He's the first leader I've seen telling people not to be afraid. He's the true African leader, the LEGEND, Sir John I salute you from Kenya!
@jactonchachamurimi34494 жыл бұрын
But he is saying something which is true to his nation
@centralpark65384 жыл бұрын
The President of Belarus, Lukashenko, is the same. Unfortunately, they are the minority...
@ommydechris4 жыл бұрын
You deserve to be the African president 💯✌🖒
@anyolebosman51384 жыл бұрын
This man is at another level. Much love and blessings from Uganda 🇺🇬🇺🇬
@arthurkaranja21324 жыл бұрын
Genius President. Hapa Kenya Ni Mchezo Tu.
@albertgichana31324 жыл бұрын
Finally, a leader is independently doing something and making it public. Wisdom
@costumshop84364 жыл бұрын
Ur excellence
@paulnjuguna16714 жыл бұрын
I salute you Hon Magufuli from Kenya, i wish African leaders could be sensible and bold like yu. Nimekuwa na tashwishi kubwa na na hizi testing kits kutoka Uchina sababu wao ndo sababu kuu ya hii virus kwa ushirikiano na WHO na Gates. Wako na agenda ya kishetani lakini kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu siri zitatoka. But i assure Mr President, watakuletea fitna na vita kwa kutozama kwenye mtego wao. I'm proud of you sir.
@7sneves4 жыл бұрын
I love it when I see woke ppl like you still in existence fr, Hio hidden agenda ni ni dangerous
@vickysaginy61154 жыл бұрын
Thanks buddy for spilling the beans
@banavincent4 жыл бұрын
i don't understand very Well swahili but i love so much this president much respect from Rwanda
@Basma-eu9ol4 жыл бұрын
He is basically saying that they ( the president & his team) secretly sneaked samples of fruits and animal fluids into the government lab to test for Covid 19...as human samples and named them as well as humans....surprisingly some results came back positive...🙂
@abdoulayengom68894 жыл бұрын
Félicitations mousieur le Président moi sius Sénégalais vraiment contente de toi tu c'es j'aimerais de la tanzanien je fière de vous l'Afrique a besoin d'hommes que vous
@batulijuma73324 жыл бұрын
Nakupenda maguful katika maisha yangu wewe ndy Rais wangu
@barakarimbe23424 жыл бұрын
Best president ever thumb up mr,magufuli
@redemptor40724 жыл бұрын
i just like this man God bless you from kenya
@naekuenator4 жыл бұрын
Maximum respect, my President.
@morrisonkiura43274 жыл бұрын
Foolishly those kits are specifically for human being any other sample can give any results...
@abdullahiabdi27354 жыл бұрын
This is a great man
@kingstone24574 жыл бұрын
I am from kenya but this is my president he is different from this African politicians
@sammy46514 жыл бұрын
Unachoma buda
@kingstone24574 жыл бұрын
sammy4651 aje unaona Uhuru kitu ana tufanyiea
@sammy46514 жыл бұрын
@@kingstone2457 Uhuru is trash lakini magufuli ni mchezo tupu
@kingstone24574 жыл бұрын
sammy4651 atleast he is being honest I don’t mind mchezo but I would mind a trash
@7sneves4 жыл бұрын
Magufuli is woke, please wake up Kenyans or else we will all die because of lack of knowledge, do research go watch 4birds of corona and be the judge
@jofreykilowoko9034 жыл бұрын
Hiyo nimeipenda safi sana President Magufuli (fanya kazi yako usibabaiswe na maneno husemwa na kupita na kusahauliwa)
@lameckpeter49944 жыл бұрын
Huyu mzeee balaa ana akili kuliko kawaida
@ibraqhimosman86704 жыл бұрын
This guy is really down to earth Comment section naona tu wakenya 😂😂 Where 4m is used for tea and mandazi
@marykinuthia60674 жыл бұрын
Very sad, wakora kila pahari.
