w4z Ай бұрын
🎉
@saeidmsanga395
@saeidmsanga395 29 күн бұрын
@@VanessaSancho-w4z😊😊😊
@evertheobald1811
@evertheobald1811 29 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@Laminebah250
@Laminebah250 26 күн бұрын
Kwa Nini unataka like????
@AllyMaganga-cd8qm
@AllyMaganga-cd8qm 26 күн бұрын
@@Laminebah250 hiyo ni fashion tu
@juliusmagoti5650
@juliusmagoti5650 29 күн бұрын
James Samwel, alifurahia sana goli la Azam alilofunga Feisal, magoli ya Yanga aliionekana amepowaaa!!! Pole James, join Yanga upate furaha, heshimu taaluma, Acha hisia zako binafsi
@RICHARDEVALISTI
@RICHARDEVALISTI 28 күн бұрын
Kwel
@nasmaamlima8527
@nasmaamlima8527 25 күн бұрын
😂😂😂
@hemedrashid2921
@hemedrashid2921 4 күн бұрын
huyooo koloo mkubwaa😂😂😂
@dianasamson9311
@dianasamson9311 29 күн бұрын
What a Match... Congratulations Yanga.❤❤
@delphinaprosper6651
@delphinaprosper6651 25 күн бұрын
❤❤❤
@mariej6962
@mariej6962 29 күн бұрын
Management ya Faisal wamsaidie katika suala la nidhamu. Mpira anauweza ila kijana ana dharau sana. Goli zuri la akili ila behavior itamharibia future yake. And as for Yanga, wamejipanga, hilo halina ubishi. Nimependa calmness ya Dube, kijana yupo kazini.
@PeterOkoth-wf1nq
@PeterOkoth-wf1nq Ай бұрын
Am from kenya but soon nitakuwa shabiki wa yangu Kali mno🔥🔥
@jumakassim8718
@jumakassim8718 29 күн бұрын
Karibu yanga timu pendwa Tanzania
@ULTIMATEFOOTBALLTZ
@ULTIMATEFOOTBALLTZ 29 күн бұрын
Hii yanga ni noma 🔥 msiishtumua azam kwa kufungwa maana wamekutana na timu bora Tanzania
@Maryc2G
@Maryc2G 29 күн бұрын
Dube ni hatari sana, 👏🏽👏🏽
@ramadhaninassoro4624
@ramadhaninassoro4624 Ай бұрын
Hivi hii pasi ya goli la pili Max aliipiga vipi hapa imezungushwa vipi huu mpira Yanga wanajifunzia ulaya au wapi dah!
@marundimahugija8168
@marundimahugija8168 Ай бұрын
Mzizeeeeeeee Mweeeee Yanga rahaaaaa
@user-ee9xn2yg4o
@user-ee9xn2yg4o Ай бұрын
Feisali anawenge sana haya mazarau yake anavoshangilia akushaifunga yanga ndio yanasababishaga yanga washikwe hasira na kuwaangushia kipigo cha paka mwizi mbina Dube amefunga goli akatukia tu hata ajaweka mbwembwe wala mazarau uyu feisal anaakuli za kitoto sana na kwa staili hii atakua ni mtu wa stress tu kila wakipigwa na yanga
@neemajuma8949
@neemajuma8949 Ай бұрын
San 😂😂
@gadafimasoud310
@gadafimasoud310 Ай бұрын
Tunaomba aendelee na hiyo style ili tuwapige magori ya kurujuani
@divansteve266
@divansteve266 29 күн бұрын
Mwananchi milele❤
@kevootibai2356
@kevootibai2356 Ай бұрын
Shangilia ya Mzize ni Epic 🔥💯
@Hussein-h1r
@Hussein-h1r Ай бұрын
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii nipen like zang
@davidsika5292
@davidsika5292 Ай бұрын
