Ijumaa Lecture by Sheikh Hamza Mansoor at Masjid Jumaa in Mwanza Tanzania. He explains the effects of back biting (Talking ill about someone in their absence)
Пікірлер: 124
@abnaahmed74833 жыл бұрын
Subhanallah Allah atuongeze kwenye njia ilionyoka,Allah akulipe malipo yalio bora na kizazi chako na waislma wote kwa jumla Amin thuma Amin.
@rahmasalum71073 жыл бұрын
Mashallah mwenyez mungu atuhifadhi n.a. ndimi zetu tusibebe dhambi za watu kwa ajili ya kusengenya watu mwenyez mungu akupe kila la kheri dunian na akhera
@hashimlameckmbugangali18048 жыл бұрын
Assalaam aleikum,, nashakuru kwa nasaha nzuri katika kujiandaa na safari ya akhera. Kama kutakuwa na mwaidha mengine zaidi ya sheikh Hamza Mansoor naomba mtuwekee humu KZbin. Nimependa sana hububa zake ila nizem=niona si nyingi.
@saidirajab66982 жыл бұрын
Allah atuweke mbali na watu wenye kusengenya
@denisochilo7727 Жыл бұрын
Jazaaka Allahu khair 🤲 sheikh
@ahmadibnabubakral-habashi2 жыл бұрын
Mashallah allahuma Barak shiekh swahili
@fatmakuchanda5305 жыл бұрын
Jazzakallah kheir shekhe
@abdullyathuman14252 жыл бұрын
MASHALLAH MY ALLAH GIVES HIS MERCY
@simonpeter-us4xx Жыл бұрын
jazak Allkerin....MAYALLAH GIVE HIS MERCY
@user-gj3re6hj9i
Allah Atuepushe na dhana😢😢😢😢amiiiin...
@swabriali45836 жыл бұрын
Mola akuhifadhi sheikh
@hamedaabdultaleb53412 жыл бұрын
Jazzakallah kheri Allah atupe mwisho mwema
@yasodishonest97924 жыл бұрын
😭😭🙏shukur kwaukumbusho shekhe wetu. Mungu atuifadhi Inshaallah
@Husseinibrahimmaalimabdi Жыл бұрын
MANSHA ALLAH.
@hassansuleiman41045 жыл бұрын
Allah amuhifadhi shekh mansoor
@malyuneyabi8106 Жыл бұрын
Manshaalah.may Allah protect us
@user-xx8wi6oy5l
Jazzaka Allah kheri Allah atupe husnu khathima ❤
@hawaabubakar26195 жыл бұрын
YAA SUBHANNALLAH.......ALLAH TUEPUSHE NA UXENGENYAJI SHUKRAN YAA SHEIKH