Mungu akunaliki sana mtumishi wamungu mm mena nina shida nakuomba uniombe mungu aniunganishe na mzazi mwenzangu maana amekuwa haniamin amenipa mimba ila amekuwa haniamin nahata hudum anatowa kwa kunung,unika san
@ceciliahblessings6119 Жыл бұрын
Cecilia from 🇰🇪🇸🇦 nmependa mafuzo yako saana more grace man of God
@tracysally-im7fw Жыл бұрын
Mimi na are sana,IPO SIKU ntatoa ushuhuda
@NeemabChirsitopha-ck9hhАй бұрын
Mm naitwa Neema baraka christopha naomba nifunguliwe nipone pianibariki nitoe katika Hali ngumu yamadeni nawatoto wangu nawaombea vipaji kwa maisha Yao nawamjue yesu maisha ya uchumi nandoa yangu niokoke
@FidelineKaijage-r1o20 күн бұрын
Mungu akubariki sana Kwa mafundisho yako mazur yananitia nguvu sana barikiwa
@BeatriceKingeli Жыл бұрын
Beatrice from Kenya pastor mungu alikutuma kwa family yangu nimepona kimwili kiroho na akili God bless you
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Amen
@MathaCrich Жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbagaNmebarikiwa sana kwa somo la leo
@NyamariFaith-qu1jm3 ай бұрын
U are my blessings pastor may God bless you nikiwa Saudi kwa kweli hii masomo imenisaidia saana kuishi n hekima mungu azidi kukubariki 🙏
@faustermtavangu82127 ай бұрын
Asante Mungu kupitia mahubiri yako binti yangu amejifungua salama usiku huu Sifa na utukufu ni kwa Mungu mwenyezi.❤❤❤❤
@ChristinaCharles-py1ct2 ай бұрын
Mungu akubariki pastor, nimebarikiwa na mafundisho Yako. Mungu katenda mengi makuu ktk maisha yangu.
@AnnaMwihambi-s5s27 күн бұрын
Mungu akubariki mtumishi,naomba no.
@LugengeJema00 Жыл бұрын
Mungu endelea kuniongoza ili wiki nimeimalika Sana kuhusu suala LA nguvu za Giza nilimsikiliza pastor Tony nikapata uelewa Ila Sasa Pastor naona umemaliza nimeelewa Sana Sana...Mungu nipe ufunuo wa kuendelea kuyaelewa mafundisho haya maisha Ni Vita nakumbuka ulisema tusiyachukulie kawaida from that day nimekua serious Sana kwenye maombi japo sijui Kama nafanya sawa Ila naimani Mungu Anasikia na kupokea ...pastor MUNGU AKUBARIKI
@luciageorge2925 ай бұрын
Amen pastor Nimefunguliwa.kwa jina la Yesu
@risperondiba7347 Жыл бұрын
Asante kwa neno la usima..nimejifunza mambo mengi sana kwenye hili neno..ubarikiwe sana mtumishi
@EnaellaNiyongabire Жыл бұрын
Amen amen .nimebarikiwa saaaana maana hili hubiri limenipa faraja nyingi kutegemeana na changamoto nilizokuwa nazipitia .Mumgu akubariki saaana mzidi kuniombea
@ShabanJumanne-lk1ce4 ай бұрын
Asnte mafundisho haya yamemponya mwanangu aitwae peninsula asnte Yesu
@neemasweetbert96234 ай бұрын
Niko huru na niko huru kweli kwakua nimemjua YESU hakuna hofu tena maishani kwangu
@casiphaabdi3896 Жыл бұрын
Asante mungu kutumia mwanao kama chombo cha kuponya,kukomboa wanao tulio wapotevu
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Amen
@AngelinaChacha-gb3yh Жыл бұрын
Mungu akutunze. Sasa ninaendelea kujifunza namna ya kusimamia ahadi za Mungu kwetu. Kutokuyumbishwa na vitisho vya shetani kupitia wanadamu.
@HellenaMky10 ай бұрын
Nabarikiwa Sana mtumishi. Niombee nisimame imara katika imani
@JumaClide8 ай бұрын
Poster asante sana ;Nina sababu ya kushukuru,Kwanza Mimi nilikuwa muoga kusimama kutoa ushuhuda mbele ya watu,lakini vile nilipo sikia mafundisho yako ,Sina uoga Tena ,
@leahjacob98657 ай бұрын
Q
@susanomwenga8882 Жыл бұрын
Amen pastor mmbaga hakuna uchawi wala uganga katika Israel we are more than coungers if we believe nothing will change us from God 🙏
@ElibarickAllex6 ай бұрын
akubariki mungu kwa mahubiri mazuri
@kalebu5Ай бұрын
Nimebarikiwa sana
@EstherNghwani2 ай бұрын
Pastor,naomba msaada Binti yangu Yuko katika changamoto ,ambayo inajulikana kwa jina la bodyshake,ni mwanafunzi kidato Cha kwanza ,Hali hii yakutikisika mwili na kushindwa kutembea kwa mara kadha Hali hii hujitokeza na pindi tukimfanyia ibaada Hali hii hukoma,lakini akirejea shuleni tu Hali Ile hujitokeza Tena,naomba tumkumbuke Binti yangu ili ulinzi wa Mungu uweze kuondoa na kuvunja mitego yote.AMEN
@rizikimushi7024 Жыл бұрын
Pastor Mungu ni Mwema sana, Atukuzwe sana Baba wa mbinguni.