Sina ushabiki wa timu za bongo ila hawa yanga wapo vizuriiii sana
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 29 күн бұрын
Wananchiiiiiooooh What a Vaibuuuuuh Amazing Goals 🔥💯💥🌟
@rizikinaftary8105
@rizikinaftary8105 29 күн бұрын
Sikiliza vzr watangazaj baada ya Goli la master KI 😂😂 ety OOOOH 😂😂 ad amecheka mwenyewe Hii yanga raaaaaaha saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaan
@lazaronaata2249
@lazaronaata2249 28 күн бұрын
Hii ndio younga❤❤❤😂😂😂😂
@AlliMohamed-q2y
@AlliMohamed-q2y 29 күн бұрын
Chama babah❤
@fadboe772
@fadboe772 Ай бұрын
Wananchi tujuane 🔰💚💛
@mwitaprotus7649
@mwitaprotus7649 Ай бұрын
Sawa lakini makonda yupo kweli hi 😢❤❤❤❤
@errydeo8865
@errydeo8865 20 күн бұрын
Watu weeeengi wasiojua mpira, hawajui kwanini Yanga wamemsajili Chama! The guy ni Master in IMPORTANT GAMES! Na anajua hatacheza kila mechi( na anafurahia,hana pressure,) wachambuzi uchwala,utasikia et AFANYE kazi kubwa KUINGIA kikosini! Hapana ! He is an experienced player,a game changer, kuzungukwa na super players, yuko kwenye programu ya nguvu! Atashangaaza wasio jua mpira!( Sintoshangaa, kwasababu najua Gamondi atamtumiaje)
@l.marley_2542
@l.marley_2542 29 күн бұрын
Feisal anaregelea makosa Yale Yale ya kusherehekea mapema ona sasa mtoto umeutaka😂😂
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Ай бұрын
Hizi zilikua za MAKOLO ila REFA alifanya mauzauza zimewaangukia hawa , ...!
@YusuphMwita-k7h
@YusuphMwita-k7h 29 күн бұрын
Hii yanga yawapii hii, mbona ya moto hivi. MUNGU WAJABU🎉🎉
@BenMahende
@BenMahende 29 күн бұрын
Namkubali sana huyu mwamba Garibu
@eliaspius4949
@eliaspius4949 29 күн бұрын
Huyo second commentator ametumia nguvu nyingi sana kumsifia Fei alifiki game ndo imeisha😂😂😂😂
@DanieliGibson
@DanieliGibson Ай бұрын
mim nisimba lakin. yanga duuh nihatali sana
@mrtop10swahili
@mrtop10swahili 29 күн бұрын
Huwez choka kuangalia highlight .mecchi kali sana
@ZubedaHamisi-d3b
@ZubedaHamisi-d3b 9 күн бұрын
Mnoooo😂
@francesmpangwa8801
@francesmpangwa8801 29 күн бұрын
Magolinya Yanga yaan daah love you Yanga yangu 💛💚💛💚💛💚
@user-ph4ch9qx5p
@user-ph4ch9qx5p Ай бұрын
Naipenda Yanga.....Yanga bingwa 💛💚🏆✅
@allymganga3223
@allymganga3223 Ай бұрын
Mtoto yake nepi Feisal kiwango chako kikubwa lkn unachezea timu yenye kiwango kidogo azam utasubili sana kubeba makombe utabakia kufunga magoli na kushangilia
@AsiaOmar-mr7bk
@AsiaOmar-mr7bk 29 күн бұрын
Alipo toka mayele niliumwa siku 3 kwa mawazo kumbe bd tuna vifaa zaidi ya mayele * Allah aizidishie nguvu yanga izidi kushinda
@ahmedalfan8075
@ahmedalfan8075 29 күн бұрын
Duh Yaani umemtaja mpaka Allah tena kwa jina lake tukufu na unajua fika kua mpira ni Haram
