Magreth James - JINA LANGU (Official Video)

  Рет қаралды 966,448

Magreth James

Magreth James

4 жыл бұрын

Neno la MUNGU ni kweli na Amini, Maneno yangu na yako yatapita lakini NENO la MUNGU halitapita kamwe, Unapotazama ujumbe huu popote ulipo ulimwenguni NEEMA ya KRISTO ikutetee JINA LAKO LISIKOSEKANE KITABUNI, AMEN.
Song: JINA LANGU
Artist: Magreth James
Video: Directed by John William
Year: 2020
Usiache KU-SUBSCRIBE na kubonyeza kengele ili uwe wa kwanza kupokea mfululizo wa nyimbo na video zangu zote zinazoendelea kuja kupitia channel hii, Mungu akubariki sana!
Connect:
WhatsApp: +255 713 913 454
Facebook: / magreth.mushi.54584
Instagram: magrethjame...
#MagrethJames #JinaLangu
© 2020 Magreth James

Пікірлер: 859
@evapendoshilamungaya7759
@evapendoshilamungaya7759 Ай бұрын
Hakika.Ninaomba jina langu liwepo kitabuni.❤❤❤
@WinifridaeliasDema
@WinifridaeliasDema Ай бұрын
Ni mafuta kutoka kwa BWANA hakika, MUNGU atutie nguvu katika yeye
@catherineomariba3196
@catherineomariba3196 8 күн бұрын
Asante kwa huo wimbo ....unaniguza roho yangu nikiwa mahali pagumu na inanipa moyo
@hugolucky6186
@hugolucky6186 9 ай бұрын
Hii nyimbo inanibariki sana iko kwenye tano bora ya nyimbo zangu za gospel😍🙏🏿
@fredrickmuthoka560
@fredrickmuthoka560 2 ай бұрын
Agreed,such a mind jogging song🙏
@ElizabethLoth-lq8vt
@ElizabethLoth-lq8vt 3 күн бұрын
dada kweli mungu anawatu wakujivunia hakika usipo piga makofi hats mawe yatapiga makofi kumtukuza mungu
@tabithaadisa2017
@tabithaadisa2017 2 ай бұрын
Ombi langu tena Kilio cha moyo wangu Niwepo kitabuni Baada ya yote kusemwa na kutendwa. Ahsante Magreth. Neema iwe maradufu kwako
@magrethjamestz
@magrethjamestz 2 ай бұрын
Amen amen 🙏
@TabbyMwangi-ti3zi
@TabbyMwangi-ti3zi Жыл бұрын
Ewe bwana naomba jina langu liwe kwa kitabu so powerful song ubarikiwe sana magreth James AMEN
@mbaabulaban
@mbaabulaban 6 ай бұрын
Kitabu kilichoandikwa na Mungu mwenyewe ❤
@ProsperReuben-fg6uh
@ProsperReuben-fg6uh 21 күн бұрын
Hii nyimbo ni sala ambayo watu wengi huwa tunaisahau kusali tunaishia kuomba maisha bora ya hapa duniani ila kwa sala hii hakika inabadilisha mfumo wangu mzima wa maombi
@fatumamichael5664
@fatumamichael5664 7 ай бұрын
Amina wimbo huu hua unaniliza nakujutia makosa yangu niliokosa kwa mungu ewe
@jinnayangu5005
@jinnayangu5005 10 ай бұрын
Bwana Mwenyezi Mungu Aliye Kuweko Aliyeko na Atakaye Kuja😢😢Akubariki sana dada.
@Abewe2024
@Abewe2024 Ай бұрын
Ubalikiwe mama Magreth. Ombi hi ni la kwanza katika maombi yote.
@mashaka-zi8ot
@mashaka-zi8ot 2 ай бұрын
Sina shaka, najua kuwa YEYE Aliyeniumba, yu na haki zaidi kuliko mimi, na hufanya atakavyo. Ombi langu ni lile lile, Niwepo kitabuni!!!
@kosherasengasu5093
@kosherasengasu5093 5 ай бұрын
Napenda Sana huu wimbo.Mungu wetu aendelee kukutumia ili wengi waokolewe kupitia nyimbo zako.