@raelsarange638 Жыл бұрын
Kwako pastor nmejifunza mengi,be blessed napenda maelekezo yako saana barikiwa na ur family, I'm blessed ever
@feadamagessa889 Жыл бұрын
Mungu akubari, mchungaji napata Amani sana
@gracekunambi7438 Жыл бұрын
Amen Ameeeen nabarikiwa sana na mafundisho yako pastor mbaga yananijenga mno kiimani na kuniinua kiroho. Mungu akubariki
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Amen
@rasitkipkoech7441 Жыл бұрын
Nimejifunza kwako kusimamia familia vizuri.... Kuongea, kusikisana , ibada nyumbani, n kufanya kazi kwa bidii ukiona vitu kihinani. Mungu wkupariki
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Ameen
@kadzocharosilver4114 ай бұрын
Nitakipataje hiki kitabu cha Jipatie amani moyoni pastor
@casmilwangira6758 Жыл бұрын
napenda sana mafundisho yako mpaka hata Mimi mwenyewe nakusaidia kusambaza kwa wale ambao hawapo online hapa kenye ili neno la mungu lifikie kila kiumbe na pembe zote za dunia kama ilivyoandikwa ka Bilia.mimi niko kenya Mungu akubariki sana.
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Mungu akubariki saaaana
@HyrineBochere Жыл бұрын
Mujungaji mungu akuzadie ukitoka nakuingia pa Moja na familia yako nimerudi kwa mustari mungu akubariki.
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Ameen
@doricapeter545 Жыл бұрын
Niombee mtumish
@samkg6337 Жыл бұрын
Huu ni ujumbe wangu na familia yangu, ni miaka takriban 9 mimi na ndunguzangu 2 tuko USA 🇺🇸, naamini kua Mungu yuko upande wetu, myaka 2 iyo pita ilikua mwanzo wa mafanyikio ya familia yangu, mimi na ndungu zangu 2, last 2 years tumenunua viwanja 8 na heka 5 za shamba ila kabla ya kuanza kazi ilitusaidie familia nzima sasa tunapigwa vita kali na my Uncle( my dad’s half brother) kiasi kwamba amefanikiwa kua brother wangu aliekua anaishi Dar es Salaam, ila naamini kila kitu kina mwisho , our God is bigger than my Uncle with his 2 teammates, Asante muchungaji kwa maubiri haya Mungu azidi kukubariki.
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Waefeso 6:12 [12]Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. For we wrestle not against flesh and blood, but against principalities, against powers, against the rulers of the darkness of this world, against spiritual wickedness in high places.
@samkg6337 Жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga Asante, mubarikiwe sana.
@roselineombati6707 ай бұрын
God is powerful,many families have such battle,shetani hataki mafanikio, nashukuru Mungu maana kupitia mafundisho kutoka kwa mtumishi wake Mmbaga familia yoyote inayokutana na mahubiri yake nyingi upona kutoka kwa changamoto bora tu utilie maanani zaidi sana imani.ila tu kuna yake Mungu hatendi vile tunataka bali vile inavyostahili acha abaki kua Mungu,
@mrsdeborahurio Жыл бұрын
Nakuelewa Sana ,Mchungaji.... Kama si Bwana na niseme sasa!