@AsiaOmar-mr7bk
@AsiaOmar-mr7bk 29 күн бұрын
@@ahmedalfan8075 kumbe ni haram mpira ekua sijui mm najua ni mchezo 2 km michezo mengine * astaghfirullaah
@ahmedalfan8075
@ahmedalfan8075 29 күн бұрын
@@AsiaOmar-mr7bk Aaaaaah acha urongo bhna umekua mtoto weye
@AsiaOmar-mr7bk
@AsiaOmar-mr7bk 29 күн бұрын
@@ahmedalfan8075 ok nitaacha uwongo jengine asante kwakunielekeza jambo jema kuwanzia leo sitoshabikia mpira asante sana kakaangu
@Maryc2G
@Maryc2G 21 күн бұрын
Wananchi mnajua kushangilia sana 💚🇹🇿
@jessicaanania6326
@jessicaanania6326 Ай бұрын
Just imagine being US 💚💛💚💛🤗🙏🏿
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 Ай бұрын
Thanks God nimefanikiwa kuiona Yanga bora sana❤❤❤
@user-dl9pr3mo2k
@user-dl9pr3mo2k 29 күн бұрын
We fei toto unajua sana mpira tuomba dua uende mbele bwana apo kwako ni padogo
@IzackMakole-ul5tt
@IzackMakole-ul5tt Ай бұрын
MENS of The match,1.Gamond 2.Mudathir 3. Boka Ila ukiangalia yanga kwa uzuri ni kila mtu atakuwa man of the match🎉
@BabAlma_Ke
@BabAlma_Ke Ай бұрын
Jamani yanga tunaomba friend march na live pool
@mustafamfilinge4450
@mustafamfilinge4450 Ай бұрын
Pole Azam! Bado hamjasema nampaka mseme,,,,,
@asiasaid-y4h
@asiasaid-y4h 29 күн бұрын
Sisi ndo yanga ❤😂
@user-db4cg5mh5b
@user-db4cg5mh5b Ай бұрын
Kwa mfumo huu yanga wana kanya watu sanaaa na wana ziba watu midomo sana ukiongea ongea hila ukikutana nao kifinyo utakipata tuu akikwepeki uluma naona mm kwa vitalo ya Burundi sijui wakimbilie wapi maana watacho kutana nacho dunia nzima hitashangaaa yanga haina mpinzani ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ndukikomba3604
@ndukikomba3604 Ай бұрын
Yanga hii unaifungaje
@IzackMakole-ul5tt
@IzackMakole-ul5tt Ай бұрын
Yanga oyreeeee🎉
@allyadamkirita
@allyadamkirita Ай бұрын
Hili goli la mzize ni la moto❤❤❤
@allygunda3616
@allygunda3616 29 күн бұрын
Kweli wajina noma sana
@teacherpeter2475
@teacherpeter2475 29 күн бұрын
Goli la mwisho tamu sana😂😂😂
@michaellusangija9186
@michaellusangija9186 29 күн бұрын
Hatuji tenaaaa
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Ай бұрын
Yanga unaifungaje💚💚
@mwitamagesa1034
@mwitamagesa1034 Ай бұрын
Simba kwa Yanga hii bado sana. Ukweli tuuseme tu. Yanga wameimarisha kikosi, simba wamefumua kikosi. Hivi ni vitu vi2 tofauti kbs. Yanga wana moto kila wanapopata kuingia uwanjani. The team spirit. They know what they want and how to get things done bwana. Simba wanajua wanavhokitaka ila kwa bahati mbaya sana hawajaweza kuwa kwenye munkali wa kupata wanachokitaka. Bado Simba inahitaji muda tena sio kidogo wa kutosha tu. Hii itampa kocha nafasi ya kukiguma upya kikosi cha simba kama ilivyokuwa kwa Nasrin Nabi.
