UBATIZO WA ROHO MTAKATIFU SEHEM YA PILI

  Рет қаралды 14,833

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

Күн бұрын

HAPA NDIPO UTAJUA KWANINI WENGI HAWAPATI

Пікірлер: 43
@rclever6311
@rclever6311 3 жыл бұрын
Amen na asante kubwa baba naomba ifanye nini ili nijazwe na roho mtakatifu
@josefojuliaovicente9237
@josefojuliaovicente9237 2 жыл бұрын
Eeeh Mungu nijaze na Roho wako Mtakatifu😭😭🙏🙏🙏🙏
@selfaakinyi512
@selfaakinyi512 5 жыл бұрын
Eeeh mungu wangu nasubiri na hamu ya ahadi yako yakujazwa na Roho wako mtakatifu.from Qatar.
@kwizeraelly9261
@kwizeraelly9261 5 жыл бұрын
Amen!pastor nabarikiwa na somo la roho mtakatifu.Mungu akubariki sn unaendelea kunilisha neno la uzima.
@maureenkemei9254
@maureenkemei9254 4 жыл бұрын
Amina hakika naomba ujazo wa Roho mtakatifu
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 6 ай бұрын
Powerful. The means and the end of faith.
@monniekevin9303
@monniekevin9303 4 жыл бұрын
Amen amen amen
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 2 жыл бұрын
Ur very good teacher...
@amosyumbu5963
@amosyumbu5963 5 жыл бұрын
Barikiwa pastor Mmbaga unanibariki sana
@robisonjohnbosco5677
@robisonjohnbosco5677 5 жыл бұрын
Asant pr mmbaga nina balikiwa sana kuto huk kagera, karagwe mungu aingilie kazi zetu atu badilishe kabisa
@loycemgonja2634
@loycemgonja2634 5 жыл бұрын
Barikiwa Pastor
@barakajoseph1816
@barakajoseph1816 5 жыл бұрын
Barikiwa sana Pr,,naendelea kujifunza kila siku,Mungu azidi kukutumia siku zote
@wegesaelias9568
@wegesaelias9568 5 жыл бұрын
Mchungaji asantesana kwa somo hili umeniokoa, tufundishe nasomo la kujipamba kwetu kuweje
@maryammalimu9150
@maryammalimu9150 5 жыл бұрын
Kweli
@godifreypaul9409
@godifreypaul9409 5 жыл бұрын
Mi nachukua point tu hapo.Ubarikiwe mtumishi.
@yekutielgoldstein9712
@yekutielgoldstein9712 5 жыл бұрын
Amina.
@kusakabuga282
@kusakabuga282 5 жыл бұрын
Amen
@mussayebete8919
@mussayebete8919 4 жыл бұрын
Maana mwili wangu umejaa ubaridi ukiniambia na roho ikiniambia nieende alafu roho mwingine ananizuia
@jamesmboga7325
@jamesmboga7325 5 жыл бұрын
Thanks for your inspiring sermons. May the Lord bless you.
@christophermalilah7110
@christophermalilah7110 5 жыл бұрын
Amen
@bauchiza3382
@bauchiza3382 5 жыл бұрын
Amina.
@marycheupe8613
@marycheupe8613 5 жыл бұрын
Mungu atusaidie jamani
@Mpakauseme
@Mpakauseme 5 жыл бұрын
Wakati nazunguka zunguka hapa uchina nilikutana na mtu mke mmoja akanifuata kisha akaniuliza wewe ni mkristo ni kasema ndio na kisha akalitaja na dhehebu langu nilishanga sana na mpaka sasa bado sijapata majibu sawa sawa
@mussayebete8919
@mussayebete8919 4 жыл бұрын
Mchungaji kuna mtoto hapa amekamatwa na pepo lakini roho yangu inaniambia niende nikamuombee roho ingine inaniambia nisiende nifanyeje kama upo online naomba msaada
@piterlaiza5576
@piterlaiza5576 5 жыл бұрын
Hakika hakika !!!!!! Sina neno