@emilymukabwa4793
@emilymukabwa4793 Жыл бұрын
Yoyote asiyekuta jina lake limeandikwa katika kitabu cha uzima atatupwa katika ziwa la moto Mungu nikumbuke😢🙏
@ElizabethLoth-lq8vt
@ElizabethLoth-lq8vt 3 күн бұрын
nausikiliza huu wimbo moyo wangu unatuja sana mengi nimemkosea mungu mungu nirehemu naunisamee ili jina langu liandikwe kwenye kitabu Cha walio mkiri yesu
@magrethjamestz
@magrethjamestz 3 күн бұрын
@@ElizabethLoth-lq8vt Mungu atusaidie sote
@Janekadzo
@Janekadzo Жыл бұрын
Ninaomba jina langu liwe kitabunix3 nmepata nguvu mpya kusikiaa wimbo huu kwa kweli barikiwa mtumishi🙏🙏
@brysonuronu5862
@brysonuronu5862 3 жыл бұрын
Unatisha mdogo angu Dada yangu mpendwa ..Mungu akusaidie katika kazi yako.
@magrethjamestz
@magrethjamestz 3 жыл бұрын
Nanyenyekea,,,bless you Mightily dear brother🙏🙏
@mercymumo719
@mercymumo719 Ай бұрын
Naupenda hui wimbo
@BethMuiruri-eq4ni
@BethMuiruri-eq4ni Жыл бұрын
God that is my prayer jina langu liwe kitabuni on that day 🤲🤲🤲🙏🙏🙏😢😢
@marymoraa4352
@marymoraa4352 Жыл бұрын
Guys from tiktok let's say a big amen it's so blessing song God have mercy on me for my name be in the book
@annakimario7611
@annakimario7611 3 ай бұрын
Na Mimi pia Jina langu NINAOMBA liwepooo kitabuniii Anna ❤
@lawdavidmburudave1000
@lawdavidmburudave1000 3 ай бұрын
Ni vyema,
@alfredmwangi9640
@alfredmwangi9640 8 ай бұрын
Mungu azidi kukuinua. Wewe ni WA baraka kupitia nyimbo zako
@magrethjamestz
@magrethjamestz 8 ай бұрын
Amen amen
@raelmish9164
@raelmish9164 10 ай бұрын
I so much love this song. It's my prayer everyday for my name to be found in the Lamb's Book of Life
@fredrickmuthoka560
@fredrickmuthoka560 2 ай бұрын
Hearty greetings gorgeousoul for such an incredibly inspiring track,so touching and moving at once,,, it's not in vain. #hallelujah
@frankwinani4458
@frankwinani4458 Жыл бұрын
Barikiwe sana Magreth, hakika wimbo unagusa sana
@carolinemukamimuriithi
@carolinemukamimuriithi Ай бұрын
I thank who has given the grace to become I know though God I shall become
@MatildaChembeko
@MatildaChembeko Ай бұрын
Nimetoka kesha na huu Wimborne umetuguza sana be blessed
@magrethjamestz
@magrethjamestz Ай бұрын
Mbarikiwe sana
@happykhamis7640
@happykhamis7640 2 жыл бұрын
kwakweli Asante kwa ujumbe Mzur wengi tunaomba maitaji yakidunia Kisha tukipewa tunalizika,, ila tunasahau kuomba neema hii ya jina kuwepo kitabuni
@magrethjamestz
@magrethjamestz 2 жыл бұрын
Barikiwa sana
@joycekariuki4171
@joycekariuki4171 6 ай бұрын
Be blessed Maggie hii song naiimba bila kujua ni yanani until I decide to search ❤❤❤ pia mm naomba Jina langu liwekwe kitabu.....
@bnethub
@bnethub 2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukuinua na kukubariki katika huduma yako.
@magrethjamestz
@magrethjamestz 2 ай бұрын
🙏 AMEN AMEN 🙏
@FatmaHamad-hs3tj
@FatmaHamad-hs3tj 8 ай бұрын
Mi naomba jina langu liwepo kitabuni, asante yesu Kwa kumweka huyu dada ametupa message nzito sana.barikiwa sana.
