ELEWA VITU VINAVYO ZIPA MADHABAHU NGUVU ZA KUKUTESA

  Рет қаралды 40,084

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

Жыл бұрын

Пікірлер: 91
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio Жыл бұрын
Ninakuelewa Sana Pr. David; Mungu akufiche mbawani mwake, uzidi kumuanika ibilisi!
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Amen
@KendiLydia-tf2ii
@KendiLydia-tf2ii Күн бұрын
Jameni haya mahuburi ya huyu Mchungaji Yani bariki sana 🙏🙏, na ninaamini yatanifungua kutokana na kila vifungo🇰🇪🙌
@NkamuhabwaFrolian
@NkamuhabwaFrolian 19 күн бұрын
Pastor ninayaelewa mafundisho, Mungu atupe neema ya kulishika neno la Mungu.
@pasteursimonnizigiye4642
@pasteursimonnizigiye4642 Жыл бұрын
Nimeshukuru kwa mahubiri haya ufunguo wa kufungua Mambo magumu, ushuda wangu ni uyu walinipiga vita kanisani Ila mimi kwa Imani na Nia nilikuwa nayo yakumutumikia Mungu Niko imara hapo hapo Asante Muchungaji Mungu aongeze upako wa mahubiri
@loicesalano931
@loicesalano931 27 күн бұрын
Amen nimebarikiwa na mafundisho barikiwa pia🙏
@Pendomabula
@Pendomabula Жыл бұрын
Mahuburi Tv Mungu wa mbinguni awaangazie nuru yake ili mtuangazie,nabarikiwa mpaka natetemeka ndani ya moyo wangu.
@HuldaMadulu
@HuldaMadulu 2 ай бұрын
Nakuelewa sana kila ulichozungumzia n kweli maana mim nayapitia maishani mwangu naona Mungu amekutumia ili mm nijielewe na kuvunja hiz madhabahu asante sana
@JC-lk3me
@JC-lk3me Жыл бұрын
Asante sana mchungaji, umejibu maswali yangu karibu yote. Mungu akubariki wewe na familia yako🙏🙏🙏
@lilianlima8609
@lilianlima8609 Жыл бұрын
Hili somo ni la kulirudia tena maana tulianguka sana bila hulifahamu hili, Mungu atusaidie sana
@Joycependopendo-dv2tb
@Joycependopendo-dv2tb 7 ай бұрын
Amen bwana akubariki pastor Na akupe afay njema Na ulinzi siku zote uingiiapo Na utokapo nimbarikwa Na somo hii
@sarahndagile997
@sarahndagile997 Жыл бұрын
Nabarikiwa Sana na mafundisho yako Mchungaji ubarkiwe Sana.
@bellimarwa5454
@bellimarwa5454 Жыл бұрын
Mungu akubaliki Sana unaniinua niangukapo umekuwa mrezi wangu wa kiroho ahsante kwa huduma hii jina la yesu litukunzwe sana
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 Жыл бұрын
Hili somo vijana wetu wanatakiwa walielewe,wasikie sauti ya Mungu ikiita
@marthadaniel4904
@marthadaniel4904 Жыл бұрын
Ubarikiwe san Mchungaji David mbaga MUNGU endelea kukupa Afya njema uzid ukuhubir Mataifa yote🙏🙏🙏🇴🇲🇴🇲🇹🇿👈
@agnesseunice5632
@agnesseunice5632 Жыл бұрын
Mungu awabarikini Sana tuko pamoja, katika ibada kila ninaposikiliza, amin
@JosephMpangala-wd5mp
@JosephMpangala-wd5mp 3 ай бұрын
Asante sana kwa ukweli wa sasa, Mungu akubariki sana.
