MAISHA HALISI YA MAREKANI NA ULAYA - JIFUNZE KABLA HUJATEMBELEA AU KUISHI ULAYA NA MAREKANI

  Рет қаралды 5,901

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Күн бұрын

MAISHA HALISI YA MAREKANI NA ULAYA - JIFUNZE KABLA HUJATEMBELEA AU KUISHI ULAYA NA MAREKANI

Пікірлер: 83
@reinholdmujuni5828
@reinholdmujuni5828 3 жыл бұрын
ahsante kwa mada nzuri mimi naomba mawasiliano yako kiongoz nitashukuru sana am Stanley
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 3 жыл бұрын
nicheki kwenye e-mail ebmakulilo@yahoo.com
@michaelkerenge5537
@michaelkerenge5537 3 жыл бұрын
Nimependa everything kwenye hii topic, unaweza ukamsaidiaje kijana mwenye ndoto za kutafuta maisha ughaibuni na ambae yuko tayari kuanza chini kabisa??
@teimatata
@teimatata 3 жыл бұрын
Kiswahili kitukuzwe kweli ❤️
@bushsutimeline766
@bushsutimeline766 3 жыл бұрын
Very interesting topic
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 3 жыл бұрын
Thanks
@victornzebele3990
@victornzebele3990 3 ай бұрын
Ahsante sana kwa elimu hii
@octovinarichard7263
@octovinarichard7263 11 ай бұрын
Hapo umesema kweli unafanya vizuri tunamshukuru Mungu akubariki sana
@victornzebele3990
@victornzebele3990 3 ай бұрын
I had already subscribed to your channel #EBM
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 2 жыл бұрын
Good job my brother Salam zangu kutoka neworleans Louisiana
@hamidkhamis4326
@hamidkhamis4326 2 жыл бұрын
I like yr presentation
@kisalaTV
@kisalaTV 2 жыл бұрын
Umeongea kweli tupu. Hapo kwenye mazingira
@nelealameck5376
@nelealameck5376 3 жыл бұрын
Asante kwakweli umetufungua macho
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 2 жыл бұрын
Kaka umepiga brush ubongo wangu kwa video zako ,hongera sana
@ziguaboy1815
@ziguaboy1815 3 жыл бұрын
Fact bro
@carolynediana7841
@carolynediana7841 3 жыл бұрын
Asante Sana naomba unisaidie nifanye kazi za ndani 🙏
@jumasaid7643
@jumasaid7643 2 жыл бұрын
KAKA safi San
@stephansimkoko1193
@stephansimkoko1193 Жыл бұрын
Mungu akubaliki kea kazi hio!
@laketanganyikazc8605
@laketanganyikazc8605 2 жыл бұрын
This is good
@binsultan5572
@binsultan5572 2 жыл бұрын
Ahsante sana kwa video nzur...Nmekuwa nakufuatilia kila sana video zko..!!
@MRST_1662
@MRST_1662 3 жыл бұрын
Ukweli tuna fikiria Maisha tunayoangalia kwenye movie ndo maisha yote yahuku that was me hahaha
@Elimishatv
@Elimishatv 4 ай бұрын
Natamani sana huko
@julianasimbe5446
@julianasimbe5446 3 жыл бұрын
Nimesha subscribe, nakupata ndugu.
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 3 жыл бұрын
Nashukuru sana, ubarikiwe. Please share na kwa wengine
@aziadubayi7874
@aziadubayi7874 3 жыл бұрын
Its that true my brother
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 3 жыл бұрын
Thanks
@getrudamatoto5277
@getrudamatoto5277 3 жыл бұрын
🙏
@user-po7dv7tk6g
@user-po7dv7tk6g 7 ай бұрын
Nina swali,Mimi ni mkimbizi na nimeshanza ingia mu settlement Sasa nimaisha Gani au utofauti Gani kwa mtu amekuja USA kwanjia ya Green Card na kwanjia ya ukimbizi ( settlement) watoto au wakubwa wanasaidiwaje wakifika huko asante
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 4 ай бұрын
✌️👊👍.
@BaigonMacha
@BaigonMacha 9 ай бұрын
Habari za asubuhi kk
@suleimanameir5426
@suleimanameir5426 2 жыл бұрын
Naomba kuliza nimesafiri na mwenyegi wangu hakufika kunipokea nifanyeje U
@kevinkasanda3019
@kevinkasanda3019 2 жыл бұрын
Mimi nataka niende Marekani 🇺🇸 kwa mchumba Wangu,nifanyeje sasa???
@reubenjoshua3540
@reubenjoshua3540 2 жыл бұрын
Bro,nahtaji kupata mwanamke wahuko USA anioe nije huko,je nampataje maana Niko tz,au nitumie network gan nimpate
@sekikigosi8265
@sekikigosi8265 2 жыл бұрын
Yani unaongea ukweli mpaka raha big up.
