MAISHA HALISI YA CANADA KWA WAAFRIKA: Mahojiano na Mtanzania anayeishi Canada

  Рет қаралды 11,405

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Күн бұрын

Пікірлер: 64
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 2 жыл бұрын
KZbin channel ya Tabitha hii hapa, please subscribe kzbin.info/door/gJtYPwNkRIMgqmJ-AMGRPA
@MRST_1662
@MRST_1662 2 жыл бұрын
Ilikuwa vizuri sana kufanya mahojiaono na wewe tena thank you so much for having me. Wewe ni mwalimu mzuri. Am always learning something new from you. It was great time as well nimecheka sana! Haha 🤗🙏🏿👏🏿
@wilsonm.7376
@wilsonm.7376 2 жыл бұрын
TN tuambie pia ulitumia njia gani kuingia canada..?
@safitvswahili1753
@safitvswahili1753 2 жыл бұрын
Thanks bro EBM.... Unaniinspire sanaa!!! Vitu vingi nakujifunza pia.!!🙏
@anastaziamidaba8908
@anastaziamidaba8908 2 жыл бұрын
EBM nimevutiwa sana na discussion yenu leo.Big up brother
@just.elhadji__7148
@just.elhadji__7148 Жыл бұрын
I really enjoyed this kinda podcast.....very informative/Educative for sure❤👍.....I've ever wanted to be in Canada ever since I was young! May God Make easy path for me!😊
@marilynnwafula6091
@marilynnwafula6091 2 жыл бұрын
Thank you Brother Ernest. I just discovered your channel a few days ago and I am truly learning a lot. Be blessed.
@kassimmohammed6340
@kassimmohammed6340 2 жыл бұрын
mkuu ungetupa muongozo wa kufika canada hii ni ndoto ya walio wengi nikiwemo mimi mawakala wa huku kuja kwenda canada ni wa uongo sana ila kama utatuaminisha kwa kufika huko kwa uhakika utatusaidia sana sana
@safimatola4436
@safimatola4436 10 ай бұрын
Mwambie atupe njia za kufika huko
@Drejons26
@Drejons26 2 жыл бұрын
Hata kma kizungu nilikuwa najua ila leo bwana ndo umezikonga nyoyo zetuu … mr EBM wenzio tunapendaga hiz story sanaaa pleaseee tunaombaa utuletee waafrika wengine wengii watupee story zao za ulayaa
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 2 жыл бұрын
Tutazidi kufanya interviews na watu wengi. Lengo ni kusikia kutoka kwa watu wengine pia kuelezea waliyopitia na maisha yao ya ughaibuni hadi kufikia walipofikia
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 2 жыл бұрын
Kaka hauna namba ya Whatsapp?
@theresiamichael6641
@theresiamichael6641 2 жыл бұрын
kazi nzuri, keep up the good job hususani kufungua macho watanzania na mataifa yanayozungumza na kuelewa kiswahili
@mscantraah8210
@mscantraah8210 2 жыл бұрын
Thank you so much god bless you 🤲🏻🤲🏻🤲🏻
@abiiajmi2399
@abiiajmi2399 2 жыл бұрын
Good conversation
@ramsrafiki1212
@ramsrafiki1212 3 ай бұрын
My name is RAMS from congo 🇨🇩 but I live in South Africa 🇿🇦, I want to know about Canada,
@kassimchaku477
@kassimchaku477 2 жыл бұрын
Kaka ubarikiwe sana elimu nzuri unawaza vizuri sana unapenda watu wachangamkie fulsa kwa kweli tunajifunza mambo mengi kutoka kwenu huko
@elibarickmateru6193
@elibarickmateru6193 9 ай бұрын
Barikiwa kaka uko powa unashusha madini viziri sana
@tariqmgomi7183
@tariqmgomi7183 2 жыл бұрын
Nimependa sana hii interview ya leo kaka
@arodiathomas6425
@arodiathomas6425 2 жыл бұрын
Hongera sana kwa kutujuza mambo mengi ya marekani na canada
@dafrosakomba7504
@dafrosakomba7504 2 жыл бұрын
Asante sana
@gee_gm
@gee_gm 2 жыл бұрын
Mzee wa madini! 💪👏👏
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 2 жыл бұрын
Pamoja sana, asante
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 жыл бұрын
@@EBMSWAHILI natamani nifike Canada! Na ninafanya kazi ya Sanaa! Ninatengeza vikapu yaani Mimi ni artist! Na kazi yangu inapendwa Sana na hasa wageni.. je nataka kujipanua zaidi kimauzo! Je nitafikaje? Please please kaka EB M...Ninaitwa Anna, ninaishi Arusha Tanzania.
@abdulhafidhswaleh1174
@abdulhafidhswaleh1174 Жыл бұрын
​@@EBMSWAHILI habari kaka vp hali naomba tuwasiliane
@abdulhafidhswaleh1174
@abdulhafidhswaleh1174 Жыл бұрын
​@@EBMSWAHILI niko na haja ya kujua zaidi kuhusiana na canada
@sultanseifu2555
@sultanseifu2555 2 жыл бұрын
KAZI nzuri Kaka Ebm endelea kushusha nondo
@elibarickmateru6193
@elibarickmateru6193 9 ай бұрын
EBM unaelewa sana kazi yako hongera sana
@christophenkurunziza7208
@christophenkurunziza7208 Жыл бұрын
Asante kwa kipindi hiki hata kwa chanel ya EBM Sasa kama inawezekana nipate namna yakuongeya na wewe private thank you
@uniqtraveller2162
@uniqtraveller2162 Жыл бұрын
Tatizo la hii interview ni kuwa Kaka EBM Swahili unaongea sana! Ni vyema ukampa muda na nafasi unaye muhoji aongee kwanza! Ile interview uliyofanya na Shabani yule anaye endesha magari ya mizigo ilikuwa nzuri sana kwani ulimpa nafasi ya kuongea. Hizi nyingine wewe badala ya kumpa nafasi muhusika wewe ndo unajipa nafasi matokeao yake tunakosa kupata undani na uhalisia wa maisha ya hapo canada. Sad 😢
@Winstonfying
@Winstonfying 2 жыл бұрын
Sisi ni wajumbe wa kamati ya Roho mbovu 😅😅hongera sana bro
@klaussteiner94
@klaussteiner94 2 жыл бұрын
winston kaka👍 etiii kamati ya roho mbovu😂😂
@Winstonfying
@Winstonfying 2 жыл бұрын
@@klaussteiner94 😅😅
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 Жыл бұрын
Hivi youtube channel na tv channel kuna tofauti gani?
@kwizeramo-white6086
@kwizeramo-white6086 10 ай бұрын
Hi❤❤❤👋👌👌👌🇧🇮👌👌
@user-kb2qu3he6j
@user-kb2qu3he6j Жыл бұрын
How about Montreal city can you direct about it
@shekhamohammed560
@shekhamohammed560 2 жыл бұрын
Nakuelewa kaka video zako unatupa elimu kila wakati nafungua video zako
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 2 жыл бұрын
Nashukuru sana
@janethngowi8783
@janethngowi8783 10 ай бұрын
EBM nafurahia sana mazungumzo Yako na jinsi unavyituambia ukweli Watanzania dahhh kwa kweli sisi ni tatizo
@MAISHAYACANADA
@MAISHAYACANADA 2 жыл бұрын
Hongera brother hakuna video yako nisiyo fatili umenifungu vitu vingi sana
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 2 жыл бұрын
Nashukuru sana. Leo hii nipo naandaa videos kama 15 ninaposti. Maana majukumu yalibana kufanya kutoposti videos nyingi. Tutazidi kutoa elimu
@MAISHAYACANADA
@MAISHAYACANADA 2 жыл бұрын
Safi sana we ndio imenisaidi mpka nimejua ishu ya green card lottery na mwaka huu nimecheza niombe sana pia nimeomba visa ya Marekani Mungu akisaidi mwakani naweza kuja huko nakutegemea sana uniongoze kwenye kupambana na maisha
@hamsikrasheedi1796
@hamsikrasheedi1796 2 жыл бұрын
mungu akubariki anko kwa elimu unayo tupa ♥🙏🏼
@mrembowakisukuma1447
@mrembowakisukuma1447 2 жыл бұрын
Ubarikiwe kaka
@safitvswahili1753
@safitvswahili1753 2 жыл бұрын
Ukimya wakutotoa video hv karibuni,nilihis Kuna kitu nakosa madini yako brother!!!
@safimatola4436
@safimatola4436 10 ай бұрын
Naomba no yako niweze kufika huko
@bajunimgunya8559
@bajunimgunya8559 2 жыл бұрын
EBM UNASAIDIA SANA MKUU...kutoka Tanzania
@user-jt6it7ij7h
@user-jt6it7ij7h Жыл бұрын
Dada naomba unipatie maelekezo n mm nkatafute maisha
@CheerfulJackalope-uu9ls
@CheerfulJackalope-uu9ls 4 ай бұрын
Niunganishe na kambun za ajira canada
@IssaIddi-vb9yi
@IssaIddi-vb9yi 5 ай бұрын
Kaka wewe unazaidi ya miaka kumi ulaya ila kiswahili akijabadilika,naomba nijue uyo unaye muhoji anamuda gani Canada mbona kama kinampa shida kiswahili au ndio arikuwa bongo Bahati mbaya
@richardhosea8827
@richardhosea8827 2 жыл бұрын
Jamanii huyu Tabiza eti hajuwi kiswahili
@klaussteiner94
@klaussteiner94 2 жыл бұрын
yan aiseee kaka rich acha brooo 😅😅😅
@rwambukiranafreddy4656
@rwambukiranafreddy4656 2 жыл бұрын
From rwanda Nakupenda sana kaka nani naskiliza sana Chanel yako
@salhinashabani7995
@salhinashabani7995 2 жыл бұрын
BONGO... MWENDO WA KICK TU..... HAHAHAHAAAAAA.....
@klaussteiner94
@klaussteiner94 2 жыл бұрын
salhina🙌🙌😂😂
@raheemaathumani8663
@raheemaathumani8663 2 жыл бұрын
Najifunza vingi sana kaka
@rehimajone7508
@rehimajone7508 2 жыл бұрын
Kaka mimi nahitaji mahojiano na wewe kuhusu kupata scholarship ya binti yangu
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 Жыл бұрын
Je mume wako anakuzuia kuwahudumia wazazi wako kwa kuwatumia pesa?
@janemakemo5635
@janemakemo5635 Жыл бұрын
Nimekupenda dadamaneno mazuri kuliko wooooote walio ojiwa
@eveassey5162
@eveassey5162 2 жыл бұрын
Kama nime fanikuwa kuja Canada nilazima nichanjwe chanjo ya Corona? Pia hizi chanjo ni salama kwl makulilo? Tafadhal nielimishe bro
@richardhosea8827
@richardhosea8827 2 жыл бұрын
Mha muongo ni wachache sana waongo wabembe ebana wee Erenest anasaidia sana
@DaudKhamis-vp7nd
@DaudKhamis-vp7nd Жыл бұрын
Mbona mishahara hamtaji
@adoranancy9093
@adoranancy9093 11 ай бұрын
😂😂😂 nielimishe tafadhali. Kiki ni nini please
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 жыл бұрын
Nimecheka sana hapo kwa kiingereza na kuhusu watoto kudate, na EBM mwenyewe kudate..,hapo ni mimi kabisaa, kama ningetaka kuishi bongo ningedate mswahili😂😂 Kwa kweli nimeikuta hii channel yako siku cheche hizi hata wiki mbili bado, lakini nimependa sana maongezi yako EBM. Big up nitashea sana kurasa zako.
Safari ya Mkimbizi ya Kupata Makazi Mapya Nchini Kanada
6:02
Citizenship and Immigration Canada / Citoyenneté et Immigration Canada
Рет қаралды 3,4 М.
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 61 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,4 МЛН
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 9 МЛН
NAMNA YA KUFIKA CANADA | KAZI ZA CARE ZINAKUTOA KIMAISHA | CHUNGA MAISHA YAKO YA MTANDAONI
1:22:20
Jua haya kabla ya kuomba Green Card Lottery mwezi October
44:11
EBM SWAHILI
Рет қаралды 10 М.
EBM na JOYCE K NURSE wakutana kuongelea maisha ya Canada na USA
19:24
8 things you need to know before moving to Toronto
9:07
Moving2Canada
Рет қаралды 393 М.
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 61 МЛН