@7sneves4 жыл бұрын
Go watch 4birds of corona video mtajua Kenya government iko lead na puppets
@mursal36044 жыл бұрын
Hehehe super genius
@tysonbek26734 жыл бұрын
Uku kenya president wetu anatuchezea...God bless Magufuliza,A president who loves and cares for his people
@andrewwaiganjo15834 жыл бұрын
Stupid
@antonymahembora73634 жыл бұрын
Kwa sasa watanzania wengi hawataelewa unachokiongea kutokana na mitazamo tofauti na uchama ila utakapoondka madarakan watakukumbuka sanaa Nakupenda sana Rais wangu mungu akulinde utusaidie watanzania wengi tulio nyuma yako
@iSaac-kp5lk4 жыл бұрын
From Tanzania to the world💪🏽💪🏽💪🏽
@mohamuti69284 жыл бұрын
Born Leader I salute you
@enocktweve72164 жыл бұрын
Africa needs you.
@GO_TRON4 жыл бұрын
"papai lile lipo halijafaa"😁 I love this president
@iddiayub34064 жыл бұрын
Niko Kenya lakini nakubali upelelezi wako, ww ni rais bora ,you are brave
@suleimanjuma12554 жыл бұрын
Daaah! Sasa mbuzi na papai Hivi virusi viliingiaje huko kwa kuambukizwa nako au Kuna siri nyuma ya pazia mbona kama majabu haya Rais we2 big up sana kwako💯💯🙏🙏🙏
@iddiayub34064 жыл бұрын
Hongera ,wewe ndo wafaa xana ,wafikiria kabla ya kutenda ama kuamua ,hongera
@dishononguso45324 жыл бұрын
This is well done PJM Kenyans do not fear.
@alexlexx14604 жыл бұрын
Best president in Africa🙏🙏🙏🙏🙏💯💯💯💯
@omosajared34974 жыл бұрын
Nakupenda Sana Rais vile unasema ukweli wa maneno be blessed so much. From Kenya
@josephmadobho3024 жыл бұрын
Very genious huyu mzee
@musa28434 жыл бұрын
Miaka 60 sio Mzee siku hizi!
@kuria994 жыл бұрын
kenya iwekwe chini ya utawala wa tanzania. mzee ako na maarifa.
@instituteofsuccessios54164 жыл бұрын
ooooho my God ....you want to hire our lovely president???? .....
@sikudhanimachaku78364 жыл бұрын
Alafu et Mbowe anamshangaa Rais kuongelea colona na wakuu wa Majeshi,,,yani anajifanya yey anaufahamu kuliko Rais wetu,,,Huyu ni zaid ya Rais hapa Africa,,,Nyie wengine mtulie dawa iwaingie.
@kristineodongo93574 жыл бұрын
Watch Dr Rashid,Dr shida,Dr Judy mikovits,papa duck,young pharoah,it's mind blowing
@leandromartii83044 жыл бұрын
Saludos desde Argentina!!! Messi!!! Maradona!!! Tanzania's president!!!!
@silverman69304 жыл бұрын
My president , a Genius 🙏
@Calmsam4 жыл бұрын
That's my president...
@njdamour57714 жыл бұрын
WHO has to let us know the truth !!! Tedros anatuleteya uzushi kweli!!!! That's the point His Excellence.....
@emmanuelnzoihthecardoctor47994 жыл бұрын
Ukovizuri raisi wangu nakupenda sana raisi.wangu
@davidmuturi19554 жыл бұрын
I like the way u r addressing the country coz it is globaly
@felixowino12124 жыл бұрын
Asante sana Your Excellency for the great expose...wabeberu ndio wanatumia mahabara kudanganya
@Brave73714 жыл бұрын
You guys discuss about issues, don't spend your time to discuss about people, those who have matured enough knows what is happening, protect your self and your family that is enough, other things just watch them in television.
@Brave73714 жыл бұрын
You guys discuss about issues, don't spend your time to discuss about people, those who have matured enough knows what is happening, protect your self and your family that is enough, other things just watch them in television.
@rahmaawadh67444 жыл бұрын
now I lay my doubt on those sanitizers also should be tested ….
