Kwakweli kila mtu ni shujaa wakati hujapata jambo gumu Mungu atusaidie.
@rastarasim5810 Жыл бұрын
Time for rise and shine 🙏🙏pastor hapo uliposema vijana tumepigwa na kitu kizito nimecheka saaana,,,,,,,I thanks to God🙏...😁
@Akirajovial10 ай бұрын
Amen ❤my addiction to this is on another level. May God bless you abundantly, Exceendingly even more❤
@roselineombati6703 жыл бұрын
Pastor David mungu akubariki hua nikifuatilia mahuri yako nafarijika sana.
@mercynyanchoka62833 жыл бұрын
Mchungaji, niko saudia lakini nikifuatilia maubili yako najihisi niko kanisani, ata nahau niko kwa kwa mwarabu, napokea faraja kubwa, mungu akubaliki sana
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Amen
@redemptakahumuza37452 жыл бұрын
Unanibariki Sana mtumishi nakuombea Mungu wetu aendelee kukutumia tufunguke
@halimaelizabethamuli2542 жыл бұрын
Asanti kwa neno Pastor, kwa maana uoga tuliokua nao kuhusu chanjo umeondoka. Bwana awe nawe siku zote za maisha yako yote.
@funakoshtadash61632 жыл бұрын
Asante sana Mtu wà Mungu, Bwana aendelee kukutumia ili kupitia wewe, aonekane yeye waliyemchoma. BWANA atusaidie sana
@evaandrew85843 жыл бұрын
Kwakweli tunahitajika kuwa na nguvu ya Roho mtakatifu Mungu azidi kukutia nguvu Mchungaji
@wilfredmakori69593 жыл бұрын
Amen mchungaji, ubarikiwe zaidi tuakualika Kenya jamhuri SDA church
@lydiahsarange74303 жыл бұрын
Asante kwa neno la kuponya roho asubuhi ya leo,mungu akubariki kamwe usipungukiwe na utukufu wake mchungaji
@upendoeliudi51963 жыл бұрын
Aminaa barikiwa sana pastor Mmbaga Mungu akutunze daima
@wilsonmwamakalapya83383 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji, Kuna siku wakati nakusikiliza, simu iliisha chaji kabisa, ila Cha ajabu ilikuja kuzima baada ya wewe kumaliza kuongea.
@everlyneiminza57223 жыл бұрын
Ee vindege vidogo vinajidunda dunda sana ila mikubwa ata huisi kama uko hewani, nimecheka sana jamani mchungaji ubarikiwe sana Amen 🙏 😊
@edakiputa11083 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi, na barikiwa sana na mafundisho ya Mungu unayofundish a.
@maximilarjeptoo40383 жыл бұрын
Asante sana pasta nimebarikiwa nikiwa saudi arabia
@saphinacuthbet13433 жыл бұрын
Somo limenibariki Sana.Barikiwa Mchungaji Mmbaga.
@saighilunyangusi49863 жыл бұрын
Nabatikiwa sana sana tumwinue Mungu
@saramasanda53523 жыл бұрын
Barikiea mtu wa mungu
@barakajiloli6983 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji mbaga
@Mapenzi26359 ай бұрын
Some hili limefaa hadi leo 14/4/2024
@MahubiriPrMmbaga9 ай бұрын
🙏
@rossarutasha17893 жыл бұрын
Mungu akubari mtumishi wa Mungu
@mariamgonja1943 жыл бұрын
Barikiwa Sana kwa huduma ya Baba
@immaculeekayange37842 жыл бұрын
Jambo muchungaji, mimi n'a ishii DRC, nataka kushukuru Mungu kwa jili yako huwa una nipa kitu kila mara ni napo ku fuata kwenye mutandao. Ijapo kuwa mimi si mu sabato ila n'a shukuru Mungu sababu n'a pata nguvu ya ku pambana
@rosepeter89963 жыл бұрын
AMINA🙏...nimebarikiwa na mafundisho yako mchungaji.barikiwa pia
@bigmandubesamuelndetsa2683 жыл бұрын
Asante sana pastor , hii maubiri ya giza kabisa ni unabii mkubwa sana. Hata sisi ambao tuko inche ya Africa ni hatari Sana ! Mungu peke atuokoe kwani ata haki ya binadamu imepoteya.