@AgnessMrutu
@AgnessMrutu 8 ай бұрын
Pr Mungu akubariki sana sana, hakika masomo haya yananibariki mno na kunikuza kiroho mno, yaana kuna jambo umesema mh, nilipitia kipindi kigumu ki uchumi, basi nikakutana na jaribu la kubembelezewa ajira, tena kwa kusifiwa sana, tunakupenda, wewe ni mchapa kazi mzuri, hapo ni kwenye simu napigiwa na watu nisiowajua, mimi nikaingia kwenye mfungo siku tatu kusemezana na Mungu, kuwa elimu yangu ni ya kawaida sana, wasomi wanazunguka na vyeti wanarudi hola, mimi kwa nini nibembelezewe ajira ya kuwa bilionea kwa muda mfupi? Siku moja nimejisahau nikiwa usingizini nikaota ndoto kuwa tuko ibadani, ibada yenyewe tumekaa shaghala baghala tu, ila mbe ya kibambaza cha hapo tunakofanyia ibada kwa juu kuna kichwa cha mbuzi ndicho tunachokiabu, asb yake ndoto ikawa inanisumbua sana kuwa nn maana yake? Ghafla napigiwa simu kuambiwa Agness njoo sinza mori tunakupenda sana tunataka tufanye kazi na wewe chukua usafiri tutalipia, basi nikasema naenda, nilivyofika wakalipia bajaji vizuri nakapokelewa kwa shangwe sana, lakina hapo na mimi nasali kimoyoyo, ila ule mkao nilioonyeshwa kwenye ndoto ulikua vile vile, , ni makampuni haya yanayofanya biashara za mtandano watu, nilipotoka hakika sikurudi nyuma tena.
@rodahadhiambo3637
@rodahadhiambo3637 Жыл бұрын
Mungu atukuzwe , Kwa kutujulisha mengi na makuu, ubarikiwe pastor
@zlpporahgechemba3111
@zlpporahgechemba3111 Жыл бұрын
Mungu akubariki pastor mafundisho Yako yamenifanya mimi kujigundua ninani Miele ya mungu.
@mbarikiwambarikiwa6479
@mbarikiwambarikiwa6479 Жыл бұрын
Ohhoo Baba wa mbinguni umenifungua macho Leo nimeona . Mwenyezi MUNGU aliye juu ya vyote anisaidie na kunisimamia.
@florenceowino3436
@florenceowino3436 Жыл бұрын
Mungu akubariki mchungaji hata mimi kuna vifungo vikubwa tunapambana navyo kwenye familia yetu natamani kukupata lakini imekuwa ngumu mchungaji wangu nakuomba ukipata mda niombe na familia yangu naamini
@user-iy9px3kr8z
@user-iy9px3kr8z 8 ай бұрын
Amen Amen mtumishi wa Mungu,ubarikiwe sana
@jeremiahlugembe4939
@jeremiahlugembe4939 Жыл бұрын
Pastor, nilijikuta nimeoa kwa njia ambayo sikuwa nimetarajia kabsa yaani tulichukuwana tu bila kufata utaratibu, nimekuwa na hangaika na hatia moyoni Japo tunaishi vizuri tu, nimetambua tabia hii ni ya ukoo maana ktk familia hakuna aliefata utaratibu, Je! Niendelee kuishi katika ndoa hii? Pia nawezaje kuvunja roho hii isije tokea kwa watoto wangu? Tayar Nina mtoto mmoja.
@hamisibruno8663
@hamisibruno8663 Жыл бұрын
I like your preaching...God continue protect pr David.
@user-qo8tm4sn3s
@user-qo8tm4sn3s 10 ай бұрын
Be blessed kila ninapokutazama napata jambo jipya from kenya
@naominaelijwa-gz2bf
@naominaelijwa-gz2bf Жыл бұрын
Amen
@janengaga2928
@janengaga2928 Жыл бұрын
Mungu turehemu.Barikiwa KWA mafundisho haya.utukufu KWA Mungu muumba❤️🙏.Yesu mwema❤️🙏😍
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Amen
@crispuskasanga8487
@crispuskasanga8487 Жыл бұрын
SANTA YESU NIMEBARIKIWA NIKIWA HAPA KAUNTI YA MAKUENI NCHINI KENYA
@hellenratemo2813
@hellenratemo2813 Жыл бұрын
Amen God bless you pastor
@zeliageorge3311
@zeliageorge3311 Жыл бұрын
Amina, barikiwa Pastor tunaendelea kupona.
@fridahsarah775
@fridahsarah775 Жыл бұрын
AMEN, MUNGU akubariki mtumishi
@elizabethgodfreytondo3052
@elizabethgodfreytondo3052 Жыл бұрын
Amen,Pastor,Mungu akubariki kwa somo hili.hakika nakuelewa kwani kuna mambo yanaendelea kwenye familia zetu ni laana tupu.Mungu atusaidie kupitia maombi tukavunje laana zote kutoka kizazi hadi kizazi.
