Pr. Mmbaga, nimemuomba Mungu upate subscribers million sita na nusu ili Tanzania ipone. Kisha Afrika Mashariki itapona, Afrika na dunia. The language is both scientific method coupled with spiritual methodology. Mungu sikia maombi yangu kwa Jina la Yesu, imekuwa.
@weahfeint34064 ай бұрын
AMEN 🙏🏾
@dorcusmusombi36464 ай бұрын
Na iwe hivo Kwa jina la yesu
@zephaniafundikira4 ай бұрын
Amen
@puritymundia50934 ай бұрын
amen
@sadolufega64494 ай бұрын
Amina
@ziporamachilu687725 күн бұрын
Nabatikiwa na kupons kimwili na kiroho Pastor.wewe ni mchungaji.mwems shambani mwa Bwana.. nakuombea afya na ulilinzi wa Mungu
@elienew37884 ай бұрын
Najivunia sana haya mafunzo kupitia huyu mtumishi waMungu kwa kusema kweli nmepokea badiliko kubwa katika maisha Yangu tangia siku ile tu nilipo anza kumfuatilua Ee Mungu nakuomba uendekee kumtia Nguvu 🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥
@ElizaAnthony3 ай бұрын
Namuombea uzima na Amani Tele Mungu azidi kumtetea na kumtumia kutulisha cha kiriho sawasawa na mpz ya Mungu
@HappinessAhia-ey1lq4 ай бұрын
Bless you pastor. You are God's saint 🙏 I watch direct from Washington USA. I can't sleep without your sermons. I can't wait to see many of the sermons.
@MahubiriPrMmbaga4 ай бұрын
Blessings to you
@annwangui80964 ай бұрын
Mimi nakosa maneno ya kumshukuru muumbaji wangu, Mungu mwenyenzi kwa kumtuma pastor David Mmbaga, sijui ningekuwa wapi may be in grave, or in a mental hospital, May the name of the Almighty God through our Lord Jesus Christ be praised for ever
@nicolasodero4 ай бұрын
BWANA MUNGU wangu atukuzwe Kwa upendo wake
@mercylinegesare45204 ай бұрын
Ukweli mungu akikuonya jaribu kuelewa sauti ya roho wa bwana amen... barikiwa mchungaji sana sababu hayo ndo nayapitita katika maisha yangu 😢naomba mungu anipiganie🙏🙏🙏
@elishandulu21684 ай бұрын
Nimebarikiwa sana mwendelezo wa mafundisho yako, hakika Mungu anakutana nasi kupitia ww.Mungu na akubariki sana
@HillidMakolo-dq5tm19 күн бұрын
Nabarikiwa KUPITIA mafundisho haya MUNGU azidi kukutumia vyema, Barikiwa pia
@DoreennyamimaАй бұрын
God bless me true this information abadilishe maisha yangu ninao ndoto hizo ambazo zinanichanganya
@irineDancan3 ай бұрын
Amen and amen mtumishi wa Mungu nimebarikiwa sana na neno ubarikiwe sana
@ANAWEMAMALILA-lf7gk2 ай бұрын
Namtukuza Mungu kwaajili ya mtumishi huyu.Mungu akufanye uwe zaidi ya hapo.
@KelvinGude4 ай бұрын
Amen natamani siku kuonana na mbaga maan toka nianze kumfatilia nimekua sana kiroho
@josephmwitinjuki68013 ай бұрын
May Lord our God bless you and protect you in everything you do
@kidaushadrack52393 ай бұрын
Hallelujah
@rosechagama49874 ай бұрын
Nabarikiwa mno nikisikiliza Masomo yako .Mungu aendelee kukutumia Kwa namna apendavyo
@khadijajulius26114 ай бұрын
Mungu akubarik uish maisha marefu
@lennyahadi92614 ай бұрын
My Pastor, I am proud of you, many God bless you abundantly!
@eddyjefwa86074 ай бұрын
Mungu azidi kumbariki Mchungaji Mbaga...nabarikiwa sana kusikia sauti ya Mungu ikiongea kupitia kwake.