@janejoseph9009
@janejoseph9009 5 жыл бұрын
hii ilinikuta mm baada ya kutenda dhambi nikakosa amani nikawa naumia bas baada ya kuomba rehema na kutubu MUNGU akanisamehe ndipo amani ikanirejea tena
@labanmitinje3432
@labanmitinje3432 5 жыл бұрын
Nimebalikiwa na mahubiri, nivizuri Sana kuwa unavoutoa ukweli nanikweli hiyo ipo
@mn9484
@mn9484 5 жыл бұрын
Kile ninachokisema sana ninakipa uhai
@esternaftari4553
@esternaftari4553 5 жыл бұрын
Ni kitu unanifundish naomb Roho mtakatifu anisaidie kuelewa vitu hivi
@gracenjoroge6890
@gracenjoroge6890 5 жыл бұрын
Nahitaji kuongea na ww Pr...0766564500
@davidmmbaga3350
@davidmmbaga3350 5 жыл бұрын
Grace Njoroge +255 755 932 283 piga saa tatu asubuhi
@gracenjoroge6890
@gracenjoroge6890 5 жыл бұрын
David Mmbaga Asante
@damchone9478
@damchone9478 5 жыл бұрын
Amen
@mandwashija4992
@mandwashija4992 5 жыл бұрын
Amen
@neemajacob2683
@neemajacob2683 5 жыл бұрын
()
@shijamsoma3147
@shijamsoma3147 2 жыл бұрын
Kwanini husomi mafungu ya kuadhimisha ujazo wa Roho Mtakatifu ikiwa ni Ishara ya utambulisho ni kusema kwa Rugha nyingine kama Roho anavyo jalia kutamka unaya katakata yaseme watu waone njinsi ilivyo watu wanakiu ya kupokea kujazwa sio kutafakari au kuhisi maana ni tukio halisi Kumbuka Yesu ndiye aliye sema wata sema kwa rugha Pya mbon huya somi toka pentecoste kwa mitume hawakutafakari walinena kwa rugha wakasikika koronerio naye alisikika akimwadhimisha Mungu kwa kusikia na mitume kuwa naye amepokea Roho Mtakatifu msimzuie Roho Mtakatifu kazi yake katika kanisa waachilieni watu kweli ya Mungu yote kwa unyenyekevu ahsante na Amina
@mandwashija4992
@mandwashija4992 2 жыл бұрын
@@shijamsoma3147 sijakuelewa hata unachomaanisha, unauliza swali au unatoa ushauri kwangu au kwa pastor?
@dianamhanila5187
@dianamhanila5187 5 жыл бұрын
Amen
@nippermshana9260
@nippermshana9260 5 жыл бұрын
Amen
UBATIZO, AMBASSADORS OF CHRIST CHOIR, COPYRIGHT RESERVED, 2013
4:34
Ambassadors of Christ Choir
Рет қаралды 412 М.
KUOMBA KATIKA ROHO MTAKATIFU (SEH B)
1:03:58
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 32 М.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
UBATIZO WA MAJI MENGI
3:25
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 3,9 М.
KUJISALIMISHA KWA ROHO MTAKATIFU SEH 2
53:32
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 10 М.
Judikay - Omemma (LIVE)
6:29
EeZee Global
Рет қаралды 101 МЛН
ELEWA NGUVU ILIYOPO KATIKA JINA NA DAMU
33:00
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 21 М.
Ubatizo wa Roho Mtakatifu
- Askofu Dr. Magnus Mhiche
56:13
TAG - Mbagala Mission Centre
Рет қаралды 2,1 М.
UKIONA DALILI HIZI KATIKA UCHUMBA,TAMBUA NI HATARI
23:36
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 118 М.
HAYA NDIYO MATOKEO YA ROHO MTAKATIFU MAISHANI (SEH A)
32:37
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 14 М.