Tazama Rais Magufuli alivyomtumbua DAS wa Kisarawe na kuteua mwingine hapo hapo

  Рет қаралды 336,515

Azam TV

Azam TV

4 жыл бұрын

Rais Magufuli leo ametengua uteuzi wa aliyekuwa katibu tawala wa Wilaya ya Kisarawe na kumteua hapo hapo katibu tawala mpya wa wilaya hiyo, Mwanana Msumi, tazama ilivyokuwa…
#AzamTVUpdates #AzamNews #JPMKisarawe
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Пікірлер: 75
@wallesmdoe9164
@wallesmdoe9164 Жыл бұрын
Wangapi team magufuri tufahamiane Kwa like apo 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
@kindandakudingwa7514
@kindandakudingwa7514 Жыл бұрын
Daaaah Huku DAS Mwanana Msumi kule DC JOCKATE, enzi hizo.
@jumahassan273
@jumahassan273 Жыл бұрын
Uyu ndio master wa urais..,mungu bado anazidi kutuumbia watu muhimu duniani
@viatoryadam1556
@viatoryadam1556 2 күн бұрын
Pumzika baba mungu akuondolee adhabu ya kabuli hakika tutakukumbuka🙏
@user-kx2yn1ke7p
@user-kx2yn1ke7p 3 ай бұрын
Tunakupenda sana
@bilishanpilimbe9060
@bilishanpilimbe9060 2 жыл бұрын
Mungu amuweke salama huko uliko
@eliasnade7553
@eliasnade7553 Жыл бұрын
Nandi
@samsonmwangi2391
@samsonmwangi2391 Жыл бұрын
keep resting in peace magufuli much love from Kenya
@lamechisanda8037
@lamechisanda8037 Жыл бұрын
4:03
@lamechisanda8037
@lamechisanda8037 Жыл бұрын
4:20
@Fredykapande-vh6cv
@Fredykapande-vh6cv 4 ай бұрын
Lala salama babayetu.dkt john pombe magufuli.nanikweli.tunakukumbuka.tena kwamazuri.nasio kwa mabaya.emwenyezi mungu.ukampe pumziko la milele.amina.
@jerrymcbride2230
@jerrymcbride2230 Жыл бұрын
Napenda sana huyo security,, noma sana
@mwashasaidi5358
@mwashasaidi5358 Жыл бұрын
Lala mahal pema mungu akupokee
@karaoglan9444
@karaoglan9444 Жыл бұрын
Hiyo ndio Tanzania ninayoitaka!!! Mwanana Msumi oyeeeee. Kisarawe oyeeeee!😂
@EsterJohn-uk7em
@EsterJohn-uk7em Ай бұрын
❤❤❤
@gamalielmwanga5073
@gamalielmwanga5073 4 жыл бұрын
The best president in this country ❤️💯🙏
@KarokolaGrigory
@KarokolaGrigory 11 күн бұрын
😢😢😮😅😅
@allankimaro4327
@allankimaro4327 Жыл бұрын
My role model. My inspiration. My president
@abdillahkhamis2081
@abdillahkhamis2081 7 ай бұрын
RIP
@makamemm6111
@makamemm6111 4 жыл бұрын
Hongera mkuu umeweza sana hapo big up
@frankbenandi8764
@frankbenandi8764 2 жыл бұрын
bahati namatayarisho safi sana kwa dasi magufui kwakwery alikua kiongozi 💪
@issakawaya8315
@issakawaya8315 4 жыл бұрын
Mashaallah
@paulmumelo2884
@paulmumelo2884 Жыл бұрын
The best president in the history of Africa
@ahmedmbarouk3463
@ahmedmbarouk3463 Жыл бұрын
I love you so much bdo tunakukumbuka
@vicentsamuel
@vicentsamuel Жыл бұрын
Nataka kuona liv
@aishakumbawene9040
@aishakumbawene9040 Жыл бұрын
❤ yo
@mwandisimfukwe326
@mwandisimfukwe326 Жыл бұрын
Huyu mzee Mungu amrehemu
@instituteNgulube
@instituteNgulube Жыл бұрын
J
@yusufdola7645
@yusufdola7645 11 ай бұрын
Mungu ailaze roho yake mahalo pema akhera😔
@ronaldlangat6210
@ronaldlangat6210 Жыл бұрын
OMG yaani unabewa kazi direct tunataka president kama huyu lakini tutapata in Afrika kweli
@musamligo-hd8hf
@musamligo-hd8hf 3 ай бұрын
Perfect reader
@MrChachaboyKingmselfLinu-de6yx
@MrChachaboyKingmselfLinu-de6yx 11 ай бұрын
Baba ngoa 🙌🙌✍️✍️✍️✍️
@malikkb6444
@malikkb6444 Жыл бұрын
Watching 2023 June. Tunakumiss mzee
@maulidihassani8324
@maulidihassani8324 Жыл бұрын
nimekuja kukusikiliza umetajwa kwa nabii mkuu
@maulidmnukwa3171
@maulidmnukwa3171 Жыл бұрын
Hhhhhhh...... Magu alikuwa chizi mpaka raha
@anisethkumogola2818
@anisethkumogola2818 Жыл бұрын
Truly he was a PRESIDENT
@IbrahimMpwage
@IbrahimMpwage 3 ай бұрын
Alale pema peponi Mungu amusaidie
@BonifaceMaafiri
@BonifaceMaafiri 8 күн бұрын
Rest in peace
@Daniellemakaaya
@Daniellemakaaya Жыл бұрын
appreciate
@nehemiambembela442
@nehemiambembela442 Жыл бұрын
Mwanana msumi hoyeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥
@rehemashabhay2205
@rehemashabhay2205 4 жыл бұрын
MH.CHAPA KAZI.Mungu anakuona unavyojitoa muhanga hapo kwa hapo kiongozi amepatika.Wewe ni wale linalowezekana leo lisingoje kesho.Hakuna kulaza damu.Mwenyezi Mungu atakuongoza na kukulinda.Inshallah.
@emmanuelchuwa9314
@emmanuelchuwa9314 Жыл бұрын
Inshallah
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 Жыл бұрын
Kwann viongoz wazur hawadumu lakin
@JamalyJafali
@JamalyJafali 3 күн бұрын
Natumiya yutubu
@romancatholic2946
@romancatholic2946 10 ай бұрын
RiP Mh Rais
@mikapmwalimu4555
@mikapmwalimu4555 4 жыл бұрын
Na wewe DC hufanye uolewe sasa uwezi ukawa mkuu wa wilaya halafu bado ujaolewa hahahaha ndugu zangu nilikua nachomekia tu
@user-dd2zi1oo2n
@user-dd2zi1oo2n 4 ай бұрын
Macho yangu hajawahi kauka machozi kila nikimkumbuka baba
@mohamedyeslam5194
@mohamedyeslam5194 2 ай бұрын
Watu watamkumbuka Kwa mengi,sijaona Africa nzima kiongozi mchapa Kazi kama John Joseph magufui
@selemsigala4771
@selemsigala4771 Жыл бұрын
Mungu alikuleta utuonyeshe njia hakika ulikua shujaa na kiongozi hatuna cha kusema ila tutaendelea kuku ombea siku zote.
@user-qu7wq2hw1w
@user-qu7wq2hw1w 9 ай бұрын
Tutakukumbuka
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 12 күн бұрын
Baba magufuri kama ungefufuka ukajakuona ichihii inavyo endeshwa ugekufatena hapohapo
@dalali_professionalwa_dodo8330
@dalali_professionalwa_dodo8330 Жыл бұрын
Chumaaaaaaaaa☀️☀️☀️
@nelsonwolden6878
@nelsonwolden6878 4 жыл бұрын
Huna ubaya na mtu raisi wangu
@phariahkhamayi8145
@phariahkhamayi8145 Жыл бұрын
Magu anamalizana na MTU hapo hapo
@ShakuruJuma-gk5ld
@ShakuruJuma-gk5ld Жыл бұрын
Rest in peace forever we will remember ue
@neemarobert5490
@neemarobert5490 Жыл бұрын
Magufuli wangu nakuliliaa yoo siku hizi nchi inaboaa sana mama anaupiga mwingi wa trab na trat
@johnsonsway6515
@johnsonsway6515 Жыл бұрын
😅
@HassaniWawaaa-zw2fo
@HassaniWawaaa-zw2fo 9 ай бұрын
Tulikupend san
@bernadethakahemele4609
@bernadethakahemele4609 Жыл бұрын
😅
@shukrankyusa6963
@shukrankyusa6963 Жыл бұрын
Azam tv burudani kwa wote
@allyyoussouf8467
@allyyoussouf8467 Жыл бұрын
Mze Umenda mapema KBS😭😭😭😭
@adammveyange9638
@adammveyange9638 10 ай бұрын
Rudi baba
@ayubumwaipinga4687
@ayubumwaipinga4687 Жыл бұрын
Magufufr
@konnepeneti2086
@konnepeneti2086 Жыл бұрын
Jini mahaba
@johnchulla3740
@johnchulla3740 Жыл бұрын
.
@yunusamlani417
@yunusamlani417 Жыл бұрын
Bg
@user-lq5kh8gi2w
@user-lq5kh8gi2w 9 ай бұрын
Magufuri.morogoro
@salumpazi4666
@salumpazi4666 Жыл бұрын
Timu makufuri oyeeeeeeee
@salha8799
@salha8799 Жыл бұрын
Mama msariti
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Жыл бұрын
najaribu kuwaza magu angekuepo.kisha joket abebe mimba nje ya ndoa
@halimarashid294
@halimarashid294 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Жыл бұрын
@@halimarashid294 enhee mana kuna mkurugenzi alimfukuza Hadharani.anasema muhuni.snatembea na wake za watu sasa joket.kama.ni.nje ya ndoa mimba yake ingekuaje? au kama kaolewa Kheri.inshallah
Wananchi 'WAMCHONGEA' MBUNGE, DC kwa MAGUFULI LAIVU - "WANATUTISHA"
15:50
Global TV Online
Рет қаралды 709 М.
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 13 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 51 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 101 МЛН
HD VIDEO: JPM alivyotangaza kuwasamehe Babu Seya na Papi Kocha
3:49
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
8:03
Millard Ayo
Рет қаралды 1,9 МЛН
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 565 М.
Футбольное поле провалилось под землю
0:13
Короче, новости
Рет қаралды 2,9 МЛН
КАК ЖЕ СИЛЬНО ПОМЕНЯЛСЯ ФУТБОЛ
0:46
АртПо | ArtPo17
Рет қаралды 431 М.
#ardagüler #fifa24 #rating #fpy #youtubeshorts #subscribe #for
0:16
Football Footballer
Рет қаралды 7 МЛН
Потеряла кроссовок😨
0:40
videosos
Рет қаралды 861 М.