@gladnessshola2718
@gladnessshola2718 2 жыл бұрын
Aunt Mage unaimba vizuri sana na jumbe nzuri pia unaonekana wewe ni mtu wa maombi sana, endelea hvohvo nakuona mbali sana ukifikia mataifa mengi sana kama utaendelea hvohvo
@magrethjamestz
@magrethjamestz 2 жыл бұрын
Ahsante sana Gladness,,, barikiwa mno
@mercyjepchumb9707
@mercyjepchumb9707 2 жыл бұрын
The pain I had in my heart, I can't even tell😭 Was viewing status and when I met this song I got healed completely, I forgive them, Am really blessed, I can't stop listening to the song Thank you so much God bless you abundantly dear
@magrethjamestz
@magrethjamestz 2 жыл бұрын
God is faithful, bless you indeed
@neemambeyela2859
@neemambeyela2859 2 жыл бұрын
Mungu akubarki
@michaelkiplagat653
@michaelkiplagat653 2 жыл бұрын
@@magrethjamestz hhjiihhgythhioii5uu
@johnkaranja9541
@johnkaranja9541 Жыл бұрын
@@magrethjamestz ubarikiwe
@uhaitanzania1620
@uhaitanzania1620 Жыл бұрын
Mungu akubariki Sana Mungu akuinue....nabarikiwa
@chefjaji4225
@chefjaji4225 Жыл бұрын
Niwepo kitabuni Bwana🙏
@user-om3dz1hz1b
@user-om3dz1hz1b 5 ай бұрын
Hakika wimbo huuu ni mzuri mnoo. Barikiwa sana dada
@floridachocha9345
@floridachocha9345 Жыл бұрын
Eee Mungu nisaidie.😭😭😭🧎🧎🧎🧎
@consolatadaniel1664
@consolatadaniel1664 Жыл бұрын
Tafadhali mungu naomba jina langu liwepo kwenye kitabu cha uzima wa milele
@user-re7wz6yc7y
@user-re7wz6yc7y 9 ай бұрын
Mungu aendelee kukutumia
@chebetron412
@chebetron412 Жыл бұрын
i like your video the book is made by got your blessed magreth james
@amoschacha1873
@amoschacha1873 8 ай бұрын
Asante Sana dada Magreth uko vizuri ubarikiwe sana
@esthernoel5256
@esthernoel5256 2 жыл бұрын
Powerful song , only holiness and righteousness can grant us entry into the Kingdom of GOD.
@magrethjamestz
@magrethjamestz 2 жыл бұрын
Indeed woman of God
@davidtushar5413
@davidtushar5413 2 жыл бұрын
Glory be to God, very inspiring song indeed. More grace woman of God.
@winfredwainainagarama8256
@winfredwainainagarama8256 2 жыл бұрын
That's true my sister. Holiness outside and inside
@HAAM670
@HAAM670 Жыл бұрын
Righteousness was done on cross, let's play our part on holiness
@yohanasaidikijazi5033
@yohanasaidikijazi5033 Жыл бұрын
@@winfredwainainagarama8256 barikiwa sana Mtumishi wa Mungu. Wimborne huu upo Rohoni
@marymmbone6976
@marymmbone6976 Жыл бұрын
Siata yangu iekwe niache kupitia haya napitia ur song is a blessing to me and my family.
@judithfimbo3743
@judithfimbo3743 3 жыл бұрын
Mwimbo huu unabariki sana! Wimbo una upako I can’t stop singing! Yaani narudia narudia hadi basi! Mungu akubariki sana dada!
@magrethjamestz
@magrethjamestz 3 жыл бұрын
Ooh Dada ,,,ni ushuhuda wenye nguvu huu jaman,namshukuru Mungu kwa Neema hii ya ajabu,sikustahili jambo hili nimelipata Bure tuu ,,,,ninakuombea amani na utulivu Wa Yesu Kristo
@JulieMbeko-jw6iq
@JulieMbeko-jw6iq 2 ай бұрын
Yesu mwaminifu tuwezeshe marina yetu yawemo kitabuni,barikiwa mtumishi wa Mungu kwaujumbe mzito
@kelvinsalaton7007
@kelvinsalaton7007 Жыл бұрын
This song has become a real blessing to me... Barikiwa Sana na Tena zaidi zidi kufanya kazi ya Mungu... 🎻🎹 Ninaomba jina langu liwepo kitabuni🙏🙏🙏🙏
@gospotv
@gospotv 4 жыл бұрын
Mungu akuinue zaidi kwa huduma hii njema.
@magrethjamestz
@magrethjamestz 4 жыл бұрын
Amen amen
@margaretedson8777
@margaretedson8777 3 жыл бұрын
@@magrethjamestz )pp
@shaniasuzy2835
@shaniasuzy2835 Жыл бұрын
Am truly tongue ~tied but to say AMEN AND AMEN!!!!! This song is truly powerful 🥺🙌❤️‍🔥❤️‍🔥
@africanadastream
@africanadastream Жыл бұрын
Jina langu Baba liwepo kitabuni, what a powerful song. God bless you Sister MJ.