@FatakiEspoire
@FatakiEspoire 10 ай бұрын
Jambo mupendwa wa Mungu uko bien ae kule kunyumba
@kennedymomanyi3048
@kennedymomanyi3048 Жыл бұрын
mungu akupaliki nimejua mengi kutokana na mafusho yako
@rosemshana7885
@rosemshana7885 Жыл бұрын
amina Kwak somo pastor
@golasrichard4400
@golasrichard4400 23 күн бұрын
Be blessed,
@olphanyamweya3154
@olphanyamweya3154 9 ай бұрын
Ni kweli pastor,nimesikiza Satan ameniteka nyara na uzingizi 😢
@ridanceemmanuel479
@ridanceemmanuel479 Жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki Pastor
@lucynyigana2801
@lucynyigana2801 6 ай бұрын
AMINAA💯
@saighilunyangusi4986
@saighilunyangusi4986 Жыл бұрын
Mung akubariki mtumishi nimeguswa sana
@hellenokere7989
@hellenokere7989 Жыл бұрын
Amen pastor
@winniengogo2759
@winniengogo2759 Жыл бұрын
Mungu atusaidie sana sana tumechoka
@isackbilili2004
@isackbilili2004 Жыл бұрын
May God bless you.
@eliudmaburi4948
@eliudmaburi4948 Жыл бұрын
Nakupongeza mnoo mchungaji wangu natamani kujua ni kwa namna gani unaweza kuvunja madhabahu hayo. Maana kwetu kuna madhabahu ya watu kujiondoa uhai kuanzia babu, baba, naona mpaka sasa kaka yangu hiyo roho ishamvaa tiari naomba nisaidiwe!
@eustina837
@eustina837 Жыл бұрын
Asnte Mungu atulinde jaman
@jacksonkavoijunior5716
@jacksonkavoijunior5716 Жыл бұрын
Mm ni Jackson from Kenya mafundizo yako yamenibariki xana
@Truegospelchannel1
@Truegospelchannel1 11 ай бұрын
Shukrani sana mtumishi
@johnstephano6486
@johnstephano6486 Жыл бұрын
Imekaa vizuri sana hii.
@bernadethaprosper
@bernadethaprosper Жыл бұрын
Amina nimebarikiwa mnoo
@tugemwakatumbula7851
@tugemwakatumbula7851 Жыл бұрын
Mungu tusaidie 🙏
@lilianlima8609
@lilianlima8609 Жыл бұрын
Hakika tunahitaji neema🙏🙏
@josephmwita996
@josephmwita996 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na hili somo la leo
@user-uj4rg1xo1h
@user-uj4rg1xo1h 9 ай бұрын
Ameen 🙏🙏🙏
@denisbogomba7720
@denisbogomba7720 Жыл бұрын
Mawaida mazuri paster
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 Жыл бұрын
BWANA AKUBARIKI SANA PASTOR
@davisomanga4777
@davisomanga4777 Жыл бұрын
Aliye na sikio na asikie haya
@franciselectronicrepair2823
@franciselectronicrepair2823 Жыл бұрын
mmh barikiwa sana
@dismondamwoka3563
@dismondamwoka3563 Жыл бұрын
Mafunzo mazito kabisa nimeelewa!!!!!
@duluxbahrain6429
@duluxbahrain6429 Жыл бұрын
mungu tusaidia
@marymwinga985
@marymwinga985 Жыл бұрын
Waiting
@sharonetsisiche5184
@sharonetsisiche5184 Жыл бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏
@EvangalistmediaTv
@EvangalistmediaTv Жыл бұрын
Amin
@rastarasim5810
@rastarasim5810 Жыл бұрын
Amen!
