#1# AINA HII YA IMANI UKIWA NAYO UTAONA MENGI (Seh ya 1)

  Рет қаралды 39,600

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

3 жыл бұрын

Пікірлер: 78
@leahwainaina4396
@leahwainaina4396 3 күн бұрын
Amen
@mariawambui3918
@mariawambui3918 3 жыл бұрын
Mafundisho yako ni mazuri sana pliz pastor nakuomba siku moja uongee kuhusu wanjane mayatima
@esternaftari4553
@esternaftari4553 3 жыл бұрын
Msikilize vzr pastor mahubir yake tangu mwanz yanalenga watu wote na changamoto zao
@georgemoshi7642
@georgemoshi7642 3 жыл бұрын
Viewer wa kwanza. All the way from china 🇨🇳. Amina.
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
👏
@clementinenyabiage1620
@clementinenyabiage1620 3 жыл бұрын
I thank God for you for giving us this good messages
@DIANAMAGEMBE-dy9um
@DIANAMAGEMBE-dy9um 6 ай бұрын
Soma Hilo linadhidi kunibadilisha katika maisha yangu ya Kila siku.mimi naenda nitoe ushuhuda huu kuhusiana na masomo yangu,Kuna masomo mawili nilikuwa sijafikisha course work kwa ajili ya mitihani ya mwisho. Saiv nimekuwa miongoni wa wanafunzi tutakaofanya mitihani yote. Ninacho washauri watu wa Baba tuwe na Imani iliyo dhabiti. Nashukuru pastor mmbaga kwa somo hili nzuri
@maureenjovial6083
@maureenjovial6083 3 жыл бұрын
Asante Mungu kwa neno hili bariki mtumishi wako hadi ashangae
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
Amen
@janemoraaadogo2189
@janemoraaadogo2189 Жыл бұрын
Praise God. I am blessed by the Word coming to us in this manner.
@happymaxwell6764
@happymaxwell6764 3 жыл бұрын
Mafundisho mazuri pastor, Mungu akubariki
@judithnjalambaya2450
@judithnjalambaya2450 3 жыл бұрын
Amen. Ubarikiwe sana pastor Mbaga.
@lindaogada8760
@lindaogada8760 3 жыл бұрын
Glory be to God.....mafundisho mazuri sana 👏👏👏
@amosgidion3430
@amosgidion3430 3 жыл бұрын
AMEN, Ahsante kwa Neno, Barikiwa zaidi
@donatngarukiyintwari8282
@donatngarukiyintwari8282 Жыл бұрын
Asante sana mchungaji kwa mahubiri yako. Yesu ndiye ambaye tunamhitaji kuliko pesa.
@otiliahaule5180
@otiliahaule5180 3 жыл бұрын
Asante Mchungaji nimejifunza kusali nakuomba 🙏🙏
@irenemakokha7615
@irenemakokha7615 3 жыл бұрын
Ahsante kwa somo nzuri asubuhi hii , barikiwa mtumishi wa Mungu🙏
@user-lz6zs6oe9w
@user-lz6zs6oe9w 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana pastor,unanibariki sana
@rizikichigodi4316
@rizikichigodi4316 3 жыл бұрын
Amina barikiwa Kwa Neno la asubuhi, nimebarikiwa Sana , naomba maombi Boc wangu hataki niende kanisani Kwa sababu anasema Kuna Corona Na yeye Ananda kazini Na watoto wakitaka kutoka Wana toka
@comedyzetutv6746
@comedyzetutv6746 3 жыл бұрын
Barikiwa sana pastor
@janetndege7764
@janetndege7764 3 жыл бұрын
Thank you pastor for your good sermon which has blessed me so much, I always listen to almost every sermon of yours and Iam growing spiritually, but I need support with prayer because Iam experiencing alot of challenges in my family so I need your personal phone number please I talk with you please
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
Please text me on WhatsApp +255 755 932 283
@lutemahindiakaje5046
@lutemahindiakaje5046 3 жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga Amen
@agnesdaniel6831
@agnesdaniel6831 3 жыл бұрын
Nabarikiwa, najifunza vitu vingi pia
@yohanamasese2108
@yohanamasese2108 3 жыл бұрын
Mungu akubariki Pr
@esternaftari4553
@esternaftari4553 3 жыл бұрын
Unachosem ni kweli kuna saa unatakiw kusimam wew kama wew maan vita ni kubwa sana
@philipomasanja2373
@philipomasanja2373 Жыл бұрын
Amina MUNGU atusadiesana
@rimepeter789
@rimepeter789 3 жыл бұрын
Amen ❤🙏🙏
@juxt4sure
@juxt4sure Жыл бұрын
Amina
@MN-hi8ll
@MN-hi8ll 3 жыл бұрын
Nahitaji Yesu
@themessage3508
@themessage3508 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sn pastor najifunza mengi xn
@binbyamunguclaude8350
@binbyamunguclaude8350 3 жыл бұрын
Ahsante pr Mbaga kwa neno hili, nakufwata nikiwa congo D.r.c
@chachawantahe7923
@chachawantahe7923 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji, kwa kweli anaefatilia mahubiri tv amepiga hatua kubwa kuelekea wokovu.