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 2 жыл бұрын
Nashukuru Sana
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 жыл бұрын
Unakuwa mkweli sana Mr EBM, kama ni hukumu utapatiwa kifungo cha maisha😁
@shabiruponera4323
@shabiruponera4323 Жыл бұрын
Kwaiyo ukija huko kuosho vyombo hela haziingiii😅😅
@nurdinshekivuli468
@nurdinshekivuli468 4 жыл бұрын
nakukumbuka sn kaka UDSM .....let us chat well next time...
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 3 жыл бұрын
Pamoja sana
@officialgakankara
@officialgakankara 3 жыл бұрын
Najua ushaliongelea sikukuelewa vizuli kwasabab ilikua kiingeleza, baada ya kushinda green 💳 Unatakiwa uwe na kias gan cha hela ila ukitowa galama ya visa na migration pia ukitoa na tikek ya ndege
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 3 жыл бұрын
Huwa hakuna kiasi maalumu kinachowekwa kwa viza yoyote ile isipokuwa viza ya uanafunzi ambapo gharama hutokana na ada ya chuo na hela ya matumizi ambayo inakuwa estimated na chuo husika. Nje ya hapo ni kuangalia kuwa na kiasi ambacho unaona kinaweza kuwa ni kikubwa
@josephatjosephat4269
@josephatjosephat4269 5 ай бұрын
Hapa Tanzania ofisi yako iko wapi
@6elim12
@6elim12 3 жыл бұрын
Mimi nna ndoto za kuja USA vipi maisha ya uko
@patrickbategereza7683
@patrickbategereza7683 2 жыл бұрын
Mazur sana karibu
@nabotikanyika
@nabotikanyika 2 жыл бұрын
Sawa nimekuelewa
@antidiuserasmus877
@antidiuserasmus877 2 жыл бұрын
Fursa za kazi zikoje marekani, mfano soko la kufundisha lugha ya kiswahili, au hata kufanya shughuli ndondogo.
@johncornel9436
@johncornel9436 3 жыл бұрын
hahaha brother makulilo umenichekesha eti niangalizie mtoto naenda sokoni, eti mpesa
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 3 жыл бұрын
hahahahaha ndio hivyo mkuu
@wilsonm.7376
@wilsonm.7376 3 жыл бұрын
Nakufatilia kaka, tuambie ukweli kuhusu kuja amerika kwa njia ya kusoma, maana mtandaoni kuna vyuo ada hadi usd 3000, je ni kweli!? maana nikiweza kumeki naweza kuja kwa njia ya kusoma na kulipa ada kidogo na gharama za maisha then kutafuta kazi na maisha kuendelea.. je inawezekana? kuna ukweli? maana scholarship inahitaji ufauli mkubwa na age ni 4++
@gracepemba7025
@gracepemba7025 2 жыл бұрын
Kazi yangu ni saloonist na massage,pedicure na manicure je naweza kupata huko,unaweza kuniunganisha
@partmalila1949
@partmalila1949 3 жыл бұрын
Samahani swali langu ni kwamba ili kupata udhamini wanaangalia vigezo gani?
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 3 жыл бұрын
Wanaangalia level unayotaka kuomba, matokeo yako, uzoefu wa kazi iwe ya volunteer au paid jobs, recommendation letter, statement of purpose nk
@this_is_chriss4296
@this_is_chriss4296 3 жыл бұрын
Bro I want to talk to u
@ruhumurizarobert990
@ruhumurizarobert990 2 жыл бұрын
Ninge penda sana ukuwe ulifanya videos zakuonyesha umasikini namadhaifu ya marekani, ili wale Wa agenda ugaibuni bila mpango wajue haweendi mbinguni, asanteni
@albertnyakondo373
@albertnyakondo373 Жыл бұрын
Maisha ni kupambana
@womanofprinciple4703
@womanofprinciple4703 3 жыл бұрын
samahan kaka agu mimi naomba uisaidie kupata scholarship marekani
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 3 жыл бұрын
Una level gani ya elimu na matokeo yapoje? Scholarships nyingi ni kwa ajili ya level ya masters and PhD
@jennahlisa4088
@jennahlisa4088 3 жыл бұрын
Kazi nzuri sana kakangu
@hudsonhenry1849
@hudsonhenry1849 2 жыл бұрын
Jinsi ya kujaza resume
@faridamhanga4443
@faridamhanga4443 3 жыл бұрын
Naomba unisaidie nikafanye kaz za ndani norway
@Zack_lamar
@Zack_lamar 2 жыл бұрын
Naomba kuuliza ukishinda DV visa hiyo interview kunauhakika kiasi gani kupata naomba uongelee baada ya kushinda step zinazofata
@mwajumashabani2538
@mwajumashabani2538 3 жыл бұрын
Je kama mume wako amepata bahati ya kuwa kule na kufanya kazi.na bado hajapata green card je anaweza kunialika mke wake nikamtembelee.