@assagiselle76354 ай бұрын
Napo sikiya mahubiri yako. Hata yakiwa Na myaka 6 nyuma huko. Nabarikiwa kila siku❤❤❤
@JamcMacay4 ай бұрын
Nimembarikiwa sana mtumishi wa mungu kwa mandiko yenye mafunuo mazuri sana mtumishi mungu akuzindishie mafunuo kila siku
@Bonifasi-p5t3 ай бұрын
Mungu akubariki na kukuzidisha pastor,
@DalmasOkelo-f9q3 ай бұрын
My God bless you
@dorothbwire10483 ай бұрын
Mungu aendelee kukubariki Pr D Mbaga
@SuzanaSanga-v5n4 ай бұрын
Mungu akulinde maisha yako yote. Amina
@Joy-mm1ut4 ай бұрын
Amina yaani nabarikiwa sana
@GraceMarwa-u9m3 ай бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho hayo ya uzima ndani yangu
@LizzyNicky-z8xКүн бұрын
Kila nikisikiliza masomo yako nasikia msukumo ndani kuwa ile kanisa nalo sali si la mungu aliye hai ila ndo imebatizwa pale na nikitaka kuacha mchungaji wangu ananifatilia sana mungu wa mbingu anisaidie kwa hili napitia wakati mgumu sana
@RahelMhezi-f9o3 ай бұрын
Barikiwa kwa mafundisho yako mazuri
@jonahwaweru56814 ай бұрын
Amen...nabarikiwa sana na neno lako pastor.
@SumaiJohn3 ай бұрын
Amina pastor barikiwa sana
@jonacemanyama48584 ай бұрын
mm nauliza tu ile sauti ya TUMESIKIA MBIU ilikosea nn? Iliuwa ni aram nzuri 🙏📖
@roselancton99804 ай бұрын
Kweli ilikua imekaa poa sana
@esthersimiyu22764 ай бұрын
Amen 🙏 mungu wangu yajibu maombi yangu,kupitia haya maubiri
@RoseMomanyi-d3p4 ай бұрын
Baraka mengi kutoka kwako
@AlineNzosabimana-o5d3 ай бұрын
Barikiwa sana Mtumishi
@dominicmithiaru41214 ай бұрын
God bless you pastor ombaga
@EnaellaNiyongabire4 ай бұрын
Amina nimebalikiwa saaana na somo❤❤❤❤❤
@olphanyamweya31544 ай бұрын
AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏❤️ ASANTII YESU.
@sharonmoraa74383 ай бұрын
mchunjaji mbaga aje kubarikiwa na mwenyezi mungu
@UpendoMasasi-uc9gk4 ай бұрын
Amen
@Apostlesam014 ай бұрын
Ame amen pastor ❤
@LydiahmoraaKinari4 ай бұрын
Barikiwa sana pastor
@gaelongeri4 ай бұрын
Amina Amina barikiwa sana
@janethfwamba85614 ай бұрын
Nakushukur mtumish
@TeddyPaul-j3g3 ай бұрын
the end of your faith is the end of your miracles
@SalomeMoturi4 ай бұрын
Amen pastor mambo mengi nmeona aki nashkru mungu unihebusha
@judithnjalambaya24504 ай бұрын
Amen 🙏
@ruthmoranga51424 ай бұрын
Amina
@JuliaLumande-r4p4 ай бұрын
Alléluia mungu wa mbingu asante❤❤
@bathshebanyaboke71924 ай бұрын
Amen Amen Amen
@nundabe4 ай бұрын
Ubarikiwe
@RehemaJosephat-hf9fu4 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe, naomben ndugu zangu mwenye no ya pastor mmbaga za WhatsApp naomba anisaidie tafadhal Nina shida naye
@phoibekoshuma19354 ай бұрын
NIMEKUELEWA KWAMBA NIMUOMBE MUNGU JUU YA HAWA WATU NINAOWAPA KAZI ZANGU NIKISHA WAPA HELA HAWAIFANYI KAZI HIYO NIKUDAIANA MPAKA NACHOKA LAKINI NAMI NIMESEMA MPAKA HAKI YANGU NIIPATE . ASANTE KUNIONYESHA NJIA . MUNGU AKUBARIKI NIMEELEWA HILI NATAPELIWA SANA JAPO NAOMBA SAANA KABLA YA KUMPA MTU PESA
@annamadatta12134 ай бұрын
Ameen
@yungukazeba4 ай бұрын
Pastor, Mungu azidi kukulinda, mimi ninashida,mambo yote mbaya yanayo nitokea kwa maisha nimeyaona mbele kwa ndoto ila yamenifikia tu. Sasa inanipasa kuomba namna gani ?