@abubakarchinga2345
@abubakarchinga2345 Ай бұрын
Boka yupi vizuri sana💪💪💪💪
@ErnestTuseco
@ErnestTuseco 29 күн бұрын
Yanga Bingwwwaaa Tujuane
@mohammedabdul458
@mohammedabdul458 29 күн бұрын
Fei anaupiga mwingi sana lakini wanamuangusha azam wenziwe 🎉
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 29 күн бұрын
mwombee kwa kocha amchezeshe peke yake ili asiangushwe!
@dungatv9220
@dungatv9220 Ай бұрын
Wanaosema hii misumari ya yanga ni continuous process acha like hapa
@zuchubabee5822
@zuchubabee5822 Ай бұрын
Kampa kampa Tena iyooo 😂😂😂 Yanga banaa
@happykazimbalameck2129
@happykazimbalameck2129 29 күн бұрын
Akajiona mwambaa kweli wapiiii mbele ya yanga
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Ай бұрын
Mimi nisimba ila uto wanapiga bori kwakweli
@user-cv4jb1bm6i
@user-cv4jb1bm6i Ай бұрын
Kaka chuse namba yako ipi unywe bia mbili
@AminaMwangile
@AminaMwangile Ай бұрын
😅😅😅
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Ай бұрын
@@user-cv4jb1bm6i 😅😅😅😅Yanga kiukweli Mimi kibuli kimeisha kila nikiwaombea njaa wapi hata sikuile tumekutana nao sema lefa alikua wetu tungeoga nyingi
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Ай бұрын
@@AminaMwangile 😭😭😭naumia mimi
@AminaMwangile
@AminaMwangile 29 күн бұрын
@@chusseboywcb2808 pooole hata mi nisimba najikaza kisabuni
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Ай бұрын
5:41 angalia vizuri baada ya mzize kufunga na eng anashangilia carefully muangalie KARIA😂
@JoaquimMashalangende-fw7xs
@JoaquimMashalangende-fw7xs 29 күн бұрын
Ss ni wanachi Yanga Noma fro Moçambique napenda sana
@EvaMartin-ii3eb
@EvaMartin-ii3eb Ай бұрын
Jamani natowa ofa kwa Watu wote soda moja moja so kwafurahaa hii💚💚💚💚💃💃
@RehemaMwakisyala-k9u
@RehemaMwakisyala-k9u Ай бұрын
Duuu yanga raha sana jaman
@Kombs-cr2mj
@Kombs-cr2mj 29 күн бұрын
Dah got say it, Yanga hatuwawez
@theprince2548
@theprince2548 Ай бұрын
From Nairobi kenya💛💛💛💛💛
@franciscogosbert9603
@franciscogosbert9603 Ай бұрын
Hizi 4 zilikuwa zinamdondokea simba bahati yao Refa..😂
@Marzzzzzz20
@Marzzzzzz20 29 күн бұрын
Zingatia Goal la Dube: Ni bao la kuweka katika Lamination😅
@Jumajey457
@Jumajey457 29 күн бұрын
Mzize woooow
@geraldlaurent6750
@geraldlaurent6750 Ай бұрын
Linaitwa pira kurjuani💛💚💛💪
@user-ur6fx7qo2s
@user-ur6fx7qo2s 29 күн бұрын
What a commenter James samwel+gharibu mzinga🙌
@PaulSikawa
@PaulSikawa 29 күн бұрын
Fei karb anakataje kiun mbele ya mwananchi🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kajisahau kam ni mwananchiiiiii pumbavu zakoo ukomeee
@JumaMngumba
@JumaMngumba Ай бұрын
Walchokoza maotoo🎉🎉🎉💚 💚
@YOUNGPRIVALDINHO
@YOUNGPRIVALDINHO 29 күн бұрын
YANGA YAMOTO🔥🔥🔥🔥
@ObeidRaymond
@ObeidRaymond 29 күн бұрын
Ila azam vifurushi vimekua ghali sana. Litazameni hili kwa jicho la pili
@devothamlg5607
@devothamlg5607 29 күн бұрын
So mda itakuwa kama dstv
@amanihamisi877
@amanihamisi877 29 күн бұрын
Kwel kbsa 😂
@hassanmohd2539
@hassanmohd2539 29 күн бұрын
Azam hawana huruma vifurushi ghali kupitiliza
@jamesngokonjela983
@jamesngokonjela983 Ай бұрын
Hii Yanga msimu unaokuja mfungaji Bora atafunga Gori 30
@user-fy3cf1ri8m
@user-fy3cf1ri8m Ай бұрын
Hvi NYIE AMUOGOPI😮😮
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 29 күн бұрын
Yanga hii HAMUOGOPI tu❤❤❤❤
@jekoniarubeni4609
@jekoniarubeni4609 19 күн бұрын
Mpenja hapa hafiki ni moto mwingine...
