KUOMBA KATIKA ROHO MTAKATIFU (SEH B)

  Рет қаралды 31,874

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 46
@upendowijengo310
@upendowijengo310 Жыл бұрын
Mungu akubarik Zaid na Zaid mtumishi wa Mungu.
@SalomeMoturi
@SalomeMoturi 4 ай бұрын
Amen ps. Barikiwa
@yusuph1547
@yusuph1547 4 жыл бұрын
Ninavitu vingi kujifunza nimeelewa sijamfahamu Mungu vizur,ninaamin hata kuomba sijui niakili yangu tu ndio inaomba sio roho
@leahwainaina4396
@leahwainaina4396 11 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu
@claracasto7615
@claracasto7615 2 жыл бұрын
Pr Ubarikiweee sanaaa
@selfaakinyi512
@selfaakinyi512 4 жыл бұрын
Kusema ukweli sijawai kunenea sadaka yangu . sikujuwa ni muhimu. Thanks pastor kwa somo hii. From Qatar
@magynzioka1122
@magynzioka1122 3 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi WA MUNGU
@leahwainaina4396
@leahwainaina4396 11 ай бұрын
Nimebarikiwa nikiwa hapa saudi Arabia
@shukranjulius5910
@shukranjulius5910 3 жыл бұрын
Bwana akubariki
@EsterKasimu-xy1su
@EsterKasimu-xy1su Жыл бұрын
Uyo ni mimi jamin maombi marefu adharani nimecheka mchungaji. Mungu akubariki
@janenjenga5639
@janenjenga5639 4 жыл бұрын
Hallelulia hili neno ni langu mtumishi 🇰🇪🇦🇪✊✊
@bahatijohn4877
@bahatijohn4877 4 жыл бұрын
Ubarikiwee sana
@nippermshana9260
@nippermshana9260 4 жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana , barikiwa pastor
@ajemwimodoro5680
@ajemwimodoro5680 4 жыл бұрын
Meditation nzur mno ,,,, ,,,barikiwa Sana Pr Mbaga.....
@verynicemkaro7116
@verynicemkaro7116 4 жыл бұрын
Inatukuta sanaa jamani Mungu nisaidie
@barakajoseph1816
@barakajoseph1816 4 жыл бұрын
I feel so much blessed
@francismwakio7988
@francismwakio7988 Жыл бұрын
Je Ni lazima kunena kwa ndime kama umejazwa na roho mtakatifu
@nathanmhuli56
@nathanmhuli56 Жыл бұрын
Pr baraka zikuandame
@shijamsoma3147
@shijamsoma3147 2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu unaposema kunena kwa rugha sio kuomba katika Roho unamaanisha nini kuwa 1kor 14:14 Nikiomba kwa rugha roho yangu huomba. Kwa fungu hili unasemaje mbn huineni kweli ya Mungu inavyopaswa kunenwa kama hujawahi kukutana na nguvu za roho mtakatifu Mtakatifu Yesu vizuri utaelewa kwanini kunena kwa lugha ni kuomba katika roho
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 4 жыл бұрын
Mchungaji umenisaidia sana kwa vile nikiomba sikuwangi na maneno ya kusema hata sijawai maliza 10 min kwa maombi. Lakini nimepata jawabu. Barikiwa sana
@patricejakanyadagi4069
@patricejakanyadagi4069 4 жыл бұрын
Nmejifunza kuanzia leo
@raheemamkambha6013
@raheemamkambha6013 4 жыл бұрын
Ameen
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 4 жыл бұрын
Amen
@nathanmhuli56
@nathanmhuli56 Жыл бұрын
Ame
@mn9484
@mn9484 4 жыл бұрын
Ninapotoa sadaka niongee rohoni. Nilijifunza hii kupitia Mchungaji nilipoanza kufatilia Mahubiri TV.
@stevenbenson1499
@stevenbenson1499 4 жыл бұрын
mchungaji sisi ni watu ambao tunafuatilia mahubiri yako kwa ukaribu sanaa lakini ninaombi nakumbuka siku moja wakati unahubiri ulisema uliandaa chaneli ya mahubiri Tv ili tuachane na kufuatilia vitu ambavyo havifai vya kijinga lakini je unaonaje ukaandaa Group la wasap ambao litakuwa linatumika juu ya malezi yetu ya kiroho na tutakapo itaji ushauri kutoka kwako au tutakalo tumia kuuliza maswali magumu pale tutakapo shidwa kuelewa tunapo soma biblia please fikilia ivoo
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 4 жыл бұрын
Steven Benson Mungu akubariki kwa wazo jema,kuna group la maombi tayari! Tuma number kwenye infomahubiritv@gmail.com
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 4 жыл бұрын
Pia mimi nahitaji kujiunga na hiyo group
@mishyalrawaili1139
@mishyalrawaili1139 3 жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga pasta mungu akubariki Sana nakuombea
@mwanawambeli7771
@mwanawambeli7771 4 жыл бұрын
Pray for me pastor najisi ujungu ndani ya moyo wangu
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 4 жыл бұрын
MUNGU AKUPE AMANI,AKUFUNULIE NINI CHA KUFANYA
@mackynicky8278
@mackynicky8278 4 жыл бұрын
Mchungaji Mmbaga naomba kuongea na wewe, nakupata kwa namba ipi jamani!!
