NGUVU YA MSALABA WA KRISTO MAISHANI || PR. DAVID MBAGA

  Рет қаралды 12,486

Pizzo Online TV

Pizzo Online TV

3 ай бұрын

Mkutano maalumu wa kukomboa familia yako, mafundisho makuu yanaletwa na mchungaji David Mbaga. Utakutana na masomo ya afya na malezi, pamoja na masomo yenye kukutia moyo katika changamoto unazozipitia wewe kama mwanafamilia. Karibu sana.
#pizzoonlinetv #family #familyvlog #familylove #atape #ATAPERetreat2024 #mbeya #greencity #ibadahonline #sdasermon #sdachurch #sda

Пікірлер: 31
@deboramsangi360
@deboramsangi360 2 ай бұрын
Hii kula au kulala Kwa mchawi inategemea na ukiroho wa mtu binafsi baba. Napenda kukusikiliza sana
@pizzoonlinetv
@pizzoonlinetv 2 ай бұрын
Endelea kubarikiwa
@user-hw4zn2zy3y
@user-hw4zn2zy3y 13 күн бұрын
Nilikuwa nalitafuta sana hili somo hili ubarikiwe sana
@magigesabai8674
@magigesabai8674 2 ай бұрын
Nabarikiwa sana Mungu atusaidie tufike Mbinguni tukae nae
@pizzoonlinetv
@pizzoonlinetv 2 ай бұрын
Amina, na iwe hivyo
@jacquelinebyaombe9729
@jacquelinebyaombe9729 2 ай бұрын
Amen
@pizzoonlinetv
@pizzoonlinetv 11 күн бұрын
Barikiwa sana
@user-rv7nm5ep4p
@user-rv7nm5ep4p 2 ай бұрын
Kwakweli mtumishi tangia nianze kusikiliza mahubili Yako nabarikiwa sana tena sana, Mungu akulinde na akutumie apendavyo yeye.
@pizzoonlinetv
@pizzoonlinetv 2 ай бұрын
Hallelujah ubarikiwe sana Mwana wa Mungu
@MariamBusele
@MariamBusele 4 сағат бұрын
Aminaaa
@pizzoonlinetv
@pizzoonlinetv Сағат бұрын
Hallelujah
@jacquesmwangu1541
@jacquesmwangu1541 Ай бұрын
Hubiri hili Lina jenga tena saana mubarikiwe
@pizzoonlinetv
@pizzoonlinetv Ай бұрын
Amina, barikiwa pia
@Edward_Ndaro
@Edward_Ndaro Ай бұрын
Barikiwa sana Pastor
@pizzoonlinetv
@pizzoonlinetv Ай бұрын
Haleluya
@mariamkibebeti1254
@mariamkibebeti1254 Ай бұрын
Mchungaji ubarikiwe , ila naomba unisaidie tofauti kati ya viumbe walio tupwa pamoja na shetani (pepo wa chafu na majini) na hao viumbe wengine wa sayari ambazo dhambi aikuingia.
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 Ай бұрын
Mungu akutunze, Mh. Mmbaga
@pizzoonlinetv
@pizzoonlinetv Ай бұрын
Amina, barikiwa pia
@zabronemmanuel-eo1om
@zabronemmanuel-eo1om 2 ай бұрын
Amina nabii wetu ubarikiwe sana
@mshigilakarume4425
@mshigilakarume4425 Ай бұрын
Amen pasta
@pizzoonlinetv
@pizzoonlinetv Ай бұрын
Barikiwa sana
@MaryWanjiku-tr8ji
@MaryWanjiku-tr8ji 2 ай бұрын
Asnte yesu kwaupatanisho
@pizzoonlinetv
@pizzoonlinetv 2 ай бұрын
Amina🙏🙏🙏
@thabitawanka963
@thabitawanka963 2 ай бұрын
40:57 40:59 41:01 41:02
@pizzoonlinetv
@pizzoonlinetv 2 ай бұрын
Oh yeah 👍
@user-gn7he4yu4k
@user-gn7he4yu4k 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤🤝👆
@pizzoonlinetv
@pizzoonlinetv 2 ай бұрын
Wow🤝🤝
@elietuyizere4129
@elietuyizere4129 2 ай бұрын
kumbe guhama duka kwasababu yaucawi ni ujinga?
@pizzoonlinetv
@pizzoonlinetv 2 ай бұрын
Bila shaka,, inabidi uache mara Moja huo uoga🤗
SILAHA KUBWA YA KUVUNJA MADHABAHU || PR DAVID MMBAGA
56:10
Ikwabe Injili tv
Рет қаралды 13 М.
MACHO YAKIFUNGULIWA | PR. DAVID MMBAGA  (OFFICIAL VIDEO)
1:03:11
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 14 М.
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 15 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 54 МЛН
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 21 МЛН
VITA VYA KIROHO
33:13
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 6 М.
JINA YESU, JINA LA YESU NI NGOME YANGU, WEWE NI BABA YANGU, FADHILI ZAKE ZA & YESU NI BWANA
58:27
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 1,2 МЛН
KUNA VITU AMBAVYO MUNGU ANAKUNYIMA ILI UWATEGEMEE WENZAKO "PASTOR MGOGO
58:44
#MAANDALIZI YA AHADI ZA AGANO | PR. DAVID MMBAGA | SIKU YA 3
1:18:45
🔴#LIVE! MITIHANI MITATU ILI KUFIKIA MAFANIKIO YAKO II Mch. David A. Mmbaga
52:55
Dodoma Central SDA online TV
Рет қаралды 53 М.
USIPUUZE NDOTO HIZI MWAKA 2022. Na Mch. David Mbaga
1:40:01
SAVP TV
Рет қаралды 49 М.
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 15 МЛН