@magrethjamestz
@magrethjamestz Жыл бұрын
Amen amen
@jackezekia6068
@jackezekia6068 2 ай бұрын
​@@magrethjamestz❤❤❤❤❤
@violetnikumbulemkisi8523
@violetnikumbulemkisi8523 2 жыл бұрын
Yaani ni maombi tosha
@dinahmghoi4099
@dinahmghoi4099 16 күн бұрын
13:28 ,June ,.. crying to God to see me through my life ..... praying for a true loving and God fearing 😊partner ... praying for clarity ....thaaanking him for my job ,my family..we never lack .A direct prayer to break us from generatiol curses ,to restore to us what. Was lost
@magrethjamestz
@magrethjamestz 16 күн бұрын
God is fulfilling all you're desire,,,
@christophermwaite900
@christophermwaite900 2 жыл бұрын
Kazi nzuri barikiwa
@michaelmwakifwamba909
@michaelmwakifwamba909 3 жыл бұрын
Huu wimbo ni mzuri mno.muimbaji umevaa kinadhifu,hujajipamba kipagan kama waimbaji wengine wa nyimbo za injili,ni maombi yetu usibadllike ukishakua maarufu.endelea kunyenyekea ili Mungu akuinue kwa viwango vingine.
@magrethjamestz
@magrethjamestz 3 жыл бұрын
Amen Mtumishi,,nimepokea na kusikia ushauri wako,barikiwa Sana na Mungu
@marymushi7932
@marymushi7932 4 жыл бұрын
Waooooh jmn mage Mungu azid kukuinua
@magrethjamestz
@magrethjamestz 4 жыл бұрын
Ahsante Sana kipenz,,,barikiwa Sana Sana ,pls kumbuka Ku subscribe pia kipenz
@josephmutente5196
@josephmutente5196 4 жыл бұрын
Ninaomba jina langu liwepo kwenye Kitabu cha Uzima🙏🏼🙏🏼 Barikiwa sana Dada.
@magrethjamestz
@magrethjamestz 4 жыл бұрын
Amen kaka barikiwa Sana na Neema ya Mungu itusaidie daima majina yetu yasikosekane
@agnesmweta1221
@agnesmweta1221 Жыл бұрын
Barikiwa Sana dada nabarikiwa na nyimbo zako mno
@magrethjamestz
@magrethjamestz Жыл бұрын
Utukufu ni kwa Bwana Agnes
@anjelinayasini
@anjelinayasini Ай бұрын
Hakika hi nyimbo inagusa, barikiwa muimbaji yesu akupe mafuta zaidi mama,
@margaretmsoo2060
@margaretmsoo2060 3 ай бұрын
First day to hear this song through a mix❤❤ it's amazing❤❤❤❤❤❤❤❤❤ new subscriber ❤
@gadnersolomon2971
@gadnersolomon2971 Жыл бұрын
Safi sana Magreth
@neemaelinyari807
@neemaelinyari807 9 ай бұрын
Nakuombea Kwa Mungu upako ulionao usipungue Wala unyenyekevu wako usipungue
@magrethjamestz
@magrethjamestz 9 ай бұрын
Amen ahsante sana sana
@odethaezekia2624
@odethaezekia2624 2 жыл бұрын
Ameniiiiiiii mama kazi yako na njemaaàaaaaaaaa sana
@magrethjamestz
@magrethjamestz 2 жыл бұрын
ahsante sanaaaaaaaa
@melonieawuor2875
@melonieawuor2875 6 ай бұрын
l really love this song My Pray that My Name be found in the book of Life
@DinahMakubo
@DinahMakubo 2 ай бұрын
This song bless me another. Barikiwa
@bettykaimenyi211
@bettykaimenyi211 3 ай бұрын
I love this song, your songs are powerful and always carry the grace of God .May God keep blessing you and lifting you to higher levels
@joycematenga7367
@joycematenga7367 3 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana Ongera sana Mungu akuinue zaidi 👏👏👏👏👏
@magrethjamestz
@magrethjamestz 3 жыл бұрын
Ahsante Sana Sana Mpendwa🙏🙏
@user-vq5ck8tu5u
@user-vq5ck8tu5u 6 ай бұрын
Ubarikiwe sana kwa nzur❤
@paulshirima4561
@paulshirima4561 2 жыл бұрын
Mbele ya Mungu na malaika niwezeshe jina langu liwe kitabuni❤️🙏🙏🙏🙏
@magrethjamestz
@magrethjamestz 2 жыл бұрын
Bwana Yesu atusaidie
@paulshirima4561
@paulshirima4561 2 жыл бұрын
🙏🙏
@KarenKetura
@KarenKetura Жыл бұрын
From tiktok here I am am blessed it's my prayer my name to be written in heaven may I not be ashamed during judgment day Lord give me more strength to handle every obstacle comes across 🙏 ❤
@neemamushi1070
@neemamushi1070 4 жыл бұрын
Kazi nzur dr,be blessed .