@sikuzanibusanya6423
@sikuzanibusanya6423 3 жыл бұрын
AMEEEN KUBWA David wangu nakuombea kwa mungu ukuwe uje kuwa km wajina wako🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
👏
@veronicanyasingo8800
@veronicanyasingo8800 3 жыл бұрын
Asante Sana sikuwa najua maana ya Imani kama ya mtoto
@neemaapange4216
@neemaapange4216 2 жыл бұрын
Ubarikiwe pasta
@noahsempambo8833
@noahsempambo8833 Жыл бұрын
Mchungaji uko vizuri Ila nijulishe,Kuna tofauti gani Kati ya kusali na kuomba
@samwellaurent_
@samwellaurent_ Жыл бұрын
More blessings ❤❤🙏🙏🙏🙏
@wadyanali900
@wadyanali900 3 жыл бұрын
Amen. Be blessed
@maombijofre2302
@maombijofre2302 11 ай бұрын
Ubarikiwe
@jamesmedard5538
@jamesmedard5538 3 жыл бұрын
Nina barikiwa na masomo haya Pastor Bwana akuriki sana.
@bikomackos6481
@bikomackos6481 3 жыл бұрын
I'm really happy and blessed by your heavenly messages ,they answer many of my questions ,make me move close and closer to god and put everything in life into perspective. with time I've come to learn the things that happen n life happen for a reason and the reason is for the good of those who trust in the lord now my biggest question is ; which standard is hard to achieve between law and grace cause when Christ quote and quote 'go and sin no more '' it means you've been saved by grace but you should sin no more which is quite hard to achieve let me know when and on which part are you answering this I don't want to miss that happy sabbath
@joyceezekia2441
@joyceezekia2441 3 жыл бұрын
Goth Rx 77eeepq
@kulwaboneface5242
@kulwaboneface5242 3 жыл бұрын
Somo zuri ,barikiwa mwana wa mfalme
@sarahwambui879
@sarahwambui879 2 жыл бұрын
Be blessed pastor.
@mssaabeli9083
@mssaabeli9083 2 жыл бұрын
Mungu nimwema
@amosmwaz4742
@amosmwaz4742 2 жыл бұрын
Wimbo mtamu sana wanipa nguvu kwenye maishani mwangu mm patrick mbanya kutoka kenya
@velonikavalentino4189
@velonikavalentino4189 3 жыл бұрын
Asante sana kwasomo zuli Mchungaji !nazidi kujifunza kitu kupitia mahubili Tv MUNGU Akubaliki saa ?!
@piliechildofkingjesus4594
@piliechildofkingjesus4594 3 жыл бұрын
Amina.. glory to God
@DIANAMAGEMBE-dy9um
@DIANAMAGEMBE-dy9um 6 ай бұрын
Jina la yesu kristo litunzwe milele zote
@albertmokua8541
@albertmokua8541 3 жыл бұрын
Amen God bless you
@saumhamisi7320
@saumhamisi7320 3 жыл бұрын
Ameeeeen
@judithgrayson300
@judithgrayson300 3 жыл бұрын
Amina nimebarikiwa namafundisho kuwa hata malaika wanavyeo ila huyo wa vizazi tusaidie maombi tupate kuitwa bibi kwa watt wetu amina
@edwardmwaipopo8423
@edwardmwaipopo8423 Жыл бұрын
Nimepata jibu
@reaper5534
@reaper5534 3 жыл бұрын
Mchungaji Mmbaga hapo sijaelewa. Kwamba unakwenda mbinguni unakaa miaka 1000 unarudi tena dunia. Unaweza ukanisaodia kufafanua zaidi? Asante sana. Barikiwa kwa mafundisho mazuri
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
Ufunuo wa Yohana 20:6 Huo ndio ufufuo wa kwanza. Heri, na mtakatifu, ni yeye aliye na sehemu katika ufufuo wa kwanza; juu ya hao mauti ya pili haina nguvu; bali watakuwa makuhani wa Mungu na wa Kristo, nao watatawala pamoja naye hiyo miaka elfu.
