Mwenyezi mungu nisamehe dhambi zangu pamoja na wazazi wangu wote 🙏🏿
@mohamedrowa14253 жыл бұрын
Ya Allah mrehemu wazazi wangu na uwaokoe na adhabu ya kaburi
@madinaomar6794 жыл бұрын
Mungu atusamehe madhambi yetu. Amiin
@kibirashabani Жыл бұрын
mwenyezi mungu atudjalie Amani nasalama 🙏
@kidawaadam73634 жыл бұрын
Subra ni jambo jema tumtegemee allah,,shukran shehe kwa nasaha
@salmaruth34654 жыл бұрын
Amen
@mufidaswaleh14164 жыл бұрын
Ameen
@mwahijalukali23874 жыл бұрын
Mashallah sheikh Hamza mansoor mungu atakulipa
@isayaphiri15644 жыл бұрын
Asante kwa darasa shekhe wetu mungu akujalie akupe maisha marefu na uzidi kutukumbusha inshaallah
@nadiabakari2589 Жыл бұрын
Ameen
@ayushiabubakar19304 жыл бұрын
Ya rabii mungu a tujaliye mwisho mwema shk mungu akupe umri mrefu na akukutanishe na kipenzi wetu S. A. W
@saidomar68063 жыл бұрын
Mashaallaah. Sheikh. Allah Mola mwenye Huruma atujaalie kizazi chema na awarehemu wazaz wetu na atusamehe tulipo kosea atupe mwisho mwema inshaallaah,,,,, Aaamin⭐🌙🕋🕌
@salwaalii7753 жыл бұрын
Allah atuongoze kwenye njia ya haki itakayo mfurahisha Allah Amin yarab
@ramilialiy37254 жыл бұрын
Yarrab waongoze watoto wangu wawe wema ameen yarrab wame mashekh na maamir na maukhty kuliko mashekh na maukhty wote dunia nzima ameen yarrab .sheikh Hamza Allah akulipe pepo ww na sisi ameen yarrab
@shufaaahmed46183 жыл бұрын
Ameeen🤲
@josephnila98753 жыл бұрын
Asate san
@zaitunsally7215 Жыл бұрын
Ameen
@neptunezanzibar5552 Жыл бұрын
Aslam alaykum Waombee wasiwe washekh Tu Ila wawe mashekh wenye kufata haki sio maslahi insha'Allah Allah atuokoe sisi na vizazi vitokanavyo na sisi
@juwairiakhamu87193 жыл бұрын
Mashallah Jazakallahu kheir sheikh Mansour Allah akuzidishie Ilmu tena na tennaa
@khalidomar96114 жыл бұрын
Allah atupe mwisho mwema Sisi pamoja na wewe inshallah
@husseinhassan42415 жыл бұрын
ewe mwenyez mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu nijaaalie Mimi nawazazi wangu mwisho mwema
@mufidaswaleh14164 жыл бұрын
Ameen
@shabanisaid78884 жыл бұрын
Amina
@alnasrialnasri7213 жыл бұрын
allahuma AMINNA
@kadijajggf93673 жыл бұрын
Allahuma amiin
@mahwabashiri54673 жыл бұрын
Allahumma Amiin
@tushfatma88233 жыл бұрын
Ma sha Allah sheikh may Allah grant you jannatul firdous
@cosmasthobias52265 жыл бұрын
Mashallah shekh mungu akupe mwisho mwema wewe na sisi kwa pamoja
@ilhamaman83244 жыл бұрын
Allah azidi kukupa elimu ili utukumbushe waislam, ila usijekubali kujiunga ktk BAQWATA utajivunjia heshima yako,pia epuka sana mizozo na mashekhe wenzako,baadhi ya mashekhe wako kwa ajili ya kusubiri mashkh wenziwao waongee kitu ktk membari halafu nawao hujidai kumkosoa ili yey onekan bora,liangalie sana hili maalim.
@aminaabdiabdi71124 жыл бұрын
Amiin yarrab 🤲
@adachaadam37073 жыл бұрын
Shukrn yaa usitadhi Allah akupe mwisho mwema lnshallah🙏
@aishaali2843 жыл бұрын
Ameen
@arqamibnarqam.71853 жыл бұрын
@@aishaali284 Assalaamualykum
@haziz77314 жыл бұрын
Naaaam Allah atupe mwisho mwema ya RABBI
@shayammunir14894 жыл бұрын
Mungu atuongozee kwa njia za Sawa in shaa Allah
@mejumaamwaka13142 жыл бұрын
Ameen yarabil ala
@missmannydxb2 жыл бұрын
Inshallah khier
@eshahussein13472 жыл бұрын
Ameen ya rabi
@omanlover54702 жыл бұрын
Mashallah tabaraka llah, Allah Akbaru Allah akuzidishie
@ibrahimmaskini29675 жыл бұрын
Allah wepesi avikuze vyombo vyetu vya kiislaam
@zaituniabeid46133 жыл бұрын
mashaallah
@jamilammnimtumzimakweliyot21783 жыл бұрын
Amin
@salmsalmo9312 жыл бұрын
Ishallah
@kigenimohammed7847 Жыл бұрын
Dua ya kuingia msikitin na kutoka msikinitini 1) kuingia.... bismillahi wassalaatu wassalaamu Alaa rasuulillahi allahumma ftahalii abewaaba rahmatika 2) kutoka... bismillahi wassalaatu wassalaamu Alaa rasuulillahi allahumma inniy as aluka min fadhilika allahumma A'aswiminy minash shaytaani rajiyim..love you all from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@yusufhemedy51063 жыл бұрын
Mashallah!! Ewe Mola wangu niongozee kwenye njia unayoipenda wwe,mmi pamoja na umma wa kiislamu...nisamehe dhambi zangu zote mmi na wazazi wangu wawili
@user-ri8ue1vv3f5 ай бұрын
Amiin
@faizunmohd98394 жыл бұрын
Ya rabil nipe mwisho mwema mm na wazazi wangu na mumewangu na watoto wangu
@maloikevin91833 жыл бұрын
Ameen
@jamilaatemu38823 жыл бұрын
Mashallah jaza yako iko kwa Allah
@saidmohamed47764 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu sheikh Hamza uendelee kutupa mawaidha mazuri.
@ashrafuabdul53073 жыл бұрын
Kweliii kak
@deqocllahideqocllahi55203 жыл бұрын
Mashaallah sheikh hamza mungu akuzidishiye
@asimamusasuleymanimusa3210 Жыл бұрын
Asante sheikh kwa mawaidha MUNGu ataleta wepes ishaallah kwa mawaidha yak MUNGu atusameh kwa makos yetu inshaallah biidbininllah 🤲🙏
@ayshakompo4834 жыл бұрын
Inshallah mungu atupe subra katika kila hatua ya maisha yetu na atupambe na baraka zake ktka majambo yetu
@aishakazungu8507 Жыл бұрын
Mashaallah Allah atungoze katika njia ilio swa lnshaallah
@lucasmlolwa76394 жыл бұрын
Sheikh Hamza... Your teachings are real.
@mira-gq3qg5 жыл бұрын
Allah akulipe pepo
@sammyngunjiri53692 жыл бұрын
I wish I had known this earlier... After listening to this teachings, I think I have come to love this religion
@hajeralqaidi21152 жыл бұрын
Your welcome❤
@mimikiki82252 жыл бұрын
May Allah guide you to the right path of islam
@shinayzashiraaz45882 жыл бұрын
May Allah guide you 🙏
@ramajasho62842 жыл бұрын
Sammy Ngunjiri Your most welcome brother
@ibrahimabbas40932 жыл бұрын
Welcome brother
@nusralilobwa47526 жыл бұрын
Jazakallahu kheri kwa ukumbusho
@christopherisaacs23973 жыл бұрын
Mawaidha mazuri.. Allhamdulilah 🤲
@bashnurhassan52406 жыл бұрын
Allahuakubar mungu akuzidishiye elimu zaidi inshaallah.