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 4 жыл бұрын
Mtafute Facebook lakini hapa huwezi pata jibu Lake
@pheniacepaul277
@pheniacepaul277 4 жыл бұрын
HIvi pastor hili swala la meditation kwa mara ya kwanza nilisikia upagani, naomba kujua inaruhusiwa kutumiwa kanisani pia, na jee mipaka yake inakuaje maan kule upani wanasema kuna mpaka kufungua jicho la tatu. Naomba siku moja utoe elimu juu ya meditation asante wakati ukilifikilia hili ombi langu.
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 4 жыл бұрын
PHENIACE PAUL MEDITATION YA KIPAGANI NI HATARI SANA,INAKUINGIZA KATIKA IBADA YA SHETANI KIDOGO KIDOGO,WENGI HAWAJUI!! UNAFUNGUA AKILI YAKO KUTAWALIWA NA NGUVU NYINGINE,UKWELI NI KWAMBA SHETANI HANA JIPYA,ANACHUKUA VYA MUNGU ANAPOTOSHA,KAMA PALE EDENI ALIVYO BADILISHA. KUTAFAKARI NI JAMBO LA BIBLIA ILA ADUI AMEPOTOSHA. Mwanzo 24:63 Isaka akatoka ili kutafakari kondeni wakati wa jioni; akainua macho yake, akaona, kuna ngamia wanakuja. Ukipata kitabu changu cha siri ya maombi yaliyojibiwa nimeeleza kidogo. Hata hivyo nitaanda somo hilo Zaburi 104:34 Kutafakari kwangu na kuwe kutamu kwake; Mimi nitamfurahia BWANA.
@nelsonkyando3411
@nelsonkyando3411 4 жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga asante nimebalikiwa
@janejoseph9009
@janejoseph9009 4 жыл бұрын
😂😂haswaa kuomba kwa akili jaman MUNGU nisaidie
@janejoseph9009
@janejoseph9009 4 жыл бұрын
mm mara nyingi natumia zaburi 102 kila niingiapo kwenye sala na kunakipindi niliacha lakn siku moja nikiwa nime lala niliota ndoto ambayo inasema nisome zaburi 102 asubuh ile nashtuka tu nikasema acha niangalie hii zaburi inasemaje ndipo nikakuta ni ileile ambayo niliiacha ndipo nikajuwa kuwa kunauhusuano mkubwa kwenye hii zaburi kulingana na mahitaji yangu kwa MUNGU
@anastaziafrancis191
@anastaziafrancis191 4 жыл бұрын
Pasta naomba kuongea na wewe kwa simu
@davidmmbaga3350
@davidmmbaga3350 4 жыл бұрын
Anastazia Francis piga +255 755 932 283
@AliBaba-fv3rj
@AliBaba-fv3rj 4 жыл бұрын
I want talk to you pasta pasta
@davidmmbaga3350
@davidmmbaga3350 4 жыл бұрын
Ali Baba email me at infomahubiritv@gmail.com or mahubirimbaga@gmail.com
@davidmmbaga3350
@davidmmbaga3350 4 жыл бұрын
Au piga +255 755 932 283
@trihanah7725
@trihanah7725 4 жыл бұрын
Helloo mutumishi wa mungu nisaidie na namba yako ya whatsap plz niko Dubai
@maureenjovial6237
@maureenjovial6237 4 жыл бұрын
Amen
@leahwainaina4396
@leahwainaina4396 11 ай бұрын
Amen
🔴 ANZA KUJITAMBUA KATIKA HILI | PR. DAVID MMBAGA
1:04:28
SUA SDA CHURCH
Рет қаралды 8 М.
HAYA NDIYO MATOKEO YA ROHO MTAKATIFU MAISHANI (SEH A)
32:37
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 14 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 51 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 54 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 32 МЛН
KUOMBA KATIKA ROHO MTAKATIFU(SEH A)
30:46
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 20 М.
ILI IMANI IWE IMANI LAZIMA IWE NA SIFA HIZI
1:07:52
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 25 М.
How Kikuyus Rejected Ruto's Jamuhuri Speech
11:11
KimathiTV
Рет қаралды 21 М.
Somo: NINI MAANA YA KUOMBA KATIKA ROHO by Innocent Morris
1:29:43
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 2,8 М.
MOYO WA IBADA(mabadiliko ya moyo wa ibada).
58:15
MWL.STEVEN MISANGO
Рет қаралды 316
MAMBO MATATU MUHIMU KATIKA MAWASILIANO YA ULIMWENGU WA KIROHO!
1:06:47
KUTUMIA VIZURI VITABU VYA ROHO YA UNABII BY BENJAMIN NDIMUBANDI
1:41:57
REVIVAL AND REFORMATION KENYA
Рет қаралды 567
SIRI KUBWA KUHUSU VYAKULA SEH 1(ANGALIA VIDEO HII KABLA HAIJATOLEWA)
1:03:21
UMUHIMU WA KUONGOZWA NA ROHO || PASTOR GEORGE MUKABWA
1:17:28
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 67 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 51 МЛН