@magrethjamestz
@magrethjamestz 4 жыл бұрын
Bless you even more beloved
@neemakway8389
@neemakway8389 2 жыл бұрын
Ubarikiwe saaan Mtumishi wa Mungu
@glorymmanda6689
@glorymmanda6689 Жыл бұрын
Mungu ametukuzwa sana kwa wimbo huu
@magrethjamestz
@magrethjamestz Жыл бұрын
Amen,,
@apendayetweve8441
@apendayetweve8441 2 жыл бұрын
Hongra sana nyimbo zako zote zuri sana mungu akubaliki sana
@lucasnela2785
@lucasnela2785 Жыл бұрын
Amen nimebarikiwa sana
@wisewise2482
@wisewise2482 2 жыл бұрын
Dada Magreth nyimbo yako hii itaishi daima moyoni mwangu na mioyoni mwa wapenda kristo duniani kote.Ameen🙏
@magrethjamestz
@magrethjamestz 2 жыл бұрын
Amen barikiwa mno na Kristo Yesu
@rehemamercy1134
@rehemamercy1134 2 жыл бұрын
Nia yangu ni Moja tu,jina langu liwepo kitabuni eeh Yesu😭🙌🙌🙌
@jacquelinemkuchu1891
@jacquelinemkuchu1891 4 жыл бұрын
Kila LA kheri mate wangu Mungu azidi kukuinua kipenzi changu
@magrethjamestz
@magrethjamestz 4 жыл бұрын
Ahsante Jacque wangu kipenz ,,,barikiwa Sana love
@marywangari2124
@marywangari2124 Жыл бұрын
Barikiwa sana, nina omba majina ya wakristo yawe kitabuni nilicho andikwa na Mungu mwenyewe!
@pastorozenielshelukindo7
@pastorozenielshelukindo7 2 жыл бұрын
Amina Mtumishi wa Mungu. Kazi yako ni njema
@maedencohen9000
@maedencohen9000 Ай бұрын
Lord help me not miss heaven, write my name in the lambs book of life. Help me live a life that pleases you. Remember my sister Magreth bless her give her more songs and give her the desires of her heart.❤
@magrethjamestz
@magrethjamestz Ай бұрын
Amen and amen
@gloriaayuya4137
@gloriaayuya4137 Жыл бұрын
Gloryy🎉🎉
@antoniaemmanuel6754
@antoniaemmanuel6754 3 ай бұрын
Hongera sana dada ❤
@nditchienditchie5533
@nditchienditchie5533 Жыл бұрын
I went to a certain office Just yesterday and this song was playing from the background, I was moved , I tried to shazam it unsuccessfully, later on I had to ask the office owner and he told me the name, I haven’t stopped playing it since then , so touchy and soothing...May the good God help us all to live according to his word
@magrethjamestz
@magrethjamestz Жыл бұрын
Glory to God beloved,
@josekarani6220
@josekarani6220 Жыл бұрын
@nditchenditchie5533 haiya! even in our office this has been our song ever in background. And while playing everyone is silent 🙏🙏
@amoschacha1873
@amoschacha1873 8 ай бұрын
Mtumishi karibu Sana Nzega nyimbo zako Zina Mungu Zinatubariki sana
@elithachusi3167
@elithachusi3167 8 ай бұрын
Àsante sana nimeomba nimeomba Toka saa 1 Hadi saa 8:30 machozi na maombi barikiwa Sana.
@isayaeva736
@isayaeva736 2 жыл бұрын
Umenigusa sana huu wimbo
@KennethNdirangu-ig5pm
@KennethNdirangu-ig5pm 8 ай бұрын
Nyimbo zako ni mzuri saana.