@majomaali23404 жыл бұрын
Masha Allah Dunia inatudanganya atuangalii mbele
@huscopoz1491 Жыл бұрын
Asante Kwa faida shekh wangu ALLAH atakujaza moyo huohuo na yeye ndo atakulipa
@hamidmbarakabdurahman63944 жыл бұрын
Masha Allah mungu akupandishe darja tukufu.
@MerveilleUseni-qm4ghАй бұрын
Heeee mwenye zi mungu samehe wazazi wangu hote mawili mali wipo Amina yarabih 👏👏
@captainmaduks918227 күн бұрын
Ameen
@user-bn7wt2zx9g3 жыл бұрын
Masha Allah Alhamdulillah
@hassanovajunior69723 жыл бұрын
Masha Allah, May ALLAH grant you Jannah Firdhaus Sheikh Hamza Mansour🤲🤲
@nicholaskhagayi74612 жыл бұрын
Amiin
@fathiyaahmed33102 жыл бұрын
Amiiiiin
@safiaahmed6190 Жыл бұрын
Amiiin
@radhiakhamis82734 жыл бұрын
Allah tujaalie tuwe miongoni mwa waja wko wema
@sumuhaji133 жыл бұрын
Masha Allah Allah awalipe mashekhe wetu kheri na malipo zaidi ya Yale yanayostahikk
Asalam alaikum warahamatulah warakatu.maostadhi na mashekhe Allah awape umri mrefu na awape nguvu za kutupatia nasakha.Allah awape maisha mema dunia fili akhera
@fredrickwdavid4544 Жыл бұрын
🙏
@samiaarimkonekonko50962 жыл бұрын
Mashaallah shukurani 🙏🙏🙏❤️❤️
@yusufuheri65242 жыл бұрын
Sheikh wangu umenitoa mbali sana
@alimohamedalisaid70405 жыл бұрын
Nice darasa mashallah my brother mungu akuzidisia elimu ameen thuma ameen akupe afia ameen
@darleen521nashmi63 жыл бұрын
Chulani cheikhs hamza
@mwajumahasani73013 жыл бұрын
Asante kwa darasa zuri mungu akulipe, namuomba M/ mungu anijaalie pepo Mimi na Wazaziwangu
@vailethdickson90552 жыл бұрын
Mashallah
@leylafadhili86462 жыл бұрын
Subra ni jambo jema katika maisha na mwenyeezi mungu atafungua njia 😇
@aishahassan95452 жыл бұрын
Masha Allah mawaidha mazuri Allah atuongoze na akujaze na ww na kheri zote duniani umetuilimisha
@imanmohamed76323 жыл бұрын
MashaAllah TabarakkahAllah sheikh I love you for sake of Allah
@ramambunga93992 жыл бұрын
124
@ramambunga93992 жыл бұрын
124
@rahmaalaala8208 Жыл бұрын
I like so much listening to your khutbah ,mawaidha .may Allah Grant you a blessed life and Grant you jannah
@imanmohamed76323 жыл бұрын
Allah akupe khusnul KHATIMAH Allahumma Amiin
@hafsalul85722 жыл бұрын
Ameen 🤲🤲🤲
@salimumkangalization-np9ny Жыл бұрын
جَزَاكَ اللَّهُ خَيْرَ
@ummyzee62474 жыл бұрын
Shukran jazeelaah.. Allah akufanyie wepesi wa kutuelemisha,Allah na sisi waja wako wanyonge subra ya mitihani zetu
@ayushiabubakar19304 жыл бұрын
Ya rabii mungu tunusuru si umat Muhammed s a w ya samiu mjibu shk kila analo litaka LA kheri ya manani walipe mashk wetu ujira unao ujuwa kwa kazi kumbwa ya rabii wape umri mrefu na mwisho mwema piya nimefaidika sana kwa mawaidha yako