@monniekevin9303
@monniekevin9303 3 жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga mchungaji nakutafuta what's up hupatikani,mambo mawili Tu ningependa kukueleza Kwa simu...
@zigashanebaleke7701
@zigashanebaleke7701 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏❤
@arjohnarjohnmulangwa7362
@arjohnarjohnmulangwa7362 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mchungaji
@mamalaozphilemon.8800
@mamalaozphilemon.8800 3 жыл бұрын
asante kwa somo nzur, pia nakusalimu sana PR DAVID pia wpe salamu waumin wte nafatilia nikiwa saudi Arabia.
@davidjamesmahe161
@davidjamesmahe161 3 жыл бұрын
Saudi Arabia ndo wapi!!?
@delishbby8542
@delishbby8542 3 жыл бұрын
Proverbs 3:5-6
@emmanuelmbwambo6571
@emmanuelmbwambo6571 3 жыл бұрын
SAWA mchungaji.
@jessikaakinyi8445
@jessikaakinyi8445 3 жыл бұрын
Swali pastor ukibarikiwa na usaidie wengine ni a must kanisani pia utoe sadaka ya shukrani ama?
@velonikavalentino4189
@velonikavalentino4189 3 жыл бұрын
Samahani misijui kujiunga kwenye gurupu nifanyeje
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
Una telegram?
@edwardmwaipopo8423
@edwardmwaipopo8423 Жыл бұрын
Kuna tofauti ya kusali na kuomba?
@jaredmayaka2993
@jaredmayaka2993 2 жыл бұрын
Please pastor aki please help me one thing kushari,help me to understand kushari please
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 2 жыл бұрын
Kushari or kushauri?
@deogratiasmazangi-mk4fp
@deogratiasmazangi-mk4fp 3 ай бұрын
Amen
@lennahombiro3577
@lennahombiro3577 3 жыл бұрын
Amina
@lucysimiyu2051
@lucysimiyu2051 3 жыл бұрын
Amen
@rwesimbibicharles8994
@rwesimbibicharles8994 3 жыл бұрын
Amen
@rwesimbibicharles8994
@rwesimbibicharles8994 3 жыл бұрын
Amen
@vailethkinabo7961
@vailethkinabo7961 3 жыл бұрын
Amen
@NISONLINETV
@NISONLINETV 3 жыл бұрын
Amina
@annasteven376
@annasteven376 3 жыл бұрын
Amina mtumishi ubarikiwe kwa neno
MUNGU ANAJUA NI LINI MAMBO YAKO YATAKAA SAWA (SEH 2)
26:04
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 54 М.
HUWEZI KUFANIKIWA KIMAISHA BILA  MATATU HAYA.... SEH YA TATU
38:55
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 4,4 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН
DAY 1: B: IMANI YA MTU WA MUNGU KTK SIKU ZA MWISHO: KURUDI KWA YESU (Mwl. Mgisa Mtebe)
26:25
MWALIMU MGISA MTEBE OFFICIAL CHANNEL
Рет қаралды 1,4 М.
ABAGOROZI NYAKURI gusohora k'Ubuhanuzi n'amategekoy'Icyumweru
1:27:39
MUPENZI INNOCENT
Рет қаралды 302
IMANI NI LUGHA YA MOYO
17:44
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 40 М.
ELEWA VITU VINAVYO ZIPA MADHABAHU NGUVU ZA KUKUTESA
56:24
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 40 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: KIBIBLIA MWANAMKE NI NANI.  [ 1 ]
45:54
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 430 М.
KUSHINDA VITA BILA KUPIGANA (OFFICIAL VIDEO)
1:25:40
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 56 М.
Dr. Chris Mauki: Mambo 8 ya Kukusaidia Kuishinda Hofu
12:14
Chris Mauki
Рет қаралды 31 М.
MUNGU ANAJUA NI LINI MAMBO YAKO YATAKAA SAWA (SEH 1)
25:13
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 102 М.
MAMBO MATATU MUHIMU KATIKA MAWASILIANO YA ULIMWENGU WA KIROHO!
1:06:47
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН