Kaka habari za leo samahani Mimi nimependa interview zako ma Mr Shabani Track Driver and owner operator, naomba uniwezeshe kunionyesha njia ya kuja huko Ili nieze kufanya kazi ya brother Shabani ya Track Driver tafadhali brother Ernest naomba msaada brother nakuombea kwa mungu kwa kazi unayoifanya ya kuelemisha watu mungu akulinde sana.
@just.elhadji__7148 Жыл бұрын
Canada all the way up....Mungu nisimamie nifikee inshallah👍.....I dreamt it all ever since I was young🤲❤💪
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Karibu saana
@mfumigal2 жыл бұрын
Great job sir. Good research and advice.
@aureliasamwel90073 жыл бұрын
Asante chambu nimekupata vizuri.
@michaelipius26603 жыл бұрын
Asante San kaka nimekuelewa
@sekikigosi82652 жыл бұрын
Hongera sana kaka EBM.
@khalfanallbusaid20352 жыл бұрын
Kaka nimekupata vizuri
@babamenina32372 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa elimu nimepata mwanga
@mahsinmbarak7191 Жыл бұрын
Unaogea sana bro nenda kwenye point
@elsaMo-b5r2 жыл бұрын
True Mr EBM nimekuelewa brother.
@barakasilvestar3792 жыл бұрын
bless
@abelkanuti57443 жыл бұрын
UMEELEWEKA vizuri sanaaa
@hamsikrasheedi17962 жыл бұрын
shukran kaka kwa elimu yako mungu akulipe
@nelealameck53763 жыл бұрын
Asante Sana
@sharifamwamba38322 жыл бұрын
Habari kaka
@Moses-t1y Жыл бұрын
Good job of broadening people's brain,but may I ask you about(kazi za sulubu)as we call them here in Kenya would you advise even non skilled to seek job in Canada
@abdallahyusuf7641 Жыл бұрын
Swadakta brow
@ahmuhally44303 жыл бұрын
Nakukubali sana mkuu
@christianeinstein25683 жыл бұрын
All the way from Zambia , i get u bro
@bakarikassimkijuu42433 жыл бұрын
Kaka erinest nafurahi sana unatupa elimu dhidi ya maisha ya ughaibuni.
@edwardouma16302 жыл бұрын
Nimefulai kaka kwa mafunzo mazulu nikiwa jijini Nairobi Kenya
@sharifamwamba38322 жыл бұрын
EBM makulilo, mimi mtanzania, ufuatilia sana vidio zako, naamini kwako nimekeja pata msada wa kutimiza ndoto yangu ya kuja Canada
@charleskuyeko44002 жыл бұрын
Ulakoze chane.
@harrisarshed6788 Жыл бұрын
Mm nauliza ikiwa raia wakanada je unaweza kuishi marekani kwamfumo gani
@jn_mustonez78423 жыл бұрын
Aiseeee haya bwana
@babamenina32372 жыл бұрын
Mm ni watoto 2 ambao nimewazalia Moçambique ambao wameshakuwa watu wazima wameshakuwa raia wa kuzaliwa je wakitaka kucheza hii green card lottery naomba maelezo
@jamalhussein27742 жыл бұрын
mie nahitaji kuishi canada nipitie njia ngan mpak nipate visa na fursa ya kuwa raiya wakule
@eunicemwanza59602 жыл бұрын
How can I apply for job in Canada as a domestic work help
@kadunawewe72482 жыл бұрын
Nataka niende kufanyakazi canada za hoteli au usafi nisaidie kakaangu passport ninayo
@rasheedykatunzi95063 жыл бұрын
Kaka hata kusalimia,,yani unaanza directly so who will watch if u dont take care of ur customer Care
@mtatapharaoh51742 жыл бұрын
That bullshits exist in Banana country where you live... people in different dispora got are very direct...you should appreciate people's time...you go with that stupid overseas...you fail from the jump...you belong where you live where you can dictate people to operate...not overseas..
@geomangi61232 жыл бұрын
nimecheka yangu yoote bora ujumbe umefika.
@ibrahimuhincha14572 жыл бұрын
Salam inapoteza mda acha uswahili
@sharifamwamba38322 жыл бұрын
Nisaidie njia ya kwenda Canada, au niipate namba ya joyce, kwa njia rahisii ya WhatsApp
@bakarikassimkijuu42433 жыл бұрын
Naomba email yako kaka niweze kukupata personal.
@upendowakwelinaamani10602 жыл бұрын
Naomba kujua malipo ya kazi ya Canada na USA nisawa au yanatofautiana maana sijaelewa unaweza kukuta malipo hayalingani
@kingpharaoh69812 жыл бұрын
Canadian dollar is $1 weaker than USA $
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Yanatofautiana mno mno Canada yapo chini saana nimeishi kote
@trophywilson7211 Жыл бұрын
@@kingpharaoh6981 hata malipo Canada yapo chini ile Wage rate
@wakuitwangosha Жыл бұрын
@@trophywilson7211 kwa hiyo usa ukipata chance ya kufanya kazi ni kuzuri kuliko canada si ndio?
@ABDULFATTAAHNASSIR Жыл бұрын
EBIEM NAOMBA KUJIBIWA SUALI LANGU HILI NITAKAPO KUJA CANADA KWA VIZA YA UTALIY SITOWEZA KUPATA KAZI NA NA NIFANYE NN ILI NWEZE KUPATA PAMET YA KAZI NAOMBA UNISAIDIE KIONGOZI NIFANYEJE NA MM NIKO NA VIZA YA UTALY
@mtafutajiog1939 Жыл бұрын
Tumekuelewa,ilaa ebu zungumzia ukija kama mkimbizi canada na kesi gani nzuri ukizungunza wanakuelewa
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Yeyote wanakuelewa
@fikirinisasilo21542 жыл бұрын
Kaka EBM Mmbona hujibu maswali ya fan wako. Wengine tunashindwa kuulizia coz hata machache yaliyoulizwa within 10 months yamekosa majibu.
@valenakomba92182 жыл бұрын
Kulikuwa na mkenya aliyekuwa anawatumia wakenya pia.
@TabyWanjiru Жыл бұрын
Mimi nataka unisaidie kupata kazi ni notakuripa na nijiripie dege tafahari kazi yoyote ire itapatikana
@rahelpaul30792 жыл бұрын
Kaka naomba namba Yako ya what's app.
@isaacomogo98722 жыл бұрын
Brother Boniface, Mimi ni Isaac Omogo kutoka Kenya, kindly, naomba number yako ya whattsup
@elsaMo-b5r2 жыл бұрын
Nimekuelewa ni ngumu kuchuliwa kutoka nje kufanyaUSA.kwa hiyo Canada is the best.👍
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Ila usome Province za Kiingereza siyo huku ufaransan
@kassimchaku4772 жыл бұрын
Kaka heshima kwako elimu unaitoa ni nzuri hakuna you tube kama ww kwa kweli mungu akubariki wenye akili wanatumia sim zao bando zao vizuri ila kaka nakuomba ile namba ya whatsapp uliyoitoa ujibu ujumbe plz kaka
@kadunawewe72482 жыл бұрын
Nataka niende Canada nisaidie.kakaangu nifike
@gabrielongeri68192 жыл бұрын
Ongea kuhusu fully self sponsored Bachelor degree for international students
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Canada ni Rahisi saana kuliko USA kwa kweli kuwa Resident kama umekuja ni Mtalii
@abufirdaus4254 Жыл бұрын
Yaani unamaanisha kugeuza visitor visa kuwa permanent resident? Acha kuota ndoto ndugu
@jumawaziri85013 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA
@maryamnawab21983 жыл бұрын
Ingekuwa vizuri zaidi uwe unaweka na namba ya cm ili mtu akihitaji kuwasiliana nawe moja kwa moja iwe rahisi
@seifomar11483 жыл бұрын
Kweli ttzo watu wengi watamsumbua ndmna
@shahidaiddi9412 жыл бұрын
Kwa Canada ukiomba kwenda kuwa mfanyakaz wa shambani lazima uwe na elimu gani?
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Hata darasa la 7 tu
@marthamlove13423 жыл бұрын
Kaka naomba email yako nina swali private
@EBMSWAHILI3 жыл бұрын
ebmscholars@outlook.com Ila hutumia muda kujibu maana napokea emails nyingi
@nyamangaking66083 жыл бұрын
mzee nisaidie njia..nataka kwenda canada
@ahmuhally44303 жыл бұрын
Mkuu nahitaji namba yako au Email yako
@NduguEzekiel2 жыл бұрын
Nilicho jifunza Canada ukifika ni rahisi kwenda Marekani
@mwassyazeez32402 жыл бұрын
Nani amekudanganya kila mtu anapewa vissa kutokea nchin kwake lzm watakuambia urud uliko halaf uombe vissa
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Hapana si rahisi hata kidogo,Ni rahisi kutoka Marekani kuja Canada tuu
@trophywilson7211 Жыл бұрын
@@mwassyazeez3240 bora kuja Canada ukipata tu Id USA inakuonga kuingia Canada,Ila USA kuingia lazima uwe na visa na Pass port
@NduguEzekiel Жыл бұрын
@@trophywilson7211 we unakaa Canada?
@kihogonitv76272 жыл бұрын
Kama umetoka uku Tanzania na kuja uko Canada kutafuta kazi je inakuaje apo km umeingia kwa njia yoyote ile
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Zipo nyingi ukishapata kibali cha kukuruhudu kufanya kazi
@akbaslismh9874 Жыл бұрын
@@trophywilson7211naweza apply work permit nkiwa tanzania ya canada?