@mariammaalim33173 жыл бұрын
Allah mpe umri mrefu huyu shekh apate kutuelimisha zaid inshaallah
@khadijaali46572 жыл бұрын
Mashallah,Allah atujaalie mwisho mwema inshallah
@jamalmuhumud75793 жыл бұрын
Ahsante sana sheikh, asante kwa kutupatia mawaidha na nasahi hii ya maana sana, tunaomba mungu atuzidishie neema zake na wote wako katika imaan, tupatane katika Janaah, ameen ameen
@mauridiruhasha80573 жыл бұрын
Maanshaallah BarakaAllahu khayra Allah akuzidishie kheri, na akujalien mwisho Mwema inshaallah
@kadugudakadugu37372 жыл бұрын
She.alaa.akupe.umli.mlefu.ami
@user-hk9sg1vf5w2 жыл бұрын
Asalam alekum, Mashallah tabak ALLAH;Mimi niko Saudi Arabia nimefurahi sana kwahiyo Mawaitha yako ALLAH akuzidishie kilalagheri dunia na akhera .👍👍👍👌💯💯🇰🇪💐🇸🇦🇸🇦
Mbora wenu ni yule anayemcha. M.ungu. mashallah ustadhi nakupnda kwa mawaiza yako mazuri sana tu
@rajabumbinga18163 жыл бұрын
Mashalah Allah akuongoze
@hikmarashid17294 жыл бұрын
Allahu akbar 🧕❤🧕
@hassanidrissa10715 жыл бұрын
Jazakallahu khayra sheikh, maashallah, mbora ni yule anaesikia nakuyafanyia kazi, inshaalla Allah atufanyie wepesi tuyafuate yaliosemwa,
@mikidadimbule12244 жыл бұрын
Allah Allah akbar
@fahzernyizzy24184 жыл бұрын
Amiiin
@shabanisaid78884 жыл бұрын
Amina
@ibrahimdinmohamed18743 жыл бұрын
امين
@BetriceMwanisawa-ui8yj8 ай бұрын
Mashallah ewe Yarabi tujaalie mema hapa duniani na kesho akhera
@rahmaabdullah77563 жыл бұрын
Maa shaa Allah sheik Hamza may Allah bless you....long life💖
@elizagona85344 жыл бұрын
sheikh ALLAH ATUJARIE kila kheri wewe na sisi wanafunzi wako
@birdofpry38975 жыл бұрын
Shukran sheikh wetu kwa mawaidha mazuri unayo tupatia tunamuomba Allah akujaalie umri mrefu na elmu zaid uzidi kutuelimisha sisi pamoja na vzazi vyetu na Allah akulipe kher hapa dunian na akhera
@sammashenene31745 жыл бұрын
Maasha.allah tabaaraka llaah
@jumannejabil70184 жыл бұрын
naam
@omarhakizimanakishikbongo21865 жыл бұрын
Kweri nimempendasana shak Allah akurinde Amiin
@hawayusuph20795 жыл бұрын
Mashaallaah
@sidrasidra8616 Жыл бұрын
Masha'Allah!
@omarsalim63304 жыл бұрын
MAA shaa Allah
@sanoureyaliwadoakaroyo16962 жыл бұрын
Jazakallahu Khairaa Allah Azid Kukuneemesha Sheikh Wtu
@bintmohamedmalevi37714 жыл бұрын
Maa Shaa Allah.Sheikh mbora Allah atupe mwisho mwema.
@rehematawalani7332 жыл бұрын
Ammyn thumma ammyn thumma ammyn yarabb laalamyn Shukran sana sheykh kwa mawaydha tuna muomba allah nasi waja Wake atujaalie mwisho mwema