Nabarikiwa na kufarijika kwa yote ya mtumishi pastor. 10:50
@Azizaah-g5t3 сағат бұрын
Asante pastor nazidi kubarikiwa ❤ mungu Akulinde san
@ImanuelPeter-n6i4 сағат бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU BABA
@AnnaMlacha-w5yСағат бұрын
Barikiwa sana Pr Mbaga kwa neno la Mungu
@jocefstephen24754 сағат бұрын
Mungu azidi kutuongoza kwa kadiri ya fadhili zake. Amen 🙏🏽
@sarahdamian50434 сағат бұрын
Asante YESU🙏
@LuciaMasagiСағат бұрын
Nawaombea mafundi mitambo mungu awabariki lakini pia mungu wetu mwema amrinde mchungaji wetu anatubariki xana kiukweli baba wambinguni amjazi na airinde familia yake yoto awabariki wazazi maana bila wao kumpa malezi bora huwenda tusingebarikiwa hivi tunavyobalikiwa mungu mungu awabaliki xana amina.
@nazahedikilango44152 сағат бұрын
Mungu akubariki Mchungaji kwa somo zur mimi binafsi limwnibarik
@gladysmwende75002 сағат бұрын
Powerful sermon it was.
@INJILITV-z4t35 минут бұрын
Ombi langu ni hili wazazi wangu warudi katika imani
@matukioyasikuzamwisho76532 сағат бұрын
Mnapoomba mkumbukeni mama yangu mzazi anasumbuliwa na miguu Pia Mungu afungue njia ya mafanikio katika familia yetu
@nazahedikilango44152 сағат бұрын
Amina🙏
@Anastazia-b2g2 сағат бұрын
Amina
@TwazihirwaJosamСағат бұрын
Habari Pr Mbaga,, sa mimi naitwa Twazihirwa Josam nimkazi wa Mamba Myamba ila kwa saivi nipo Dar niko nahitaji ambalo nahitaji msaada wa Nguvu na uweza wa mwenyezi Mungu 🙏,, Samahani Pr wangu kumetokea msiba huko nyumbani wandugu yangu Mtoto wa Baba mkubwa anaitwa Joseph Amani Twazihirwa sasa nienaenda safari naomba unisaidie maombi katika safari hii ila alikua anaumwa na kichwa kilimuanza week iliyo pita akapelewa hospital akakaa siku 4 jumamosi akaambiwa aruditu nyumbani maana ugonjwa hauonekani akapelekwa kesiemsii wakasema pia hakuna ugonjwa waaina yoyote ile sasa leo mnamo mida ya saa Sita na nusu mchana huu amefariki ila alishawahi kusema kua usiku huo ambao kichwa kabla hakijamuanza alisikia mtu anamuita njee alivyoitikiatu kichwa kilimuanzaa hapohapoo hiko ndo chanzo cha kifo chake Baba angu ila naamini mwenyezi Mungu anawezafanya jambo kwaajili ya hili namuomba sanaa DADYY afanye jamboo kwenye haya maombi ya siku hizi10 ili ajitwalie utukufu wake maana kila ninaeongea nae anasema huyu jamaa kafanyia mzingahombwe sasa kwann shetani ajitwalie utukufu kwa watoto wa Kifalumee hivii?? Kama hiviii😥😥😥
@MichaelMuga-r8g4 сағат бұрын
Amna mtu wa BABA
@AbiudMatireСағат бұрын
Pastor naomba uniombee niweze kupata visa
@NancyMokaya-r5tСағат бұрын
Nawaombea wa California Kwa misiba WA Moto ambao hujawai tokea duniani