@adolfbaguma46224 жыл бұрын
Unasema kweri nikuomba mungu ataware
@joycefelix90474 жыл бұрын
I SECOND YOU
@johnmasuka33704 жыл бұрын
Réal, this is a depopulation war against blacks. We need more efforts to establish our Research centres
@alinur20354 жыл бұрын
Mr president you are leading with good example. I admire your leadership. Nadani waongozi wengine waa Africa wata fwata njia yako
@hesbonbwire9544 жыл бұрын
Hii ni biashara Kali sana , mungu atusaidie
@mikram54184 жыл бұрын
Good speaking great pm love from pakistan
@carterjames7494 жыл бұрын
Uhuru tu akituambia umavi na ujinga na kuendelea kuomba pesa akitumia janga Hili. Very stupid
@rasmissionary75184 жыл бұрын
😂😂😂😂 My African president viva🙌🙌🙌🙌
@hijahamad46254 жыл бұрын
Hahahaha nzr sana tunahitaji viogoz kama hawa mda sana ila kwa sasa good
@candidoderosa4 жыл бұрын
Asante
@perinash49934 жыл бұрын
mzee anapointi kunamichezo inachezwa ya corona na cancer katika laboratories creating unnecessary anxiety
@binal-ausy7434 жыл бұрын
That’s why I love this man , he’s above all other African leaders . I wish kenya we had a president like him , shida tumepata walevi na walafi tu kushibisha matumbo yao .much love from 🇰🇪🇰🇪 . May God protect you Magufuli and guide your people to the right path. Ameen!
@Nesphore14 жыл бұрын
Wale wanakula propaganda ya mabeberu ndio hawatatambua mh Magufuli.
@kristineodongo93574 жыл бұрын
Kabisa.wacha walale
@gideonkalumbu26034 жыл бұрын
Thank you Sir.
@lwitikoasa68994 жыл бұрын
najivunia kuwa na rais kama wewe
@lwitikoasa68994 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbaliki rais wetu john pombe magufuli
@owdengodson29904 жыл бұрын
Raisi wangu nakupenda sana. Hatutaki hofu zitazotusababishia kushindwa kufanya kazi na mambo ya msingi. Yaani unachowaza ndicho ninachowaza. Hii ni vita! Nawe wajua tactics, nahisi umesoma 'The Art of War'. Safi sana!
@fabriceingabire87364 жыл бұрын
Na anza kumuelewa q chief aliosema kuhusu mwana fa daaah kweli ile kama kiki ya meja kunta 🤣🤣🤣
@allyissa58014 жыл бұрын
Hongera mkuu kwa kujiongeza mungu akulinde na hila za hao mabebelu
@rtvtzonline42674 жыл бұрын
Ally Issa hhhbonito
@joearm55514 жыл бұрын
You will not see this on CNN!!
@kelvinkinyanjui79403 жыл бұрын
this man has got brains not like some people we know
@claverndayishimiye28524 жыл бұрын
Mungu abariki sana Mheshimiwa Rais wa Tanzania John POMBE MAGUFULI. Amafanya kitu muhimu sana. Namupenda
@smithtai4 жыл бұрын
I salute you from America. I wish all of the African leaders think like this man. We don't need the western world help to cure the people of Africa. Western world medicine is wicked and cruel. I am so proud of Tanzania president for taking that stand and I am proud of Madagascar for making their own natural remedy to cure this plandemic
@fatmahnassor60054 жыл бұрын
Well said
@kissarungereuwalemuuya17154 жыл бұрын
Nakukubali sana Mh rais wangu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mungu azidi kukulinda na kukuongoza katika kila jambo ili uzidi kutuongoza salama. Isingekuwa katiba ya nchi hii Mimi natamani sana ungeongoza hata walau kwa miaka 20. Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa
@tembomlawa20654 жыл бұрын
Baba umetisha saruti kwako
@faustinemakona23224 жыл бұрын
Pa 1sana mkuu
@kuria994 жыл бұрын
kweli , nimeunga mkono , mim ni mkenya
@iddiayub34064 жыл бұрын
Ata mm bro afadhali angekua kenya
@rukiagwando50184 жыл бұрын
Kwakweli hapo tumekuelewa baba. Tusubiri matokeo ya uchunguzi ukweli uwe wazi. Maisha yaendelee. Asante kutuondoa hofu ya Corona.
@gladnessmakundi4214 жыл бұрын
Inawezekana hivyo vifaa ndo corona postive ndo vina spreading hiyo korona
@Nesphore14 жыл бұрын
Ama test kits ziko na korona, kuna uwezekano mkubwa pia kusabotage nchi za Africa Mashariki.
@conquistadore8944 жыл бұрын
Saluti carissimi fratelli di Tanzania siette benedetti.
@nemanjeyo36794 жыл бұрын
Mungu akutunze baba magufuri
@mikram54184 жыл бұрын
Im fast time see Tanzania pm i like it
@mangweamajani79794 жыл бұрын
Nakukubali Raisi Wangu.