@magrethjamestz
@magrethjamestz 8 ай бұрын
Ahsante sana
@edvenearpascal6485
@edvenearpascal6485 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa mno
@jacobshivachi8565
@jacobshivachi8565 Жыл бұрын
Huu wimbo unanipa Moyo Sana napenda Sana
@magrethjamestz
@magrethjamestz Жыл бұрын
Zaidi sana Mungu anakupenda sana
@bernardmutugi3683
@bernardmutugi3683 Ай бұрын
My morning prayers
@tommediatz9599
@tommediatz9599 3 жыл бұрын
Hongera wimbo nimeupenda
@gracemutono5023
@gracemutono5023 Жыл бұрын
Amen Asante kwa MUNGU aliye hai nyimbo zina ngufu sana barikiwa sana
@godschild3720
@godschild3720 2 жыл бұрын
Oh what a song. This is the desperate cry of my heart Lord. Help me to win this battle Jesus
@Heisgvoice
@Heisgvoice Жыл бұрын
Leo nimepata kuskia vyema hii nyimbo na nimerudia mara7 aiseee dada umenifanya nijione nimkosaji sana na kuwaza je jina langu litakuwepo uko kwel kwa matendo yangu dah
@MaryShedrack-fv6rp
@MaryShedrack-fv6rp 5 ай бұрын
Godbleengs magreth najikia vyema nikìsikiliza ngoma hii natamani namimi jina langu liwepo kitabuni sasa naanza vp na mitondo yangu ya hovyo
@tumwaminmtewele7739
@tumwaminmtewele7739 Жыл бұрын
Amen mtumishi. Nabarikiwa Sana na nyimbo zako. Hakika MUNGU nisaidie niwepo kitabuni
@mitchellewanjikuwarui4950
@mitchellewanjikuwarui4950 Жыл бұрын
.,
@maedencohen9000
@maedencohen9000 Жыл бұрын
First time I heard this song, it took me to the throne room of God couldn't help it but cry and break down before my God. You are a vessel of honour our dear sister I thought you were Kenyan.
@magrethjamestz
@magrethjamestz Жыл бұрын
No I'm Tanzanian,,,, our East African homeland
@issactv3201
@issactv3201 Жыл бұрын
The climax of humanity is to inherit the kingdom of God ...God have mercy on us.
@josekarani6220
@josekarani6220 Жыл бұрын
Am here again 🙏 ninaomba jina langu liwepo kitambuni x4 ewe Yesu liwepo kitambuni.
@susansongok4961
@susansongok4961 Ай бұрын
Inatia nguvu za roho
@shiruimani1625
@shiruimani1625 Жыл бұрын
That moment when you enter a new season in life and God speaks to you through a song! Thank you God for ministering to me today thats it's all about jina langu liweko in the book of life. God bless you Margaret.
@veronicacosmas8833
@veronicacosmas8833 4 жыл бұрын
kwa kweli Jina langu liwepo kitabuni Amina.ubarikiwe na bwana yeah🙏🙏🙏
@magrethjamestz
@magrethjamestz 4 жыл бұрын
amen amen Veronica
MAGRETH JAMES - NINA UHAKIKA (Official Music Video)
7:00
Magreth James
Рет қаралды 206 М.
Magreth James (UNAWEZA OFFICIAL VIDEO)
5:42
Magreth James
Рет қаралды 6 МЛН
1❤️
00:17
Nonomen ノノメン
Рет қаралды 13 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 4,1 МЛН
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 3,9 МЛН
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 55 МЛН
MAGRETH JAMES (UNIFUNDISHE OFFICIAL MUSIC VIDEO)
3:52
Magreth James
Рет қаралды 229 М.
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 2,4 МЛН
MAGRETH JAMES- NIKUKARIBIE (Official Video)
6:28
Magreth James
Рет қаралды 68 М.
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 21 МЛН
NYIMBO ZA KUABUDU/SWAHILI WORSHIP SONG WITH LYRICS NONSTOP 2024 VOL.06
58:53
MARGGIE DAWN - U MWAMINIFU(Skiza 7750898)
5:17
Marggie Dawn
Рет қаралды 2 МЛН
Sardor Tairov - Sen meni yeding (Official Music Video)
5:02
Sardor Tairov Official
Рет қаралды 3,9 МЛН
Ozoda - JAVOHIR ( Official Music Video )
6:37
Ozoda
Рет қаралды 10 МЛН
Jakone, Kiliana - Асфальт (Mood Video)
2:51
GOLDEN SOUND
Рет қаралды 3,7 МЛН
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 147 М.
Janona
4:09
Release - Topic
Рет қаралды 1,5 МЛН
Bakr x Бегиш - TYTYN (Mood Video)
3:08
Bakr
Рет қаралды 1 МЛН
Say mo & QAISAR & ESKARA ЖАҢА ХИТ
2:23
Ескара Бейбітов
Рет қаралды 1,4 МЛН