Amen.. Nimebarikiwa Sana na hili somo nimelisikiliza usiku WA manane baada ya kukosa usingizi.. Ahsante Sana pastor nabarikiwa na mafundisho yako.
@ElizabethKasezaКүн бұрын
Pastor ubarikiwe zaidi. Ninamtukuza Mungu sana kwa kuniombea na familia yangu uponyaji na kufunguliwa.
@ngoloroseКүн бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji mafundisho yako ya na Nitia nguvu kweli ❤
@Mapenzi26352 күн бұрын
A theologian observation. Dakika ya 24:20-25:04. "Wapo wanao taka na hawapati hiyo neema". Mchungaji, na mwalimu wangu ukazie hapo kuwa neema ni universal and unconditional. Yaani, Mungu anawapenda watu wote Sawa. Ila kwa Mkristo, Mungu ana wakati (muda) na sababu za neema (election to service) kwa kila aliyemkiri Kristo.
@BarakaImanMakungu-ft4cd5 сағат бұрын
Barikiwa sana Mchungaji umenibariki kwa somo zuri
@JanneyPuda2 күн бұрын
Pastor ombi langu naitaji karo nimeelewa somo ubarikiwe
@paulinemwangi26642 күн бұрын
This is for mi🤦 may God's will be done in my life... Be blessed pastor
@dieumeKivuku2 күн бұрын
barikiwa
@aukajohn779Күн бұрын
mungu ainuliwe
@DotoS12Күн бұрын
Aminaaaaaaa
@oman7982 күн бұрын
AMINA
@MarryLalu2 күн бұрын
Aminaaa
@williamjumbe1988Күн бұрын
Pastor kisa cha huyo binti kimenigusa mtoa sadaka, Nakumbuka ata mm mungu nilimuomba mungu anipe kazi alafu pesa ya kwamza ntampa, Kiukweli alinipa kazi ofisi tu nzuli Na akanisaidia nikalipwa Na nika toa kama nilivyo sema ile pesa yote,, uwezi amini pindi natoa napewa na barua ya kuacha kazi soon baada ya kutoa,, unajua sikumuelewa mungu japo now naanza kumuelewa
@veronicawilsonmbwambo10542 күн бұрын
Amin
@DotiFwihiro2 күн бұрын
Ufalme wa Mungu kwanza,nadhamiria kusoma Bible yote by mwisho wa 2025,eeh Mungu nisaidie
@lucykadeghe3192 күн бұрын
Amina Pastor nina dada yangu anaumwa naomba umuombee kichwa kinamuuma sana, yuko hospital.