@rexwafula82894 жыл бұрын
Nakupenda Sana mzee magufuli japo mimi mkenya. Chapa kazi baba
@hamadshein4984 жыл бұрын
Hahahahaha Uwiiii
@mosesdagobert57314 жыл бұрын
Mkuu naomba uangalie pia sekta binafsi.ukweli ni kwamba tunaomba Sana ,na mungu atasimama Sana juu yetu mungu aibariki TANZANIA,MUNGU AIBARIKI AFRRIKA
@mrbcomedy60524 жыл бұрын
Oh hongera baba kwa Kaz kubwa. Kama unapenda comedy za vichekeeho njoo ktk KZbin channel byangu. Andika Mr b comedy
@edisonmaliva17194 жыл бұрын
Kuamin kila kitu n uvivu wa kufikir. Rais wetu always he think beyond the limits.nakupenda mno baba angu. MUNGU akulinde na kukupa hekima zaidi na zaidi.
@shukrancrispin19944 жыл бұрын
Safi babaangu
@tabusalimu4444 жыл бұрын
Very nice mr president much love
@salehjapherytemba8654 жыл бұрын
Hongera sana rais wetu mpendwa ni kweli hofu inaua
@nyumba1824 жыл бұрын
duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kazi nzuri jpm
@johnmasuka33704 жыл бұрын
Hongera Mwingulu Lameck Nchemba kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Sheria na Katiba. Ni aibu kubwa kwa papai kuwa +ve
@mohdalishehajongowe77884 жыл бұрын
Asante baba
@evefesto19854 жыл бұрын
Hofu inaua kbs
@geoffreysoloshija19094 жыл бұрын
Bravo presda, interagency research
@kassimkipande73844 жыл бұрын
Safi2 jpm
@johncosta21524 жыл бұрын
Naomba watanzania tubasilishane na rais watu wa Kenya, kazi yao kunywa chai na mandazi na kubasilishi mashati
@godblessjrtz.86524 жыл бұрын
Uhuru Kenyatta kutawala tz hata kwa masaa 24hrs tu, huku kuna viongozi vichwa sana kwa opposition leaders watampiga chini dani ya 24 hrs
@birehaissa26614 жыл бұрын
Sawa sawa
@nemanjeyo36794 жыл бұрын
Tumuombe mungu hili litapita hakuna linalo mshinda mungu
@davidmuturi19554 жыл бұрын
Happy ndipo
@wilsonnsalanje78414 жыл бұрын
Nampenda sana Maguguri wangu. Aishi milele kwa manufaa ya nchi yetu
@prospernshimiyimana99144 жыл бұрын
Ongela Magufuli courage wewe ndiwe président wa haki na amani na mutetezi mwema wa raiya katika afrika Mwenyezi Mungu akupe maisha bora na jama yako nzima .aksante sana
@Taurus80.704 жыл бұрын
Very smart guy....
@chrissjoel77524 жыл бұрын
Watanzania tunaye rais aisee
@saadanuumani46524 жыл бұрын
Salute you
@gabonmaseru2686 Жыл бұрын
My king,Our Lovely President, REST IN POWER MAGUFULI
@fahmisuleiman38824 жыл бұрын
👍
@akidanyanje90723 жыл бұрын
We Tanzanian, we are not slaves anymore..
@dunciousegnous69534 жыл бұрын
Napenda watanzania sana, press yao ni kiswahili tupu... Haswa kila mtanzania ataelewa lakn huku Kenya jamani sijui ni kukengeuka ama vp, kwani Tanzania hamna foreigners? Kenya! Kenya!
@salehjapherytemba8654 жыл бұрын
Duh we jembe hasa
@msafiriomary893 Жыл бұрын
Ungekuwepo hata ushoga ungetuondorea fasta tunakukumbuka sana mzeeee daaaar
@totodavis19494 жыл бұрын
Hi kama unaunga Baba wataifa magufuli kusina NA corona gonga like
@jumayasin89654 жыл бұрын
Tumuombe mungu atulindie raisi wetu nannchi yetu kwasababu mabebelu hawapendi raisi mwenye msimamo wasitufanye kama libiya
@puglian04 жыл бұрын
Where did the English sub title version go ? I need to share this ASAP!!!