Рет қаралды 40,474
Tangu rais William Ruto aapishwe na kuchukua hatamu za uongozi, ametimiza ahadi za kampeni zake kwa kiasi gani? Je, amechukua mkondo upi wa kuliongoza taifa tofauti na watangulizi wake? majibu ya maswali hayo na mengine tutayapata kwenye mahojiano na rais William Ruto mubashara kutoka Ikulu ya Nairobi.