@joycemaxmillian4909
@joycemaxmillian4909 Жыл бұрын
Pastor,Mungu aendelee kukutunza ili tuendeleee kupata elimu hi ya mbinguni
@RambartGakinde
@RambartGakinde Ай бұрын
❤❤❤
@MN-hi8ll
@MN-hi8ll Жыл бұрын
Ni kweli watoto wanautawala wao
@jofreysilyvester1263
@jofreysilyvester1263 Жыл бұрын
Balikiwa zaidi
@MN-hi8ll
@MN-hi8ll Жыл бұрын
Watoto wanautawala wao
@mariamaswani832
@mariamaswani832 Жыл бұрын
Ni njia gani ya kuvunja madhibahu ya kifamilia
@nicholasmomanyi959
@nicholasmomanyi959 Жыл бұрын
pastor mm natokea nchini Kenya naishi uarabuni napitia magumu xn naomba maombi yako
@youthtechnologies
@youthtechnologies Жыл бұрын
Mungu hata sasa amekutendea, AMEN
@MN-hi8ll
@MN-hi8ll Жыл бұрын
Nakuombea
@chirstinapoul6107
@chirstinapoul6107 Жыл бұрын
Nimekuelewa. Mchungaji. Mmbanga
@vickybwire4049
@vickybwire4049 Жыл бұрын
Pr. Naomba unisaidie ni kwa njia gani naweza kuvunja madhabahu ya mtu mwenye urahibu wa pombe? Namaanisha nina mtu ana hili tatizo natamani nivunje hiyo madhabahu kwa ajiri yake. Siwezi ongea mengi hapa, lkn pr. Napitia changamoto ngum sana kupitia huyu mtu.
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Bonyeza hapa kzbin.info/www/bejne/j5_dkpd3Z7eIbLs
@samomarr8550
@samomarr8550 Жыл бұрын
God bless u pastor
@fredykatabei5516
@fredykatabei5516 Жыл бұрын
Tunafundishwa kwamba Mungu ni mwenye huruma.. sasa vp mtu ukiwa unaroga alafu unapata hela si siku ya mwisho utaonewa huruma na utaachiwa uingie mbiguni ?
@alphoncearmony9116
@alphoncearmony9116 Жыл бұрын
Apana bado tupo katika kipindi cha rehema na mda si mrefu utafungwa tuwe tayali Mpendwa
@youthtechnologies
@youthtechnologies Жыл бұрын
Ndio Mungu ni mwenye huruma, atakuja kuangamiza dhambi, hivyo yeyote aliyena dhambi ataangamizwa laikni walio samehewa dhambi watahurumiwa.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️.
@piscaskatembo3909
@piscaskatembo3909 Жыл бұрын
Kama mtu amejigengeya mazabau Katika njia mbovu ya ngono anaweza samehewa ?na kubadilisha maisha kuwa kiumbe kipya?
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
1 Yohana 1:9 Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote.
@michelinaakope761
@michelinaakope761 Жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga a Asante sana pastor ,naomba uniombee mimi na familia yangu maana Kunamadhabahu inayo endelea kukututesa.
@user-os3vo4sm2n
@user-os3vo4sm2n 7 ай бұрын
Amen
@godfreybruno3443
@godfreybruno3443 Жыл бұрын
Amen
@carolinemwugusi8945
@carolinemwugusi8945 Жыл бұрын
Amen
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 Жыл бұрын
Amen
@apiamtega8643
@apiamtega8643 Жыл бұрын
Amina mchungaji nashukuru sana kwa mafundisho yako ,yananipa nguvu ya kiroho
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Amen
WATU WENGI WANAKOSEA HAPA,WEWE JE?
43:49
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 40 М.
AINA NNE ZA UTOAJI WENYE BARAKA TELE SEHEMU YA KWANZA
48:35
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 52 М.
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 42 МЛН
NGUVU YA MADHABAHU -  Pastor Myamba.
55:39
Pastor Myamba
Рет қаралды 4,8 М.
VITA YA MIUNGU (ACHA MUNGU APIGANE MWENYEWE VITA HII)
1:00:19
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 78 М.
#LIVE; Pr David Mbaga. Ndoa yenye Furaha.
17:39
Sanga Richa
Рет қаралды 3,2 М.
FAIDA NNE ZA DHAHABU KATIKA KUSHUKURU-PR DAVID MMBAGA
51:35
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 29 М.
MESSAGE: REPENTANCE OF SIN
43:42
MIRACLE REVIVAL FELLOWSHIP PENTECOSTAL CHURCH
Рет қаралды 6 М.
KUSHINDA ROHO YA KUKATALIWA NA KUKOSA KIBALI || PASTOR GEORGE MUKABWA || 04/01/2024
1:24:36
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 71 М.
NGUVU YA MADHABAHU
23:27
PROPHET BILLIONAIRE MKEU
Рет қаралды 6 М.
KUVUNJA LAANA YA UMASKINI - PR  DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)
59:14
NAMNA YA KUFANYA IMANI IWE HAI KWAKO! (OFFICIAL VIDEO)
1:04:10
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 35 М.
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 42 МЛН