@sapulatv1802 Жыл бұрын
Barikiwa sanaaaa Mch
@MathaCrich Жыл бұрын
Pasta Mmbaga na mshukuru Mungu mtoto wangu amepona Mungu atukuzwe sana
@carenjepkemboi63338 ай бұрын
Vitabu yako pastor naweza download kw simu aje ama ndapata aje,,nabarikiwa kw mahubiri yako may God continue blessings you 🎉🎉
@MuzigeMudege Жыл бұрын
Mungu akubariki baba unanifarijisana katika maubiri nimejikuta nimebadilika vitu Vingi sana
@christinaanatory1962 Жыл бұрын
Pr mbanga nafatilia sana mahubiri yako,ninachangamoto katika ndoa yangu naomba uniweke mikononi mwa mungu uniombee mme wangu ampokee yesu kristo siku moja niende nae kanisani
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Mungu akutendee muujiza
@rhinakiza Жыл бұрын
I’m not late for the message God bless you pastor for preaching words of God.. nime sikia jina langu limesomwa.. it’s not me who wrote 😅
@marsellah9295 Жыл бұрын
Mungu akubariki maana imani yangu naona kila siku inaongezeka
@assayusuph3295 Жыл бұрын
Daa pasitor kwa kweri mungu akutunze umeniponya sanaaa
@bamag-021 Жыл бұрын
Sio yeye, Ni Mungu anayemtumikia. Ili jina la Mungu lizidi kuinuliwwa Tuzid kumuombea
@maseaJoe8676 Жыл бұрын
Mungu wetu akulinde sana pastor kwa kazi nzuri na akujalie neema na baraka zake unapomtumikia. Amen
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Amen
@maseaJoe8676 Жыл бұрын
🙏🙌🤲
@jemimakengia7308 Жыл бұрын
Aaaa safi sana na furhi sana
@BeatriceMathew-qy5lw5 ай бұрын
Kupitia wewe mtumishi mmbaga naomba naomba mungu anisaidie niweze kuajiriwa jeshini napenda sana kuwa mwanajeshi ili siku nije nitoe ushuhuda kupitia wewe naomba uniombee pastor mmbaga maana kupitia mahubiri yako nafungulia kiimani
@ceciliahblessings6119 Жыл бұрын
You're soo powerful
@aidaa8253 Жыл бұрын
AMEN mtumishi wa Mungu ubarikiwe naomba umuombee mama yangu akapate uponyaji wa macho na mwili pamoja na baba yangu anasumbuliwa mikono na minguu
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
MUNGU AKUPE HAJA YA MOYO WAKO
@aidaa8253 Жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga AMEN
@leawamukota9217 Жыл бұрын
Mungu azidi kuku bariki sana Michigan
@FurahaKitsao-oq9rm Жыл бұрын
Amen,, mungu naendelea kukuza hicho kipawa,, maana mm ninabarikiwa sana
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Ameeen
@Mery-d8k2 ай бұрын
Mtumishi Nina mtoto ambaye hapeform darasani pia Nani Nina maumivu mkono Wangu wakushoto
@StelaMwita-ld8uw Жыл бұрын
AMINA MUNGU NAWE KInga yangu
@francisthomas748 Жыл бұрын
Hello postar nakuzikisa sana Kwa mahubiri Yako unayo fuza ni mazuri sana nakuzikisa kutoka hapa Kenya.
@lightnessvictor8087 Жыл бұрын
MUNGU azidi kukutumia pastor,aibariki familia yako.Nilibarikiwa na maombi ya kipindi cha nyuma nimemuona MUNGU katika wakati mgumu Niliokuwa nao.
@RoseMomanyi-d3p10 ай бұрын
Be blessed man of God,but naomba ombi Moja tu plaster,plz nimetumia dawa nyingi sana kwa ajili ya kupata mtoto lakini imeshindikana tafadhali niombee nipata mtoto naongea kutoka kenya
@Tips-r5 Жыл бұрын
Unanipa moyo pastor
@emilyasati2357 Жыл бұрын
Great message be blessed pastor
@GraceMimbi5 ай бұрын
Mimi naitwa Grace yesaya mtumishi Mungu akubariki sana. Nabarikiwa na mafundisho Yako nitaipataje namba yako
@HappyLusekelo-bv5mo Жыл бұрын
Watu wa Mungu nisaidie namba ambayo naweza kumpigia mchungaji Mbaga tafadhali
@PendoOscar Жыл бұрын
Asante kwa somo zuli
@ErnestMasasi Жыл бұрын
Mungu akubariki sana pastor
@rehemashariff3119 Жыл бұрын
Pasror plz naomba hivyo vitambu vya silaha za kiroho nitapata vipi
@lennyfrank Жыл бұрын
Ameen Ameen ubarikiwe Sana Mchungaji 🙏🙏🙏
@gracekisaka8461 Жыл бұрын
God Bless you Poster Mbaga.
@IrineoyaruOyaru5 ай бұрын
Amina sana
@phydloramnyaka30263 ай бұрын
Amen na amen.
@biwagamoreen Жыл бұрын
Pastor ninaitwa moreen kutoka Uganda nina sida ya mugoo inauma akisanti sana
@gerryndyamukama9058 Жыл бұрын
Nimeshaangalia hii video ila kila nikiingia youtube bado inakuja juu.tena na tena.labda kuna kitu sijakielewa ngoja niirudie tena.
@janeonsarigo6206 Жыл бұрын
Pastor Mmbaga nabarikiwa sana tangu 2018. Please pray for my brother and sister in law having problems with TB and HICCUP.
@JosephMethod-g4d Жыл бұрын
Good news kwangu
@VeronicaNyambu7 ай бұрын
Amen 🙏
@josephrubanda282 Жыл бұрын
Amen
@calebmakori Жыл бұрын
amen
@christinendayiragije5689 Жыл бұрын
Amen amen 🙏.
@nezerinejuma5510 Жыл бұрын
Shalom pastor please tunaitaji numba ya empesa namajina
@DONATUSKomba-pu1bk Жыл бұрын
PR,naomba nipate namba yako ya mawasiliano
@gerryndyamukama9058 Жыл бұрын
Kwanini hii video inakuja tena na tena kwangu?
@mrsdeborahurio Жыл бұрын
Bwana anazungumza nawe, Mpendwa!
@dorisgesare7707 Жыл бұрын
Amen
@JaredMayaka-z8t Жыл бұрын
Lakini pastor kuna message WhatsApp Thafadhali nijibu message hiyo