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 3 жыл бұрын
invitation letter sio lazima uwe raia wa Marekani au uwe na Green Card. Kuja kumtembelea unaweza kuja, kikubwa ni wewe unayekuja ku-prove kwa mtoa visa kwamba hutozamia huku kwa kuonesha vitu vitakavyokufanya/kukushawishi kurudi nchini kwako mara baada ya siku ulizoomba kutimia
@dicksonmwezi3136
@dicksonmwezi3136 3 жыл бұрын
Kweli Brother naweza pata namba yako namba yangu 0714997714
@bingo57channel32
@bingo57channel32 3 жыл бұрын
Ninawezaje kumpata sitaki kuishi marekani Bali nataka kuoa mwanamke wa kizungu nifanyaje .
@abdallabakar2967
@abdallabakar2967 3 жыл бұрын
Napenda video zako nhitaji mawasiliano yako ya private
@bingo57channel32
@bingo57channel32 3 жыл бұрын
Mm natamani kuoa mwanamke wa kimarekani .
@mwanzaboy1548
@mwanzaboy1548 2 жыл бұрын
Jee kwamtu ambae anaitaji kujauko kutafuta maisha yanihana elim yoyote kaishia lasabatu anataka kujakutafuta maisha mitaani ikoje Wana i
@saidally804
@saidally804 3 жыл бұрын
Kaka mimi natamani sana kwenda marekan ila sasa sina mchongo wowote hata sielewi nifanyeje naomba unifanyia mpango niende marekan
@godymussa1919
@godymussa1919 3 жыл бұрын
Umesema vema sana sas kaka unachokisem nikweli kwann haulud nyumban
@antidiuserasmus877
@antidiuserasmus877 2 жыл бұрын
Vp kuhusu mtu kuzamia, nasikia shida ya kuzamia IPO kwenye ukitaka kurudi, na je vp ukiwa una visa ambayo ni temporary ni lazima kuwa na ticket ya kurudi?
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 2 жыл бұрын
Mimi nimeigia marekani na meli.maisha nimeyaona.mandeni mengi. Nadaiwa so much many ten thousand dollars
@abdallabakar2967
@abdallabakar2967 3 жыл бұрын
Huna host unaanzaje first unafika America cheap au unakaa hotel kwanza
@kimariokimario1518
@kimariokimario1518 3 жыл бұрын
Tunaomba namba zako kaka kwa kuongea private au sms au WhatsApp
@aziadubayi7874
@aziadubayi7874 3 жыл бұрын
Maisha yako age uko USA I love you visiting usa
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 3 жыл бұрын
Inategema mtu na mtu, kuna mwingine anayafurahia mwingine anayachukia. Kwa upande wangu, ni mazuri. Na ninapenda wengi hata watembelee nchi hii au nchi zingine kujifunza mambo mengi kwa wengine pia
@hamsikrasheedi1796
@hamsikrasheedi1796 8 ай бұрын
🫡♥
@asiaoman3040
@asiaoman3040 2 жыл бұрын
Naomba nomba yako kk
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 2 жыл бұрын
Ukienda www.ebmscholars.com utaona namba
@seifomar1148
@seifomar1148 3 жыл бұрын
Mambo vp mkuu. Mm nataka kuishi markani ila naomba unisaidie mualiko tuu mengne ntamaliza mwenyewe 0678579077
@vunjambavu164
@vunjambavu164 3 жыл бұрын
Samahani unaweza kusoma Ngazi ya cheti marekani hata kama una division four na ukaenda kusoma huko
@mwanjekeyz8671
@mwanjekeyz8671 3 жыл бұрын
Huwezi bro
@wizyda9630
@wizyda9630 Жыл бұрын
Naomba unitumie namba yako ya whtsappp
Maisha ya marekani
12:25
Dnyota usa
Рет қаралды 1,3 М.
Unajua Bei za Vyakula USA? (Gharama za kuishi USA zipoje?)
11:16
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 9 МЛН
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 77 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 53 МЛН
Mapenzi Ukiwa Nje ya Nchi - USA, Canada, Ulaya
57:54
EBM SWAHILI
Рет қаралды 2,1 М.
DV2026 APPLICATION DATES
54:06
EBM SWAHILI
Рет қаралды 1,8 М.
Maisha ya marekani kazi zinalipa
7:23
Dnyota usa
Рет қаралды 2 М.
Maisha ya Marekani: Kukaa ndani, Upweke, Nyumba, Magari nk
12:22
EBM SWAHILI
Рет қаралды 406 М.
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 9 МЛН