@dorkasimwenebitu18602 жыл бұрын
Amen 🙏 🙏
@evelynetitus9743 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana nawe pastor
@briytondickson53103 жыл бұрын
Mungu mwema. Ubarikiwe pastor
@shukranjulius95263 жыл бұрын
Barikiwa zaidi pastor
@williamaron19143 жыл бұрын
BARIKIWA MY PASTOR
@ChristopherSigira Жыл бұрын
AMEN Richard 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👏
@silasabok14212 жыл бұрын
You really inspire me.. Be blessed 🙏
@asooraaasooraa48163 жыл бұрын
MUNGU ATUSAIDIE NA ATUTOE KWENYE GIZA HILI MUNGU AKUBARIKI PASTOR SOMO ZURI SANA
@nancyabura7433 жыл бұрын
Amina, ..ubarikiwe mchungaji
@isayaathumani34363 жыл бұрын
Mchungaji, sina muda wa kwenda kanisani kutokana na kazi yangu ya sasa. Lakini nikiri kubarikiwa na mafunzo yako. Najihisi kuwa kanisani. Bwana akubariki na kukutunza. Endelea kubariki watu kupitia mtandao. Hujui tu namna unaokoa roho za watu
@unclejonah73503 жыл бұрын
nenda kanisani ndugu heri uiache hyo kazi ama cku ya ibada nendeni kanisani liwe liwalo
@isayamichael3 жыл бұрын
Amina nabarikiwa sana ujumbe huu
@Celestialsingers-MMs3 жыл бұрын
Mungu aku bariki mchungaji
@carengospelketer28173 жыл бұрын
Pastor unanitia nguvu niko saudi arebia but unanitia nguvu licha ya changamoto ninayopitia najishindia ndani ya yesu
@devothasimbi10553 жыл бұрын
Mtumishi UKo sawa hilo la wanawake nawatoto, niko Ufaransa baba wa watoto wangu yalimkuta mtoto wake mwenyewe alimsemea kwa mwalimu Wake kuwa huwa ana tabia y’a kuwatandika viboko ,mwalimu naye akaripoti Ustaritz kisha police mwisho mahakamani.Baba watoto wangu kakimbiliaAfrica na kaacha ujumbe akisema ni bora afia Africa Tanzania kuliko kuishi Ufaransa hali yéyé ni Mzûngu.yuko Tanzania tokea muezzin wa saba miaka huu.na kesi bado ipo mahakamani.
@HellenaMky10 ай бұрын
Barikiwa Sana mchungaji
@juliajerusio65093 жыл бұрын
Asante Mchungaji Mmbaga nabarikiwa sana mahubiri Yako
@tau-sl3ve Жыл бұрын
Bwana ni mema
@Estherm3093 жыл бұрын
Nitalieshimu biblia kwanzia leo
@Estherm3093 жыл бұрын
Muchugaji apo kwa SAA Mimi nitanaswa kulala nimewezwa
@lazarosabukoki44973 жыл бұрын
Amen 🇿🇲
@Estherm3093 жыл бұрын
Baba niurumie nisije nikakusaau
@BarnabasJonas-nv4ig Жыл бұрын
AMINA
@bostonogoti14603 жыл бұрын
Tumia bibilia please
@rhinakiza3 жыл бұрын
Mungu atuhurumia sana
@JuliaLumande-r4p10 ай бұрын
❤🤔🙏
@Estherm3093 жыл бұрын
Asante mchugaji kwa hilo
@jessikaakinyi84453 жыл бұрын
Ee MUNGU WANGU naomba huu ujazo wa Roho mtakatifu Leo na msamaha wa dhambi zangu Leo hii