@babuumaeda7671
@babuumaeda7671 2 күн бұрын
Hii mechi ilikuwa kali saaana ❤❤ repeating sana kwangu 😂😂
@makondejohn8188
@makondejohn8188 Ай бұрын
HII NDO INATAKIWA SASA AZAM, MECH IMEISHA MNAPOST SIO MECH INAISHA LEO NINYI MNAPOST KESHO YAKE HAD MNAKOSA VIEWERS
@zeroconscious1916
@zeroconscious1916 Ай бұрын
Feisal anatuletea dharau sisi😂😂😂, nilitegemea kajifunza kumbe bado. sie hatutakagi mazoea
@floraflora5964
@floraflora5964 Ай бұрын
Alipo funga anakata mauno na mapumpu yanakatika nikajisemea kimoyo moyo kuwa dawa take ipo inachemshwa 😂😂😂
@sifunikamwela2299
@sifunikamwela2299 Ай бұрын
Assist ya mudadhiri, Super
@AlfajuriusDickisons
@AlfajuriusDickisons 29 күн бұрын
mtoto kautaka huyoo
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 29 күн бұрын
ctak simba tucheze tena na yanga..hili litimu linatisha aiseee
@elizabethmasters5998
@elizabethmasters5998 29 күн бұрын
Hii ndio yanga
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 29 күн бұрын
hata mie YANGA haswaaaa
@ZakayoHaonga
@ZakayoHaonga 27 күн бұрын
Sisi ndo wananchi wenyewe sasa sogea uone moto wake
@LeonardMallya
@LeonardMallya Ай бұрын
Yanga on fire
@emmanuelsingo5002
@emmanuelsingo5002 Ай бұрын
msimu huu Hakika Yanga itachukua makombe yote hakuna wa kuizuia level yake iko juu sana ukilinganisha na vilabu vya hapa nchini
@hillarimtambo482
@hillarimtambo482 29 күн бұрын
Kwetu raha tu💚💛💚💛
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je Ай бұрын
Mzinga una bahati mnooo ukitangaza mechi ya yanga hatujawahi funga moja
@naomikisaba5785
@naomikisaba5785 29 күн бұрын
Si wameuta😅😅😅💚💛🙏
@halefhelef9763
@halefhelef9763 29 күн бұрын
Yanga raha
@Aishazaid-by7sy
@Aishazaid-by7sy Ай бұрын
Nyieee Yanga rwaaahaaa
@grationkato7658
@grationkato7658 29 күн бұрын
Ndo imeenda hiyo
@calebkoyotv
@calebkoyotv Ай бұрын
Young Africans 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ahazykajange9305
@ahazykajange9305 Ай бұрын
Baleke jiandae kusugua benchi.hizi strikers zamoto😅
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 Ай бұрын
Yanga hiii unaifungaje😅😅😅
Yanga SC 6-0 Vital'O FC | Highlights | CAF CL 24/08/2024
11:56
Simba SC 1- 5 Yanga | Highlights | NBC Premier League - 05/11/2023
12:02
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 56 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 21 МЛН
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 10 МЛН
GOD YANGA APAGAWA NA MUDATHIR | HUYU KIUMBE AMESHINDIKANA TZ
14:38
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 56 МЛН